mimi ni mwanafunzi wa kiswahili kutoka Malawi.nilikuwa mpya katika lugha ya kitswhili wakati nikatanzama movie hii when it was only 1 day kwenye youtube ilikuwa shida na mimi kuielewa lakini sasa baada ya miezi tisa naweza kuielewa vizuri sana, naipenda. asante♥♥♥♥♥♥
Huyu jamaa alipenda sana shadia lakini hakuna kitu mbaya kama kulia mbele y mwanamke. (1) Huyu akienda kubali matokeo (2) Rudi palepale mahali mlipatania bdo xko
Chidi hana kosa kumbuka walikua na mausiano kabla ya abdul. Tatizo ni Mahamuzi ya mwanamke. Labda amempenda sababu ya mwonekano wake.Ivyo musilaumu sana eti kisa ni pesa!!
Movie nzuri ,mafunzo tele... ukikubali tamaa ikutawale umwache mwanamme mzuri kisa Hana hela uolewe na wenye hela basi michepuko watakuhusu shoga, upo?!
Movie nzr sana. Naomba like jaman zifike 30 tu. Nawapenda watanzania wenzangu. Na jiran zangu wa kenya
Tunakupenda pia sisi🇰🇪
tunakupea piasanaa❤
Na Burundi pia
Like
Nzuri sana
Hivi vipo kweny maisha unae mpenda hakupendi Kam kweli manen ya mjomba gonga like
Walahi hili maneno ya mjomba Ni mambo muhimu sana ambalo naipitia maishani mwangu
mimi ni mwanafunzi wa kiswahili kutoka Malawi.nilikuwa mpya katika lugha ya kitswhili wakati nikatanzama movie hii when it was only 1 day kwenye youtube ilikuwa shida na mimi kuielewa lakini sasa baada ya miezi tisa naweza kuielewa vizuri sana, naipenda. asante♥♥♥♥♥♥
❤❤❤❤
Kwan Iko na translation 😅😅😅
waah ni wakwanz naomb comnt jamani hii movie ni very nice 🥰🥰🥰🥰🥰
Nimefurahi uliipenda
Wallah acha na mm niione
Really great movie. Before you find love, find money first. Thanks for sharing.
Nice movie, muendelezo natamani kuona Abdul kamuoa Sharifa..... Kwahyo Shadia akute rafiki yake ndio mke wa Abdul
Penda sana move yako mumy by mkaza ochu like toooo mumy
tutafute ela tusigombonie mapenz😅😅😅😅
Teachable movie waiting for part 2 walirudiana na Abdul au vipi
Nzuli mashallah ❤️
Pls naomba part 2tafdali nampenda hii movie sana
Huyu jamaa alipenda sana shadia lakini hakuna kitu mbaya kama kulia mbele y mwanamke.
(1) Huyu akienda kubali matokeo
(2) Rudi palepale mahali mlipatania bdo xko
Shadia msichana mwenye uragayi mukubwawe!!
Waaaah 🤔yani majuto mjukuu hapa,katika mausiano mpk uambiwe uongo ndio utaona ndio ukweli,tamaa mbaya jmn
Funzo nzuri sana mpaka ya nivutia❤
Masha Allah nice movie
Masha Allah
Sisi wanawake tuna tamaa ya pesa sana wanaume maskini wana teswa sana kweny mahusiano kisa tu hawana pesa 😢
Mathna sio mbaya aoe tuu
Mapenzi ya kweli yako moyoni na c pesa mfukoni wadada tujielewe jamani
Kweli kabisa unaweza ukapata pesa ukakosa furaha ya maisha
Kwer
LOVE VOICE NICE MOVIE
Mansh Allah inamafuzo mazur
Part 2 jamani nzuri hadi raha nataka kuona abdhuli alifanya nn na Shadia alimwambia nn rafiki yake Sharifa much love nkiwa 🇸🇦🇸🇦🇸🇦 Saudi Arabia
Hahaha Asanteni Kwa saport by Abdul actor from Tanzania
Hawa naomba namba yako
❤❤❤❤love story
Nice movie congrats 👏🎉 part 2
Chidi hana kosa kumbuka walikua na mausiano kabla ya abdul. Tatizo ni Mahamuzi ya mwanamke. Labda amempenda sababu ya mwonekano wake.Ivyo musilaumu sana eti kisa ni pesa!!
Na chidi alimuuliza shadia kuhusu huyu Abdul je wameachana akamsibitishia hamtaki ndio maana mwezake akamuoa chidi kosa hana
Nimeipenda
Shadia ungekubali Abdul kwa sasa unalia pole sana
Hongereni Sana filamu nzuri Sana ina mafunzo
Jamn nzuri episode two jamn
Nimeipenda sana
Nashukur pia kuna kitu nimejifunza mko vizur
Very nice...
Movie iko sawa kabisa congratulations 👏👏
Jamani muendelezo wake upo kwel movie nzuri sana hii
Hamja imalizia vizuri filamu
Xafi san mungu awabarik san movie nzuri 💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
Movie nzuri ,mafunzo tele... ukikubali tamaa ikutawale umwache mwanamme mzuri kisa Hana hela uolewe na wenye hela basi michepuko watakuhusu shoga, upo?!
Abdul banaa!!!mambo gani haya!(Wajizalilisha saaana bwana!!
Tuko pamoja nasisi wa kongomani kutoka Bukavu
Movie iko chonjo sana.....🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tuko ndani ndani ndani
Nzuri
Mashaallah
Subhananllah nimejifunza pole amduli ama kweli tamaa mbaya poleni wote
Hii movie ni ya kwanza kabisaaaaaaa❤❤❤❤
Very nice movie
Daa move mzuli sana tunaomba part 2
Nzur sana leten muendelezo tuwacfie vzr
Tuko pamoja majirani zetu...Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
On love
Can we have English subtitles pleaaaaaaaseeeeeeee
Mapenzi ya kweli yapo moyoni na sio mdomoni
Mashallah ❤❤❤❤
Nimeipienda sana
Nzuri sana kazi nzuri be gup
Shadia acha tamaaa
I need this kind of love😅😅
😂
Mwendelezo 🙏🙏🙏🙏
Shukurani kwafilim nzuri tu kiukweli nimejifunza mengi
Jameni ni nzuri sana 🎉
Pore sana shadia.tama.mbaya
Oya hii mzuri sana
Nice move
Hapo iko sawa..
Kazi nzur vipenzi
Estou ansioso em ver a segunda parte,weka part 2 tunataka sana kuona,cabo delgado Moçambique
Nimemaliza movie kwa kusoma coment
Big up sana
Pole xana abdul
Mashaa Allah 😂 honger
Ndio maana sipendi kuolewa na mwanaume mwenye pesa maana mmmh 🙄 sio poa
Mapenzi dah😢
Mam wa Ashmat Umetisha sanaaa...Mungu akufanyie wepes, Mpo juu san
Magret shaban usimuamini mtukwamaneno barimshuudie kwamatendoyake naombaprt2
Tamaa zina ponza Jamani 😢
Good muve
❤️❤️❤️❤️❤️
Habari naitwa philimoni naomba nafasi ya kuigiza
Upo wapi
❤❤❤❤❤
movie nzuri
😥 part 2 please 🙏
Hii movie iko smart.
Naomba pat 2
Wap maryam msambaa nakukumbuk xan pind tupo pngani mpnz mungu akupe mafanikio kila hatua unayopga
Nzury sana Asante sana
MUENDELEZO ❤️❤️💯
Nzuli mashallah ❤️
Muendeleze bas
Nice movie but part 2
❤❤❤❤
kosa pesa ukunye sumu... Eee mapenzi ya sasa
Mapenz c pesa anzeni pamoja life bnaaa,mtaishimiana
Atr san wanawakee
Asanti kwa mafunzo hayo
Malipo ni hapa hapa duniani
Nice ad teachable movie part 2bona cioni
Mjomba upo sahihi sanq
nice
Thanks
movie nzurii sana asantee
Nifundisho upendo nikitebdawili
💞💞💞💞💞
Hainaa part 2 Kwan mbon ahahahahaaha
Woow muvii tamu yenye mafunzo
Please nataka kiendelezo
wacha kujiita maskini , tafuta hela kaka