Video není dostupné.
Omlouváme se.

Wasafiri wakwama baada ya barabara ya Garissa, Wajir na Tana River kukatika

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 08. 2024
  • Kaskazini mwa Kenya ni kuwa shuguli za usafiri katika kaunti za Garissa, Wajir na Mandera zimetatizika kwa siku ya tatu hii leo baada ya barabara inayounganisha kaunti hizo kuharibiwa na mafuriko. Foleni ndefu za magari zimeshuhudiwa huku wafanyabiashara waliokwama wakilalamikia hasara. Feisal abdulrahman anaarifu kuhusu namna abiria wanaotumia barabara hii wameendelea kukesha barabarani

Komentáře • 11

  • @AhmeddiamondAhmeddiamond
    @AhmeddiamondAhmeddiamond Před 3 měsíci

    Poleni mwnye waliaswa n wt2 mwenu kwenye mafuriko

  • @Dave-254
    @Dave-254 Před 3 měsíci +3

    i cant imgn i have been stranded in garissa for 2 day with my wife and my son,we had to go back to wajir safari iliishia hapo

  • @justinebosire9804
    @justinebosire9804 Před 3 měsíci +1

    waaa serikali ya Mungu

  • @richardmathenge555
    @richardmathenge555 Před 3 měsíci

    Ugaidi.kenya

  • @dugulemuse4458
    @dugulemuse4458 Před 3 měsíci

    Akuna serikali kule

  • @Ismaelkhaani
    @Ismaelkhaani Před 3 měsíci

    Kila siku serekali, we need a Referendum to protects our ppl lives that is dying day and night due to bad governance and corruption.

  • @ibrahimdumal3547
    @ibrahimdumal3547 Před 3 měsíci +1

    Kenyans 😂😂...speed boat of UN is now PSV .....just wondering who is the new boss?

  • @nixonwaweru6409
    @nixonwaweru6409 Před 3 měsíci

    Hiyo barabara ilisombwa na mafuriko last year wakaunda diversion hopo kando 7 month baadaye Hali ni hiyo ..na ati kuna serikali

  • @sunmidlimited5771
    @sunmidlimited5771 Před 3 měsíci +1

    Shule nayo

  • @sunmidlimited5771
    @sunmidlimited5771 Před 3 měsíci

    Watoto wata swim ?

    • @mercyyoutubecheptoo9144
      @mercyyoutubecheptoo9144 Před 3 měsíci

      It's getting hard for the citizens. It's better for kids to stay home than to risk. I just feel for the sick who wants to get to hospitals