KANUNI 10 ZA MAFANIKIO YA KIFEDHA - Mkakati wa kustawi kiuchumi | Mwl. Victor Mwambene

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 07. 2022
  • "Mafanikio sio matokeo ya bahati, ni matokeo ya maarifa, juhudi na nidhamu binafsi. Kwa kupambana. Mungu ametupa neema sawa sisi sote, lakini tabia zetu ndizo zinazosababisha ustawi wetu. Chochote utakachokiamini kwa hisia ndicho kitakachokuwa uhalisia utakaouishi. Kwasababu mafanikio ya kifedha yanaanzia kichwani." Anasema Mwalimu Victor Mwambene, muelimishaji wa maswala ya fedha na biashara. "Tutaenda kuangazia kanuni kumi za kutengeneza fedha zisizopitwa na wakati. Kanuni hizi zimetungwa na wataalamu mbalimbali wa fedha duniani, zimesaidia watu siku za nyuma, sasa na zitaendele kusaidia watu katika siku zijazo."
    .................................................................................................................................................
    Kuwa sehemu ya mijadala hii kwa njia ya WhatsApp kwa kutuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794.
    Usisite kutuandikia maoni yako ili toleo lijalo liwe bora zaidi. Tunakupenda, na kwasababu tunakupenda tunakujali.
    #mafanikio #fedha #uchumi #kanuni #kipato #biashara #saikolojia
    #watchmorebemore
  • Jak na to + styl

Komentáře • 1