HISTORIA YA SHABANI ROBART

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 28. 05. 2019

Komentáře • 39

  • @chipagafashion
    @chipagafashion Před 5 lety +25

    Kusadikika😂😂😂😂 kitabu kimenitesa Sana nikiwa advance. Wale team HKL nipeni like zenu🤗🤗

  • @cosmasdismas8714
    @cosmasdismas8714 Před 5 lety +7

    Shaban robert....legend,mashair ya hela yote....namkubali sana,fund wa fasihi andishi...

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 Před 5 lety +9

    MAPUNGUFU HISTORIA YA SHABAN ROBERT!!
    Ndugu mwandishi,
    Hongera kwa kutuletea historia adhimu ya mzee wetu Shaban Robert, kazi nzuri lakini ni vyema ungeanza na chimbuko lake yani asili yake, wapi hasa Shaban Robert wazee wake walipotoka yani kwa mfano ungesema ni Myao kwa kabila tokea Mrima, Pwani ya kusini eneo la Tunduru mpaka Pwani ya Zaramo yani Pwani ya Mzizima (eneo la Magogoni au Posta, Dar es Salaam ya sasa).
    Vile vile kwenye hiyo miaka uliyosema ameandika vitabu ungesema ni miaka ambayo vitabu hivyo vilichapishwa kuondoa hali ya sintofahamu, Shaban Robert alifariki mwaka 1962 kuna baadhi ya vitabu umesema ameandika juu ya mwaka sitini na mbili na kuendelea yani baada ya kifo chake, watu wanaweza wakajiuliza mwaka sabini na kitu Shaban Robert ameandikaje kitabu ilhali tayari ameshakufa?! Kwenye hili tafadhali nalo lirekebishe. Hapa fanya marekebisho ya miaka ya kuchapwa kwa vitabu vyake na sio kuviandika kama ulivyosema.
    Hata hivyo hongera kwa kazi nzuri lakini ungeirudia hii kazi yako tena kwa kuanza na chimbuko lake namna babu yake alivyotoka kwa mguu Tunduru mpaka Mzizima ungekuwa umeisaidia sana jamii kumtambua huyu fanani wa taifa letu.
    Na pia fanya marekebisho hapo kwa SITI BINTI SAAD, kwenye jina la hicho kitabu cha Wasifu... sio wasifu wa BINTI SADANI, sahihi ni wasifu wa SITI BINTI SAAD hivi ndivyo unavyopaswa kusema. Kumbuka huyu bibi ndiye nguli na ndiye Muasisi wa Mziki wa Taarabu haitwi hivyo kama wewe unavyomwita, nae ana mchango wake ktk kukikuza Kiswahili kupitia mziki wake wa Mwambao yani mziki wa Taarabu asili zama hizo.
    Tafadhali nasisitiza irudie tena hii kazi kwa maslahi ya umma wetu ili kizazi cha sasa na kijacho kizidi kujifunza na wamfahamu vyema fanani huyu wa Kiswahili shujaa wa fasihi ya lugha ya taifa letu, lugha ya bara la Afrika.
    Kwa msaada tu wa vyanzo vinavyoweza kukupa historia sahihi ya mzee wetu Shaban Robert nenda TBC na hakika bado wanayo historia yake, kwani miaka ya nyuma wakati wanaitwa RADIO TANZANIA walishamtengenezea hadi historia yake ambayo iliigizwa kama mchezo wa redio. Hakika ilikuwa ni historia iliyovuta hisia za watanzania wengi sana kipindi hicho.
    Tahadhali tu kuna baadhi ya vyanzo vya kimtandao haviwezi kukupa taarifa sahihi kwa mfano Wikipedia historia iliyoandokwa mule ina mapungufu kwani hata mwandishi wake anasema baadhi ya vitu havijui, kwa hiyo historia yake haifai kuifanya kama chanzo kikuu cha makala au habari yako.
    Kiufupi tu nenda TBC TAIFA (yani TBC upande wa Radio) naamini utapata huo mchezo wa redio unaelezea historia ya maisha yake (Mwanzo mwisho) historia ambayo nadhani iliyoigizwa na manguli wa sanaa ya maigizo Tanzania kina marehemu mzee Jongo ktk kundi la Rahaleo.
    Ahsante sana.

  • @vincentayua9435
    @vincentayua9435 Před rokem

    Kweli kabisa Shaban kakitendea haki kiswahili Afrika mzima

  • @lucaskinawiro173
    @lucaskinawiro173 Před 5 lety +4

    Kiukwl bro nime injoi xna kuhusu hii story na venye ulivo isumulia. Kuanzia muusika, family na kazi zake. Pia bila kusahau na wasifu wake kwetu.
    Safi xna bro.
    Kazi nzr mno.
    👏👏👏🏃‍♂️🌹

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 Před 5 lety +2

    Safi sana keep it up 👏👏

  • @jimmycatamollel8217
    @jimmycatamollel8217 Před 5 lety +1

    Dav unajua sana...your too smart brother

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 Před 4 lety

    Nakupongeza sana kaka Davistar

  • @mkojanicomedy8292
    @mkojanicomedy8292 Před 5 lety +4

    WA KWNZA

  • @zully756
    @zully756 Před 3 lety

    Marudi mema

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 Před 5 lety +1

    Vyema sanaaaa

  • @joelsamson6840
    @joelsamson6840 Před 5 lety +3

    Davistar mata nakukubali kwa,masimulizi matamu pia tunaomba utupe istoria ya raulent nkunda

  • @stevenpaul4818
    @stevenpaul4818 Před 5 lety +1

    Napenda fasihi sana

  • @kasimmukhenge8912
    @kasimmukhenge8912 Před 5 lety

    Namkubali marehemu Shaaban Roberts

  • @nyagawarichard3638
    @nyagawarichard3638 Před 5 lety

    Shabani Robert 🤗

  • @hasanimsafi3631
    @hasanimsafi3631 Před 5 lety

    Nc brother

  • @rogatusmeleki1660
    @rogatusmeleki1660 Před 5 lety

    Davistar upo juu

  • @mkwipunda2036
    @mkwipunda2036 Před 5 lety +1

    Jaman hivi vitabu vyake havipatikani softcopy mtandaoni kama kusadikika na utu busara ?

  • @albertmulugu6415
    @albertmulugu6415 Před 5 lety +2

    Familia yake ikumbukwe

  • @jemakhalifa6807
    @jemakhalifa6807 Před 4 lety +1

    shabani ufukwe hahahaaaaa

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 Před 5 lety

    Hakika Shaaban Robert ni tunu ya taifa letu

  • @cassianclement5595
    @cassianclement5595 Před 5 lety +1

    Mbn story ya Freemason uja endeleza....?

  • @mkojanicomedy8292
    @mkojanicomedy8292 Před 5 lety +3

    HUYOO NDIO SHABANI ROBATI BHANA ILA SASA WATU TUKO BIZE KUTAFUTA UMBEA INSTA NA 🙄🙄🙄🙄🙄 mungu tunusuru na hili pepo

  • @jumahassani6165
    @jumahassani6165 Před 5 lety

    Do!

  • @salmasaleh7983
    @salmasaleh7983 Před 4 lety

    😂😂😂😂😂 yallah maasalamu davistar acha uchokozi basi ndio umeamua kutukumbusha shuleee

    • @salmasaleh7983
      @salmasaleh7983 Před 4 lety

      Tumekumbuka sana na nimepata hamu ya kwenda kutembelea shule niliyosoma wiki hii

    • @salmasaleh7983
      @salmasaleh7983 Před 4 lety

      @@DavistarMataMediaDM hahaha salama zitamfika na sababu za ujio wangu pia nitamweleza

  • @manjoriwakunesa7006
    @manjoriwakunesa7006 Před 5 lety +1

    Kweli hakunamanufaa kwani hata kaburi walitaka liodolewe

  • @meritinakashaba968
    @meritinakashaba968 Před 5 lety

    Saf

    • @mwanafikraonline
      @mwanafikraonline Před 5 lety

      Waafrika tuwaenzi Mabingwa Wetu ili Kizazi Kijacho Kiwajuwe.