mimi ni ccm dam lkn lema unatufaa kuwa kiongozi wajuu nchini tanzania kweli tuna viongozi wanao alibu nchi yetu.lkn ipo cku Mungu atatutetea sisi watoto watanzania Mungu mbaliki lema mrinde lema mtunze lema kwaajili ya watanzania.
Hayati JPM aliyaona yote haya kitambo lakini alipigwa vita hadi kifo. Ni nani alituroga watanzania haya ndio yalikuwa maneno ya hayati JPM enzi za uhai wake. RIP JPM 😭😭😭
Viongozi kama hawa ndio wa kutusaidia kukomboa ngorongoro ,bandari zetu na sehemu nyingi zilizouzwa na uongozi mbovu uliopo madarakani tunakuombea sana Mungu akutie nguvu maana unasema ukweli mtupu
Brovo kamanda, Mungu ni mwema, hakuna lisilo na mwanzo lisilo na mwisho, hawa jamaa wameshajiaminisha kuwa wao ndio wao kuwa hawaamini kwamba kuna Mungu ambaye ndiye Mpangaji kwamba siku ikifika hata wafanyaje mabadiliko ni lazima, na mabadiliko ni sasa hakuna mwenyekuweza kuzuia Mungu akiruhusu....
Tanzania tunajifunga kamba ya utumwa wa pili chini ya mikono ya waarabu iko siku kitakuja kizazi kitakachotaka kukomboa bandari za Tanzania kukomboa mbuga za Tanzania kitashindwa ndipo ipelekea Tanzania itamwaga damu nyingi kutokana na maamuzi mabaya ya viongozi wetu walioko madaraka Ieo wasio fikilia Nchi wanafikilia matumbo yao na watoto wao hakika iko siku maiti zao zitafukuliwa na kuchapwa viboko hadhalani.
Darasa zito sana Lema! Watu wanashindwa kushangiria kwa sababu ya umakini wa kusikiliza hoja zako nzito! Mungu akulinde sana watanzania wanahitaji ukombozi kupitia watu kama wewe.👍👏
Sidhani kama Magufuli angekuwepo angeruhusu mkataba wa bandali, japo alikuwa na mabaya yake mengi Ila kuna mambo ambayo Samia anayafanya yatai kost hii nchi vinaya mno, mambo ya CCM kujiona kuwa wanapitisha mambo Kwa sifa ili waonekane ni wababe, mnatukosea saaana CCM Kwa matendo yenu mabaya mnooo
Hayati JPM alisema wazi kuwa ni kichaa tu angeweza kukubali mkataba wa bandari uliowazi kuwa ungeenda kumuondolea mwananchi uchumi na uhuru bali mlimpinga. Hayati JPM alishatueleza wazi kuhusu hatma hii. Apumzike kwa Amani
Kuna vitu huwa unaongea nikiacha upinzan wa kichama nikakaa kama mtanzania mwenye fkiraa endelevu nakuelewa ila sasa ebu mtafute njia sahihi ya kuwadhilisha aya mawazo kwa mkuu wa nchi kwa heshima.
Wapinzani kuchukua NCHI HII nindoto,,unatumia muda mwingi kukosoa hamsemi ninyi mtafanya Nini endapo mtapewa NCHI hii,, CCM itawaburuza sana mpaka muache unafiki wenu ndani ya vyama vyenu 👍
Wanasiasa ni maadui wa maendeleo. Huyu anazungumza bila elimu, anachojali yeye ni Kiki ya Siasa tu. Watanzania wengi hatuna elimu, matokeo yake wanasiasa kama hawa wasio na elimu wanatupelekesha na njaa zao.
Lema nakuelewa sana ingawa mimi siyo Chadema, ni kweli kabisa imagine unatuma mtu kama msukuma std 4 aende kujadili mambo ya uchumi, ukweli ni matusi makubwa sana na watanzania tunazarauliwa sana, na siyo huyo tu karibu wote wameenda wapigaji.
Nyie wote maccm mnaomtukana lema tukiangalia majina yenu na pata jibu kile anacho kisema lema matus mnayotoa ni dhahiri kuendelea kuamini ni matokeo ya ficm kufaulu kuwagawa watu maana ccm wanaitaji watu wajinga ili kuendelea kukaa madarakani
Makonda piga kazi huyu Hana jipya marudio tu haya ya miaka 10 hakuna mabadiliko saidia watu wenye kuteseka bro achana na mambo ya ulaya na waarabu hapo hawakuelewi unapoteza muda bure bro siasa kwa Sasa ni kutatua kero majukwaa hayana faida tena saidia wenye shida msile ruzuku na misaada wenyewe leta na zile Land rover tulizopewa msaada wakati wa M4C hatujawahi kuziona barabarani ulipeleka jimbo gani?
Sisi TUNAONA ubahili kusomesha watu nje, hata wakienda nje ni wale ndugu na jamaaa zetu WA ukoo wetu hata wasiona vigezo... Na wakienda nje ni wachache sana.... Syllabus zetu na curriculum zetu za kizamani hazibadiliki na DUNIA Iko mbali kwenye elimu... Tunaaamua kwa hisia za kivyama sio utaifaa na uzalendo... Wanawaza matumbo na familia zao
mimi ni ccm dam lkn lema unatufaa kuwa kiongozi wajuu nchini tanzania kweli tuna viongozi wanao alibu nchi yetu.lkn ipo cku Mungu atatutetea sisi watoto watanzania Mungu mbaliki lema mrinde lema mtunze lema kwaajili ya watanzania.
Tatizo mafisiem nimajambaz ht akiingia watamuua km walivyo wauwa wengne jambaz ni jambaz TU
Saluti sana Kiongozi mungu akulinde watabusha lakini ukweli umesemwa
Hayati JPM aliyaona yote haya kitambo lakini alipigwa vita hadi kifo. Ni nani alituroga watanzania haya ndio yalikuwa maneno ya hayati JPM enzi za uhai wake. RIP JPM 😭😭😭
Nakupongeza sana Mhe. Godbless Lema, Leo umeongea mazito sana na Kusheheni Ukweli. Nategemea Wananchi Wamekuelewa
Viongozi kama hawa ndio wa kutusaidia kukomboa ngorongoro ,bandari zetu na sehemu nyingi zilizouzwa na uongozi mbovu uliopo madarakani tunakuombea sana Mungu akutie nguvu maana unasema ukweli mtupu
Brovo kamanda, Mungu ni mwema, hakuna lisilo na mwanzo lisilo na mwisho, hawa jamaa wameshajiaminisha kuwa wao ndio wao kuwa hawaamini kwamba kuna Mungu ambaye ndiye Mpangaji kwamba siku ikifika hata wafanyaje mabadiliko ni lazima, na mabadiliko ni sasa hakuna mwenyekuweza kuzuia Mungu akiruhusu....
Tanzania tunajifunga kamba ya utumwa wa pili chini ya mikono ya waarabu iko siku kitakuja kizazi kitakachotaka kukomboa bandari za Tanzania kukomboa mbuga za Tanzania kitashindwa ndipo ipelekea Tanzania itamwaga damu nyingi kutokana na maamuzi mabaya ya viongozi wetu walioko madaraka Ieo wasio fikilia Nchi wanafikilia matumbo yao na watoto wao
hakika iko siku maiti zao zitafukuliwa na kuchapwa viboko hadhalani.
Maneno kuntu 🤙🏾
Hongeraa ukweli mtupu
Pamoja nauccm wangu kwahili lema nisemeukweli ukosawa kabisa.
Hongera sana kamanda Lema piga misumari baba❤
Rema maneno yako yànachoma make nikweli mutupu
Thanks Lema. You have brain.
Darasa zito sana Lema! Watu wanashindwa kushangiria kwa sababu ya umakini wa kusikiliza hoja zako nzito! Mungu akulinde sana watanzania wanahitaji ukombozi kupitia watu kama wewe.👍👏
Namtukuza MUNGU kwaajili yako kulijua hilo 🎉🎉🎉🎉
@@upendoeliya9329 Amina Amina ubarikiwe 🙏🙏
@@davidrweyemamu938 👏👏👏🤝🤝🙏🙏
vibrant speech which wrapped by truth
A clear message and delivery
Sidhani kama Magufuli angekuwepo angeruhusu mkataba wa bandali, japo alikuwa na mabaya yake mengi Ila kuna mambo ambayo Samia anayafanya yatai kost hii nchi vinaya mno, mambo ya CCM kujiona kuwa wanapitisha mambo Kwa sifa ili waonekane ni wababe, mnatukosea saaana CCM Kwa matendo yenu mabaya mnooo
Dah unaupiga mwing baba mungu akujalie upate uongozi utatufikisha mbali
Lema Uko vizuri
Safi sana lema tunahitaji viongozi wenye akili timam safi lema
Wanaosema anaongea UPUMBAVU,HAMJUI DUNIA INAVYO KWENDA!
Roho wa Mungu afanye kazi ndani yetu wananchi tujuwe Lema anachokisema ili tujipange ukweli yuko sahihi
Umeongea ukweli mkubwa sana Tanzania yangu die
Nakufatilia San kiongozi wang Lena,mpina ,tundulisu ,wakili wangu mwambukusii nawaombea sana mwenyezimungu awatangulie nawaombea sana
Ambaye hawezi kumuerewa Lema hana Akili timamu MUNGU akubariki sanaa
Mzee mungu akujalie zaidi,
Hayati JPM alisema wazi kuwa ni kichaa tu angeweza kukubali mkataba wa bandari uliowazi kuwa ungeenda kumuondolea mwananchi uchumi na uhuru bali mlimpinga. Hayati JPM alishatueleza wazi kuhusu hatma hii. Apumzike kwa Amani
Kuna vitu huwa unaongea nikiacha upinzan wa kichama nikakaa kama mtanzania mwenye fkiraa endelevu nakuelewa ila sasa ebu mtafute njia sahihi ya kuwadhilisha aya mawazo kwa mkuu wa nchi kwa heshima.
Safi sana Kwa elimu yako
Umeeleweka kiongozi nice speach
Bravo my brother Lema.
Huo ni ukweli Lema.
God bless you as your name ❤
Hatari sana inasikitisha maisha ya badae waarabu watakuja kutufanya watumwa tena 😢😢😢r.i.p.jpm
Niambie muarab gani alikufanya mtumwa😢
Wapinzani kuchukua NCHI HII nindoto,,unatumia muda mwingi kukosoa hamsemi ninyi mtafanya Nini endapo mtapewa NCHI hii,, CCM itawaburuza sana mpaka muache unafiki wenu ndani ya vyama vyenu 👍
Wewe ni kichwa. Hongera chuga boy.
Lema, Lema mwanangu, umeongea hadi machozi yamenilengalenga. Maneno kuntu. God bless you!!
Tunasikitishwa na kinachoendelea 😢😢
LEMA NIMEKUKUBALI
Umetimiza agizo ulilotumwa na mungu
kweli mh. Lema haya mambo ni magumu kwetu katika yote tunayopitia yafaa Sasa tuwe na katiba maana tumejifunza mengi
safi sana kk
Lema nakupongeza Sana mungu akulinde
Kweli kamanda pambana hiyo hoja murua sana br
Hayo maneno yaLema niLulu viongoziwengi hasawakiafrika auwanafahamu au ni ubinafisitu watamaa naroho zakujitanua waobinafisi kulikowanaotawaliwa.
WATAKANYIKA NI VICHWA MCHUNGWA. KAZI NI POMBE NA WANAWAKE TU, WAKATI WANAUZA NCHI YAO🤣🤣🤣👁️👁️
JAMBO kubwa niDemokirasia sikiliza sera sio Matukano tu mungu hapendiAmina
Mungu au mungu?
Uko sahihi sana msigwa
Lema tunakutaka urudi bungeni
Umenena brother
Hii ndio siasa sio ubaguzi wa lissu
Lisu anatumia lugha nyingine lakini ujumbe ni mmoja.
Hoyeee God bless Lema,
Haujawahi kuniangusha mwamba, facts tu.
Lema uko sawa kabisa MUNGU akulinde popote uendapo
Sio Tanzania Hilo ni liko Dunia nzima
Kumbe sio tz TU hata ulaya Kwa wajanja
Utasubiri sana
Hoja zinapenya sna mwenyewe akili anaelewa nn maisha
Wakina Msukuma hao. Na Tulia anajiita Dr alafu anapambana kutetea huu ujinga.
Lena bhana Kama nakuona nice
Kichwaaa Lema !!!🎉🎉
Tuacheni kung'a ng'ania chama,tuangaliye viongozi wenye uelewa na uchungu na wananchi
Good messege
congratulations
Tutamkumbuka baba magufuri
THATS the reality
Kweli ujumbe umefika kwa Tundu Lissu baba wa Uzanzibar......Na Utanganyika..
Lema mimi mara nyingi nakuelewa sana
❤ bigger up
Katika hili nikupongeze nchi Haina mpango kazi wa mda mfupi na mda mrefu
Jamani Anachosema Jamaa yanamashiko Sana Tu.
Kuna watu wanakuangalia kwa jicho mbaya hapo ila wataona matokeo hapo baadaye watanzania wagumu kuelewa tukiacha ushabiki tutafika
Wanasiasa ni maadui wa maendeleo. Huyu anazungumza bila elimu, anachojali yeye ni Kiki ya Siasa tu. Watanzania wengi hatuna elimu, matokeo yake wanasiasa kama hawa wasio na elimu wanatupelekesha na njaa zao.
Lema ni msomi, mangi,hakuna mtu ambae hajaenda shule anayeweza kuzungumzia features.
Lema una madini lakini hakuna wakuyatendea kazi,kusema umesema utalipwa na Mungu
Kwanini tusiwatumie watz, wenye aikiu, yaani wenye akiri Kama lema ili kuiinua hari ya nchi hii, kiuchumi.
Hina jipyaaa
❤❤❤
Hakika akili ndogo ndio inayo tawala bongo
Lema hapa umeongea kijituzima sio kama Lissu anaongea comedy
Eti taarifa ya Lema chizi nchi itikisike, huu ni upuuzi mtupu
ccm ni nzuri tu ila viongozi wake ndio wabaya sana
Umesema kweli, ht Mh. Rais ameliona hilo ndiyo maana BANDIKA BANDUA kuona nani amsaidie ni endelevu!
Lema nakuelewa sana ingawa mimi siyo Chadema, ni kweli kabisa imagine unatuma mtu kama msukuma std 4 aende kujadili mambo ya uchumi, ukweli ni matusi makubwa sana na watanzania tunazarauliwa sana, na siyo huyo tu karibu wote wameenda wapigaji.
Huhu jamaa anamarifa sana sanaaaaaa
Na kuna watu wanamshangilia anasema risiki inapangwa na mahesabu
Safi sana kamanda
Sema ww maana
Tubadilike 2025
Mwizi wa magari hadi SIASA.
😂😂😂😂😂 Nchi yangu maamaaaaaa..
Bandari haijauzwa, imepewa DP Worms inaongoza bandari 80 Ulimwenguni mpaka Ulaya bandari zinaendeshwa na DP World.
Kichwa cha nchi
Tunajua
Sawa kama wamefanya mpaka canada sisi ni nani tuzuie fukwe tuu😅😅😅
DUUH KWERI UONGO MWINGINE MBONA MKAPA KAUZA TIKS BILA FAIDA MLIKUA KIMYA LEO TIKSI ILEILE KAPEWA MWALABU POVU LINAWATOKA POLE SANA
Mlikejeri jpm leo unaongea nini
Chura kuna ujumbe wako kutoka Kwa Mh Lema😂
Ni kweri kabisa unayo yasema tunaona huku tuliko
Nyie wote maccm mnaomtukana lema tukiangalia majina yenu na pata jibu kile anacho kisema lema matus mnayotoa ni dhahiri kuendelea kuamini ni matokeo ya ficm kufaulu kuwagawa watu maana ccm wanaitaji watu wajinga ili kuendelea kukaa madarakani
Lema wewe ni kiongozi kiukweli. Naipenda ccm ila Ukweli utabaki kuwa ukweli
❤❤❤❤❤❤
Nishida sana
Piga kelele chadema hampati kura ng'o. Mama mshindi 2025 In Sha Allah.
Irrelevant !!
Bora vita tuhexhimiane
Makonda piga kazi huyu Hana jipya marudio tu haya ya miaka 10 hakuna mabadiliko saidia watu wenye kuteseka bro achana na mambo ya ulaya na waarabu hapo hawakuelewi unapoteza muda bure bro siasa kwa Sasa ni kutatua kero majukwaa hayana faida tena saidia wenye shida msile ruzuku na misaada wenyewe leta na zile Land rover tulizopewa msaada wakati wa M4C hatujawahi kuziona barabarani ulipeleka jimbo gani?
Sisi TUNAONA ubahili kusomesha watu nje, hata wakienda nje ni wale ndugu na jamaaa zetu WA ukoo wetu hata wasiona vigezo... Na wakienda nje ni wachache sana.... Syllabus zetu na curriculum zetu za kizamani hazibadiliki na DUNIA Iko mbali kwenye elimu...
Tunaaamua kwa hisia za kivyama sio utaifaa na uzalendo... Wanawaza matumbo na familia zao