THE CLASSIC MR BLUE PT 1:MIAKA 23 YA GAME/NLIPIGIKA NKACHUKIA WAANDISHI/KALAPINA POSA ILIKUAJE

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 09. 2024
  • Hapana shaka kabisa kua Mr Blue ni moja ya wasanii waliokamilika sana Tanzania akiwa na uwezo wa Ku rap na kuimba ,akiwa amehudumu Game ya Bongo flava kwa zaidi ya miongo miwili mpaka sasa ,katika sehemu hii ya kwanza Mr Blue anaeleza miaka yake ya wali kabisa mpaka kuweza kutoa kazi zake za kwanza na jinsi zilivobadilisha maisha yake kwa ujumla zikiwemo changamoto kubwa

Komentáře • 85