Meja Kunta Alivyokiwasha Fiesta ya Mtwara
Vložit
- čas přidán 21. 10. 2022
- Fiesta 2022 Mtwara #CloudsDigital ipo mubashara kutoka Mtwara Kwenye Show ya Fiesta 2022 ,Wasanii Wakali wote Jukwaani Leo ,Ali Kiba Mr Blue , Nay wa Mitego ,Weusi ,Saraphina , Madee ,Maarifa,Meja Kunta ,Sholo Mwamba ,Kinata MC
- Zábava
Like kwa DJ mushizooooo
Anachokifanya meja hkn msaniii mwngn wa singelii anaweza pia huyooo dj mushizooo mmh kapania sn💥
Nakukubali kinoma mejaaa I love u so much
on fire
Dj wa mejaaaaaaa ni nouuuuuumaa kudadek kauwa
Huyu mushiz anajua DJ wa mc balaa
Ebana🔥🔥🔥🔥🔥 uyo dj wake sio poa ⚓️✌️✌️
Mh ni 🔥🔥looo! Dijey sasa kaua
Uyu dj bhanaaa aisehe mtoto mdog vitu vingiii
Mishizo ni noma sana
We mo shizoooo utawauwa
Kuna MEJA alafu kuna wasanii wengine wa singeli!🔥
Askali saa adi raha jomon
Meja fundi xana alaf Kuna dj muxhizo duh kauwa xana umakondeni
Naipenda sauti yako,👌
Mbna dj ana vibe sana kuliko msaniii
Huyo dj kheee!😄🤣🤣🤣
RojA star 🌟
Hi Ndio show sasa
Meja Lazima umkumbuke. Mwalimu wako Mudy msanii mana. Naona kama unatupigia kelele tu meja. Mushizo uwa
hatar xan
Kudadadek aisha sikuachi nakupenda wewe na huyo bwana ako.......apo mejja umenikosha ..moshizoo wauweeeeeeeeee
Uyu dj ni kisanga aise xo kwa micharazo hiyo
Dj anakuwezea xana mwanangu hamjapoa
Mushiz nakupend san
Weeeee mushizooooooooooòo
Oya uyo mushizoooo baba utawauwa
dadeq nimependa sana uyo dj yuko on fire
Hyoo ndo mushizooo brother
Naona kama meja pumzi inakata
Mushizooo utawauw
14:00 Hatari
apa mushizo pale meja kunta
Meja ndo umefunika mtwara Yani wewe ndo umeamsha mtwara
nice meja kunta
Pumzi