ILIBIDI NITUMIE NGUVU KUMUONDOA ASMAAH NYUMBANI, SIKU AMABAYO MAMA RUBY ANARUDI KUTOKA SOUTH AFRICA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 01. 2024
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 65

  • @AgricolaCallist-qd9wz
    @AgricolaCallist-qd9wz Před 4 měsíci +6

    Daah babalevo una akili kubwa sana cjui bora ungekuwa na ajira serikalini angalau ukawa unasaidia kupeleka mawazo yetu cc Wananchi kule juu kabsa maana tunapenda mawazo na maamuzi yako hasa😊😊😊

  • @E_smail
    @E_smail Před 4 měsíci +3

    ndio maana vijana mnaambiwa oeni...ingekua baba levo na mama ruby ni wanandoa huo mchepuko ungekua ni siri lakin kwakua hakuna ndoa wote ni mademu zake tu tunasema unachokipanda ndicho utakacho vuna OVER.

  • @lydi791
    @lydi791 Před 4 měsíci +5

    Baba Levo unakili nyingi wanawake ni manyoka unaogopa asikukomowe😂😂

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 Před 4 měsíci +4

    NASIMAMA NA BABA love ❤❤❤❤

  • @user-hp2ix5wp6i
    @user-hp2ix5wp6i Před 4 měsíci +2

    Huyo mama Ruby mwangalie sana sio mwema kwako

  • @user-ht6wt6kt5f
    @user-ht6wt6kt5f Před 4 měsíci +4

    Baba levo nakukubali sana yaani napenda sana maisha yake

  • @KirangaHouston
    @KirangaHouston Před 4 měsíci

    Mzee wa Mizagamuo..
    #BabaLevo njoo BURUNDI 🇧🇮
    Tukupe watoto wazuri. Uzagamue

  • @eliasmichaelluambano295
    @eliasmichaelluambano295 Před 4 měsíci +2

    Thumb up to you... Baba Levo ananafsi ya tofautii.. ikikukuta hii kitu utaelewa tyuu..😂😂

  • @user-pr9gw8fl9e
    @user-pr9gw8fl9e Před 4 měsíci +1

    Nakuelewa baba Levo

  • @user-ju3nm8oc1c
    @user-ju3nm8oc1c Před 4 měsíci +3

    Hata hivyo ndugu una moyo wa kijasiri sana. Si wote wanaweza kuishi hivyo. Mwenyezi Mungu aendelee kukusimamia.

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 Před 4 měsíci +1

    Ukisema unapona !! Jamaa limemuumiza sana hili kichwan .kaamuwa kusema apone ..ila n jasir .

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no Před 4 měsíci +5

    Baba Levo wew umefanya makosa kumrudisha mama Ruby sio mwanamke poa kwako inavoonekana ungebaki na Hasma kabisaaa

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Před 4 měsíci +4

    Baba levo yupo sahihi kbds ila mama luby ana hakili tena ningekuwa mm nisinge mpokea tena ningebaki na hasma

  • @davidoscar5115
    @davidoscar5115 Před 4 měsíci +2

    Nasimama na wew nduguu😂😂

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Před 4 měsíci +1

    Baba levo upo sahihi

  • @Divinelinna
    @Divinelinna Před 4 měsíci +2

    Kabisa baba😅

  • @cassykakobe5485
    @cassykakobe5485 Před 4 měsíci

    Baba levooo basiii tuu

  • @jacquelinesemu1347
    @jacquelinesemu1347 Před 4 měsíci +1

    Hivi hii nini?

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Před 4 měsíci +2

    😂😂😂mwijaku alitwambia hivi karibuni tukaona chizi leo haya hapa mwamba anayamwaga

  • @user-yb1mv2nx6m
    @user-yb1mv2nx6m Před 2 měsíci

    Chawa anaejielewa😅

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg Před 4 měsíci +1

    Baba Levo aliumia nahisi alipanga tu kulipiza kisasi alivyoomba msamaha

  • @user-td8bp9kz8d
    @user-td8bp9kz8d Před 4 měsíci

    Kwa hiyo Asma katumika kama kiraka ?! Mwenye nyumba karudi yeye katolewa nje😢😢😢

  • @user-rw6iz6dc7s
    @user-rw6iz6dc7s Před 4 měsíci

    Maswala ya familia yanahukumiwa na media

  • @neemamaleo5481
    @neemamaleo5481 Před 4 měsíci +1

    🤔🤔

  • @saumumasha-in2qw
    @saumumasha-in2qw Před 4 měsíci +1

    Ati mzangamuo 😂😂😯😯

  • @naah_iqram22
    @naah_iqram22 Před 4 měsíci

    Ukitaka kumuelewa Baba levo nyampua 😂 sikiliza intavyu nzima achana na ivi vipande vipande vya mtandaon.....

  • @chiefkwanza495
    @chiefkwanza495 Před 4 měsíci

    baba levo u,menyooka

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 Před 4 měsíci +5

    Yani mama Ruby pole wee na umejirudisha na mtot ukamzalia 😂😂😂 POLE kwa herufi kubwa😅😅

  • @jumaamohamed2815
    @jumaamohamed2815 Před 4 měsíci +8

    Kiki ya Manara na Demu wake Zaylissa imepotezwa kabisa na hii skendo ya mizagamuo ya Baba Levo"

    • @criminalminds7723
      @criminalminds7723 Před 4 měsíci +1

      Tatizo ni kwamba unaskiza habari hapa pekeake😂😂😂hata diamond haezi zima story ya manara kabisa

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 Před 4 měsíci

    Na hapo kweli mkisha zagamuana basi tena, mnasameheana, tena na mimba juu ndio maana kidemu kina kiburi,

  • @Shadia544
    @Shadia544 Před 4 měsíci +1

    Mama ruby mwenyewe na mtoto kazaa mashaallah mnasema pua ya babalevo kumbee anagombaniwa😂😂😂😂

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu Před 4 měsíci +1

    Yeye wakati yupo sa uzi alikuwa anaishi nanani huko mpaka anarudi baba levo u memuaminije

  • @coolson2925
    @coolson2925 Před 4 měsíci +1

    ila hili jamaa bhana nilikweliii sana .....🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Před 4 měsíci

    Duuu

  • @MiliamNeneka-us5ks
    @MiliamNeneka-us5ks Před 4 měsíci

    😂😂😂Ili lisikie kwa mwenzio

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow Před 4 měsíci

      Kabisa mi naish na mwanaume kimaslahi kwakweli awe nao hata 20 kama maslahi ypo fresh ila maslahi hamna ata mmoja siez vumilia

  • @voicdesition897
    @voicdesition897 Před 4 měsíci

    Ulikosea kumruhusu kurud

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Před 4 měsíci +1

    Mama Ruby alikua hakufai tena bora endelee na dem asma

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 Před 4 měsíci

    Ajikaze tuuuu mana aliyataka mwenyewe maman ruby yani Nampa pole kwa sababu America nakuza mungine mtoto

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 Před 4 měsíci

    Ukiwa mkweli uwezi konda kwenye hii dunia

  • @saumumasha-in2qw
    @saumumasha-in2qw Před 4 měsíci

    Duuuh

    • @JohnJoce-lj8wc
      @JohnJoce-lj8wc Před 4 měsíci +1

      Kolo ni kolo tu Sasa huyo asmah ndiyo mwanamke sahihi tupo huku bondeni watu wabaya Sema mzee WA kazi kapime kidogo huyo kakuletea magonjwa mbafu wewe

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 Před 4 měsíci

    Je asmaa, dada yake diamond???

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 Před 4 měsíci

      yule ni Esma sio Asma

  • @Marjeby
    @Marjeby Před 4 měsíci +10

    Daaah aiseee hizi Redioni za sikuhizi aiseee hata kama mambo yamebadilika but sio kwa kiasi hichi yani content ya Redio inakuwa ishu ya familia ya mtu jamani kweli mtu mwenyewe Baba levo hii ni hatari sana kwani ule mpango wa serikali mtangazaji lazma awe na elimu angalau ya Certificate in journalism ulishia wapi ungefanya kazi angalau tungepata nafuu kidogo ya ujinga kama huu

    • @annajohn2488
      @annajohn2488 Před 4 měsíci

      Uko sahihi ndugu yangu hasa hii radio inaujinga mwingi sana

    • @jurmainezaidi739
      @jurmainezaidi739 Před 4 měsíci +3

      Serkali haiwezi kupangia radio binafs labda ushuru pekee ila sio watu wakufanya nao kazi.
      Hyo iko kibiashara zaidi
      Kwahyo ndugu acha wivu maana sisi tunaenjoy na tunajifunza kitu piaa

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 Před 4 měsíci

      Duh! Mnafurahia baba Lrvi anavyomzagamua mkewe

    • @user-wh7gj9ug9s
      @user-wh7gj9ug9s Před 4 měsíci +1

      Mbona ni sawa tu tatizo nini sioni tatizo

    • @salumfadhil8657
      @salumfadhil8657 Před 4 měsíci

      Baba level amesha graduate mwaka jana amesoma certificate

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Před 4 měsíci

    Astaghafrullah

  • @DicksonMwita-lo6sw
    @DicksonMwita-lo6sw Před 4 měsíci

    Acha bc 😂😂😂

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 Před 4 měsíci

    Ukisema unapona !! Jamaa limemuumiza sana hili kichwan .kaamuwa kusema apone ..ila n jasir .

  • @johnwillingstone3121
    @johnwillingstone3121 Před 4 měsíci

    Dah! Kumbe yanatukuta wengi