Kiukwel inasikitixha sana mana tz pasua kichwa tunajiibia wenyewe noma sana ila m/mungu katuletea mchapa kaz mh Dkt john pombe magufuli 2020 panapo majaliwa kula yangu utaipata bila xhaka.
Even though you are not with us , I haven't seen you face to face but you remain my president kwa jina la muungano wa Jamhuru wa Tanzania... Collins kutoka Kenya
yaani huyu President angeacha uchaguzi uende kihaki, daah jamaa sijui ingekuaje maana nchi nyingi za africa wangevua kofia. ila kwa style alioifanya ni kama sio Magufuli
Tanzania is really going to miss this fellow! He was truly a ‘Chuma!’
Q
Asante buyohela. Rais anafanya vizur kutufanya kuwa wazalendo zaidi kuliko kuangalia maslahi. Very nice
good.
Mweshimiwa Rais Mkombozi wetu, ongera kwa kazi Nzuri saana. Tunakisihi Uelekeze jicho lako kwenye shirika LA NSSF. Ni aibu hakuna kazi inayofanyika.
the BULLDOZER of Tanzania,we ril love u so much Mr President
Mungu akupe maisha marefu mh. rais Dr. Magufuli
Rais wangu bora kabisa Africa hakika ulikuwa mzarendo endelea kupumzika kwa amani Dr Magufuli😢
Best speech ever...!Bandari ya Dar es salaam.
Wanyonge wamekukumbuka sana
w love u mr président. ..i just see a new tanzania 4 everyone
Kiukwel inasikitixha sana mana tz pasua kichwa tunajiibia wenyewe noma sana ila m/mungu katuletea mchapa kaz mh Dkt john pombe magufuli 2020 panapo majaliwa kula yangu utaipata bila xhaka.
Congratulation Mh Dr John M Dunia ya sasa inaitaji uduma yako ya uongozi Bora.
mtetezi wa Tanzania yetu jamani huyo . Mungu akulinde sana . hadi nahic kulia jamani kwa furaha
Be blessed my president.Hakika Mungu atakulinda.
Ubalikiwe Rais wangu.
Even though you are not with us , I haven't seen you face to face but you remain my president kwa jina la muungano wa Jamhuru wa Tanzania...
Collins kutoka Kenya
i love Tanzania, i love my President Magufuli
what a president!i reel love uu...i just seen a new tanzania 4 everyone
Rais wa ukweli yani ni Afrika Mashariki na Kati Jpm nakutakia maisha marefu
Salut kwa doctor pombe magufuli
Ninamkumbuka sana sana jamani kweli J.P.M. wamem maliza kwakweli jamani..
Emungu ulie mleta na ukaamua kumchukuwa ,,Amen....
Safi Sana Raisi 🇹🇿 Tunakukubali Jembe letu
😁😁😁 Mzee nakukubali sana
What a speech! 😢 😭
Madam with blue dress AME guswa na maneno ya Dr Mh Magufuli
Hao wafanyakazi wote wezi
Noma
Rais naomba uwatoe tuu hao makamishena
hiyo sehemu ya mafuta iliofungwa sijui imefuatiliwa @Ikulu Tanzania? tunaomba update ya hilil swala zima pamoja na mafuta. asante sana
UongoziWako,ULIKUWA,kwenyeDamu.hatotokea,KamaWewe
Ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoz rais wetu
Pumzika Kwa Amani Rai's mchapa kazi JPJM
Kuna uchafu bandarini hapo sana.
سبحانالله,noma knoma
Magufuli John oyeee!!
Nikishika simu kubwa lazima nimsikilize huyu mwamba
Magu kweli alikuwa chuma!
Mpaka leo michezo inafanyika
Hii ni zaidi ya kukamata mwizi men
Kiboko yenu ndio hiyo hapo na hapo jee niambira mwenehu unanisagala bure tu ujumbe umesha fika
Hakika nakukumbuka Sana rais wangu,,
Rais wangu daima
Unaposikiliza hutuba za huyu Mwamba kama haujatoa chonzi basi wewe ni jasiri sana
yaani huyu President angeacha uchaguzi uende kihaki, daah jamaa sijui ingekuaje maana nchi nyingi za africa wangevua kofia. ila kwa style alioifanya ni kama sio Magufuli
Hatupati tena Rais kama ww.haw wengin wanaoingia wote bla bla tu.
MWANA WA WAKATI WAKE, JE BANDARI IKOJE WAKATI HUU? 2022. MMMMM! DUNIA HII NI NGUMU SANA KUIELEWA...
Mwambaa huyu daah kifo jamani
Jembe letu hilo
Ex
Wazima maguful
😂😂😂😂😂😂😂😂
Lakini jamani watanzania mbonatunaboa
Abeid Mayanga kivipi bRo
Chuck Taylor mzee anaongea mpaka anatamani hata alie lakini hatuelewi
Abeid Mayanga upo sahihi sana , Na inauma sana kama ni mzalendo kweli wa nchi yako .
MUNGU BBA MFUFUE RAIS HYU NAKUOMBAA
Pumzika pema.Peponi