#TBC1

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 1. 01. 2024
  • #TBC1: WEKEZA TANZANIA: MAPYA JUU YA UWEKEZAJI MKUBWA WA KITUO CHA BIASHARA UBUNGO
    Kipindi Hiki Cha Wekeza Tanzania kinakupeleka eneo la Ubungo mkoani Dar es Salaam kilipokuwa kituo cha mabasi yaendayo mikoani ambapo kwa Sasa unaofanyika uwekezaji mkubwa wa Kituo Cha Biashara na usafirishaji Cha Afrika Mashariki, uwekezaji huo una thamani ya zaidi ya Bilioni 270.
    Mtangazaji - Vumilia Mwasha
    Mwongozaji - Neligwa Muggitu
    Mdhamini - AZANIA BANK

Komentáře • 20

  • @JohanessMarwa
    @JohanessMarwa Před 2 měsíci

    Congratulations to Tanzania for seeing the opportunity and promoting the message of East Africa. It is good for citizens to encourage leaders when they are doing well so that they can bring us more progress. 🇧🇮🇹🇿🇹🇿

  • @reubenjaphet3062
    @reubenjaphet3062 Před 7 měsíci +5

    Uwekezaji huu utawezesha Watanzania kupata guality products toka China kwani huko nyuma wafanya biashara wengi wa Tz walikuwa wanatuletea low quality products toka China na kutuuzia kwa bei ya juu. Kumbuka nchini China Kuna products za quality mbalimbali. Kuna zile zinazotengenezewa uchochoroni na ni za bei ya chini Sana na zikiletwa hapa zinauzwa kwa bei kubwa. Ila this time hii haipo.

  • @user-uj8lh8fj4j
    @user-uj8lh8fj4j Před 7 měsíci +1

    Hongera rais wetu toe I fursa zaid za uwekekezaji tunataka tuone mirad mikubwa zaid

  • @hosseatippe6484
    @hosseatippe6484 Před 6 měsíci +2

    Good interview... I give them 5 🌟

  • @castroydaimon3107
    @castroydaimon3107 Před 6 měsíci +1

    Dada Cathy! Uko vizuri sana

  • @user-lq7ew3eg3u
    @user-lq7ew3eg3u Před 6 měsíci

    Hengera dada kwa kazi nzuri

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Před 6 měsíci

    Dada hongera

  • @paschazianestorymatunda6490
    @paschazianestorymatunda6490 Před 4 měsíci

    This is good may be we can get brand products and not fake ones

  • @khatibsaid5010
    @khatibsaid5010 Před 7 měsíci

    Kwenye bizaa umeona mbali sana

  • @tradamus4158
    @tradamus4158 Před 4 měsíci

    Hiyo ni mall au vip

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 Před 7 měsíci +4

    Watu wasiogope inatakiwa kuwa na hizo masoko mengi ,pia wafungue viwanda TZ hapo hapo.

    • @allennyingi7357
      @allennyingi7357 Před 2 měsíci

      Sawa kabisa ....viwanda ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi

  • @khatibsaid5010
    @khatibsaid5010 Před 7 měsíci

    Muangalie na faida zake kwa taifa sio ilmradi miradi tu inufaishe wawekezaji pekee hayo majengo msipo angalia kwa makini mtayaona machungu ysnaweza yasiwe na faida zaid yahasara kwa taifa

  • @allennyingi7357
    @allennyingi7357 Před 2 měsíci

    kwenye hilo soko watauza bidhaa za kutoka china tu au nasisi Watanzania wenye viwanda tunaruhusiwa kuuza bidhaa zetu humo...???.
    Itakuwa ni platform nzuri sana ya kuuza bidhaa zetu kwa matifa jirani.

  • @emmanuelbaraka2217
    @emmanuelbaraka2217 Před 6 měsíci +1

    Hii kitu nilikuwa najua tu Tukishindwa kufanya partnership na wachina waje watengeneze viwanda bac watajenga soko na watauza bidhaa zao

  • @user-uj8lh8fj4j
    @user-uj8lh8fj4j Před 6 měsíci +3

    Watanzania mnaogopa nin tunahitaj malls zaid ya hiz tz

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 Před 5 měsíci

    Hivi,wewe Lylian mwasha huwezi kuongea kiingereza?,unamhoji vipi mtu kwa kiswahili na yeye anaongea kiingereza?,wasiojua kiingereza watajua anakujibu nini?

    • @mamodelmam
      @mamodelmam Před 13 dny

      Ata wao ukienda china hawaongei kiingereza