MIQUISSONE NA CHAMA WANAENDELEAJE?/MSIKIE SEMAJI AHMED ALLY AKIZUNGUMZA BAADA YA KUFIKA DODOMA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 05. 2024
  • SUBSCRIBE NOW:

    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
    📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
    🔵 Facebook: / simbatanzania
    📸 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    🎶 Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC CZcams Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
  • Sport

Komentáře • 82

  • @agripinaapolinary1362
    @agripinaapolinary1362 Před měsícem +9

    Nitaipenda timu yangu ya SIMBA siku zote maishani Mwangu❤❤❤,kila la kheri timu yangu

    • @iddiramadhan
      @iddiramadhan Před měsícem +1

      Ww ndo shabiki wa ukweli ndugu cyo shabiki muhemko shabiki wa toke moja la ushindi2 nguvu moja 🦁💪

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Před měsícem +14

    Alhamdulilah twashukur mmefika salama wapambanaji wetu Inshallah Mungu yupo pamoja sanaaa tutapata ushindi ❤❤❤❤

    • @PendoMatemba-ql1ng
      @PendoMatemba-ql1ng Před měsícem +2

      Muwekeni yule kipa mwingine tofauti na Ally salimu mbona yule kipa Anajiamini sana Ayubu kila siku wa nini?

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa Před měsícem

      Sawa Asante sana Kwa maoni yako kesho nitakaa mimi Haina shida ili tukae nafasi ya tano 🙏

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 Před měsícem

      ​@@PendoMatemba-ql1ngAyub sio rahis kuuza mechi maana kiswahili hakijuw

    • @user-iz3hs8jl5p
      @user-iz3hs8jl5p Před měsícem

      mm nataka mfungwe ulie tena unafikiri mnashinda leo ? kijora lazima alafu hao dodoma 2nawaongezea yale majin ya yanga ili wawafunge vizuri

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa Před měsícem

      @@user-iz3hs8jl5p Naona unatafuta bwana maisha yamekupiga mbwa wewe mimi mwanamke nyau wewe 🐸👈

  • @user-ez6ou9uy2c
    @user-ez6ou9uy2c Před měsícem +1

    🦁🦁🦁❤❤❤❤❤ Penda sana hiii team jamn popote tupo kwenye shida na raha

  • @EldephonceRwehururu
    @EldephonceRwehururu Před měsícem

    Naipenda simba mpaka Nadia, simba yanguuuu❤❤❤❤

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 Před měsícem

    Asante mungu umewafikisha wapambanaji Wetu salama na mrudi salama na ushindi juu I love simba nguvu moja ❤❤❤

  • @KennedyGiti
    @KennedyGiti Před měsícem +1

    simba haunitoi hataishuke daraja ntashuka nayo I love you simba

  • @christopherryoba580
    @christopherryoba580 Před měsícem +1

    Asante Mungu kwajir ya Simba

  • @SundayNkaza
    @SundayNkaza Před měsícem

    Mm shabik wasimba naipenda simba mjitume lakn

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan Před měsícem

    Alhamdulillah Rabillah Allah miinnah 🤲

  • @AberyMdolo
    @AberyMdolo Před měsícem +1

    Mnyama kazini kesho tukasapiti Tim yetu♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @WilkistaWankyo
    @WilkistaWankyo Před měsícem

    Naipenda Simba Hadi kufa

  • @user-cp7px4ll4g
    @user-cp7px4ll4g Před měsícem

    Simba timu ya moyo wangu naipenda kwa kila hari😘😘

  • @KevinDaudy
    @KevinDaudy Před měsícem +1

    Simba ndio Tim yangu❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 Před měsícem +1

    Nguvumoja ❤❤

  • @mnyamaniamiri1889
    @mnyamaniamiri1889 Před měsícem +1

    My team naipenda sn

  • @user-ud5eg8wc1f
    @user-ud5eg8wc1f Před měsícem

    ❤❤ Timu yangu ya simba Kila laher Timu yangu

  • @RahimaMatebe
    @RahimaMatebe Před měsícem

    Simba timu yangu naipenda saana❤❤❤❤

  • @Amosmsechu
    @Amosmsechu Před měsícem +2

    Point 3 muhimu keshoooo

  • @HAJIJUMAOMAR
    @HAJIJUMAOMAR Před měsícem +1

    Kila la kheri Simba katika mchezo wenu wa kesho

  • @civianipyana4915
    @civianipyana4915 Před měsícem +1

    Semaji kama semaji 🎉🎉

  • @Allysuleimanally
    @Allysuleimanally Před 28 dny

    Naiombea simba ushindi kesho

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 Před měsícem

    Binafs naipenda simba mno yaan siwez maliz siku bila kusikiliza habari za mnyama

  • @AsajileJilesi-ej6no
    @AsajileJilesi-ej6no Před měsícem

    Simba nguvu moja

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 Před měsícem

    Inshallah❤❤❤

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n Před měsícem

    ❤❤❤❤❤❤❤ Acha iniuw nimeipend mwenyew bila kushauriw na mtu yoyote ule

  • @Oseabasukemwandalima
    @Oseabasukemwandalima Před měsícem

    Naikubali Tim yangu ya simba

  • @MassaiIsaacs
    @MassaiIsaacs Před měsícem

    Kila lahere timu Yangu Simba NGUVU MOJA

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 Před měsícem

    Waambie wachezaji wawe wanajituma sana na makosa madogo madogo kama ya CHE MALONE wayaache#SIMBA nguvu moja

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 Před měsícem

    Duniani kuna timu mbili tu LIVERPOOL FC na SIMBA SPORTS CLUB,acheni kutuumiza roho jamani#SIMBA nguvu moja

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 Před měsícem

    My🦁🦁🦁🦁

  • @kassimdadi5406
    @kassimdadi5406 Před měsícem

    ❤❤❤

  • @priscakwannhamfungimipakam9231

    ❤❤❤❤❤

  • @JafaryMorris
    @JafaryMorris Před měsícem

    Natumain Simba yangu ushindii lazima

  • @ERASTOLUpOGO
    @ERASTOLUpOGO Před měsícem

    Ongera kwa kufika salama dodoma nawaomba wachezaji wakambane

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l Před měsícem

    SIMBA NGUVU MOJA

  • @paschalgibe1471
    @paschalgibe1471 Před měsícem

    #NguvuMoja

  • @TatuTqtu
    @TatuTqtu Před měsícem

    Simba timu kubwa changa moto ni kawaida kwa timu yoyote utopolo walilala miaka minne bila ushindi kwa wakae kimya tusichekane

  • @IbrahimPetroMollel
    @IbrahimPetroMollel Před měsícem

    Kila laheri mnyama ushindi lazima kesho boli itatembea

  • @pauloemanueli7485
    @pauloemanueli7485 Před měsícem

    Tunaomba ungozi wetu pamoja na bos wetu wakae watengeneze tim ya msim ujao yenye ushindan mkubwa

  • @user-dm6ww8sw9o
    @user-dm6ww8sw9o Před měsícem

    hata iweje Simba ndo timu yangu nitaisapot

  • @chomboyafundi3787
    @chomboyafundi3787 Před měsícem

    Hatutaki hata utupe habar za timu

  • @SamsonTanzania
    @SamsonTanzania Před měsícem +1

    🤍🤍🤍🤍🤍🦁🦁❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏

  • @oneegraphy8285
    @oneegraphy8285 Před měsícem

    mechi ni saa moja siyo saa 10

  • @sweetbertgervas3425
    @sweetbertgervas3425 Před měsícem

    Fanyeni usajili wa maana tuache porojo porojo

  • @mpakijr
    @mpakijr Před měsícem

    Simba team kubwa sana viongoz wabovu tunaishia robo robo kwel ad leo tunapambania nafasi ya pili hamuoni tunashuka kiwango kwa ajili ya uongoz mbovu?

    • @user-iz3hs8jl5p
      @user-iz3hs8jl5p Před měsícem

      ha ha ha haaaa; kumbe mnajua usajili mbovu unaakili sana

  • @GandeMudi-cn2gl
    @GandeMudi-cn2gl Před měsícem

    Kibu mbna achezi

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng Před měsícem

    Kipa ni mmoja tu hao wengine wana kazi gani kwani? Acheni kukariri bhasi?

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws Před měsícem

    Wanatuzidi magoli mangapi Azam Sisi wana runyasi?

  • @SarahMariamu
    @SarahMariamu Před měsícem

    Inachez saa ngap

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c Před měsícem

    Azamu ana point ngapi?nauliza jmn

  • @neemamwijage
    @neemamwijage Před měsícem

    Nisaa ngp mchezo?

  • @user-qw9nc6zk9q
    @user-qw9nc6zk9q Před měsícem

    Kama kwel vile

  • @View24.
    @View24. Před měsícem

    Kibu nae amepona

  • @fahadKorit
    @fahadKorit Před měsícem

    Nunueni mechi nynyi

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws Před měsícem

    Hivi Azam wanatuzidi magoli mangapi?

    • @nkoydavid9658
      @nkoydavid9658 Před měsícem

      Unataka kila mwaka ubebe ubingwa ww tu wengne hawautaki?

  • @KondoMhando
    @KondoMhando Před měsícem

    Mbona hamna mashabiki wa kuwapokea simba Dodoma uwanja wa ndege? Au wanaenda msibani?

  • @FocusMathayo
    @FocusMathayo Před měsícem

    Chama vp kesho atakuwepo kwenye mchezo

  • @santenhosanitytz8774
    @santenhosanitytz8774 Před měsícem +1

    MBONA KAKONDA SANA 😂😂😂

    • @jumamwarabu9307
      @jumamwarabu9307 Před měsícem

      We nenepa

    • @ElizabethLukosya-lv2vf
      @ElizabethLukosya-lv2vf Před měsícem

      Sasa hilo nitatizo lako,kama sio macho yako kuona itakuwa ni akiri,kama upo dar wahi mhimbili halaka kama upo mbeya wahi rufaa haraka kacheki utakuwa na matatizo,ila tukupe pole,sisi hatumwoni kama unavyoona wewe 🧏

    • @ElizabethLukosya-lv2vf
      @ElizabethLukosya-lv2vf Před měsícem

      Atakonda vp yeye yuko nafasi ya 7ktk krabu bora ya ligi ya mabingwa,unafananisha na wewe nafasi ya 12🧏

  • @Franccoz
    @Franccoz Před měsícem

    KWANI LUIS NA CHAMA WAO HAWAKUWEPO MWANZONI MWA LIGI,MNAWAPAMBA WAKATI HUO,HUO HAMNA KITUU,YAMEBAKI MAJINAA TUU

    • @user-iz3hs8jl5p
      @user-iz3hs8jl5p Před měsícem

      chama hataki kuchezea tena simba mbona msemaji wenu anawadanganya?

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 Před měsícem

    SIMBA DUME

  • @sarahchikoleka1438
    @sarahchikoleka1438 Před měsícem

    Wapendwa itakua saa ngapi leo