Wakaazi Nairobi wagharamika zaidi

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 3. 09. 2018
  • Kwa siku nne sasa, wakenya wameendelea kugharamika zaidi kwenye nauli kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta. Hata hivyo, athari hii imeanza kubainika kwa kuwa gharama ya usafiri imepanda na hata sasa kulazimu wengi kutafuta njia mbadala angalau kujiokoa. Mwanahabari wetu Agnes Oloo anatusimulia maisha ya mkaazi mmoja wa Nairobi anayetaabika baada ya mafuta kupanda
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.com/+CitizenTVKenya
    / citizentvkenya

Komentáře • 41

  • @getrudenyamvula3511
    @getrudenyamvula3511 Před 5 lety +6

    tano tena mnakula,kusafiri na mahitaji yenu mnapewa na huyo tano wenu? mkiambiwa hamskii mambo hayo na bado sana

  • @petermakori8442
    @petermakori8442 Před 5 lety +2

    Ss kama Wajaluo hatucomplain nauli ya gari tutacomplain wakati bei ya ndege itapanda!!! kumira kumira😂😂😂😂

  • @jaihind4601
    @jaihind4601 Před 5 lety +6

    wapi wale wa tano tena???.......ukabila haisaidii wacheni kupiga kura kwa sababu ya kabila.........bora enzi za kidikteta ya moi.............

  • @maureenikambili6625
    @maureenikambili6625 Před 5 lety +7

    Hapo xaxa ndio tano tena imeanxia

  • @elphasgovedi1848
    @elphasgovedi1848 Před 5 lety +1

    Yuko wapi Ruto atuokoe jamani na zile pesa zake

  • @tamaduni
    @tamaduni Před 5 lety +2

    uhuru ...wanyoe kabisa na ure ure webe...na mtu akileta porojo ...revisit them

  • @sarahngugi7122
    @sarahngugi7122 Před 5 lety

    Yes kenya has no many resources but people don't use them that's why people end up being like this as in Agriculture they sell their farm good to other countries inside of feeding it's own people whereas coffee and many things like tea benefits most of other countries.

  • @kenmichigwan234
    @kenmichigwan234 Před 5 lety

    Si mngempatia hiyo 20 jameni alichelewa kazi juu ya mbao wacheni hizo citizen nkt hamna aibu

  • @marykalei8147
    @marykalei8147 Před 5 lety +1

    Tano tena

  • @sarahngugi7122
    @sarahngugi7122 Před 5 lety

    Kenya is a country which no one can understand how they hike prices and yet it's said to be a wealthy country which i don't see my self so many people ending to be poor and poorer.

  • @bellaferrer3390
    @bellaferrer3390 Před 5 lety

    webe ni ure ure !!! uhulu!!!! nyoa hao na hiyo webe warikupatia

  • @hudsonnangunye9991
    @hudsonnangunye9991 Před 5 lety

    Na maajabu 2022 ikifika mtasema tena ruto tano tena wakenya tufikirie vizuri

  • @valentinesgiftshop799
    @valentinesgiftshop799 Před 5 lety

    1 watu wa pipeline wamekua wakitumia train Ata before mafuta ipande

  • @sherrykeya7370
    @sherrykeya7370 Před 5 lety

    Woiye Mungu saidia

  • @cheatedon8094
    @cheatedon8094 Před 5 lety

    At I mafuta haijui asubuhi.wallahi maconda hawataona mbinguni

  • @getrudenyamvula3511
    @getrudenyamvula3511 Před 5 lety

    soo sad

  • @nancypretty7576
    @nancypretty7576 Před 5 lety

    Life ni ngumu nilifikiria ni saudi pekee yake ndio watu usema life ni ngumu weee

  • @kassimali3682
    @kassimali3682 Před 5 lety

    Mafuta inajua asubui😂

  • @maureenmuhonja722
    @maureenmuhonja722 Před 5 lety

    maden zenye zinakobwa nje ya nchi ndio zinatuletea gharama , naona tukiuzwa bila kujua

  • @fabiocapello8600
    @fabiocapello8600 Před 5 lety

    MAFUTA INAJUA ASUBUHI HAHAHA