Hichi Ndo Kinaua Furaha Na Maisha Ya Wengi!!

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 21. 01. 2023
  • Hichi ndo kinaua maisha na furaha yako. Usijifananishe na yoyote maishani, Kama ukifanya hivyo utakuwa mtu wa huzuni duniani.
    Kuna Story ya Kunguru asiyekuwa na Furaha. Ambayo nashare na wewe , natumai story hii itabadilisha maisha yako.
    Kwahiyo kulikuwa na kunguru, tatizo lake lilikuwa ni mweusi. Alikuwa mwenye huzuni na hana Furaha kwasababu ya rangi Yake. Kwahiyo alikuwa Analia, ghafla mtawa au nmonk alimuona kunguru Analia, kwahiyo monk alimuuliza kunguru kwanini unalia? kunguru akasema nini cha kufanya kama kutokulia haya ni maisha gani anayoinshi, hakuna anayependa rangi hii, hakuna anye nipenda, hakuna nayependa kuwa na kunguru kama kama ndege anayefungwa, umemuona yoyote anyeku’wa na kungurun kama ndege wa kufungwa, hakuna nayenipa chakula , natumia muda wangu wengi kwenye katakata.Ona mungu amenifanya kuwa kunguru kwahiyo nachukia maisha yangu .
    Kujifananisha na wengine ni kuondoa furaha yako.
    Asante kwa kuangalia , usisahau Kulike video hii, share na rafiki na Subscribe kwa video mpya kila wiki (Jumapili na alhamisi)!!
    -----------------------------------------------------------------------------------------------------
    🏆Lengo Langu 🏆"Ni kushare na wewe Masomo chanya juu ya mambo mbalimbali katika Maisha na kuhakikisha tunakuwa sehemu ya mafanikio yako.
    🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 afripods.africa
    Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi.
    🔴Nifuate IG- / gonline_pos. .
    BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385
    ..............................................................................................................
    🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇
    ⚡ KUJIAMINI SELF CONFIDENCE- • KUJIAMINI -SELF- CONFI...
    ⚡VITU 6 HIVI HUZUIA MAENDELEO YAKO MAISHAINI-KUSHINDWA
    KUFIKIA MAFANIKIO - • VITU 6 HIVI HUZUIA MAE...
    ⚡Usikate Tamaa Kwenye Kitu Unachokiamini.Najua Leo Itakuwa Ngumu, Kesho itakuwa Mbaya zaidi- • Usikate Tamaa Kwenye K...
    ⚡FAIDA ZA KUFANYA KAZI KWA BIDII- • FAIDA ZA KUFANYA KAZI ...
    ⚡NJIA 6 ZA KUONDOA MSONGO WA MAWAZO/HOW TO STOP STRESS- • NJIA 6 ZA KUONDOA MSO...
    ⚡Hatua 5 Jinsi Ya Kuboresha Maisha Yako Ndani ya Miezi 2- • Hatua 5 Jinsi Ya Kubor...
    #Usijifananishe #Dontcompare #Maishani #2023

Komentáře • 3