FRIDA AMANI afunguka MAAJABU ya Millard AYO, kukwepa bifu na Rosa Ree, kutumbuiza mbele ya Marais 11

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 3. 05. 2024
  • Frida Amani f/ G.Nako - platoon.lnk.to/can-i
    Frida Amani "This Is Me Live" Performance - • Frida Amani "This Is M...
    Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • Zábava

Komentáře • 81

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 Před měsícem +7

    Safi Sana mm namkubali huyu sister Frida Amani toka BSS Brother SKy mfikishia mauwa yangu
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-im7ym7ly8g
    @user-im7ym7ly8g Před měsícem +20

    Kaka SKY tuletee DJ FETTY anaua Sana Power Breakfast.... Ikiwezekana fanya utofauti kidogo walete PB baadhi yao wafanyie interview I believe itakuwa ya utofauti lkn itakuwa enjoyable sana mlete Fetty, KP na Sza wafanyie interview nahis kitakuwa kitu kipya na italeta maudhui mapya.

    • @faudhiakhaji4767
      @faudhiakhaji4767 Před měsícem +1

      Greeeat idea

    • @user-im7ym7ly8g
      @user-im7ym7ly8g Před měsícem

      @@faudhiakhaji4767 thank you...itatupa picha maisha yao nje na ndani ya kazi... Na jinsi utofauti wao unatengeneza chemistry nzuri kwenye PB yaah ni great idea sana

  • @michilita2959
    @michilita2959 Před měsícem +5

    Hey Frida kip it cool.na pia heshima avoid scandal km ulivyo tulia utachukuwa tuzo nyingi na pia advets zitakutafuta gal ur incredible

  • @CaroWilliam-qr8eb
    @CaroWilliam-qr8eb Před měsícem +8

    One of the braviest girl have ever seen frida🙌🏽

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere Před měsícem +6

    Wakwanza kila kitu love u SNS Sky kaka nakupenda

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Před měsícem

    MashaAllah 🥳🥳🥳🥳huyu dada ni mpoa sana🎉anajua afu anajua tena

  • @amanibrown-jx2sq
    @amanibrown-jx2sq Před měsícem +2

    Frida ni mtangazaji mnoma sana anaongea unaskia neno mojamoja i love frida

  • @johnphilipo6760
    @johnphilipo6760 Před měsícem +6

    Kichwa sana huyu mwanamama 🫡

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 Před měsícem +1

      Shule ndugu yangu,frida kapiga kitabu mnooo,wakati wa Bss alikuwa University, shule inasaidia sana,siyo kina baba revo

  • @y.g17
    @y.g17 Před měsícem +5

    I just love how Fifi Talks as if she isn’t from Chuga😂🫡

    • @itstwinshi2179
      @itstwinshi2179 Před měsícem +2

      Ila kale ka lafudhi KETU Kako kwa mbali, mm nakasikia 😂

  • @_Sammy_BbOy_Bseven
    @_Sammy_BbOy_Bseven Před měsícem +4

    Wapili nipo hapa mwanafamilia kabsa wa sns❤

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 Před měsícem +2

    Nimependa sana wazo la kumiterview huyu mwamba mdada.. yuko pw sanaa

  • @NageMsuya
    @NageMsuya Před měsícem +1

    Mungu awatunze. Nimewapenda Frida Mama love u so much ufke mbali

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck Před měsícem +1

    Napenda sana SKY anavyotumia kiswahili

  • @righitkileo
    @righitkileo Před měsícem +6

    ❤❤❤Fria dada very smart ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 Před měsícem +5

    Unajua kuna watu unaweza kuwasikiliza siku nzima na usichoke.
    Hawa hapa sasa ndo watu wenyewe.Kuna mdau kasema kwenye comment humu kuhusu Dj Fetty,na mimi naunga mkono hoja. Skywalker,tuletee Dj Fetty tafadhali.😊😊

  • @user-bi7wf4nz2d
    @user-bi7wf4nz2d Před měsícem +1

    Namkubali sana Frida Amani

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Před 28 dny +1

    Hii interview imenifanya nimfuatilie frida as an artist... bye the way namkubali sana frida...hata kwenye utangazaji

  • @CharifaImurane
    @CharifaImurane Před měsícem +1

    Nakupenda sana frida❤❤❤❤

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Před měsícem +1

    Frida upo vzr nakupenda sn una.vibomu vyako napenda sn kukusikiluza ww ni msomi ulirap kwa kingereza kule nairobi big up barikiwa

  • @innoddavid972
    @innoddavid972 Před měsícem

    Apo kua yeye ndio mtangazaji na ni msanii mkali big up kwake fifi🔥

  • @faudhiakhaji4767
    @faudhiakhaji4767 Před měsícem +1

    I love her,,chuga mate

  • @mwarikimwariki2653
    @mwarikimwariki2653 Před měsícem +2

    Dialogy nzuri

  • @itzsnazzyjazzy472
    @itzsnazzyjazzy472 Před měsícem

    All the way from 🇰🇪 love you madam president ❤️❤️❤️

  • @infiniteabundance2024
    @infiniteabundance2024 Před měsícem +1

    very nice interview..... loved her mara ya kwanza nimemsikia east africa radio enzi hizo

  • @maijamtoso5673
    @maijamtoso5673 Před 27 dny

    Damn this girl.. The baddest❤🎉

  • @pellestianomasai1220
    @pellestianomasai1220 Před měsícem +1

    Her eloquence, articulation, her Vision and ambition and the Way She Views and Approaches Life tells you how Smart Frida Amani Is! Way to go Beautiful, Keep It Up 👍🏾

  • @LisarahMsangi
    @LisarahMsangi Před měsícem

    Nakubali sana Frida Aman big 💕

  • @salmaidris1787
    @salmaidris1787 Před měsícem +1

    My frida❤

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 Před měsícem

    Namkubali sana frida😊

  • @namelockmaasailady8002
    @namelockmaasailady8002 Před měsícem

    Sns for life🥰💪💪💪🔥

  • @leonardmdegela9999
    @leonardmdegela9999 Před měsícem

    Kazi nzuri utulivu ,ila mikuchaa duuh

  • @daniellaizer3194
    @daniellaizer3194 Před měsícem

    Bro fanya jambo umlete adam mchomvu na b dozen , because i want to hear alot from them .

  • @upendofancy1781
    @upendofancy1781 Před měsícem +3

    Sky ,its so humble of you personally interviewing people. Your listening and communication skills is at top...thank you for bringing content that are not only informative but so entertaining. 🙏🙏

  • @Tonga994
    @Tonga994 Před měsícem

    Nice

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 Před měsícem

    ❤❤❤

  • @hawasimba7642
    @hawasimba7642 Před měsícem

    ❤❤❤❤

  • @johnmwandu2116
    @johnmwandu2116 Před měsícem +1

    😂😂😂😂 45: ety hawa watu wako serious na mchongo😂😂

  • @Kavuluku
    @Kavuluku Před 24 dny

    I am a professor in a Kenyan university with research interests in conservation biology utilizing environmental DNA (eDNA). When she gets to studying environmental conservation, she is welcome to reach out for guidance.

  • @suzymike78
    @suzymike78 Před měsícem +2

    Kaka sky ungekuwa hujaoa ningekutongoza wallah 😂 aky unanikosha sana sauti yako 😂

  • @Uniquenatureadventures

    SNS
    Jaribu kutafuta background beat ata ya kutengeneza mwenyewe
    Uitumie kwenye interview yako
    Au nitafute nikuandalie

  • @alawisaid280
    @alawisaid280 Před 23 dny

    sky tuletee na vido

  • @abdulymaeda2697
    @abdulymaeda2697 Před měsícem +2

    Mlete Millard kk sky

  • @arafasalim9948
    @arafasalim9948 Před měsícem +1

    Maongezi yamenyooka nawapenda

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu Před 28 dny

    Ukimuangalia Frida kwa mbali alitaka kufanana vido vidox

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 Před měsícem

    Fify

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Před měsícem +2

    Wanahabari ndo watu pekee wanaopendana

  • @user-nq4md3sj6d
    @user-nq4md3sj6d Před 29 dny

    ila nakutabiria kitu SKY, ipo siku utakuwa mtu wa system mwenye nafasi za kiserikali kwa kuteuliwa na Mh Rais

  • @carolineedwin867
    @carolineedwin867 Před 22 dny

    Mbona huyo Sky sauti yake inafanana na Millard

  • @erastompongo8400
    @erastompongo8400 Před měsícem

    tunamtaka dakika 10 za maangamizi sasa kama nimwanamziki kweli

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 Před měsícem

    Natamani fridah awe na collabo na Aaliyah

  • @NoelChambo
    @NoelChambo Před 27 dny

    Alikuwaga na utomboy mwingi naona kapunguza siku hizi

  • @MirajiIssa-kd7dx
    @MirajiIssa-kd7dx Před měsícem

    Natamani siku moja mumhoji Sammisago yule jamaa atakuwa na mengi sana

  • @maikojohny345
    @maikojohny345 Před měsícem +3

    Frida Anaongea vzr sana, napenda anavyo ongea

  • @officialzengomedia
    @officialzengomedia Před měsícem

    NIMEKUPENDENI NYOOTE SKY WORKER NA FRIDA NINYI MNAJUA KUZUNGUMZA BANA DAH

  • @macleanmwakasangula7639
    @macleanmwakasangula7639 Před měsícem

    Frida nilikua najiuliza ukomedy ambao unao umetoka wap??? Kumbe mina ally ndo aliekuambukiza

  • @BANJO_MOULDING_DECORATION
    @BANJO_MOULDING_DECORATION Před měsícem

    🫡🫡🫡

  • @XxhamxyyxShhams
    @XxhamxyyxShhams Před měsícem

    Ninacho mpendea sky kwenye interview sio mtu wa kununa mda wote ni mtu wa furaha

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th Před měsícem

    mim hata sijui anaimba nin

    • @svt3
      @svt3 Před měsícem

      @wema Michael-fr4th: sasa kama una ulemavu wa elimu na akili huwezi fahamu anacho imba

    • @erickdanielkasindi564
      @erickdanielkasindi564 Před měsícem

      😂😂😂😂😂

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 Před měsícem

      😂😂😂😂😂😂😂aki

  • @rachelleniyonkuru9482
    @rachelleniyonkuru9482 Před měsícem

    Mwenye amemupaka make up Mungu anamuona kwa kweli😅😅

    • @faudhiakhaji4767
      @faudhiakhaji4767 Před měsícem +1

      What's wrong with the makeup mbn kapendeza sna

    • @ivanayo9802
      @ivanayo9802 Před 24 dny

      We ndo hujui make up😅…kila kitu kiko perfect bob

  • @RichWise671
    @RichWise671 Před měsícem

    Globally,, #SnS walks humbly and strongly always interesting and entertaining us 🇹🇿
    @Sky_walker_Tanzania