ALIKIBA Alivyovamiwa na Warembo Jukwaani baada ya kuichapa Utu Live/Wammwagia Pesa ndefu
Vložit
- čas přidán 27. 01. 2023
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
----------------------------------------------------------------------------------- - Zábava
Huyu Kiba ndo R Kelly wa Tz wanaoamini waniambie
Mimi na kubali
No one like king kiba forever
itachukua mda sana kupata msanii mwenye vocal kama kiba
Wa africa
Naaminia kaka
Iyooooo nyimbo ukiimba kwanza mwili wote wasisimka UTU KAMA UTU 👐🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯
Mziki mzuri bila matusi wala maneno ya kejeli!!!
Nice job king of kings
Now we have known the real king.
Salute kiba haunanga wivu umekuja kusurpport
Tanzania's greatest of all time,King Kiba👑 Utu will always be my favorite track
Tanzania people be proud of this artist alikiba he's so talented I'm telling you from congo 🇨🇩 alikiba is my number one artist ✌
That true numero uno
Absolutely! We proud of him❤👑🎶
TheOnlyOneKing🔥
ALIKIBA ALICHO KIFANYA KWENYE SHOW YA MARIOO NIUNYANYASAJI WAKIJINSIA ASE KILA KONA ANAZUNGUMZIWA UTADHAN SHOW NIYAKE AISE HUYU NI 👑 nahakuna ubishi wala mjadala aise alikiba nakuita maratatu kiba kiba kiba aloooo
😂😂🤣🤣 hii kali...
Tokea mm mdogo namuona Ali kiba hivi na huu mwili hadi sai nmekua na yeye hajabadilika wow. King asozeeka🥰
Hakuna nyimbo nzuri mwaka wa 2022 kama Utu kama ipo niambiwe tafadhali nipate kuiskiliza iyo nyimbo zaidi ya hii
Hakuna
Hapa ndio naelewa kuwa King ukiwa rafiki yake basi hatokuangusha kwenye jambo lako...nakumbuka harusi ya Nandy nayo aliinogesha sana🔥🎶👑💕
Ameonesha upendo mkubwa! Hongera Marioo na Kiba🙌
Real recognize real💪
Tunatrending na 12 na mbili twende namba moja King kiba
King kiba 4real haipingwi wewe ndio mfalme wao🔥🔥🔥🔥🔥🔥wafundishe
Alikiba haulinganishwi na msanii yeyote hapa Africa am crazy when saying this he is the real King
Ndio wajifuze na wawe na adabu mm nawambiaga alikiba ndio msani mkubwa tz na East Africa Mario amekula ugali bila mboga
Dah! Hiii Show niya Marioo Au Alikiba sikwakufinikwa huko anyway imeweza huyo ndo King" mwengine hatokeii😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥
Tuache utani kiba kwenye live performance ni waya 😁😂 angalia ya keysha alivoua
Anaebisha aje na mwanasheria wake jela inamuhusu😂 King n mmoja tu
@@ostermfungwe5377 kbsa my
MTU wa watu KIBA JAMANI hana makuu kaka wa watu
@@ibrahimuselemani4076 😂😂😂😂😂😂
Nimependa kitu kiba alichokionyesha kwakumsapoti mdogowake marioo jukwani.more love kibamarioo
So amazing performance 💪💪king kiba no one like u, good voice brother
I’m very sure marioo alijuta kumualika alikiba perform… jamaa ana turn black to white viva king
King ni mmoja tuu akuna chasimba Wala chui au tembo king ni kiba saut yenyew ni moto
sijawai Ona msanii kama Kiba kuwa appreciated while on stage. Haya ni kati ya maajabu na maumbo yake Mwenyezi Mungu
Hata mimi sijaona tanzania
Hata sisi wa mozambique tunamjua king king the only one king
This is the real music the one you feel better when listening
Wallah watanzania hapa kwa kiba mulipata msanii
Huyu jamaa anavyo imba waweza dhan mzk n ki2 simple sana sasa jarb ww
Ukweli
Wimbo hadi waheshimiwa wanaimba no matusi, mashairi mazuri unaweza kuusikiliza na familia yako🔥🔥🙌 sasa unakuta wimbo mwingine unasema njoo nikupekeche pekeshe
🤣🤣🤣
Chitaki chitaki🙄🤔🤣ww sambusa mimi maandazi
Gres Mungu anakuona😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣
Alikiba mungu amtunze miaka na miaka aisee
Amen
Jaman UTU ni wimbo wa taifa kubali kataa,King hapa alionyesha ukubwa wake kwa kweli.
Show nzuri sana mziki mtam sana Marioo unahitaji mazoezi ya Live kwa kweli
Hii show vipi yaani nimechanganyikiwa mwenye show kaekwa chini kweli King is only one amd is Ali Kiba
Uyo ndo king 👑 upewe ulinzi nakupendaga mpaka basi kama wewe tanzania hakuna
Marioo sikubingine asialike alikiba jamaa kafuka show ila kwakweli palinoga sana 🔥🔥
Jamani huyu kiba huyu jamani🔥🔥🔥🔥🔥
Classic one king kiba live voko 🔥🔥🔥💯
Yaani wasanii wetu wangeshikana hivi Tzd ingekuwa kama wasanii wa mbele ongera kiba kwa saport yako kwa marioo
Kiba Kama vile Chris brown Fulani
I love your voice Kiba
You have a good voice too.
Utasema Justin biba
show ni ya king au marioo mbona sielew
Love you king kiba ♥️♥️♥️♥️ you are the best.
Hela za wadada warembo 🤸🏾♂️🔥 king 🥰
Alikiba is always my favorite King
King ni mmoja tu kwenye mziki wa Tz
Asallam maalequ maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala Allamdulirai Ishaalla Ali K. and Marioo Ishaalla Allah hjelp you
Alikibaaaaaaaaa weeeeeeeeeeeeh!!! Utaua watu! Basi kaka mariooo anakuangalia macho kodoo
Alikiba uyu mbwa anakipaj kuliko msanii yeyote bongo ila juudi sas👑👑👑👑😂😂
Asake yupo Kweli au basi maana Mfalme kauwa sana❤❤❤❤❤
🤪🤪🤪🔩asake
Yaan Kwa live band kama hyo aje atake nn asee na anajua TU Kuna kuaibishwa na king kiba hapo watu wananyoosha live bn👑🔥🔥🔥
Yaani ata ukimchukia alikiba bado utaipenda sauti yake tuu
King tunajivunia sana kwa kipaji chako mmetisha sana na marioo
That is what we call music
Classic one with vibe
Mario and king you pple amaizing...
Truly
Hii show siku zote napenda kuiona it's my best
Is this Alikba's show or Marioo's? am oves🤣!!
Tuache Usenge hv nan alimsikia siku ile mliman City mond akiimba Live Alikuwa anachukiza bora apite back vocal angalau utapenda lkn sikia Balaa hili
🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@zaudatmakula3454 niliona bro 🙌🙌
Weeeeekiba unabalaaaaaaaaaa🤔🤔😋❣️❤️♥️❤️
Huyu jamaa anajua kuimba daa kiba salut
Kingkiba
Napenda kiba Nandy Gigy wanavyosuport wenzao bila chuki za kijinga yan palipo ushirikiano Mungu anafungua nchia cheki watu walivyojaa kingilio cha kawaida
King kiba no one likely you bro u know
Kwl sarut kwako kiba
OrganicKing🔥🎶👑
Kiba hana mpinzani kwa live performances
Barnaba nae yupo vzr
@@jamilahshilah4327 ila kiba legend
100%
Hakuna ubishiii mbona juu ya Hilo
Barnaba Ni moto bhn
Alikiba ni munoma hii show kaifunika hatari
good love king kiba
Kando na nyimbo zako u r soo gud king love u
Likiba linaimba km alitak khaaa😂🔥🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣
King kibaaaa
Kasema ukweli kiba anajitoa sana kanikumbusha kwenye nai nai hakuimba sana ila alivyokuwa anaflow jimbo likanogaaa
Kip the gud music alive...
Ali kiba ur the best all the time
💥💥💥💥 wamuache jaman mbona hawaelewi ety nawambiaajeeee wamuache KING wetu🎉😂😂😂😂😂
Alikiba king
Ali kiba anaburudisha mabosi na walala hoi mikono mitano kwake
Atumii ata nguvu dah mpaka raha
Chui _rayvan
Simba_daimond
Tembo_harmonize
King_KIBAAA
O rey👑 da música🎶 africana 💪💪💪🔥🔥🔥
Meu Rey 💪
I miss you feat Alikiba moto sana🔥🔥
Kuna huyu jamaa mmoja ni balaa kwy live czaani km Kuna msanii kwa bongo atakayeweza hii mambo🤣ni yy
Nomaaaaaaaa
akuna Kama zaidi ya king kiba
Utu ringtone
King sikualiki kwenye harusi yangu usije shangiliwa wewe kumbe muolewaji n mimi 🤣🤣🤣 MARIO umepata kampani kijanaaaaaa
Kweli nayo😍watu watadhan kuna show kumbe n harusi yal
King n mmoja tu
Hadi mwili unasisimuka dah kiba hiyo saiti noma xana level zakina Chris brown
Kabisa mwili unasisimuka
The only one king 🤴
King 🤴 👑 kiba✌
Uko juu mzee baba
Tajiri kitasa kama kawaid mibandiko 🙌
King 🤴 kiba
Alikiba anajua sna
Good performance Ali
Noma sana king kiba
King forever
Apo kiba amepanda mpaka marioo amekaa chini
King kama king
wachana na king Aitwe king inamanaaake sw🔥🔥🔥
Kingkibaaaa
Yes✍
Huyu kiba asee hapan umeua babaa 👏
King wa tz respeito alikiba wewe ni Mufaume
King na live performance ni chupi na Tako haviachan
🙌🙌
Tako tena la nani eeeee hahahhahah
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hahaaaa fal wew
Kinggggggg 👑
Utu ndio nyimbo pendwa ya mke wangu
Kiba kaiba show ya Mario kaigeuza yake 🤣, king kama king
Sasa atakosa aje kuiba wakati mweny show kapoa kama ugali wa jana 😂😂😂 baba levo 😂😂😂ndo kasema siyo mimi 😂😂😂
Kali sana hiii🔥🔥🔥🔥🔥
Eti marioo msanii bora ALLY NI MWAMBA TANGU 2005 HADI LEO SAUTI NDIO ILE ILE YA 2005.