"RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza nae, nimempa siku 3' - MSUKUMA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 09. 2017
  • Mbunge na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Joseph Msukuma ameongea kwa mara ya kwanza baada ya kukamatwa na Polisi na kulazwa sero kwa zaidi ya saa 48.
    Baada ya kuachiwa kwa dhamana ameongea na AyoTV kuhusu kosa lake lililofanya akamatwe na kusema pia kwamba RPC wa Geita ana roho mbaya.

Komentáře • 931

  • @marykitiru9212
    @marykitiru9212 Před 6 lety +28

    we siulisema unaheshim hata askarimdogo aje akukamate..sasa umekamatwa na mkubwa una lalamika...poleeeee

  • @kassimayoub5568
    @kassimayoub5568 Před 6 lety +11

    hahahahahaaaaa TANZANIA imefikia patamu si mchezo 😁😁😁😁😁

  • @jozeytv8357
    @jozeytv8357 Před 6 lety +47

    safi sana nilitamani ukae ndan ata miez minne unashabikiaga xan Akin lema wakiwekw ndani

    • @venancebasil4656
      @venancebasil4656 Před 6 lety +3

      Jozey The Boy TV msukuma ni msukuma tu

    • @fugakwamalengo707
      @fugakwamalengo707 Před 6 lety +1

      +Venance Basil
      halafu ajielewi eti anasema RPC chadema ajui kuwa hicho ni cheo kinavyo Fanya kazi akiulizi chadema wala ccm

    • @abdallahmwambe4834
      @abdallahmwambe4834 Před 6 lety

      Msukuma hunalolote

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 Před 6 lety +19

    kumbe hamuwez kusema mpaka mfanyiwe...Tanzania msema kweli Ni lisu angalii fitina ....mseme Siku zote ...mnafki

  • @bobwangwe748
    @bobwangwe748 Před 6 lety +58

    Kwahiyo akikuomba msamaha utamfichia hayo maovu?

    • @magezimagezi363
      @magezimagezi363 Před 6 lety

      Bob Wangwe, arudishwe sero

    • @gilbertalex1651
      @gilbertalex1651 Před 6 lety

      Bob Wangwe bobu tulia wewe

    • @frankbella7010
      @frankbella7010 Před 6 lety

      huyo mtangazaji mbona anamuiga miladi hayo sauti

    • @lazaroyona8307
      @lazaroyona8307 Před 6 lety

      +Frank Bella.....muige na ww pia

    • @emmanuel_mihambo3
      @emmanuel_mihambo3 Před 6 lety +1

      Lisu nilaisi wa wanashelia mbona yeye aliwekwa lokap marangapi wewe unalaumu afu dalasa LA 7 mufungweee RPC fanya kazi yako

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 Před 6 lety +9

    Kumbe kuna siri wanafichiana? Naomba waendelee kuchafuana ili tujue ya ndani.Serikali hii..!!

  • @hamismindika7513
    @hamismindika7513 Před 6 lety +26

    Takukuru mnasubiri nini anzeni namsukuma

  • @hamisi8
    @hamisi8 Před 6 lety +18

    msukuma mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu unataka upewe upendeleo maalum kwa kuwa eti wewe ni m kiti wa ccm wa mkoa m kiti wa ccm ndio unaruhusiwa kuvunja sheria na kuhusu ufisadi wa RPC yote ayo ni maneno ya mkosaji kwani unasubiri mpk uwekwe ndani ndio useme maovu ya RPC.

  • @theinsider6462
    @theinsider6462 Před 6 lety +40

    Huyu ndo yule chizi anayeshabikiaga mambo ya kipuuzi yanayofanywa na police kwa upinzani,Leo yamemkuta yeye kidogo tu analalama anataka hadi kufa.....hiyo ndo serikali yenu wehu nyie na ujifunze kuacha kuwabeza wapinzan wanapoonewa na serikali yenu MPUUZI WEWE

  • @marykitiru9212
    @marykitiru9212 Před 6 lety +18

    amakweli mkuki kwa ngurueee...sasa nimchunguu mmmmh.

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 Před 6 lety +14

    Hapo ndiyo namkubali RPC alafu nilitamani ukae hats miezi 8 kwa kiherehere ulicho nacho

  • @sylvestergibbeson9220
    @sylvestergibbeson9220 Před 6 lety +10

    Sheria unaichanganya na siasa bro! kapimwe mkojo

  • @sirimollel5970
    @sirimollel5970 Před 6 lety +9

    wekwa ndani weweeee mweu ulimshabikia LEMA hakiwa ndani uliwatusi kina Halima mdee sasa utanyoka

  • @kabaranamaganga6646
    @kabaranamaganga6646 Před 6 lety +30

    Haaa haaa haa! Dah! Mzimu wa Lisu umeanza kazi na utawatafuna wote!

  • @robertjagad5826
    @robertjagad5826 Před 6 lety +1

    King M you are Good!
    hua unajua nini unaongea!
    na hujawahi kuogopa safi! tupo nyuma yako!

  • @shedracktweve9789
    @shedracktweve9789 Před 6 lety +38

    Pumbav ww yaan kwa sababu tuu ww ni CCM ndio uvunje sheria RPC muongeze masaa mengi 120

    • @tatut3889
      @tatut3889 Před 6 lety +1

      Shedrack Tweve 😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁

    • @christophersypriano7824
      @christophersypriano7824 Před 6 lety

      😂😂😂😂😂

    • @mussambegu6386
      @mussambegu6386 Před 6 lety +1

      Shedrack Tweve kumbe imemuuma anavyoshabikiaga wenzie sasa imemkuta yeye

    • @hechechacha4032
      @hechechacha4032 Před 6 lety

      Shedrack Tweve zitto alisema nchi wamepewa washamba hakukosea

    • @fokasiinnocent3448
      @fokasiinnocent3448 Před 6 lety

      Shedrack Tweve subir utaona akimtaja ufisadi wake

  • @bobwangwe748
    @bobwangwe748 Před 6 lety +14

    Kwahiyo akikuomba msamaha utamfichia hayo mambo hadharani?

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 Před 6 lety +2

    Pole msukum wangu love you

  • @iconnect9769
    @iconnect9769 Před 6 lety +14

    Kiongozi gani wewe unaficha mabaya ya viongozi wengine, Kama kweli wewe ni mzalendo kweli Fichua mabaya aliyo nayo, Watanzania tumewachoka viongozi tiamaji tiamaji kama nyie.

  • @nasryseif3575
    @nasryseif3575 Před 6 lety +5

    Leo nimeamini msukuma sio mzalendo kwanini ufiche maovu ya MTU kama kweri mzalendo na geita mmefanyiwa hayo kwanini usiseme

  • @mavundemmbaga4664
    @mavundemmbaga4664 Před 6 lety +19

    Wakifungwa lisu wakitetea haki unashangilia..ila wewe unatisha..mpaka upelekwe ndo utaje maovu.jinsi mlivyo wanafiki...yanawarudia wenyewe

  • @eddieross2581
    @eddieross2581 Před 6 lety +12

    wewe unaftina sana,muheshimiwa Rais muangalie sana huyu mtu,anasema RPC mfuasi wa Chadema kwani yeye msukuwa ameacha lini ufuwasi wa Lowassa?

  • @hamismindika7513
    @hamismindika7513 Před 6 lety +13

    Huna lakuwaeleza wtz

  • @drex81
    @drex81 Před 6 lety +10

    RPC amekuwa na roho mbaya zaidi ya waliotaka kumuua LISSU? Acha upuuuuzi

  • @saidndimbwa4976
    @saidndimbwa4976 Před 6 lety +6

    😂😂😂😂😂😂😂 msukuma bhana... Eti "sijawahi kuona RPC mwenye roho mbaya kama huyu" Muhuni amevurugwa huyo...kampiga tanganyika jerk mheshimiwa...

    • @santyhassan4186
      @santyhassan4186 Před 6 lety

      Said Ndimbwa Unamtetea nini sasa wacha alale ndani

  • @mlamtv4839
    @mlamtv4839 Před 6 lety +1

    Nimelipenda Sana hilo neno "kupoteza radha ya mahakama".

  • @stephanokanyika6988
    @stephanokanyika6988 Před 6 lety +5

    we msukuma mbona unamtisha sana kamanda unasema ufulahii wapinzani kuwekwa ndani mbona kila siku unawapigia debe polisi leo wamekugeuka

  • @ernestndauka9301
    @ernestndauka9301 Před 6 lety +23

    Braza Ayo!!! Hawa vijana wako wanakuiga hadi sauti!!! Jamaa waambie waongee sauti zao!!!!

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu5937 Před 2 lety

    Pole kiongozi usijal tupo pamoja from Dodoma tunakupenda mtani wetu msukuma

  • @treyibrahim3327
    @treyibrahim3327 Před 6 lety +2

    sema vyote wewe izo siyo siri tena kwa taarf yako.nakukubali sana Mr Msukuma

  • @imanishengoma5602
    @imanishengoma5602 Před 6 lety +12

    usipoweza kumuheshimu rpc anayekulinda ktk himaya yako usitegemee kusikilizwa na sirro au rais

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 Před 6 lety +12

    Piganeni nyie wote CCM na huyo RPC wenu mpaka muuwane

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 Před 3 lety +2

    Hapa ndio napomkazania mwanangu kusoma kwa hali yeyote ile....elimu ni muhimu sana

  • @lanlady2504
    @lanlady2504 Před 6 lety +1

    Pole sana msukuma! Sasa,hapo umejiongezea shtaka la5 kwa kumtishia RPC! Uwiiii, poor TZ! Tunaelekea wapi? 'TUFIAKWA!!'

  • @tatut3889
    @tatut3889 Před 6 lety +8

    Mmh yani kimtu hichi sijuwi kikoje kumbe kunya anye kuku akinya bata kalisha kumbe kama nikweli umeweka ndani sio kutufumba macho umewezwa kwann ayo maovu Usinge sema zamani shwani ww

  • @emmanueldottto5379
    @emmanueldottto5379 Před 6 lety +3

    Mkuki kwa nguruwe hahaha asnte Tanzania yangu nakupenda

  • @nurumnyumba7964
    @nurumnyumba7964 Před 6 lety +2

    Mambo gani unaanika baada ya kuwekwa ndani, acha vitisho. Tanga tunakujua.

  • @lutherpanafrican2880
    @lutherpanafrican2880 Před 6 lety +4

    si uzungumze Sasa hivi?
    so CCM mnafichua ubadhilifu mpaka mwe impacted, lol

  • @stewardheaven8382
    @stewardheaven8382 Před 6 lety +12

    uombwe radhi wewe nani bwanaee???c unajidai mjuaji na mshangiliaji wa ya wapinzani? kaaa selooo huna ukubwa wowote kuliko RPC

  • @makaramayatibamrmichaelkih3683

    Safiiiiiii sana msukuma

  • @wilsonchallange4420
    @wilsonchallange4420 Před 6 lety +4

    Unatakiwa useme tu.
    na kama unao ushahidi juu ya maovu yake aburuzwe mahakamani na wewe uburuzwe kwa makosa yako.

  • @Msonjo
    @Msonjo Před 6 lety +10

    hhhh unanikosha kwa mikwala mwanangu nakukubali kinoma

    • @anitangao3135
      @anitangao3135 Před 6 lety

      kwenda wamekukomesha unakuwaga na kielele kwa hiyo unataka upinzani tu wangekuacha hata miezi

    • @goodluckmrosso486
      @goodluckmrosso486 Před 6 lety

      Msonjo Khan nimemwelewaaaa kwa biti

  • @barnabasuled2011
    @barnabasuled2011 Před 4 lety

    Hahaha sio poa Kwanza umenifulahisha umeongea kishujaa bro nakupenda Sana

  • @tonymelkion8357
    @tonymelkion8357 Před 6 lety

    daaah kumbe mnalindana, siku zote ulikuwa wapi ......? mpaka ukamatwe ndio unataka kusema huo ukweli.....? Lisu big Up sana.

  • @bhwanajoseph6799
    @bhwanajoseph6799 Před 6 lety +6

    ahahaha kuwekwa ndan sio mchezo we amsha dude kwa faida ya wananchi sio akikuomba radhi usiseme

  • @zihadhassan6642
    @zihadhassan6642 Před 6 lety +3

    RPC ninampongeza sheria ifate mkondo wake akuna cha Ccm au chadema

    • @jameskileo955
      @jameskileo955 Před 3 lety

      Acha mboyoyo RPC Yuko vizuri na hayo ndiyo majukumu yake hakuna mtu aliye juu ya sheria NNCHI HII

  • @fadhilplatnumz8474
    @fadhilplatnumz8474 Před 2 lety

    Veema- sana Mkuu msukuma tukopamoja nawe watz wote Joseph Msukuma oyeee nakukubali sana.

  • @stevenmrama3123
    @stevenmrama3123 Před měsícem

    Pole sana ,samehe tu kiongozi

  • @justinekasigu5979
    @justinekasigu5979 Před 6 lety +5

    Ulikuwa wapi kuyaanika hayo unayotaka kuyasema,acha unafiki msukuma,usiwajibishwe ww ni nan katika nchi hii,acha kulia lia RPC piga kazi # HAPA KAZI TU.

    • @allydaraja1949
      @allydaraja1949 Před 6 lety

      Zambi ya ubaguzi haijawahi mwacha mtu salama.

    • @godblessmwanri80
      @godblessmwanri80 Před 6 lety

      msukuma. my bro.wewe nikiongozi wa mkoa kuwa mfano.acha vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake.ushauri

  • @abdillahihassan7889
    @abdillahihassan7889 Před 6 lety +5

    Mara pap iii....hiiiiiii!!!!!!!

  • @neemac5488
    @neemac5488 Před 6 lety +1

    Mtenda akitendewa mambo huwa hivi😃😃😃😃😃😃

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 Před 4 měsíci +1

    Jamaa yukoo simpo sana kama hakana ela

  • @mkemiabenzn7811
    @mkemiabenzn7811 Před 6 lety +4

    hahahah!!, mzee baba liamshe DuDE nakukubal

  • @graywoisso1741
    @graywoisso1741 Před 6 lety +9

    ACHA KUTOA POVU NI KAWAIDA TU.UWEKWA NDANI ULITUMWA NA NANI UFANYE HUO UPUUZI.NANI AKUPIGE RISASI.AKUOMBE RADHI NANI WEWE

  • @uliusmtack3679
    @uliusmtack3679 Před 6 lety +2

    Musuma umeonaeeee bungeni wapinzani wakilalamikiaga hayo mnapingaga ss yamekukuta acha presha

  • @venancerichard8761
    @venancerichard8761 Před 6 lety +2

    Hujajua kulalamika bdo;endelea kuropoka maana ya lissu unayaona n madogo!!subiri yakukute zaidi ya hayo

  • @bonifacej8755
    @bonifacej8755 Před 6 lety +4

    yani hapa hakuna mtu kituko

    • @juliusurassa2136
      @juliusurassa2136 Před 6 lety +1

      Bangi mbaya, uombwe radhi na RPC wakati umesema ni mtu mdogo kwako?

    • @fransismwanga6616
      @fransismwanga6616 Před 6 lety

      Daaah.unatafuta balaa msukuma.muangalie nape alipo.nyerere alitoa onyo.mnawapiga Hawa wakiisha mnapigana ninyi kwa ninyi.

  • @peternkohi8830
    @peternkohi8830 Před 6 lety +1

    kumbe mnafichiana uovu,sasa mmetuweka wazi kuwa ni WATENDA UOVU

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 Před 5 lety +1

    Wanajisahau sana hawa wanasiasa ambao sifa ya ubunge nikujua kusoma na kuandika tu!!! RPC ni mtu na elimu yake bhana!!!!

  • @aproniadeus2804
    @aproniadeus2804 Před 6 lety +2

    sasa mwenyekit wa chama akikosa hastaili kuadhibiwaa? na kama anastahili kuadhibiwa unalalamika nn Kukaa siku mbili maneno yote yanakutoka je ungekaa miezi 6 ingekuwaje

  • @venancebasil4656
    @venancebasil4656 Před 6 lety +5

    eti rpc ni chadema hahahhahhhaaaaaa, kisa wewe ccm kakukamata hahahahhaa, kwani ccm ndo nini weka ndani wote alafu acha mikwara kwa rpc hahhaaaha eti risasi! nani akupige risasi wewe hakuna mtu wa kukupiga risasi tanzania ni ya amani, alafu kama wewe ni kiongoz bora ni bora uzungumze hadharani kwnini unaficha siri au kupiga mkwara, tumbua basi kama unaweza

    • @mtanzaniamzalendo7001
      @mtanzaniamzalendo7001 Před 6 lety

      Venance Basil Namshangaa kwa nini hawakuitana huko kwao geita,kumbe unaficha maovu eeee

    • @muhsinihassani7021
      @muhsinihassani7021 Před 6 lety

      msukuma kua mkweri rais katukanwa Wap ? usitafute kiki Kwa pickpik

    • @ibrahimushabani5299
      @ibrahimushabani5299 Před 5 lety

      Hana lolote mshenzi tu huyu ingekua kweli si angesema

  • @delebm543
    @delebm543 Před 6 lety +1

    na bado utawaita roho mbaya wengi..suala uenyekiti ....mbowe na wengine mnaowaita kama watoto mpuuzi wee msukuma..

  • @johnsombi545
    @johnsombi545 Před 6 lety +1

    Msukuma mjinga tuu kwanini usiyaseme kabla hujakamatwa

  • @fredrickbenito2252
    @fredrickbenito2252 Před 6 lety +3

    Uyu vip? Lowasa kaingiaje hapo?

  • @hajihassan9097
    @hajihassan9097 Před 6 lety +2

    hiyo ndio sifa ya darasa zero, huna lolote kazi yako kupiga kelele na kujipendekeza kwa Magufuli, sasa utaamua kurudi shule au kuwa mfurukutwa zaidi wa ccm, kazi yako kuongopea watu eti mimi naungana na raisi Magufuli kwenye vita vya kiuchumi, mbona hilo la Rpc kama ana madudu lilikushinda kuzungumza bungeni? kilichobaki ni kula matapishi yako mwenyewe kwani ulikuwa ukiona raha kuwafika wapinzani eee

  • @ashurajohn1620
    @ashurajohn1620 Před 3 lety +1

    Mwaka huu mtatwambia mengi😂😂😂😂😂

  • @surrajimohamedi197
    @surrajimohamedi197 Před 6 lety +1

    Jeshi LA police halina chama limepewa thamana ya kulinda nchi na wananchi pamoja na mali zao liache lifanye kazi yake.R.P.C piga kazi babaaaaaa.

  • @agneschaula3734
    @agneschaula3734 Před 6 lety +2

    hahaha ati ylikamatwa kwa kosa ganii?????? muhhhh kama stor ya sungura na fisi vile

  • @revocatuskapama2930
    @revocatuskapama2930 Před 6 lety +4

    mnafki mkubwa

  • @abdulmohamed3240
    @abdulmohamed3240 Před 6 lety

    Dah!!!! Malizana nae huyo!!!!!dah anakuona mbwiga pole yake sana mh msukuma nawe umezidi upole inshallah mungu batakusaidia .

  • @tusajigwekasigila6407
    @tusajigwekasigila6407 Před 6 lety +2

    Mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu, tunavyofanyiwa chadema huwa huoni but we leo masaa tu unapanic lema alikaa miezi4 tulia pasi msipende kujipaisha Na vyeo Muwe Na hofu ya Mungu haha wakati wa Bwana waja hakuna cha watanzania wanaelewa unaelewa we mwenyewe

  • @josephkimboka1394
    @josephkimboka1394 Před 6 lety +2

    Na msipo mkamata tena huyu msukuma nitashangaa kumbe ana maovu ya watumishi wa serikari huyu jamaa analeta uchochezi cjui yukoje?

  • @olaislukumay571
    @olaislukumay571 Před 6 lety +4

    Hahaahhahaha Msukumaaaa

  • @salmasaidy3400
    @salmasaidy3400 Před 6 lety +1

    hahahaha mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu

  • @sittamaningu4630
    @sittamaningu4630 Před 6 lety

    Pole sana bwana Kwa malalamiko yako Needhani kasikia.

  • @charlessalum6603
    @charlessalum6603 Před 6 lety +3

    fala wewe

  • @hamismindika7513
    @hamismindika7513 Před 6 lety +4

    Asingepewa dhamana huyoo

  • @ismailyhamisi2282
    @ismailyhamisi2282 Před 2 lety

    Msukuma mm hakukubali sana ila binadamu hao ila police wanakela sana Mungu asaidie police ya Tanzania wafre kwenye roho mbaya

  • @nurumnyumba7964
    @nurumnyumba7964 Před 6 lety +1

    Huyu alitakiwa awekwe ndani na koplo wa Polosi wala si RPC. Asitishe watu/polisi.

  • @revocatuskapama2930
    @revocatuskapama2930 Před 6 lety +3

    koma

  • @jofymwaijofymwai2163
    @jofymwaijofymwai2163 Před 6 lety +2

    kwanini ungesinga ongea mapema Acha usenge kumbe wewe sio mwenyekiti wewe ufai

  • @babuulendisa687
    @babuulendisa687 Před 6 lety +2

    kwaiyo wewe ni mwenyeki wa rpc kumbe police wanavyama

  • @mussajonasi658
    @mussajonasi658 Před rokem

    big up sana mzukumu

  • @aeroportonissan8077
    @aeroportonissan8077 Před 6 lety +8

    MKUKI KWA NGURUWE....

  • @magezimagezi363
    @magezimagezi363 Před 6 lety +3

    Ningekuwa kiongozi mda huu ungerudi sero, ulikutoa hayo uliyonayo miyoni mwako, kakini yote haya ni uongozi bora wa Dr Rais jpm, Mungu akutie nguvu ili uwe na makamanda wengi km wa geita hii ni ishara kuwa nchi inazidi kuwa Safi, huyo wammkamate aseme aseme, na sheria itende haki....

  • @flyhigher5393
    @flyhigher5393 Před 6 lety

    safi wamekukomesha wew huna adabu wala akilii.... safi sana walivyosema chakula chako kimwagwe.....

    • @flyhigher5393
      @flyhigher5393 Před 6 lety

      inabidi wakunyooshe wew,kwan mwenyekiti wa chama nan alisema yuko juu ya sheriaaa???
      acha zako wew bhanaaa huna jipyaaa....

  • @shufaamohameed2603
    @shufaamohameed2603 Před 6 lety

    Safi umeongea point sana mkubwa hawakamati wahalifu wanaogopa

  • @user-oo5pc9bp9z
    @user-oo5pc9bp9z Před měsícem

    Yangu macho😂😂😂 ungesema alichopereka mbeya alichowekeza geita umesha mwaka mchele kwenye kuku wengi

  • @jimsonjimmy9232
    @jimsonjimmy9232 Před 6 lety +1

    sipati picha hiyo Tanganyika jeki ulivyobebwa nahicho kimwili RPC kirudishe ndan tena Massa 3000

  • @marcodominico9503
    @marcodominico9503 Před 6 lety +1

    ....."" Leo ni sisi, kesho ni Nape..keshokutwa ni wewe....". Alisema Tundu Lissu

  • @omanabcd9249
    @omanabcd9249 Před 3 lety

    Pole sana msukuma

  • @danielmenganyi8075
    @danielmenganyi8075 Před 4 lety +2

    Msukuma deal imegonga mwamba

  • @adinanjuma2457
    @adinanjuma2457 Před 6 lety +1

    Hahahahhahaha! Siasa hizi na wana siasa hawa! Tukiwasubiri mtufikishe mmmmmmh! Imekula kwetu! Mkae na mtu ambaye ana mabaya yake! Duh!

  • @justinezablon6699
    @justinezablon6699 Před 6 lety +1

    Hahaahaa nanyi yawawashe kidogo😅😅😅😅😅

  • @josephtula5525
    @josephtula5525 Před 5 lety +1

    Wewe unaongoza jimbo ndani ya mkoa yeye RPC anaongoza mkoa mzima unahisi nani mkubwa hapo.

  • @mtoshugilbert5540
    @mtoshugilbert5540 Před 6 lety

    safi sana na uache kimbelembele kujifanya unajua sana kusema wenzio na kama ungekuwa mzalendo ungesema maovu yake toka mwanzo siyo kupigwa Tanganyika jeki ndo unajifanya kutoa mapovuu

  • @samwelimayko5866
    @samwelimayko5866 Před 5 lety

    pole mkuu mungu nimwema

  • @EmmanuelYona-wn5oz
    @EmmanuelYona-wn5oz Před měsícem

    tunakuunga mkono mbunge wetu na mwenyekiti wetu geita muanike huyo rpc

  • @nassorondege8488
    @nassorondege8488 Před 6 lety +1

    akamatwe tena na awekwe ndani kwani anaongea nini tena,,wakati suala lenyewe lipo mahakamani

  • @user-sz6ht5wm2g
    @user-sz6ht5wm2g Před 2 měsíci

    Unabii unaonyesha kwamba huo ndo mwanzo wa machafuko ambayo yatakivaa chama cha CCM na hasa wale wasiyomjua Mungu na huo ni mwanzo tu, yapo yanakuja ni muda umefika Mungu amechoka kuona watu wanamyungu yao kuongoza nchi