KAFIA GHETTO FULL MOVIE
Vložit
- čas přidán 3. 12. 2023
- #Bhailam#Rachel#Naomy
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Subscribe to Comedy Plus: www.youtube.com/@ComedyPlustz...
Like Ukurasa wetu wa Facebook : profile.php?... - Krátké a kreslené filmy
Movie iko safi Sana ..👍🏻🥰ila niulize tu "yani team nzima mpaka producer hakuona Bhailam kakosea ELFU HAMSINI KAZIITA FIFTEEN THOUSAND NA SIO FIFTY THOUSAND....KWELI?😂😂🙌🙌😂😂
Dada wa Bailam amecheza uhusika wake vizur sana, hongera kwake na wahusika wote, kaz nzuri
Daaa reachel upo vzri aky nmependa ushauri wko kwa ma ex wa kkako aky umecheza part Kam ya mma Mungu akutie nguvu uzidi kukuza kipaji chko
Bailam umetisha sanaa
Ndikola ngolo nene uuwii mhehe ameweza kinyamaa
Nice mashaa allah wallahi hakuna part 2 plz from uk 🇬🇧
Bailam ww noma hiii story kali kali broooo❤❤❤❤❤❤❤❤ it
Léo Niko wakwanza Ku comenti naombeni liké zangu 😂🇨🇩🇨🇩
Jamani Dada yake Bhailam mwamba sana Yani anajuwa Kuigiza saaana Hongera Sana dada yake bhailam❤❤❤
Kumbe sio mimi peke yangu nilieona😊😊
Waliopenda hii movie na kuenjoy tujuane😂😂😂😂
tujuanie hapa hapa
Me hapa hivo
Kazi nzuri sana hongera sana bhailam ila recho nakupenda sana maombi mengi kwako upate tunzo maana unajuwaa na unajuwatenaa😘😘
Nai enjoy 😂😅😢 there are everythings from it
E noma sana munaigiza uhalisia wamambo thanks
Asanteni sana movie nzuri sana❤👏
Movie nzuri mnooo nimempenda gumbo buana. Anaigiza kulinga a na uhakisia
Wapi like za bhailam simba jamani 😢😢😢😢❤❤❤😅😅
Filamu ni kali hongereni wote mmeua😄🙌,,,ila my fave character ni dada wa Bairam kajua kuvaa uhusika kweny kila scene🔥
Mm nimependa Sana huyu dadako kama hana mume naomba kuwa mumewe wahalali nikoserious 💯💯💯💯
Bongo movie ilio potea taratibu imeanza kurudi
Jamn mungu awabariki wadada wote duniani,huyu dada namfananisha na dada angu jmn
Jamani kuna mengi ya kujifunza katika mchezo huu. Hongereni
Kwa wifi kama huyo ujipange
Jamani Fatuma ni mpolee🤭😂😂😂
Naomb namb za gumbo bhailam
❤❤❤❤❤❤ nko sawa
Baba mapacha ameupiga mwingi🎉 ati anawachana😂😂😂...iyaka naabudu 🙌 🙌
Nice movie South Africa
Aise huwa sipendi hizi bongo movie ila hiii nipoteza muda wangu kutazama Upo vzr sana kka story kali mnoooo unyama
Zama zimeChange sana
Kazi nzurii sanaa, imenifanya nianze kuipenda tena Bongo Movie
🤣🤣🤣🤣🤣mmenifurahisha kwel apo kweny kudaka ka waindi alooh bailam umepigaje apoo
Njooni Mozambique 🇲🇿 tunawapenda sana
Dada wa bailamu nimempenda ata fika mbali
picha nzuri sana ...keep it up Bhailam and team
Jmn huyu dada wa moto😂😂😂khaaaa
Jamani hii kitu tam Sana nilikua nikiipitatu
Muhehee umeupiga mwingii hum 😊chukua maua yako dada bhailam
Nachenee utindaa
Jamon jamon Mariam mwamba saaaana❤❤❤ Hongera Kwake Mariam anajuwa sana kuigiiza 😂❤❤❤
@@AnithaIrankunda hi story kali sana
Bailam umeyakanyaga😅😅😅
Nachukia wanawake wa kuambia hawa viumbe wa mikia ya chini niko tayari nikufanyie chochote pumbavu sana ndio mana awataki majukumu waume yamezowea kulelewa masingo madha wengi kwa huu ujinga.. Nawachukiaaaa sana.
Kaibuka mkojan mwingine 😂😂😂😂
Iyi movie nitam Sana bro
Ongela sana kaka
Utengwee bro unajua sana
Filam zuri bailam ila kosa kumuuw uyo biti mapema wakati mimi moja napenda kumuona sana nampenda isiya zake
KAZI NZURI SANA 🎉
Like kwa bailamu na team nzima
❤❤❤❤dah aisee bonge moja la movie 🔥🔥🔥🔥😊
Ila Bailham umetupiga kwenye fifteen sauthan 😂😂😂..bt well done 👍🔥♥️
Hii movie kali sanaaaa😂😂😂
Alafu inamafundisho saaana
Piga kelele kwa baba mariam 😂😂😂😂😂
Dada bailam kweli anajuw kuigiza yuko nalia bila chenga🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🔥
Kazi nzuri sana
Broo unajua sana sana sana
🎉 ndio kbs
We andazi😂
Nmekuwa wa kwanza 🥰
Hu polisi hatari maswali yote anayauliza yote kwa mara moja mhojiwa hata hajui atajibu swali lipi😂😂😂
Dada bailam kweli anajuw kuigiza yuko nalia bila chenga🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🔥❤
Nice movie
bailam hao madada mapacha aise wamefanana sana na dem wangu bro
Shepu kama bamia😂😂😂
❤❤ vieye maliamu alikua muke mwema sasa ndoi huyu nipeni link
Bhailam ww ni kanumba aliye baki unajua sana mzee
Good job bro
😂😂😂😂😂😂jamn bailam
Saf sana ❤❤❤😂😂😂
2:00:37 😂😂😂huyu ndio kaibeba hii movie ameua sana na hiz moments zake za kusini
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤😂😂😂nimecheka eti we andazi nipishe daa munewwza wapenzi
Umetisha bhailam
Top actor is sister bhilam
Ndio uzuri
Unyama sana bailam
Mwendelezo jameni❤❤❤❤❤❤
Bravo ukweli movie yenyewe imepangika na hata waigizaji wote wake sawa nimewakubali. Kubwa kutoka kwangu nawaombea Mungu azidi kuwapa hikma kwa kazi yenu ya uigizaji. Bravo bhailam.
Bailam we mandazi kweli maana sio kwa jicho hilo dada anaomba wewe unamcheka
Dada hongera unasitahiri zawad❤❤❤❤❤❤
Maskini dadake bailaam 😢
Very nice movie, maturely acted, Bhailum you did well. Excellent
dada wa bhailam nakupa 💯🥰 daah uko vzr dada 🥰❤️
Good job bro subscribe
Afu baba Mariam mbona anapenda sn neno ndo uzuri🤣🤣🤣
😅😅😅😅kumbe bhailam unamacho kubwa ukifaint😅😅😅
❤❤❤❤❤❤🇰🇪
Maryan kiukwel unajua san nikupe maua yako
Inachekesha lon
Mzee wa ndiyo uzuriii nakukubal
Kenyan men, kimbieni TZ, true love exists😂😂😂😂
da!nawakubali sana bhailan na kundi lote
📺📺📺📺🔥👑🇰🇪
Kazi nzur hogeren ❤
😮bailam usie sikia
Iko poa sanaaaaaa ila bwana mkubwa bailam alikosea kitu kidogo fifteen
Nice movie from Kenya.
Hii movie noma sanaa
Hicho kilio cha huyo baba ndio kinaniacha hoi😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂 mwamanya bhantu
❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥 Big up sana🙏🙏
Film unayianza kui angalia 19h usiku unaisha 5h za asubuhi dhuuu😮😮😮😮😊
❤bhailam❤❤❤
My 🎉🎉❤
Nice nimekupenda bhailam
Bailam upo vizur napend ulivyoigiz