MAKONDA AKASIRIKA - ''WEWE UNABISHANA na MIMI? MNACHUKUA MIEZI KUTEKELEZA MAAGIZO ya WAZIRI''...

SdĂ­let
VloĆŸit
  • čas pƙidĂĄn 9. 05. 2024
  • MAKONDA AKASIRIKA - ''WEWE UNABISHANA na MIMI? MNACHUKUA MIEZI KUTEKELEZA MAAGIZO ya WAZIRI''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    đŸ‘‰đŸ”„đŸ‘‰forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫ OUR PLAYLISTS:
    ⚫ MICHEZO na BURUDANI: ‱ Habari zote za michezo...
    ⚫ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáƙe • 598

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Pƙed 29 dny +23

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 Pƙed 22 dny +19

    Kama na wewe umefurahishwa na Makonda hadi ukakosa cha kuandika basi like tu hapa aone tupo wangapi.

  • @linahmacha370
    @linahmacha370 Pƙed 29 dny +64

    Asante Mungu kuturudishia Maguful kwa kutumia mwili wa Makonda 🙏🙏đŸ€Č

  • @zenamshana8140
    @zenamshana8140 Pƙed 28 dny +36

    Jamani namuona magufuli Mungu asante namuona mpendwa wetu magufuli ndani ya makonda

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t Pƙed 28 dny +24

    Naishiwa maneno mwenzenu Mungu hyu anajua kufarij watu wske,,asante Mungu kutuletea magufur kwa njia nyingne😱😱😱Makonda Mungu aendelee kukutunza baba kwa ajil ya wananchi wanyonge,,nchi hii bila kupata kiongozi mfatiliaji nchi inageuka kuwa shamba la miwa😱😱🙏

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Pƙed 28 dny +27

    Makonda tunakuombea mno💋đŸ‡č🇿 Mungu akutunze kila mchawi wa moyo wako naafe kwajina la yesu kristo wa nazaleti

  • @uwezashehemba5367
    @uwezashehemba5367 Pƙed 29 dny +52

    Makonda nafuatilia ziara zako mungu akupe maisha marefu aameen

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk Pƙed 29 dny +36

    Makonda respect to you
    Nchi inakuhitaji sana kuliko kitu kingine nchi zetu za Africa zinataka viongozi wenye msimamo kama wewe na wenye kuthubutu mungu akulinde kiongozi..Viongozi wengi wababaishaji na rushwa tu wabane wote wezi tu

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Pƙed 29 dny +82

    Makonda respect Sanaa moyo ulikufaa baada yakufa magu sasa unaanza kupumua kupitia ww ningekua nauwezo ningekupa nchi 🙏🙏🙏🙏💯💯💯

    • @asajileraphael1951
      @asajileraphael1951 Pƙed 29 dny +2

      Anafaaaa

    • @ShortyShorty-mr3jb
      @ShortyShorty-mr3jb Pƙed 28 dny +3

      Ni kweli kabisa ndg

    • @devidmadoa2865
      @devidmadoa2865 Pƙed 28 dny +3

      Kwa sisi wapiga kura Yani watu wa Hali ya chini tunataka viongozi kama hawa naomba ile sheria ya mgombea binafs ikaziwe ili 2025 makonda agombee hata mgombea binafs kama atakosa nafasi kwenye chama kwa sabbu kila anapowekwa anafiti na moto ni ule ule

    • @jacklineminja2022
      @jacklineminja2022 Pƙed 28 dny +3

      Anafaa sana Mungu asikilize maombi yetu Makonda anafaa sana

    • @chandeyusufu9570
      @chandeyusufu9570 Pƙed 28 dny +2

      Sana makonda anaofu ya Allah baro mwaka 2030 apewe uraisi

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Pƙed 29 dny +49

    Wakuu wa mikoa mingine Tanzania wakula bata,hawajui wajibu wao, viva makonda,

  • @twisilemwabukusi4981
    @twisilemwabukusi4981 Pƙed 27 dny +8

    Kwa kweli katika hili Mh Makonda umenyoosha mstari kama kiongozi na Mtenda haki. Hongera sana hakika.

  • @RaymondMuya
    @RaymondMuya Pƙed 29 dny +21

    Mweshimiwa makonda mimi binafsi naupenda sana uongozi wako, japo tunajua unakutana na changamoto nyingi na wengine watakuchukia ila mungu atakupigania sana.

    • @nzumbiesther
      @nzumbiesther Pƙed 28 dny

      Mungu aendelee kukupa kibari na akuzidishie maono Mr Makonda

  • @marywembe8434
    @marywembe8434 Pƙed 29 dny +52

    Naona Mh Makonda awe Mkuu wa mkoa wa kuhamahama. Yani kila mwaka ahamie mkoa mwingine. Maana kazi yake ni konkii konkilist.

  • @farusaimon3490
    @farusaimon3490 Pƙed 26 dny +8

    To me, Mr Makonda was not demoted, instead, he was promoted from being Mwenezi Taifa to be the RC. Look at what the glorious job and services he is delivering to the people of Tanzania. Hata kama anakosea au atakosea mahali fulani, lakini tuzingatie lengo lake. Lengo lake ni lengo la Tanzania na Kiongozi Mkuu wa Nchi yetu. Again, VIVA Makonda and VIVA our lovely president!

  • @user-ks7zc6kd7u
    @user-ks7zc6kd7u Pƙed 29 dny +39

    Bwana Yesu Kristo akutie nguvu mheshimiwa Makonda Arusha kuna wadhulumaji sio mkoa rahisi

  • @NabiiMkuupdYohana7974
    @NabiiMkuupdYohana7974 Pƙed 29 dny +15

    Makonda Mungu akukumbuke alinde uzao wako katika jina la Yesu

  • @user-ce9pr3zs6b
    @user-ce9pr3zs6b Pƙed 25 dny +9

    MUNGU akupe ngazi ya mwisho ya maamuzi namanisha urasi.❀❀❀

  • @faithmsafiri6534
    @faithmsafiri6534 Pƙed 6 dny +2

    Mungu akulinde wewe una roho ya magufuli ndani yako

  • @peresamiradvocate
    @peresamiradvocate Pƙed 27 dny +22

    Makonda ana hekima ya Solomon, young with high wisdom

  • @dramanishabani93
    @dramanishabani93 Pƙed 28 dny +16

    Nakupenda bure Mh makonda maana haujawahi kumkana Yesu, Ilove your tshirts and cap.🎉

  • @gasperkunambi9538
    @gasperkunambi9538 Pƙed 25 dny +8

    Mungu azidi kukupa Hekima Rafiki makonda Mungu akubariki sana

  • @kiembathegreattz5633
    @kiembathegreattz5633 Pƙed 29 dny +32

    Mungu kamleta maguful kwenye mwili wa makonda mazeee

  • @HusseinAmiri-pp8dy
    @HusseinAmiri-pp8dy Pƙed 29 dny +17

    Salute Mh:Paul Makonda, najikuta nkipiga makofi ucku nikiskza Ziara zako

  • @SamsonTanzania
    @SamsonTanzania Pƙed 26 dny +6

    Arusha tuna bahati kumpata kiongozi kama huyu 👏👏👏👏👏🙏🙏🙏

  • @user-nr1vq4dp8v
    @user-nr1vq4dp8v Pƙed 28 dny +15

    Respect my president, respect Makonda nawapenda sanaaaa

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 Pƙed 14 dny +1

    Ahsante sana M/mungu Kwa kutupa magufuri wa pili hongera sanaaa makonda mungu akupe maisha marefu đŸŒč🎁

  • @WilliamDaniel-hm4cr
    @WilliamDaniel-hm4cr Pƙed 17 dny +2

    Makonda mwamba nirikuwacjakuerewa lkn ss nimekuerewa asante sana

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Pƙed 29 dny +28

    Mzee Uwe Unaulizia Kwanza😂😂😂Makonda We love uuuâ€â€đŸ˜‚

  • @user-vt5xx1tw1m
    @user-vt5xx1tw1m Pƙed 11 dny +1

    Yan hapa ukiteleza maelezo kidogo umekwisha😂 hongera Makonda

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 Pƙed 29 dny +14

    Watumishi wengi wa serikali hawafanyi kaz, hawaendi field ni watu wa ofisini tu as opposed na private sector. Huyo chalii unaweza Kuta vyet ni vzr ma GPA nn ila hawez hta jieleza na anaonekana hna experience na kaz yake,

  • @SamG-hs9xe
    @SamG-hs9xe Pƙed 29 dny +7

    Makonda mi nakukubaki Mzee wangu endelea nakazi ya Mungu ,Mungu atakulipia

  • @francismlembwa2733
    @francismlembwa2733 Pƙed 23 dny +1

    Makonda is the best leader in Tanzania especially in solving problems of the people mimi nakuombea sana Mh ,mungu you nawe kwa kweli

  • @MenelusCzar
    @MenelusCzar Pƙed 28 dny +7

    UKIKUTANA NA BWANA MAKONDA JUA UMEKUTANA NA KIJANA MWELEVU MNOOOOOOOOOO, zingatia neno mwelevu📌

  • @ntangiregemfuruki5478
    @ntangiregemfuruki5478 Pƙed 27 dny +9

    SHIKAMOO MAKONDA.
    ILOVE❀ MAKONDO
    ACHA WAKUPOPOE KUNA UNACHO WAZIDI.
    MWAMBIE MUNGUU WEEE ASANDE.KUNIPA CHAZIYADA

    • @user-zt6re1dr5f
      @user-zt6re1dr5f Pƙed 18 dny

      Good focusing,from this guy,big up❀❀❀❀❀❀❀❀

  • @EliothChaula
    @EliothChaula Pƙed 28 dny +4

    Hongera Dana mkuu was mkoa,kweli unatetea wananchi wako

  • @user-tu9ps9kr2o
    @user-tu9ps9kr2o Pƙed 29 dny +9

    Mhe makonda nakukubali Sana

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 Pƙed 26 dny +2

    Makonda mungu akujalie kwa kutenda kazi yko mungu aliokubaliki nayo naimani kila aliedhulumiwa atapata haki yake mungu amsimamie makonda na umbaliki sana hii ni kazi ngumu ya kufichuwa madudu ya viongozi wanaodhulumu mali za watu bila kuwa na woga na wala off ya mungu makonda piga kazi mungu yupo nawe

  • @EmmanuelSige-tc1bn
    @EmmanuelSige-tc1bn Pƙed 28 dny +6

    Uwiiiii Arusha hakuna watendaji,,, nani wanawapa ajira hawa watu jaman

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Pƙed 26 dny +2

    Mama naendelea kusema nakupenda sana mama Mh Ras wangu , sina cha kusema Mungu akulinde akutie nguvu.kila iitwapo leo as, lazma nakuombea . Kaz iiendelee.

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 Pƙed 25 dny +3

    Kiukweli makonda naichukia ccm ila kupitia ww naanza kuipenda!! Broo mungu wang wa mbingun naomba ajibu maombi uwe rais wa nchi hii nadhan utaipua meng kama mzee magufuli!! Hakika una ujasiri wa kuendexha nchi hii mungu naomba ujibu maombi yang nkiwa hai amen!

  • @RaymondMuya
    @RaymondMuya Pƙed 29 dny +4

    Makonda mungu akulinde sana nchi inakuhitaji sana

  • @user-xh7xf2ki3r
    @user-xh7xf2ki3r Pƙed 4 dny

    Makonda juu juu juu ningekua na uwezo kiti cha urais ni chako baba ❀

  • @basilkibasa-ny3im
    @basilkibasa-ny3im Pƙed 28 dny +3

    Akili kubwa sana hii, Mungu endelea kumlinda mh. Makonda

  • @elizabethmkude9452
    @elizabethmkude9452 Pƙed 25 dny +2

    Mungu akubariki na akuepushe na hatari zote za roho na za mwili Kila ulimi utakao nyanyuka juu yako utaesabiwa kuwa mkosa hakika mungu amewasha mwanga mpya kwa wanyonge

  • @mustafamandindi6434
    @mustafamandindi6434 Pƙed 29 dny +5

    Umebalikiwa muheshimiwa

  • @barakalukumay
    @barakalukumay Pƙed 29 dny +6

    Amina baba Makonda duu barikiwa Mkuu

  • @faudhiakihangu
    @faudhiakihangu Pƙed 29 dny +17

    Makonda hoyoeeeeeeeeee

  • @DottoDola
    @DottoDola Pƙed 25 dny +2

    Mungu akulinde San makonda na azidi kukupandisha Veo had Veo na mungu asikuache

  • @user-wv6jv7ox9t
    @user-wv6jv7ox9t Pƙed 23 dny +1

    Tupate wapi Tena mtu kama huy u ambae Roho anakaa ndani yake. Damu ya Yesu ikulinde baba kigan.

  • @Zubaiba
    @Zubaiba Pƙed 4 dny

    Makonda oyeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nakupenda sana ❀❀

  • @amanimlengwa9202
    @amanimlengwa9202 Pƙed 7 dny

    Mungu anayetumika ndani ya Makonda leo hii, ndiye yule aliyeikusudia Tanzania kuwa nchi ya haki.

  • @user-nr1vq4dp8v
    @user-nr1vq4dp8v Pƙed 28 dny +4

    Makonda big-up

  • @alexandernyankaira2990
    @alexandernyankaira2990 Pƙed 7 dny

    Mungu amlinde makonda ni kiongozi shupavu

  • @twahaNasoro
    @twahaNasoro Pƙed 8 hodinami

    Hongera sana mkuu wa mkoa

  • @yaredyndaga6483
    @yaredyndaga6483 Pƙed 25 dny +5

    JPM ndani ya makonda

  • @imranhassan9994
    @imranhassan9994 Pƙed 29 dny +5

    🌍🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕 ⭐🌟
    ✍ Jamani kama hapa duniani haki ina thamani kiasi hiki kiukweli sijui huko twendako mbele ya MUNGU itakuwa na thamani kiasi gani...
    ✍ Ila mimi kutoka kwetu Kenya 🇰đŸ‡Ș🇰đŸ‡Ș🇰đŸ‡Ș Nimeipenda Kazi ya đŸ‡č🇿 MAKONDA na Nimeipenda Kazi ya đŸ‡č🇿 Mama SAMIA Na Mungu Awalinde popote walipo...

  • @bakarikombo6279
    @bakarikombo6279 Pƙed 29 dny +4

    Nakufutilia nikiwa Zanzibar kazi inaonekana. Yajayo yanafurahisha

  • @NdesaPesa
    @NdesaPesa Pƙed 13 dny

    MUNGU mlinde huyu baba Paulo Makonda mtetezi Wa wanyonge hakika ni mtu sahihi kwa Tanzania yetu si mkoa tu,Yani mimi hapa nacheka tuu❀❀❀❀

  • @SalumSeiph-rn6ho
    @SalumSeiph-rn6ho Pƙed 22 dny +1

    Huyu jamaaa ana akili nyingi mno...asante Mungu kwa kutuletea magufuri kupitia makonda"

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 Pƙed 25 dny +4

    Huyu Makonda Hatariii...

  • @edwardmollel2972
    @edwardmollel2972 Pƙed 28 dny +2

    No one like makonda big up brother

  • @mtz5582
    @mtz5582 Pƙed 28 dny +2

    Wajanja:Ole Gunnar Solskjaer..fans ;all is forgiven..Hongera bro Makonda

  • @theopant916
    @theopant916 Pƙed 21 dnem

    Tunamwona magufuli ndani ya makonda God protect you u are excellency keep going,

  • @justinelukumay5308
    @justinelukumay5308 Pƙed 28 dny +2

    Swaga ndani hilo chizi hatari sana Mh Makonda tena anaisalilisha serikali yetu makini du!

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Pƙed 29 dny +4

    😂😂😂 Duuu MH.Makonda pole sana kwakazi kubwa uliyonayo uyo jamaa kimaelezo kajikomiti bila kujijua siku zamwizi 40 fala wewe

  • @JamesKoreka
    @JamesKoreka Pƙed 29 dny +7

    Pigakazi mkuu umebarikiwa sana

  • @KaizerKilagwa
    @KaizerKilagwa Pƙed 9 dny

    Kuna watu mkuu hawajui namna Jinsi maisha yanavyo tegemeana mungu akusaidie na aiokoe Tanzania yote nchi yetu nzuri ipate uongozi unajua maumivu ya Watanzania hasta wakati wa kuililia Hali.

  • @user-iv5gw1us4q
    @user-iv5gw1us4q Pƙed 11 dny

    Mungu aendelee kukubariki Mtoto wa Mungu Makonda.

  • @julianavicent4845
    @julianavicent4845 Pƙed 25 dny +1

    Mungu akulinde makonda nakuombea.

  • @Magdalene-er2ur
    @Magdalene-er2ur Pƙed 29 dny +4

    Yaaani hawa wa ngazi za chini ni wanajikutaga sana kusumbua wananchi Na kuwainea watu kama sio kuwatesa coz ya vivyeo vyao vya duniani

  • @saloujohn3639
    @saloujohn3639 Pƙed 27 dny +3

    Tick Jesus damn that's powerful

    • @paulolmabu7161
      @paulolmabu7161 Pƙed 22 dny

      Kama kaweza kushupaza shingo kwa makonda he kwa wananchi huyu tutamuweza au kuendelea kunyanyasika tu

  • @JAMESONMBIRO-mz7eb
    @JAMESONMBIRO-mz7eb Pƙed 27 dny +1

    Mungu akulinde makonda

  • @isayambaga6551
    @isayambaga6551 Pƙed 21 dnem

    Makonda mkuu wa mkoa wa Arusha yetu nakuombea sana Mungu wetu akujaze nguvu na ujasiri kwenye kazi yako,

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Pƙed 6 dny

    Kwa kweli huyu mtu angeulizia kwanza kwasababu Mh.Makonda ana uwezo mkubwa sana na technic za hali ya juu kuwabana hawa watendaji wasio na utu kabisa kazi yao kula tu! Kuna jambo kubwa Mungu atamtendea Makonda zaidi baadae

  • @annastaciamihambo8075
    @annastaciamihambo8075 Pƙed 26 dny +2

    RESPECT MAKONDA RC WA ARUSHA.

  • @mathewlive1372
    @mathewlive1372 Pƙed 22 dny

    Mana kwanza ncheke mana watu wanabwabwaja mbaya mbovu. Nakukubali Makonda , wababaishaji hawana majibu. God bless u all the day Mr RC

  • @user-vk8vh9xp5z
    @user-vk8vh9xp5z Pƙed 23 dny

    Makonde hongera Sana baba kwa kazi unazofanya nikubwa Sana mungu akuzidishie umri na uwezo wakuwa saidia wanyonge ww ni baba wawanyonge

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 Pƙed 28 dny +1

    God bless you ❀

  • @SaraMathew-xd2vp
    @SaraMathew-xd2vp Pƙed 28 dny +2

    Safi sana mh makonda watu wanazurumiwa haki zao na uwo mchezo unaanziaga ngazi ya kijiji. Wenyeviti ndio watu wanaoanza kushilikiana na viongozi wa juu adi kutaifisha rasilimali za watu kama ardhi. Natamani ungekuwepo Tanga wanamchi wa kata ya maweni kange wangepata haki yao. Maana wamezurumiwa mashamba yao yalioopo kiwanda cha wachina Rhino kilichopo kange. Walipambana wakaambiwa watalipwa na picha wakapgwa tangu mwaka juzi lakn adi leo awajalipwa na hata wakifuatilia wanazungushwa . Hakuna cha maana adi leo sijui watapaza sauti wapi.

  • @user-gx1dm5by6y
    @user-gx1dm5by6y Pƙed 26 dny +1

    Hongeraa kwa kazi nzurii

  • @user-wc8rm2yo9m
    @user-wc8rm2yo9m Pƙed 27 dny +4

    Jama anahakili kumudanganya hapa kabisa. Piga kazi mkuu🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼đŸ’ȘđŸ’ȘđŸ’ȘđŸ’ȘđŸ«¶đŸ«¶đŸ«¶

  • @mohamedjarwan
    @mohamedjarwan Pƙed 29 dny +12

    Makonda oyeee 2030 awe rais wetu inshallah💯👍

  • @edrickniwamanya5665
    @edrickniwamanya5665 Pƙed 29 dny +8

    Huyu jamaa leo sidhani kama amepata usingizi usiku huu😂😂😂😂

    • @user-hd5xz3gy2j
      @user-hd5xz3gy2j Pƙed 28 dny

      Yn awezi uona 😂😂😂😂😂

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 Pƙed 28 dny +4

      Alikuwa anajiamini akiamini anaweza kumdanganya kwa maneno mengi,hajui wengine Wana akili ya kushika unachokiongea

  • @user-gp5wx1ev9f
    @user-gp5wx1ev9f Pƙed 26 dny +1

    Mungu Akubariki sana kiongozi mkuu wa mkoa

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Pƙed 23 dny

    Brother makonda kazi unayo hapo duuuh hawa ndo viongoz nchi nzima walivyo hivyo daaah🙌🙌🙌

  • @user-me3xb7jy6l
    @user-me3xb7jy6l Pƙed 22 dny

    Mhe. Makonda nakupongeza sana kwa kazi nzuri sana. Ningekuwa mimi huyo Mtu wa Ardhi ningemchukulia hatua kali sana. Jambo liko wazi kwamba watu wa Ardhi ni wababaishaji sana.

  • @user-yk5gm5qj4u
    @user-yk5gm5qj4u Pƙed 25 dny

    vzr makonda your my best

  • @AzaeliMbise
    @AzaeliMbise Pƙed 6 hodinami

    Apo uko sawa makonda.

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 Pƙed 29 dny +5

    Makonda waziri mkuu mtarajiwa ili aweze kutumbua huu uozo wafanyakazi wezi serikalini👍

  • @BabuuErick
    @BabuuErick Pƙed 28 dny +2

    Mungu akubariki sanaa makonda

    • @williammakali1759
      @williammakali1759 Pƙed 28 dny

      Walioupande wetu ni wengi kuliko upande wa maadui. Piga Kazi. Ndo mana mashehe na maaskofu walikuja kukuombea, Kazi hi ni ngumu sana kijanaangu

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 Pƙed 29 dny +2

    Makonda bhana si mchezo anafanya kazi haswa, safi sana issue za kudhulumu watu ni kwingi sana 😂😂😂😂😂😂😂

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Pƙed 29 dny +5

    Watendaj wa hovyo Sana hao

  • @LucasNtalima
    @LucasNtalima Pƙed 15 dny

    Jamani Makonda agombee urais Mungu ameshatupa Rais tiari makonda

  • @saidomary6414
    @saidomary6414 Pƙed 29 dny

    hongera makonda

  • @user-gp3cv9pk8u
    @user-gp3cv9pk8u Pƙed 21 dnem

    Good job RC! Mungu akubariki mkuu! đŸ‘đŸŸđŸ‘đŸŸđŸ‘đŸŸđŸ„°đŸ™đŸŸđŸ™đŸŸâœŒđŸŸ

  • @baltazaltz1654
    @baltazaltz1654 Pƙed 19 dny

    Mungu ambariki sana mh

  • @user-lt1tk8vc4d
    @user-lt1tk8vc4d Pƙed 23 dny

    Mh makonda mungu akutangulie akutangulie akuepushe na kila shari za maadui mama aisha arusha

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 Pƙed 29 dny

    Makonda Mungu akulinde

  • @Dominant97
    @Dominant97 Pƙed 24 dny

    Halooo kaumbuka,
    Ubarikiwe Makonda mheshimiwa

  • @SubilaMwambughi
    @SubilaMwambughi Pƙed 16 dny

    Makonda is abest lohoyamngu❀❀❀❀ moyommoja awapenda wanaichi