MWANASHERIA ALIYEBISHANA na MAKONDA APEWA za USO - MKATABA FEKI - ''INABIDI MFUKUZWE KAZI''...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 27. 05. 2024
  • MWANASHERIA ALIYEBISHANA na MAKONDA APEWA za USO - MKATABA FEKI - ''INABIDI MFUKUZWE KAZI''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 327

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před 29 dny +12

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @cosmasthobias5408
    @cosmasthobias5408 Před měsícem +24

    Makondo you deserve everything brother,,, uongozi ni kipawa toka kwa mungu na siyo kujifunza,,,,,makonda nikiongozi huyu ni mwamba wa wakuu wa mikoa wote,,,,,,,rolu modo wa wakuu wa mikoa wote,,,,kama wananchi lazima tuwe wakweli,,,,,,,umeona alivyomnyosha huyo mwanasheri ni nomaaaaaaaa apewe maua yake🎉🎉🎉🎉🎉

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 Před 29 dny +15

    😂😂😂😂 Napenda sana Kuskiliza Mikutano ya Makonda ananikumbusha Mikutano ya Marehem Rais wetu wa awamu ya Tano

  • @josephmahando493
    @josephmahando493 Před měsícem +73

    Hapa Sasa naona umuhimu wa nafasi ya ukuu wa mkoa, ila Kwa hapa Tanzania, tunae mmoja tuuu Makonda ,

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts Před měsícem +4

      Hata mimi sikujuaga kazi za wakuu wa mikoa mpk umri wangu wa miaka 70.
      Na naamini wakuu wengi wa mikoa hawajui, niulize, je wakuu wa wilaya majukumu yao ni yepi?

    • @elizalutiga6287
      @elizalutiga6287 Před měsícem +1

      Haswaaa

    • @saleheinnocent7636
      @saleheinnocent7636 Před 29 dny

      Huu ni uongoz wa ki governor wenye sifa za kuchaguliwa na wananchi ebu Ccm mkubali serikali za kimajimbo tupate viongoz wengi km huyu nchi isonge kwa speed ya digital.

    • @LuhanyaMipawantobi-pj1iu
      @LuhanyaMipawantobi-pj1iu Před 28 dny

      Kuwapata Sasa hao viongozi wazuri ndo issue ​@@saleheinnocent7636

    • @natihaikastephano661
      @natihaikastephano661 Před 19 dny

      Huyu mwanasheria mrefu Yuko vizuri sana.Huyu mwingine wa mji mdogo hamna kitu

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 Před 29 dny +9

    Makonda oyeeeeee Nakupenda sana makonda mpaka Nakupenda Tena M/mungu akupe maisha marefu 🌹

  • @Erickkweka05
    @Erickkweka05 Před měsícem +12

    Mheshimiwa sasa nakuelewa ...hii ndio kazi wengi tulitamani kuiona hasa kusimamia haki na kutoa adhabu stahiki kwa wanaokwenda ndivyo sivyo..am now proud of you, and you are my inspiration

    • @user-jk9np7vc1x
      @user-jk9np7vc1x Před 29 dny +2

      huyu mkuu wa mkoa apewe ht mikoa mitano mbona anaimudu

  • @rithamatiko4952
    @rithamatiko4952 Před 29 dny +6

    Mh Makonda Asante tumakuelewa wale tunaopenda haki Hakika wewe ni Kiongozi unayoeleza Kila mwanainchi anafunguka masikio mwenye kuelewa Asante Baba

  • @issarashid7707
    @issarashid7707 Před měsícem +10

    Ndio kamanda wetu Makonda Mungu akusimamie katika kutenda hakki

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Před měsícem +16

    Wanaomuelewa mhshmw Makonda na team yake tusichoke kuwaombea kwa sababu hawatakosa maadui, kama tujuavyo, alipo Mungu shetani hakosekani.
    Hivyo maombi ni lazima.

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Před měsícem +49

    Makonda nilikua nakuchukia, ila kwa sasa hakutoi mtu moyoni mwangu. Nimekukubali 100%. Kumbe ulikuwa unasingiziwa ubaya na Askofu feki

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 Před měsícem +9

    Makonda hujawahi kuniangusha Mungu akujalie afya njema wewe nihazina Kwa taifa,❤❤❤

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 Před měsícem +5

    Huyu mhe Makonda mkuu wa mkoa wa Arusha kaziunayo endelea naohao wababaishaji nakuzurumu wananchi pole yao piga kazi mhe ❤

  • @timothymoshi5800
    @timothymoshi5800 Před měsícem +26

    Si jambo zuri kutetea maovu mheshimiwa mwanasheria. RC ana nia njema kwa wananchi.

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 Před měsícem +13

    I love makonda ❤️

  • @user-dn7gn6ib4k
    @user-dn7gn6ib4k Před měsícem +4

    Malouda you're the best may Allah protect you ❤

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw Před 28 dny +7

    Mh. Makonda tafadhali waamshe wakuu wote wa mikoa ya Tanzania wa chape kazi kama wewe. Mikoa miimgi Ina shida nyingi sana hasa Bagamoyo. Basi sisi wananchi tunatamani ungekuwa unazunguka mikoa yote tungeishi kwa matumaini. Mungu akubariki sana lakini ombi letu ni kukuomba uhamasishe wakuu wote wa mikoa wafanye kazi walizoomba. Makonda Kila jambo jema hutoka juu. Tunakuombra sana baraka na afya njema na hatimaye uweze kuhudumia taifa lote maana Mungu anakitumia.

    • @mathewmalewah
      @mathewmalewah Před 18 dny

      Mmmmh huyu Jamaa ana husubutu wa kweli na sio sifa

  • @hamidaawadhi835
    @hamidaawadhi835 Před měsícem +18

    Piga kazi Makonda ,wananchi hawakuwa na mahala pa kutoa malalamiko yao,Mungu Akusimamie

  • @TeresiaAplonary
    @TeresiaAplonary Před měsícem +7

    Mungu mbariki makonda

  • @abdul-rahimkadhi766
    @abdul-rahimkadhi766 Před měsícem +14

    Bravo Paul christian makonda....unamuwakilisha vyema mama SAMIA...keep it up

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 Před měsícem

      Huyo anatafuta sifa naye anajitafuta kwani hajui kama wewe

    • @MnubiMm
      @MnubiMm Před měsícem

      ​@@marcokaroje8980Hayo MAWAZO yako wewe na ndivyo ulivyo elewa

    • @fadhilmaxom4760
      @fadhilmaxom4760 Před měsícem

      We nae lipumbavu sijui lawapi mtu anatatua kero zs wananchi wewe unaleta hija zako zakifala hapa malaya wakiume wewe nyie ndio mnafanya hii nchi iuzwe nakuonekana wote niwapumbavu kebge wewe​@@marcokaroje8980

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 Před 29 dny

      Rais Samoa naye ni mbabe ?

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Před 28 dny

      ​@@marcokaroje8980sifa yake faida kwa wanyonge

  • @HappyYusuph-ru3nn
    @HappyYusuph-ru3nn Před 22 dny +2

    Kazi iendelee kaka mungu akulinde na maadui

  • @philipomwazyunga4572
    @philipomwazyunga4572 Před 28 dny +4

    Ha ha ha makondaa ni genious kwenye uongoz

  • @justinog3105
    @justinog3105 Před měsícem +5

    Makonda jameni ni mtu na nusu❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t Před měsícem +11

    Muombeeni Makonda Mungu amkinge kila aina yamabalaa

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 Před měsícem +29

    Bora mgekaa kimya tu maana hamjui wanayopitia maumivu wananchi wasio kuwa na uwezo

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts Před měsícem

      Lkn mwenzie akinyolewa hajui anatakiwa zake atie maji...

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 Před měsícem +14

    wanasheria wa serikali ni shida kwenye Taifa hili

    • @hamudshabani7801
      @hamudshabani7801 Před měsícem +3

      Hawa ndo wanaoliingiza taifa kwenye mikataba mibovu inayoitafuna nchi kwa kushirikiana na walafi

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Před měsícem +11

    HUU ni UTAPELI,unajenga eneo la biashara,kisha baada ya muda anakuja mwenye nguvu anahonga ili utolewee!!

  • @yunisluvanga4211
    @yunisluvanga4211 Před měsícem +3

    Tuna tuzo kuubwa Tanzania mungu ametupatia makonda piga kaziiiiii babaaa 🙏🙏🙏

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 Před měsícem +11

    Wanasheria waserekali kuweni makini msilitafutie taifa hili matatizo ni madudu tuu wasomi fekii😂😂😂😂😂😂

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Před měsícem +17

    mwanasheria acha kutetea mkataba BATWILI!!
    Ahsante BROTHER MAKONDO!!

  • @Olafkaria123
    @Olafkaria123 Před měsícem +3

    Mh! Mkuu wa mkoa Paul Makonda kwa kweli sijawahi ona uongozi uliotukuka kiasi hiki Mungu akuzidishie hekima na busara na utetezi huo wa wanyonge; natamani siku moja uwe waziri fulani

  • @maxsenciusalexander2213
    @maxsenciusalexander2213 Před měsícem +2

    “Mwanasheria profesheno”😂
    Enheee🤣🤣

  • @ChristinaFlorian
    @ChristinaFlorian Před 25 dny +1

    Kuanzia Sasa wew nimagufuli mungu akubaliki akuepushe na mabalaayote

  • @RASHIDMPUMU
    @RASHIDMPUMU Před 13 dny

    RC P Makonda, upo vizuri una jeshi kamili la wataalam kwenye vikao nyako ,asante sana

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 Před 24 dny

    Ubarikiwe Mh. Makonda tenda haki kwa kuzingatia kesho kwa m.mungu malipo mwema. Umeletwa na mungu shukrani sanaaa 🤲 mpaka machozi yanatoka💪💯🙏✅🇹🇿🌹🌹🌹🌹

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    MGEMSHITAKI KWA UTAPELI HUYO MWANASHELIA SIO KAZI YAKE 😂😂😂😂😂

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Před měsícem +4

    MAKONDA ❤❤❤

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Před měsícem +5

    Wahuni tu wanasheria ndio wanao wapa vichwa wapigaji wanachanganya sanaa serikali inapata shida hao ndio nuksi

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 Před 29 dny +2

    Mwanasheria professional

  • @bakarykijazi293
    @bakarykijazi293 Před 25 dny +1

    Arusha mungu kawaona wenzetu

  • @beathersengerema
    @beathersengerema Před 28 dny

    Makonda uongozi wako una hofu ya mungu. Endelea umtegemea mungu ktk kazi zako❤

  • @japhetlinus3891
    @japhetlinus3891 Před měsícem +5

    Mwanasheria Profeshenoooo

  • @shamidubadru9505
    @shamidubadru9505 Před měsícem +5

    Sukuma ndani hao

  • @user-uw1fs5mj9l
    @user-uw1fs5mj9l Před měsícem +7

    Kweli kapata za uso

  • @user-jn9fx8pe7y
    @user-jn9fx8pe7y Před 25 dny +1

    Aiseeee

  • @HamisiMauridi
    @HamisiMauridi Před měsícem +11

    Mkuu wa mkowa ongera sana

  • @niyongere86
    @niyongere86 Před 28 dny +1

    Tatizo nikwamba inch za Africa azipendi msamakweli. Makonda anafaakuwa hata rais wa inch, acha tusubiri. Tanzania mnabahati yakupata viongizi wazuri lakini mnatamani watoke. I wish him he can becoming a presindent for my coutry. Makonda oyeeeeeeeeee❤

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b Před 15 dny

    asante sana mwanasheria makonda ni mpigadebe

  • @dullahbakari4813
    @dullahbakari4813 Před měsícem +4

    Kama viongozi wote wa ccm watakuwa kama makonda upinzani wakazi sasa

  • @athumanbalozi9748
    @athumanbalozi9748 Před měsícem +3

    Kumbe rais. Samia
    Kumpa ukuu wamkoa
    Makonda sahihi
    Haya angekuwa
    Katibu asingeyaweza
    Kwasasa watanyooka

  • @JerryGasper-ft6kr
    @JerryGasper-ft6kr Před 27 dny +2

    Me naomba makonda akabiziwe mikoa yote ya Tanzania awe anasimamia yeye

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 Před měsícem +6

    Huyu mwana sheria nimemkumbuka mwaka flani hivi usharikani alikuwa nana kashutuma 😊

  • @NyarubangoMashacka
    @NyarubangoMashacka Před 29 dny

    Hakika Makonda wewe ni mfano wa kuigwa.umevaa uzalendo wa kweli,Mungu akupe maisha marefu

  • @biomedicaleliatosha7485
    @biomedicaleliatosha7485 Před měsícem +2

    Daah..hii nchi

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 Před měsícem +2

    Huyu mbabaisha tu hana sifa za uanasheria maana anaonekana ni sehemu ya wahujumu uchumi wa nchi

  • @MaryLee-sh4nd
    @MaryLee-sh4nd Před měsícem +3

    Mungu wa mbinguni akulinde

  • @BrightVistaMedia
    @BrightVistaMedia Před 26 dny

    Kimeumana!!!❤

  • @DidierAKILIMupimbidjumaDidier
    @DidierAKILIMupimbidjumaDidier Před měsícem +1

    Makonda yuko vizuri zaidi

  • @jerrymfinanga3773
    @jerrymfinanga3773 Před měsícem +7

    etii umepigwa spana😂😂😂😂😂

  • @yothamlameck2973
    @yothamlameck2973 Před měsícem +1

    Makonda Bi up 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NeemaJuma-os6uo
    @NeemaJuma-os6uo Před měsícem +2

    Akichukua fomu ya urais makonda alafu akipita dah watammaliza afiki mbali watamuuwa

    • @nestorypastory6882
      @nestorypastory6882 Před měsícem

      Wengi wanaofia hatua huyo ila itakuwa vyema sana akichukuwa form

  • @saidkhatib9146
    @saidkhatib9146 Před 28 dny +3

    Mwanasheria anatamani ayeyuke kama mchaw😅😅

  • @josephyamathlaizer-op9sw
    @josephyamathlaizer-op9sw Před měsícem +1

    Makonda juuuuuuuuuuuuuuuuuu

  • @Juke995
    @Juke995 Před měsícem +2

    Wanasheria wa Tanzania ni hovyo kabisa

  • @kakuyajumanne7335
    @kakuyajumanne7335 Před 10 dny

    Ifikia hatua kuwe na cheo cha kusimamia wakuu wote wa mkoa halaf Makonda awe ndo top wananchi tungeenjoy

  • @user-ck3sj6ni4z
    @user-ck3sj6ni4z Před 26 dny

    Huyo mzee wa nyuma alivyoshangilia mpaka mwanasheria kamgeukia😂😂😂😂

  • @geoffreymzaga4644
    @geoffreymzaga4644 Před měsícem +1

    Makonda wewe uko juu.....

  • @karushakamusa5525
    @karushakamusa5525 Před měsícem +3

    Mikataba hiyo ni sahiii

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Před 28 dny

      Mimi si mwanasheria lakini sijawahi ona mkataba ulioandikwa Kwa kuchapwa pia Kwa mkono halafu wenye tarehe tofauti. Hata mtu asiyejua sheria anaona hapo si sahihi

  • @abednego3876
    @abednego3876 Před měsícem +3

    Huyo mwanasheria alikua anachunga ngombe.

  • @Edwin-tw3yj
    @Edwin-tw3yj Před 26 dny

    ❤❤

  • @mturimesso8907
    @mturimesso8907 Před 18 dny

    Ni ishara nzr na unawakilisha vyema vijana tujifunze kupitia kwako.

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 Před měsícem +1

    Piga kazi kaka

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 Před měsícem +2

    Wasomi wa kizazi kipyaa wanazidiwa akili na maalifa ata na Mama ntilie ni vile tuu Mama ntilie hawana vyeti vya kuheshimika na wao wamepata nafasi ya vyeti vya kuheshimika
    Lakini uchukue msomi
    Na Mama ntilie uwape laki 5 kilammoja ndani ya miezi 3 msomi utamkuta atamaniki.... Na Mama ntilie utakuta amefanikiwa kupita kiwango na laki 5 yako atakurejeshea

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk Před měsícem +2

    Muongp huyo mwanasheria wa michongo michongo 😂😂

  • @RobertsonNandime-eo9fp
    @RobertsonNandime-eo9fp Před měsícem +4

    Nyosha baba

  • @amisindondi4549
    @amisindondi4549 Před měsícem +3

    Sijuwi Kama watasalimiana 😅😅😅😅

    • @user-ck3sj6ni4z
      @user-ck3sj6ni4z Před 26 dny +1

      Umewaza kama mimi..Yan nimecheka balala😂😂😂

  • @ben.tz9
    @ben.tz9 Před měsícem

    🔥🚒

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Před měsícem +2

    Wakuu wa mikoa mingine wako wapi? Hatuwasikii

  • @MezdDimoso
    @MezdDimoso Před měsícem +1

    RC OYEEEE🎉

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 Před 26 dny

    Uwezo wa kusikiliza hoja upo chini sana. Hivyo kujua kiini cha tatizo hakiwezi kupatikana.

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri Před 28 dny

    Tunashukuru sana Mhe RC Makonda kusikia mikataba ilikuwa endelevu.
    Lakini kosa lilikuwa kwa Mkuu wa Nchi JPM ambapo ndie aliagiza watu kunyan'ganywa vibanda hivyo.
    Lakini uhalisia ni kwamba vibanda hivyo vinapaswa kurudi kwa waliovijenga vyote Nchi nzima Mhe RC Makonda jamani.

  • @GeraldLembris-jr3yz
    @GeraldLembris-jr3yz Před měsícem

    Dah jamn mpaka uruma mzee wetu

  • @jamesmgimba7403
    @jamesmgimba7403 Před 26 dny

    Huu ushindani umeelemea upande mmoja,wakili wa upande wa pili hawezi kufanya kazi kwa confidence

  • @yunisluvanga4211
    @yunisluvanga4211 Před měsícem +2

    Makonda ubalikiweeee

  • @SeleNdiboi
    @SeleNdiboi Před měsícem

    makonda uwezo wako uko juu sana kaka

  • @GeraldLembris-jr3yz
    @GeraldLembris-jr3yz Před měsícem

    Uuuuwh uyu mzee jamn mwachen

  • @user-jd6kn6wr9t
    @user-jd6kn6wr9t Před 4 dny

    Tatz advocate mnasahau nguvu ya media 😂😂😂😂

  • @ngatatv1365
    @ngatatv1365 Před 26 dny +1

    MAGUFURI BABAAAAAAA

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Před měsícem

    Mwenye nguvu mpishe,ilikuwa zamani co sasa,haonewi m2,mwanasheria archie ngazi

  • @giftmusa6543
    @giftmusa6543 Před měsícem +1

    Namjua huyo mzee wa dear gambe?

  • @kingthedon508
    @kingthedon508 Před dnem

    Hiv wakuu wa mikoa wengine tofaut na makonda na chalamila wanafanya kaz gan?

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j Před měsícem +1

    Hiyo jamaa anajikanyaga kila kona kama amezoea kunyoosha maneno ya zulma Leo Mungu amewaonea huruma wananchi nakuufinya ulimi wako ona unavyojingata mwenyewe

  • @user-uw1fs5mj9l
    @user-uw1fs5mj9l Před měsícem +3

    Ulipaswa kujua huo udhaifu kabla ya kuja hapo,sio unakuja kutetea ujinga

  • @joachimsironga1560
    @joachimsironga1560 Před 26 dny

    Duhhh jamaangu mwana sheria 😮😮

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 Před měsícem +1

    Kuna watu ndio style yao ya kuongea

  • @HussainMaula-tz8dh
    @HussainMaula-tz8dh Před 24 dny

    Eeeeeeeeee Arusha mtanizeeeesha 😂😂😂😂😂😂😂

  • @johanesitembe2440
    @johanesitembe2440 Před 27 dny

    Kumbe watu walikua wakusema vbaya kumbe ww nijembe wakuu wa mikoa wanajifunza Nini hapo tendeni kama makonda mungu ataweka mkongo wake

  • @ladislausmsongole8479
    @ladislausmsongole8479 Před měsícem

    Huyu mwanasheria mwenye mkataba feki ndio ameshapoteza wateja wake na wengine hawawezi kumpa kazi tena

  • @GeraldLembris-jr3yz
    @GeraldLembris-jr3yz Před měsícem

    😂😂😂😂😂 baba eveniii pole sana

  • @sebastiankimendo8333
    @sebastiankimendo8333 Před 21 dnem

    Huyu mwamba anapiga kazi jaman tuache utanii

  • @user-oe8gk7zz1u
    @user-oe8gk7zz1u Před 28 dny

    Ila makonda yaani arusha saizi ndipo sehemu kuna hai saizi