ALIKIBA alivyowaliza WAREMBO na Wimbo wake "UTU" Jukwaani MWANZA kwenye Only One King Tour
Vložit
- čas přidán 16. 12. 2021
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Alikiba - Zábava
Hiii ndio nyimbo Bora 2021 like Kama umekuli king👑🇹🇿
Nakubali 💯
Mashaallah sauti wanimaliza alikiba wauwa kukimba kama usabiki wa kigi gongo liki💖🔥🔥
Hii ndio maana ya king watu waelewe wimbo naona watu tumeielewa vizuri mzuuuuuka
Mimi ni team konde ila jamaa mungu amembariki saut na jinsi yakuitumia anajua👏👏👏👏
hapoa kweli
Alikiba anaweza saaaaaaana music wa Africa, from DR CONGO
Usiwahi kusahau kusali king.Dua zako ndio zinakupigania,Allah is for you 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Alikiba is the best and nobody can stop him 🔥
kabisa ur are king🔥🔥🔥 usisahau.ku sapoti sis madogo zako👆💪💖💖
wengine nanaimba ujinga tu hao wakina domo ww ndio muimbaji
Hapo ni Mwanza Tanzania siyo Sudan au Seraleoni
Alikiba noma 😍
You're right,
Yebabaa!!!!
Hii nyimbo ni fire🔥🔥🔥🔥 Utu
Hatari Sana I believe on you Brother the only one Tanzania King of Bongo flevour
Duuuuuuuuh,halafu unakuta mtu mshenz mshenz ana mfananisha na taka taka za ajabu ajabu
Akitwa king watu hawajui maana ya mfalme hana makele king wafuas ndo wanajua mfalme wao yupo vip na awafanyia nn wafuas wake mim binafs kiba heshima zakutosha nakupa rick media shukran kwa burudan kusaport hii kitu
King kiba msanii mwenye sifa za ueledi wa kina...love ♥ King kiba...🇴🇲🇹🇿
Oooh ueledi ni professionalism. Had to Google
Kaka wewe ni noma sana unajuwa mpaka unahumwa
Hiv mnawasikia Back vocals walivyo wa noma🔥🔥👑
Wee unajua kuskiliza mziki good good
hatari kabisa
Damn bro they are amazing 💯
Utu forever in my heart♥️
Indeed you are King Kiba👑
I would pay to see again the live performance of this song by King Kiba
Daah wimbo unanikosha sana kiba unajua kuimba balaa blue
🔥🔥🔥🔥🔥
Since this song released, there's no song pick up than this song in Tanzania.King is the King
TEAM KIBA RAHA SANA
Smoothy voice,riffs and runs,falseto,alto,vibrato,humblity,yn full of package
Yaani stage iko na utulivu hakuna kurushiwa maji siju watu wamwagiwe maji yaani ni muziki bila jasho pole pole taratibu kiustarabu 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Muziki imeenda skuli
@@manerick3568 you can say that again bruh
Yale maji ya misukure ukimwagiwa unakua huon huxkii kw wasaf
@@eltajir yaani mimi hukereka punde nikiona vile,☹
Yale sio maji, ule Ni ushetani mnamwagiwa
King kiba,much love from Dubai
Nice show kiba utu njoohabari ya mjini 😘😘😘naipenda
Can someone help me express what king is causing to my soul..... Alikiba forever 💯💯💕💕
Wapi like za king kwa hii show
Noma sna Kaka king kiba yote kw sababu hujioni upo sawa na kila mtu one love sna
My best Artist always 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤
Wawoooo jaman huyu baba anajua
Music is about enjoying and not jumping on stage. Much love King kiba from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Not jumping on stage 😂😂😂 I like your comment akiii ✌✌✌✌
Walai 😍😍😔, thats a pregnant fiction kwanza kenyans artists kama hajaruka anaona baado hajafika stage
Yea one love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@orangodommyshta3072 🤣🤣🤣🤣
@@orangodommyshta3072 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Much respect to King Kiba ✌️🇺🇬this song alone is equivalent to all foa album 🤔
Alikiba unajua sana keep fighting my favorite act in tz✅🥰🥰
Woooooooow amazing performance I wish I could be there
Huu wimbo akitolea video utapata 1M ndani ya siku moja
Kwanza aeke wife wake ndani juu hii wimbo nikama aliimbia wife wake itakuwa 🔥
@@cristabeltamara1465 true
Bila shaka
video aitoe usiku wa kuamkia February 14 siku ya wapendanao
Apo umenena atowe xiku ya wapendanao
Kings music records we are the best and nobody can stop us
Jamaa anajua sana no body can stop us
Huyu king kiba anaujua mziki hatumii hata nguvu nyingi angekua nyange hapo hapatoshi 🤣🤣😂🤣
Be kind😂😂😂😂😂😂😂
😂🤣🤣
Naifanyia cover Utu ya Alikiba am Fanuel Zurich Bangladesh,,, Alikiba is the King Of Bongo music
Alikiba anaweza kuijaza 02 arena London mwakani au akipiga show marekani mwakani kwenye miji mikubwa ngoma zake zinaeleweka mashabiki wanaimba nae sio wanachukua wasaniiii wa trending social media
🤣😂😂🤣😂daaah!!!
🤣🤣🤣🤣🤣 sio kwel
Daaaaa😂😂😂
Hapo tu hajajaza ndo akajaze marekani?
Unafikiri O2 Arena ni kama choo cha umma unajaza tu kirahisi.... Jitafakari ww
The king of live performance
Wow!!!!!!!!that show is very nice🎤Alikiba congrats❤️❤️❤️❤️❤️ bro
Music wa king kiba hauitaji nguvu kuupushi unaenda tuu wenye king anajua Sana anamadini
Hii nyimbo alikiba alifikiria sana yaani namkumbuka k2ga tu
Nakupenda sana we kaka unajua sana Mungu akupe maisha marefu mana hatar sana unafanya mziki sio mziki wa biashara yan unakipaji salute kwako.
Pamoja sana king kib
He's always the best
You are unstoppable.. always my NO1 Artist... much love.
Nyimbo Kali Sana hiii
Bongo hakuna hakuna kama 👑
The best singer ever in Africa
In live performance no body can stop him♨️♨️
The king Kiba you killing me .bro...this is my song of the year Utu...best of best
Kwani kiba wamaliza nasauti nzuri saaaaana
This song is huge. Ali Kiba should allow to redentions of their respective languages all over the world. Besides that, Ali Kiba fanya remix na 254 ndio tuwakilishe kiswahili kisawasawa. Fanya na diva awakilishe bibye kama malkia haha. Nafikiri Nadia mukami atawezana!! Sisi kama wazaliwa WA 80s tunamkubali mwanzilishi wa bongo The only One king Kiba . 254🇰🇪🇰🇪 tuko ndaaaani kabisaa. the best song of the all times. the GOAT
N kwel ila nahis Kama Jovior apa ataua vzur
Kweli... Ako Sawa huyo mrembo. Tena sana. Jovial anaweza kweli
Shida ya show za Tanzania ni music sound system iko weak ila jamaa anajua sana live
Dah ni kweli ndugu Yan makelele tuu
Sure
Hapo Sound iko poa, sema hii online media imerikodi normal. Ingetakiwa ichukue audio kutoka kwenye Mixer. 😊
njo mana yake
Upo sahihi kaka
My all time king kiba
I love the way mashabiki wanavyoitikia eeeh ase Allah akuzidishie kiba ww ni the best no one like you
The best .king's songs are such heart calming
King Ni mmoja tu jaman..kwakweli Ali anajua kuimba🥰❤️❤️
Can we say this is best love ever????!!!!
Good music team kings
Kaa tu baba waimbe wao😄😄😄😄
😂🤣
😂😂😂😂
Tupo mbali sana lakini tuna injoy mziki mzuli kutoka kwa king thank my brother I love you so mach
Noamba serikali imutafutie ulizi anasitahili please
UTU ni noumah, mpaka nahic nipo kwenye show!
🤣🤣🤣 me kama nirimtuma aniambie yaaan inanichoma atali
Only u king of Tanzania 🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥😍😍😍😍😍😍😍❤❤❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩dé King Alikiba kitoko sss de King Alikiba❤❤❤❤❤❤❤
✨👑🔐💞
The only Real King in Tanzania.
Humble,blessed and productive
Inshallah Allah umhifadhi pema wasimtie najic🤧
My favorite hit song✨🔥🔥🔥💖
Wasimtie Najis!!!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
King Kiba a lover not a fighter
Courage kiba niko 🇨🇩 injini Goma napenda sana iyi wimbo sana de tout mon cœur bro kosa ni vidéo mais kwahiyi moya vraiment 🔥🔥🔥🔥🔥
Bongo flavour song of the CENTURY
Kuna wanaoimbaaaa na wanaobwataa my king Achana na wabwataji watu tunataka mziki mzuri
Only one king🔥
King kiba, Nice song,MashaAllah
Nampenda sana king unaelewek jaman 😘
Only one king...👑👑👑
Sema alie simamia sound mungu anamuona
Ali kiba unaweza na utu kusema kweli unaweza afrika Zima hakuna kama wewe ilike your songs
King kiba🔥🔥🔥
Kingkiba🙏🙏🙏🙏💚💞💞💞
This song is a song of year 2021 the only one king 🔥🔥🔥🔥yoooh
King kiba I am so waiting for the video of this epic love song👌👌👌🔥🔥🔥🔥
The best performance King Kiba🥰
Napenda sana iyo kitu apa
Vyombo vimetulia uimbaji unasikika vizuri bigger up king of king
King 👑
Show imetisha yani kinyama...... King ni King na atabaki kuwa King Forever
King kiba 🔥🔥🔥🔥🔥
Asante alikei kwa kunifurahisha unaimba kitaratibu
Beautiful performance 🔥
Da king him xelf yo🔥🚀
Much love King Kiba. You rock.
Alikiba🙌🙌🙌
Alikiba swezi kuangusha king mkubwa wa bongo
Nakubali kiba mimwenyeye nasikiya raha sana japo niko mbali
Vyuo vya mwanza vimetapika, watu wamepagawa, Hawana wazo na Test 1 wala 2
Kizazi sana king nakukubali bro
Ndoo king kiba huyo soo much my brother
Jaman wimbo mzuri sana huu
🇰🇪Very impressive boss man....kiba for real
Sana king kiba 🎤
Umetisha king.kiba.🔥🔥🔥🔥
Kiba hongera sana shoo kali sana 🔥 utu ngoma kali hatari nanusu yooo
A guy is trying to do this job Shem I love it special this song utu ❤️❤️❤️🙏🏼🎁