HISTORIA YA IKULU YA MAGOGONI / HUYU NDIYE ALIYEJENGA!

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 05. 2019
  • HISTORIA YA IKULU YA MAGOGONI / HUYU NDIYE ALIYEJENGA!
    Ikulu ya Tanzania ndiyo ofisi kuu ya Rais wa jamhuri ya Tanzania ambapo ilianza kutumika kama ofisi ya Rais wa Tanzania mwaka 1962.
    Jengo hili la Ikulu lilijengwa kwa mara ya kwanza mwaka 1919 na Gavana wa kwanza wa kiingereza ndugu HORRACE BYATT.
    #IKULU
    //www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Komentáře • 185

  • @kelvinjohn6851
    @kelvinjohn6851 Před 5 lety +24

    Nakapenda haka Ka Soundtrack. Ananias kama hutojali tafadhali share jina lake hapa. Kapo too emotional kwakweli. Kuhusu Ikulu sasa historia inabadilika tunaenda chamwino Dodoma.

    • @ebbyramadhani
      @ebbyramadhani Před 5 lety +1

      Wengine wavivu kusoma vitabu
      Hii ni njia pekee yakupata elimu

    • @stevek8318
      @stevek8318 Před 4 lety

      Sijawahi kuona ikiwa Ananias hujibu hizo texts kabisa

    • @ramamtetu2327
      @ramamtetu2327 Před 4 lety

      Historia inaweza kukataliwa au Kukubaliwa kwa Kuzingatia utafiti na Vigezo
      Kwa Mfano ipo Histori inayosema kwamba Ikulu hii ya Magogoni ilijengwa na Gavana Mmoja wa Kijurumani 1891 na ilikuwa ngame yake Havana huyo.
      Ukiondoa historia hiyo kuna Historia inayosema kuwa Ikulu ya Magogoni Ilijengwa Kwa Usimamizi wa Kiongozi fulani wa Dola ya Znz
      Sasa basi Kitaalamu Huruhusiwi Kupinga wala Kukubali Kilichoelezwa Bila ya Utafiti na Vigezo bali
      Tuendelee Kujifunza na Kufanya Tafiti za Kisomi
      Ukiondoa hayo Lazima Tujumlishe na hili kwamba Ikulu yetu imejengwa mwaka 1919 na kukamilika 1922 chini ya Gavana wa Kiingereza.
      Hapa linahitaji Utafiti Mwingine ili Tuweze kusahihisha Maelezo na Kama Mtu Hujui Kufanya Utafiti yampasa Kuuliza Zaidi Kwa Wanazuoni wetu ili Wakuje na Madini ya kisomi
      Lakini Sio Kuja Mihemko ya Kidini Katika Mas'hala yanayohitaji Utaalamu Zaidi
      Nimalize Makala haya Kwa Maneno aliyowahi kuyasema aliyekuwa Kadhi Mkuu wa Kenya
      "Debe tupu haliishi Kelele na Elimu Chahe ni Mzigo"

  • @masaulihassan2463
    @masaulihassan2463 Před 5 lety +7

    always najivunia kujua mambo mengi kupitia global tv

  • @Mahmoud-ri7wo
    @Mahmoud-ri7wo Před 4 lety +2

    Nzur,je historia hiyo ni kweli? Fuatilia vizur!!!!

  • @veronicatweve4786
    @veronicatweve4786 Před 5 lety

    Asante kwa kutujuza 🙏

  • @isaacmwaipopo
    @isaacmwaipopo Před 5 lety

    Napenda sana simulizi zako katika documentary zako. Be blessed. Ile documentariy ya mkwawa

  • @samsonezekiel970
    @samsonezekiel970 Před 5 lety +1

    Global good voice

  • @godfreynyansira8227
    @godfreynyansira8227 Před 5 lety

    Asante sana kwa kujifunza

  • @SIMBAofSIMBA
    @SIMBAofSIMBA Před měsícem +1

    Waingereza waliijenga hii ikulu mpya kutokanana na architecture ya kiislam na kiarabu pia kutokana na influence ya waarabu kwenye culture ya kiswahili.Huu ujengaji walicopy toka islamic Spain(al andalus) na North Africa na hizo horseshoe arch hujulikana kama Morish arch.

  • @ashashabani2283
    @ashashabani2283 Před 5 lety

    Safi sanaaa

  • @edwardgwaspika4943
    @edwardgwaspika4943 Před 5 lety

    Historia nzuri big up kaka!

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 Před 5 lety

    Ikulu dahh banaaa naipenda sana ikulu ya Tanzania

  • @haidarihondo4475
    @haidarihondo4475 Před 5 lety

    global tv hongereni sanaa

  • @aliharrassy8484
    @aliharrassy8484 Před 7 měsíci +1

    The word Mzizima was changed to Dar es Salaam by Sayyid Majid bin Said Al Busaidi who was a ruler (Sultan) from 1834 to 1870 who purchased part of the coastal fishing village to build a new city and named it Dar Es Salaam (House of peace) as part of commerce development. He built some government buildings including today's government Ikulu or Palace (the State House) with Arabian architecture which is used today as the official residence of Tanzania's President.
    The Ikulu facility was founded or built by Sayyid Majid in 1865 as an Islamic institute with facilities including, boarding a mosque, and a garden, and he brought scholars and students from different places to teach and learn Islam. During the German force occupation of Tanganyika, this facility was occupied by German forces and used as their headquarters.

  • @disoilemwegalawa2297
    @disoilemwegalawa2297 Před 3 lety

    Kazi iendelee

  • @ayyubhamza8632
    @ayyubhamza8632 Před rokem +2

    Ndugu edga naomba nijuze kitu kimoja hapo kwenye lango kuu la ikulu kuna maneno ya kiarabu ambayo maana yake ni (ingieni humo kwa salama na amani) je maneno hayo aliaandika nani?

  • @ngenzisaid4958
    @ngenzisaid4958 Před 5 lety

    Nakuelewaga sanaa brother

  • @user-uf4tz7gi6o
    @user-uf4tz7gi6o Před 20 dny

    Sio kweli walijenga waarabu

  • @kichwachamtumba1226
    @kichwachamtumba1226 Před 5 lety +5

    Ikulu

  • @samcharzy4657
    @samcharzy4657 Před 5 lety +19

    Hilo Tangazo la gari so POA , Hawa jamaa Hilo Tangazo wabadilishe aidia, wanaweza kuua watu mitaani akijiamini ni ubora wa mataili

    • @charlesshewio8058
      @charlesshewio8058 Před 5 lety +1

      sam Charzy hata mimi nmewaza kama ulivowaza wewe, of course mbunifu wa tangazo ameyumba

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x Před 4 lety

      Hahahahaha tangazo hatari sana

  • @omarijaba5042
    @omarijaba5042 Před 5 lety +14

    Historia umeanzia katikati kaka, kabla ya wajerumani ikulu ilikuwepo

    • @saulonmathias66
      @saulonmathias66 Před 4 lety

      Posti nawewe ya kwako mnahalibu biashara ya watu

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Před 4 lety

      @@saulonmathias66 kaka hiyo historia kanjanja ikulu ilishajengwa kabla ya kuja kwa wazungu, ingia google utaona, na jengo halikujengwa kwa matumizi ya kuwa ikulu bali kilikuwa chuo cha kutolea elimu na jina lake halisi kiliitwa Daru salaam, wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya Afrika mashariki walipokuwa wakija Mzizima kusoma walikuwa wakisema tunaenda Daru Salaam na ndiyo baadae jina la Mzizima likafa taratibu na mji huu wote kuitwa Dar es Salaam.

    • @timorpathsullusi7055
      @timorpathsullusi7055 Před 4 lety

      Ndio,

  • @bennympatanishi8341
    @bennympatanishi8341 Před 5 lety +1

    Shukrani sana, tunaomba makala juu ya Luther king jr

    • @abuumzaila355
      @abuumzaila355 Před 5 lety

      Kweli kaka martine luther tunahitaji historia yake

  • @ramadhan122
    @ramadhan122 Před 5 lety +27

    Muasisi wa ikulu ya Magogoni ni sultani wa zanzibar msimulizi amepotosha hapo

    • @ismailmkandara1813
      @ismailmkandara1813 Před 5 lety

      Ww historia huijui ww

    • @ramazubery8396
      @ramazubery8396 Před 4 lety +4

      @@ismailmkandara1813 wewe ndio hujui ilitengenezwa nasultani.sio iyo tu ata hospital ya oshen road ilijengwa na sultani majidi atamaktaba.unaadisia ulivyo kalilishwa shuleni waulize babu zako kama auna babu waulize wenyeji wa daresalaam kipindi icho inaitwa daru salama kwakiarabu kiswahili nyumba yaamani.imeandikwa mbele yaikulu mpaka Leo tena kwakiarabu.awalikabisa paliitwa mzizima.kabla aujaadisia vitu vyakale fanyautafiti wakutosha.

    • @hamismamba7668
      @hamismamba7668 Před 4 lety +1

      Waisilamu bwana ni matatizo tu hadi leo wanatamani watawaliwe tu na waarabu na kusahau waarabu hawa wamewadhalisha kiasi gani waafrika ambao eti walikuja na uisilamu kumbe walikuwa wakoloni kama wakoloni wengine tu.Sasa kama historia sio sahihi je huyu historia hii kaitoa wapi?Nendeni basi mkaangalia hilo jiwe la msingi ili muweze kujua kuhusu ukweli wa historia.Angelieni historia ya wakati huo wakoloni walijenga makazi yao boora lkn waafrika walikua wakiishi ktk vibanda ya kuku!!!!

    • @ramazubery8396
      @ramazubery8396 Před 4 lety +1

      @@hamismamba7668 alive kuroga kafa uwezi kupona.

    • @nasseralhabsi1483
      @nasseralhabsi1483 Před 4 lety +3

      Sultan wa Zanzibar na Oman ndio aliyeijenga hiyo ikulu. Ilijengwa kama chuo cha elimu ya dini, lugha ya kiarabu kabla ya kugeuzwa kuwa ikulu baada ya uhuru.

  • @mohamediiddi761
    @mohamediiddi761 Před 5 lety +1

    Edgar Leo Umeanza kusimulia part 2.

  • @tanzaniakwanza1699
    @tanzaniakwanza1699 Před 2 lety

    Nimelipenda tangazo la Double star tairi

  • @RamaZuberi
    @RamaZuberi Před 2 měsíci

    Nimepitia comments wenyemajina yakikristo wote wanasema historia safi safi ndio hinyi mlioambiwa na kukubali sisi weusi tulitokana na nyani ukisifia kisifie chenye uhakika tuache ushabiki sisi watanzania dini tuweke pembeni tusimulie ukweli.bariki tz wbariki afrika.

  • @allymaulid9391
    @allymaulid9391 Před 5 lety +3

    nimependa hii history ya ikulu

  • @2nukhamis447
    @2nukhamis447 Před 4 lety

    Shukuran

  • @hussenmelly5286
    @hussenmelly5286 Před 4 lety +1

    Hapa Mzee baba Bado hujanikamata

  • @user-cx5wv5xu3e
    @user-cx5wv5xu3e Před 4 lety +1

    Uongoooooo wazungu majengo wameyakuta hayo achen kuficha ukweli yalijengwa na mwarabu

  • @FeyOmary-we9xu
    @FeyOmary-we9xu Před rokem +1

    Najiuliza sana, Lengo la huyu au hawa watu kupotosha historia ni nini ? Au wanatumwa ? Haiwezekani kupotosha historia kwa kiwango hiki bila lengo, Lazima kunalengo la kufanya hivi, Na sio wamepotosha historia hii tu na nyengine nyingi, Ikiwemo Historia ya karume na znz, Kama kunamtu amewahi kuiskiliza ataelewa ninachoongea, Sio hizo tu hata Historia ya Iddi Amini wamesimulia uongo mtupu, Lengo ni nini ? Hawa watu sio wakuwafumbia macho, Historia ni kitu kikubwa na muhim. Tuweni makini.

  • @ahmadhassani7444
    @ahmadhassani7444 Před 3 lety +1

    Uongo ikulu ya waarabu

  • @kassimungemba5830
    @kassimungemba5830 Před rokem

    Upotoshaji.

  • @pagallohumphrey722
    @pagallohumphrey722 Před 5 lety +12

    Historia nzuri ,ila kuna sehem naona hapako sahihi tangu nilipo anza kufatilia kuhusu mjengo,makao makuu wa wajeruman yalikua kisarawe kwa sababu ya strategy za kivita by then nahisi waarabu ndio walikua magogoni ndio walio ijenga kwa mara ya kwanza then mjeruman akaichukua coz ukiangalia waarabu ndio walio kua wakipenda maeneo ya pwani I think bcoz walitokea maeneo ya majangwa coz ata ukiangalia structure ya majengo ya bagamoyo au zbar ambayo walijenga yanafanana na ikulu,so nadhani historia imeminywa na bwana byat au mjeruman.

    • @mohamediidrisa1259
      @mohamediidrisa1259 Před 4 lety +1

      Pagallo Humphrey ukweli utaishi milele. Na uongo ni suala LA mda tu hongera bro kwa kuliona hilo na hii ni kawaida historian sahihi zimevurugwa kwa makusudi sijui kwann

    • @salhaisrael8265
      @salhaisrael8265 Před 2 lety +1

      Nikweli kabisa hata akili inakubali wajenzi nisultan majid

  • @farajisureman9925
    @farajisureman9925 Před 4 lety +3

    NIMEKAMILISHA IDADI YA HISTORIA 3 ZOTE KILA MOJA INAONGEA KIVYAKE.Hapa itabidi nimtafute Prof. Taliwawa Fidelis Massao nijue ukweli wa mambo haya.

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan Před 5 lety +6

    Nchi Tanganyika ili undwa na Mjerumani. Nchi Tanganyika ilikua haipo kwenye ramani ya Duniya kabla ya Mjerumani kuunganisha Chiefs na Sultans mbalimbali katika mikoa yote hii na kuita kwa jina la (Tanga-pwani na Nyika-mbuga) Tanganyika. German Öst Africa.
    Historia Ndugu Ananias.

  • @geffects1141
    @geffects1141 Před 5 lety +1

    Respect kwako King of Presenters AnnaniasEdiger.

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 Před 5 lety +3

    issue sio ukubwa bali hadhi ya ikulu yenyewe! ni royal class

  • @user-us4kq8np7g
    @user-us4kq8np7g Před 8 měsíci

    Iyo ilikuwa chuo cha kila. Kislam alijenga sultan majdi

  • @mohammedmfamau43
    @mohammedmfamau43 Před rokem

    Sisi huku zanzibar km tunataka kuuwanika ukweli tutakuja kuichafuwa hali ya hewa na haina haja ila msiwapotoshe watu na historia yao nzuri iliyotukuka ukiikana historia halisi ya kwako au kwenu huna tofauti na mtumwa na ndio mana baadhi ya viongozi wetu wanataka wamrudishe mama yetu tanganyika alebezwa na baadhi ya wanawe mfano km zanzibar hadi leo wanae na kumlilia.

  • @akenanijr862
    @akenanijr862 Před 5 lety

    Mbona izo pic nyengine za ikulu y'a Zanzibar

  • @thaubannaftal7265
    @thaubannaftal7265 Před 4 lety

    Mjerumani ajenge ikulu aweke maandishi ya kiarabu amerogwa ikulu hiyo imejengwa na waislam acheni kupotosha ukweli mmetumwa.historia iko wazi ikulu ya magogoni imejengwa na waislam.

  • @kombomaskuzi2709
    @kombomaskuzi2709 Před 3 lety

    Sio kweli bro hiyo ilikua chuo cha kiislam Afrika mashariki

  • @hassaniulende-sp6io
    @hassaniulende-sp6io Před 25 dny

    HAPO UMEONGOPA HAUJASOMA HISTORIA BADO ,

  • @kassimjumamohammed4580
    @kassimjumamohammed4580 Před 4 lety +2

    Mtuma post umesahau km ikulu hii walijeng waarabu

  • @user-uf4tz7gi6o
    @user-uf4tz7gi6o Před 20 dny

    Alijenga sultan WA Zanzibar

  • @augustinenyerere8613
    @augustinenyerere8613 Před 5 lety +3

    Sauti hamna

    • @mohsinrajab7350
      @mohsinrajab7350 Před 5 lety

      Hapo umeongopa mtangazaji story yote uliyotoa ni ya uongo ikulu ilikuwepo kabla ya mjerumani na mwingereza kutawala Tanganyika waulize wanaojua wakueleze pia ukitaka kujua zaidi nenda pale kwenye lango kuu la kuingia ikulu tazama pale juu utaona maandishi ya watu waliojenga hiyo ikulu hapo ndio utajua lugha hiyo iliyoandikwa hapo wanatumia watu gani!!

  • @nasseralhabsi1483
    @nasseralhabsi1483 Před 4 lety

    Wazungu wanapotosha historia.

  • @jonaslasway5396
    @jonaslasway5396 Před 5 lety +3

    Mbona sisikii chochote.

  • @yusuphcosco6493
    @yusuphcosco6493 Před 4 lety +1

    Ananias acha kutudanganaya kwani ikulu haijajegwa na gavana kama ambavyo unavyodai na hajajegwa mwaka huo bhn kama hujui history uwe unauliza kwanza .Ila nikusifu kitu kimoja unasauti zury ya kuwaongopea watu icho tu

  • @abuuminya8746
    @abuuminya8746 Před rokem

    historia hii imechakachuliwa kunauongo mwingi sna

  • @ati9395
    @ati9395 Před 20 dny

    almuradi uzungumze tu ukitaka kutoa taarifa ya historia fanya uchunguzi ili ujue usahihi

  • @omarykambombo7264
    @omarykambombo7264 Před 5 lety +11

    sasa kwanin lile jengo lina maneno ya kiarab

    • @AnaniasEdgarTV
      @AnaniasEdgarTV Před 5 lety +4

      Ikulu ilijengwa na Sir Horrace Byatt, ila msanifu majengo alitoka Oman na ndiye aliyeambiwa aipambe atakavyoona ili kuifanya ivutie ndipo alipoandika yale maneno ya kiarabu pale langoni. Pale palipojengwa Ikulu awali palikuwa garden ya Sultan Said Seyid aliyekuwa akiishi kwenye majengo ya wizara ya Muungano na Mazingira ambapo pia ni ofisi ya Makamu wa Rais. Ndipo wajerumani walivyowaondoa waarabu wakajenga Ikulu pale kwenye garden lakini pia utawala wa Uingereza ulivyotawala Tanganyika uliibomoa nakujenga tena. All in all hongera sana kwakufuatilia historia. Asante sana.

    • @allyderossi9742
      @allyderossi9742 Před 5 lety

      Ananias Edgar:Hapo kdoooog imeanza kupenya ktk mishpa yngu ya ufahamuu...

    • @nassorsheha8078
      @nassorsheha8078 Před 5 lety

      Jamaa upo sawa majengo yote yanafanan alojenga muwarabu

    • @aboubakarchande8461
      @aboubakarchande8461 Před 4 lety +2

      ikulu ilijengwa na sultan said majid na wala sio said sayid 1865 na ikakamilika 1866 acheni kupotosha umma mjerumani na muingereza majengo yote wameyakuta tafuteni fact na sio kuwaongopea watanzania..

    • @just_this_way
      @just_this_way Před 4 lety +1

      @@aboubakarchande8461 kweli kabisa

  • @ebbyramadhani
    @ebbyramadhani Před 5 lety

    Hii ni safi kabisa
    Kuna Mambo mengi tunapaswa kujua kuhusu Tanzania yetu
    Nyumbani kwanza

  • @godfreykitoki9639
    @godfreykitoki9639 Před 5 lety +1

    Yah nimefrh elimu hii

  • @ahmadhassani7444
    @ahmadhassani7444 Před 3 lety

    Mmmmhhh

  • @masoudkibwana4916
    @masoudkibwana4916 Před rokem

    Msimuliaji kajifunze hesabu kwanza unajua urefu au sehemu ya mita 10 au unaongea tu 😂😂

  • @kilengawanamwinyikambihuss5730

    union building

  • @kitonikitoni6299
    @kitonikitoni6299 Před 4 lety

    Mbona kuna maneno ya kiarabu?

  • @dhulfiqaarally7274
    @dhulfiqaarally7274 Před 4 lety

    Acha kupotosha

  • @KhalidKhalid-zt1bc
    @KhalidKhalid-zt1bc Před 4 lety

    Ajabu jengo la muonekano wa kiarabu kujengwa na mzungu , hebu jiulizeni hilo jengo linafanana na jengo gani la ulaya?

  • @ishifaqabdulahi3532
    @ishifaqabdulahi3532 Před 2 lety

    Historia yaungo hiyo iweje mzungu ajenge halafu aandike Aya ya quraan juu ya mlango wa kuingilia ndani Hilo JENGO lilijengwa na said Majid kabla ya wajurumani na waingereza kufika Tanganyika lilijengwa mwaka 1865 wajurumani wamekuja mwaka 1870 kabla ya waingereza . JENGO lemejengwa na waislam Ni makao makuu ya ukanda wa afrika mashariki ili kufidishia waislam wa Congo Zimbabwe msumbiji nk na ushahidi Ni hiyo Aya iliyo andikwa mlangoni . UDUKHULUHA BI SALAMI AMININ YANI INGIENI KWA SALAMA NA AMANI

  • @ngumbosanga5359
    @ngumbosanga5359 Před 3 lety

    Kaka mbona unapotosha unacho elezea sikweli ebu fatilia upya

  • @kombomaskuzi2709
    @kombomaskuzi2709 Před 3 lety

    Na hospital ya ocean road ilikua hostel ya wanachuo wa kiislam walinyanganywa na wajerumani

  • @theking6320
    @theking6320 Před 4 lety

    Hakujenga mjerumani someni history vizuri

  • @kitonikitoni6299
    @kitonikitoni6299 Před 4 lety

    Hii story ni yauongo

  • @nasrimchopa678
    @nasrimchopa678 Před 5 lety

    Hilo tangazo liangaliwe kwa Mara ingine halifai katika jamii

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 Před rokem

    MWAKA 2023: BABA LIMEBUMA HISTORIA YA KWELI YA IKULU YA MAGOGONI IMETOLEWA NA IKULU YENYEWE MWAKA HUU 2023 NA WALA SIO HIZI POROJO ZA UONGO, HII VIDEO YA HISTORIA YA UONGO HEBU IFUTE, IKULU ILIJENGWA NA SULTANI WA ZANZIBAR NA WALA SIYO HUYO MZUNGU..

  • @jumamalika1656
    @jumamalika1656 Před 4 lety

    Tangazo la kisengeee

  • @christianshoki2422
    @christianshoki2422 Před 4 lety

    Hapo umechemka ni 1893

  • @abdallahabeid4138
    @abdallahabeid4138 Před rokem

    Sio sahihi iku ya dsm haikunengwa na dsm

  • @ummusumaiyahmwinyiamani7119

    hahahaaaaahahahahaha

  • @hassankhatibmndima2513
    @hassankhatibmndima2513 Před 11 měsíci

    Kaka unapotosha watu.fanya utilities kwanza.wajerumani wamelikuta hili.ukitaka kujuwa uliza yule makaburi yalokuwepo ndani ya jingo la utumishi.utajuwa nani alojenga.labda ya dodoma

  • @jacoblaiser7634
    @jacoblaiser7634 Před 4 lety

    Wewe sio ananias umeigiliza na umefeli sauti na simulizi. Kifupi umeharibu

  • @timorpathsullusi7055
    @timorpathsullusi7055 Před 4 lety

    Umegusagusa fresh ila mjerumani ndo kaanza na hilo jengo. Na hata huo muundo ni kama Boma la Bagamoyo yalipokua makao makuu ya serikali kabla ya kuhamishia Dar.

  • @ramamtetu2327
    @ramamtetu2327 Před 4 lety

    Historia hii bana mmmh
    Ikulu imejengwa Miaka 1860 hukooo
    Wewe Unaelezea miaka 1900 nA Ushee. is long

  • @mohammednassor3614
    @mohammednassor3614 Před 4 lety +2

    Unaongea Kwa kutulia lakini uongo

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 Před rokem

    Hiyo storia ni ya uongo ikulu hiyo ilijengwa na waarabu ilikuwa ni ikulu ya sultan

  • @user-ct2nw8br1o
    @user-ct2nw8br1o Před 11 měsíci

    Uongo sio huyu

  • @fadhilymaganga266
    @fadhilymaganga266 Před rokem

    Wewe ni mwongo rekebisha history hiyo usiwakwepe waliyo ijenga.
    Au ndowale wanao tuaminisha mtu mweusi katokana na nyani na masokwe 🤣🤣 very very shame.

  • @suleimanmohd.7197
    @suleimanmohd.7197 Před 4 lety

    Wwe unataka umaarufu tu hata historia ya Babaako inakushinda kuisimulia usipotoshe jamii.

  • @mbwanajuma2143
    @mbwanajuma2143 Před 3 lety

    Kabla ya Byatt jengo hili lilikuwa madrassa

  • @mtatiromgeka7270
    @mtatiromgeka7270 Před 4 lety

    Mnatumia mb zetu kwa matangazo yenu ivi ninyi ni wnahabari au watu wa matangazo

  • @kokudo8389
    @kokudo8389 Před 5 lety

    Kama ni uongo basi alie Andaa makala ndo Muongo na Sio msomaji nadhani mmeelewa hapo 😁

  • @salminmayila4395
    @salminmayila4395 Před 3 lety

    Hiyo ilijengwa na warabu kumbe na nyie mnafanganya wazungu hawakuwa na majengo yenye kufanana na misikiti achs uongo

  • @mohamedkayaya1443
    @mohamedkayaya1443 Před 5 lety

    Jengo hilo lilijengwa kipindi cha mwarabu nahata muonekano wajengo unaweza kulinga nisha nimijengo yazenji jengo hili lilitumika ktk kufundishia kama chuo chakiislam najengo hili ndio source ya uislam afrika mashariki nakati ukitazama mlango wambele kuna maneno yakiarabu

    • @enockyohana6856
      @enockyohana6856 Před 5 lety

      Pale mbele zio maneno ya kiislam ila nimichoro ..na ukae usikilz kwa umakin ilijengwaj na lilijengwa ili iwej

  • @noahvan6890
    @noahvan6890 Před 4 lety

    Sasa hiyo mi double star hatutaki

  • @kheirmbarouk8373
    @kheirmbarouk8373 Před 5 lety

    Broo rudi nyuma na hiyo story ilo jengo halina sign hata moja ya wajerumani wala waengereza hata waitaly .. kusoma hatujui lakini kuona tunaona umechemsha na gesi imeisha mchuzi haujapwaga napenda hizi story zako lakini leo mwamba ha hata tale maandishi kwenye mlango wa nje hujayaona ukayatolea maelezo ya wajerumani

  • @thaubannaftal7265
    @thaubannaftal7265 Před 4 lety

    Jengo LA ikulu ya magogoni ilikuwa Mali ya waislam,umetuambia mjenzi lkn umeshau kutuambia mjerumani alieandika Yale maandishi ya kiarabu kwenye jengo hilo.

  • @salemjamal6762
    @salemjamal6762 Před 4 lety

    Ilo zungu lako sijui umelitoa wapi ivi nani hajui kuwa ikulu mwarabu ndo kajenga angalia mijengo ya kiarabu nakshi zao tangu zaman hadi leo ndo utajua na angali nakshi za wazungu wako mijengo yao ndo utajua haziingiliani acheni kupotosha watu

  • @muslimcultures7956
    @muslimcultures7956 Před 4 lety

    Historia haipo sahihi ikulu haikujengwa na wajerumani ikulu imejengwa na mtawala wa Zanzibar miaka ya 1860 mpaka 70 pamoja na majengo yanayo julikana leo hii kama hospital ya ocean road Tafadhali lete habari za usahihi usipotoshe history

    • @omarykilimba3616
      @omarykilimba3616 Před 2 lety

      UKWELI USIPOTOSHWE MAJENGO MENGI YALIJENGWA KABLA YA MJERUMANI KUTAWALA TANGANYIKA.PAMOJA BIDII YA KUPOTOSHA BADO UKWELI UKO PALE PALE.

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 Před rokem

      Sio kweli ndugu yangu, Wajerumani walijenga Ikulu Bagamoyo, baadae walianza kujenga reli dar wakaamua kuhamisha makao toka Bagamoyo kwenda Dar, wakajenga Ikulu hapo lakini katika vita ya kwanza ya dunia Ikulu ilishambuliwa ikajengwa tena na Waingereza, kwahiyo ni kweli ma sultani walijenga majengo mfano jengo la od boma pale mbele ya johari rotana, ila Ikulu ni ya wazungu

  • @khatibabdallah6185
    @khatibabdallah6185 Před 4 lety

    Hapo kidogo umechaipia vita kuu ya kwanza ya dunia tanganyika ilikuwa chini ya wajerumani, baadae baada ya ujerumani kupigwa alinyang'anywa makoloni yake ikiwamo tz

  • @simbomart6186
    @simbomart6186 Před 5 lety +3

    Mbona hauoneshi ndani unaonesha picha tu ya nje

    • @suzanfelix8857
      @suzanfelix8857 Před 4 lety

      Usiwaze tutaingia tu pale watakopoligeuza kuwa makumbusho Kama rais alivyotuahidi

  • @ramadhanihamisi8802
    @ramadhanihamisi8802 Před 4 lety

    Muongo tens haswa angalia hata muonekakano utajua wajenz ni akina nani,

  • @johngabrielz5904
    @johngabrielz5904 Před 5 lety

    So unaniambia the british people wanna bkueprint la jengo la raisi wetu..

  • @johnlubagula9723
    @johnlubagula9723 Před 5 lety

    Brother ww kazi unaweza haubahatishi

    • @zatznz4358
      @zatznz4358 Před 5 lety

      HILO JENGO KWAMBELE NI IKULU YA MAGOGONI LKN HIYO UNAYOSEMA KWA NYUMA NI IKULU YA ZANZIBAR HATA NAKSHI ZA MILANGO NA MADIRISHA HAYAFANANI...

    • @zatznz4358
      @zatznz4358 Před 5 lety

      UMECHANGANYA PICHA

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 Před rokem

    Huyu jamaa ni muongo cn

  • @abuuaflah3690
    @abuuaflah3690 Před 4 lety

    IKIWA IMEJENGWA NA WAJERUMANI MBONA IMEANDIKWA AYA YA QUR-AAN KATIKA MLANGO WA KUINGILIA? UNAPOTOSHA UKWELI IMEJENGWA NA WAARABU SULTAAN WA ZANZIBAR MIAKA HIYO.

  • @samsonezekiel970
    @samsonezekiel970 Před 5 lety +1

    Ukweli uko wp naona mabishano au ndio siasa

    • @dullahoroond5241
      @dullahoroond5241 Před 5 lety

      Jengo hilo limejengwa karne ya 18

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 Před 5 lety

      Ukiangalia architecture (sanaa ya ujenzi) iliyotumika katika ikulu ya magogoni utagundua inafanana na ile ya Zanzibar. Hapo utaona dalili mojawapo ya kuwa imejengwa na Wazanzibari chini utawala wa kiarabu.

    • @mohammednassor3614
      @mohammednassor3614 Před 4 lety

      Tafadhali tafuta elimu sahihi usimbambike au kubumba historia nenda msikiti wa mtoro utapata historia sahihi

  • @paulmwilinge2900
    @paulmwilinge2900 Před 5 lety

    Jamani sasa uongo uko wapi anaejua ukweli aseme maana mtangazaji amesema habari ya Ikulu na sio chuo cha kiislam,na amesema kabla ya ujenzi aliouanzisha Gavana wa kiingereza 1919 yalikuwepo majengo mengine ambayo aliamuru yabomolewe.Na yeye ameelekeza maelezo juu ya historia ya Ikulu majengo yaliyopo sasa na amekiri yalikuwepo mengine kabla ndio hayo yaliyobomolewa.Sasa mnao kataa tuelewesheni wenzenu.

  • @abuuaflah3690
    @abuuaflah3690 Před 4 lety

    IKULU YA MAGOGONI ILIJENGWA ZA WAARABU WANATAWALA PWANI YA BAHARI YA HINDI.