"SIWEZI KUISHI na HUYU MWANAMKE" - JAMAA KICHWA NGUMU AMCHANA MAKONDA - MKE APEWA MTAJI wa LAKI 8...
Vložit
- čas přidán 9. 05. 2024
- "SIWEZI KUISHI na HUYU MWANAMKE" - JAMAA KICHWA NGUMU AMCHANA MAKONDA - MKE APEWA MTAJI wa LAKI 8...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Dah yan wewe Makonda unahitaji urais kabisaaa mungu akulinde mkuu
Mkonda MUNGU BABA akulinde na akuongezee myaka mingi na maisha malefu
Tuliosikia huko mwamba akisema ajira kupeana naombeni likes zangu
Mh.makonda akifika sehemu kama vile hakujawahi kuwa na viongozi kabisa Sasa mheshimiwa tukubalie sisi hii nchi tunakupa kiroho safi kabisa
Hakika tukumsapoti huyu comrade,,,,on the future lazma awe very great leader...ingawa ndani ya chamade iaonyesha kuna changamoto za viongozi kama hawa kutoboa,,,,,poul makonda kwa mahitaji ya wa tz wengi utatoboa tu uko mbeleni...
Kabisa
KITI CHA URAISI UMEKISHIKILIA MAKONDA NDIO MANA MAMA SAMIA ANAONA ANAUMBUKA KWA KAZI MZURI UNAYOFANYA MLUDISHE MSEMAJI WA CHAMA HUYO MAKONDA PLEASE SAMIA 🙏
Sasa, uwezo wa kutatua kero na matatizo kama haya anapewa na nani kama sio huyo Rais?!
Kinachokusumbua ni elimu, ungesoma usingeandika ujinga
Makonda ni msanii kama wabunge wa lioteuliwa mwaka 2020 uchaguzi mkuu sasa anakaribisha kiki wananchi waendelee kukiamini chama chake kupitia hizi movie zake@@khamisomar889
Mh Makonda umeongea vizuri sana Leo. Good work brother. Keep it mdomo wangu ❤
Ustawi wa jamii Hana hata elimu ya kazi anayoifanyia kenge huyu 😢
Ustawi wa mchongo😂😂😂😂😂
Form 4 failure hana hata d mbili,kapata Kaz kimchongo
Makonda Allah akuhifadhi na maadui Akundumishe kwenye serikali mtenda Haki Kwa wanyonge Allah Akupe umri mrefu akulinde ww na watoto wako na mkeo Allah awadumishe kwenye serikali ww na mama yetu Samia hakika unatenda Haki Mungu akulipe .mazuri dunian na akhera tunakupenda Sana mdogo wetu
Ustawi wa jamii mmefikiwa yani aiseee ukiwa mtendaji wa kitengo fulani alafu ukasikia makonda ndo mkuu wako wa mkoa kama ulitupa madaftari ya notes anza kuyatafuta na kama ulikua unakunya supu na kukaa ofisini anza kwenda saiti
😂kwel
Una akili Sana wewe jamaa kwa ushauri
Huyo Afisa Ustawi wa Jamii kilaza sana.
Watu wa Meru Kuolewa hadi Wazazi wanywe soda?
❤❤mtu mzima najikuta natoa machozi kweri ila makonda ni jembe han amakuu Mungu ampe maisha marefu tu
Mungu akulinde huko ulipo na Shar z walimwengu waovu ambao hawapendelei mafanikio yako makonda wetu 🤲🤲🤲
wow very nice, namwona Rais Magufuli ndani ya mkuu wa mkoowa Makonda,very nice work chapa kazi Baba...
Makonda Mungu akubariki 🙏❣️
Mungu Mungu Mlinde sn Paul Makonda wetu.
Ongera sana makonda
Mh makonda upo na Kazi Baba Wetu Lakini Fanya mema nae Allah ☝️ atukulipa mema Yako Inshallah
AMEEN
Mungu akupe maishamarefu
Upo vizuri sana hutaki ubabaishaji kaka angu
Safi sana makonda wa baba ni changamoto
Wamama nao ni shida
Kama wababa ni changamoto basi wamama ni tatizo kabsa
Makonda wewe unahekima ya ajabu sanaaa asante sana kazi nzuri
Mungu akulinde
Haya ndio madhara ya kuajiriana kama ndugu huyu mwamba tatizo kapewa connection na ndugu zake alafu wenye elimu wako mtaani daah😂 Tanzania yetu
Makonda juu🎉🎉🎉🎉
Kwa maelezo huyu anayejiita kaimu watanzania tutaendelea kuteseka
Sante sana makonda na MUNGU akulinde ndugu yangu
❤❤❤❤ MUNGU AKUUNZEE MHESHIMIWA WEWE NA FAMILY YAKO DAH UMELETWA KWAJILI ETUU WE LOVEE YOU FATHER
Makonda. Mungu akulinde we baba
Makonda mshauli mama asiteue vilaza kama hivi .
Mungu akulinde Makonda
Dunia ni uwanja wa fujo vijana tusikimbie majukumu
Mwana sheliya wamchongo Kuna watu wamekaliya viti ambayo haviwahusu kukaliya
Keep it mdogo wangu ❤
Makonda makonda makonda Mungu akuongeze bro
Huyo mtu hajui chochote kwa hiyo mtu hana kazi unamwambia atoe laki mbili kwa mwezi hanachochote anachojua mkuu wa mkoa achana naye.
Kazi kweli kweli
Jamani Mungu asaidie wtu kesi ni nyingi
Hongera makonda
Mungu akulinde pia Raisi Mtalajiwa
Usiseme rais huyu ni mkuu wa mkoa
Nakuelewa sana kaka makonda
Kuna shida ya ustaw ya jamii huko.yan mtu mzima hajui kuweka mambo sawa
Makonda....❤❤
Big up Mh Makonda.
Mbona jamaaa kajibu vizuri tu, yaani mzazi anatoa gharama kulingana na kipato chake, sasa ww Makonda hutaki kumsikiliza hadi mwisho
Hapo huyo jamaa ameonewa sana, huyo mwanamke anatumia uanamke wake kumtesa huyo jamaa....wanaume tunapitia mengi na hatuna wa kutusikiliza
Mungu akulinde makonda
Hongera sana mungu akubariki
Mweshimiwa mungu akutunze
Kweli kabisa
Uko sawa makonda
Kazi sana😂 kaka ! Pole San kaka
Ki ukweli huyo jamaa yupo sawa maana sheria inagalia moja maisha ya baba na kipato pia anapotowa matumizi agalie yeye atakula nini na pia mtoto wake atapata nini sheria haimbani mtu mmoja tu
❤❤❤
Anandaliwa kuwa rais save hii coment yang mtaja ni kumbuka
Unamatatizo ww 😂
Rais wa familia yako m pishe kaya yako atawale sisi wale tunaojitambua yaani kwenye uchaguzi atafeli hata aliyemteua kwa nafasi hii hamchagui haponi 0% hapo anajipendekeza kwa wananchi kugawa fedha ya serikali bajeti IPI Wanaarusha wanamwangalia tu hasa wadudu wanachora😮
Makonda anaandaliwa kuwa Raisi 2030 Ili kidumu chama cha mapinduzi.
@@Do-it-yourself_at_home ana matatizo ya kufuata upepo kama bendera
Makonda Ana upuuzi mwingi sana Sasa huyo jamaa Ana makosa gani wakati sheria zimetungwa na Chama cha mapinduzi
Ubarikiwe sana baba kegani 👏👏👏
Huyo afisa ustawi wa jamii hiyo kazi alipewa kwa kujuana
Hana anachokijua.
All in all My. Makonda ni Magufuli ajaye Mwenyezi Mungu amlinde kwa kazi nzuri na kubwa anayoifanya kwa Watanzania wanyonge
Mbona kjana unajidhalilisha
Mungu akubariki sana akupe maisha marfu
🔥🔥🔥🔥🔥makonda ubarikiwe
Ustawi wa Jamie wanafanya kaz kimazoea, hata wakifika maofisini hamna wanachokifanya zaidi ya kupokea mshahara.
Nakubali sana makonda 💪💪
God bless Makonde 🙏❤️👍
Mkuu wa mkoa hongera sana
Mungu azidi kukutia nguvu Makonda
Makonda uko vzr
Mtihani kwenda mbele Makonda unakazi nzito
Makonda ❤️❤️❤️❤️
Huyo ustawi wa jamaiii hajui chochote .
uyu ndo mwanaume mwenye maamuzi magumu munamlazimisha kwani ajui kuwa wameru wapiga marungu
Mungu akutunze milele makonda
Mwenyezi Mungu akuepushe na kila lililo baya kiongoz wetu 🤲🤲
Ustawi wa jamii huyo jamaa aangiliwe vyeti vyake hajui kitu 😂😂😂😂
Halijui kitu hilo
Hahhhhh
Mbona jamaa yupo sahihi tu, sheria haijaweka wazi gharama za matunzo
@@balisangwayomhoza4702 tatizo lake anachanganya sana maneno hata kwa mfano huna kosa lakini umepewa kesi ya kusingiziwa kama una wasi wasi watu watajua umetenda kosa..kwa huyu jamaa anajichanganya kwenye ufafanuzi wake ndio maana wana mashaka nae
Hahhhh, nimechek Sana huu jamaa mwana sheria
Makonda magufuli spirit 🔥
Isheneshesho
🌍🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕 ⭐🌟
✍️ Jamani kama hapa duniani haki ina thamani kiasi hiki kiukweli sijui huko twendako mbele ya MUNGU itakuwa na thamani kiasi gani...
Umeongea kitu ambocho kimenifikirisha.
Harijui hiro
Viva kwako mh.wetu Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani
Makonda hongera
Huyu ni rais ajae,,mungu akubark sana 🙏
Mimi mwenyewe Acha nije huko huko arusha kwani mzazi mwenzangu yupo huko na kaingia mitini.Makonda oyeeeeeeee!!!!
🤣🤣🤣🤣 nenda utatupa mrejesho
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂ukiachwa achika
😂😂😂😂
Makonda mungu akuweke mzee baba unaupiga mwingi sana
Mungu/MUNGU sio mungu
Mzee nimemwelewa Sana yani anaona akirnderea kuishi nahuu mwana mkee Yule mtoto wake wakiume atakuja kulisi mali za JAMA
Lakini yule mwanaume aliyemzalisha mtoto wa kwanza ( huyo wa kiume) yeye yuko wapi🙆🏿♂️
@@gwamakajoseph9234 ???
Kwel Mungu awalinde watt wetu😢😢😢😢😢😢
Huyu afisa hana akili kabisa halijui kuongea choko kweli umeniuzi sana sijui ichocheo sijui ulikipataje MH,Makonda pole sana kwakazi kubwa ulionayo aisee tunao tawaliwa tunakazi kweli yani
Yalinikuta hayo jamani mume wangu tulipo achana alisema kiwanja cha kk ake wakati tulinunua wote
Duhh hatari sana hayo mawazo yake sio Sheria
Sheria inasemaje?
Sorry I missed spelled his name. 🙏what your give to your people is written in the book of life, you children’s 👦 well be blessed 😇 to all generations to come . You 🙏
Hii Arusha jamani duu Mungu aisaidie
Mama Samia anatakiwa akuweke karbu mno. Ww ni mwamba
Duuh😢😢
Makonda 🇹🇿💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼
Mbona jamaa anajibu vizuri tu.
mwisho umemaliza vizuri
Hapo mheshimiwa tunaonewa na wanasheria bali sio sheria.kwa maana usitawi wajamii wengi wanahukumu watu kwa miheemko sio sheria.
MAKONDA SAFI SANA KUNA MIJITU INAZALISHA MABINTI WA WAWATU KISHA MNAWATELEKEZA WANAUME KM HAWA NDY WANAOZALISHA WATOTO WA MITAANI WANAACHA WANAHANGAIKA. SERIKALI MSAADA HAPO.
Kwenye dunia apo siyo kweli dunia aiwezi jua tatizo ilo
Ukwel kitu amambacho akija kupata wala sio chakutolea maamuz
Yan apo ndo tunatakiwa kuacha tabia ya kuwekan kweny vti kisa mtoto wa mjombo mnaacha kuweka watu wanaojua nini wanatakiwa kufanya
Jamaa kutoka ustawi wa jamii hamna kits hapo , achunguzwe
Brother ana USO wa mbuzi 😂😂
Mimi naona hiyo uso ya kondoo🇰🇪🇰🇪