The Story Book:Ukweli Wote Kuhusu PEPONI.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 3. 11. 2022
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 1,5K

  • @stevennchambi3212
    @stevennchambi3212 Před rokem +636

    Kama mimi na wewe tutaacha mademu tukatenda mema, tukamsema vizuri Mwenyezi Mungu na kumsujudu kwa ile kweli na subira. Pigeni likes 20 zitatosha kubadili maisha yetu hapa duniani🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

    • @lameckshani9338
      @lameckshani9338 Před rokem +19

      Si kweli Ila mbinguni watakaoingia ni watakatifu tu,wenye haki walioishi Maisha ya kutokutenda uovu

    • @mrbill2231
      @mrbill2231 Před rokem +9

      Sema mimi kimoja tuu! kinacho nisumbua ni kuacha mademu🤔🤔🤔🤔

    • @derickshady5590
      @derickshady5590 Před rokem +12

      Mungu aliumba mademu kwa ajili yetu bro, tuache mademu halafu inakuaje?😅

    • @jimmymeshack8725
      @jimmymeshack8725 Před rokem +5

      @@derickshady5590 Hahaa bonge la point Mzee tuwaache afu tuishije sasa afu Mwamba anahisi like ndoo zitatufanya Mungu atuhurumie 😅

    • @zadokasaph5561
      @zadokasaph5561 Před rokem +7

      May God bless u abudantly Msitafa proffeser Jamali big up.

  • @margaretnduati5203
    @margaretnduati5203 Před rokem +372

    From Kenya,tunakubali sana Jamal,huyu ni legend,kama unakubali nipe like..

  • @Mrmakavuliv
    @Mrmakavuliv Před rokem +71

    KAMA UNAAMINI WEWE UTAKUA NI MMOJA WAPO KATI YA WATU AMBAO WATAINGIA PEPONI EMBU GONGA LIKE APAA

    • @kelvinsinyinza1659
      @kelvinsinyinza1659 Před 2 měsíci

      Kuna mapepo yawili ya wasilamu na wakristo ni ipi una Gongea Like?

  • @nassibmalik9934
    @nassibmalik9934 Před rokem +64

    Utaishi dunian labda miaka 50 lakini akhera utaishi milele na milele.tufanye mema kwaajili ya kupata maisha mazur

    • @endtimes9850
      @endtimes9850 Před rokem

      Yohana 3:16
      Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

    • @gh7naa
      @gh7naa Před rokem

      @@endtimes9850 mmungu hana mtoto ana mana bee ndugu fatilia mmungu hazaa wala kuzaliwa

    • @TharsilaAthanas-iu2qf
      @TharsilaAthanas-iu2qf Před 3 měsíci

      Jaman mung Hana mtoto muwe na adabu kidogo

    • @kwangahudispensary7238
      @kwangahudispensary7238 Před 2 měsíci

      ​@@TharsilaAthanas-iu2qfsisi tunaamini biblia ,,usitake wote tuamn yenu sio sawa.

    • @KATETIMQ
      @KATETIMQ Před 2 měsíci

      Hakika

  • @maxmakobi2549
    @maxmakobi2549 Před rokem +290

    Gharama ya maisha imepanda huku Kenya tuombeeni😥 ila lazima tuone the story book . Wakenya pigeni likes hapa.

  • @shedrackdamian2870
    @shedrackdamian2870 Před rokem +20

    Jamani nime chelewa kidg bwana ndiye mchungaji wangu sita pungukiwa na kitu😭 plz like hata 50

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 Před rokem +99

    Tuishi kwa hofu ya Mungu , duniani tunapita 😔 pia hatuna maisha marefu kabisa , km umewai kusikia ule msemo fainal uzeen bac uzeen ndo uko

  • @theempire4058
    @theempire4058 Před rokem +79

    Hakuna kipindi kingine nachokiangalia wasafi zaid ya hiki, tujuane kwa like

  • @Mazon_Gospel
    @Mazon_Gospel Před rokem +147

    Tunaomkubali sana professor jamal
    Gonga like twende sawa

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 Před rokem +115

    Maneno yana tia moyo kwa sisi ambao tuna hofu ya Mungu , baba Mungu Wetu kwa huruma yako tusaleye zambi na utupe mwisho mzuri ❤️🙏🏿

  • @IslamMudrik-qu5wx
    @IslamMudrik-qu5wx Před 9 měsíci +8

    Ni ngumu Sana mtu kuacha pesa Kwa sababu ya kitu anachokipenda lakini ni rahisi Sana mtu kuacha kitu anachokipenda Kwa sababu ya pesa Kwa maana hiyo fedha imechukua nafasi kubwa katika maisha yetu na ndio chanzo Cha uchafu wote tulionao maishani mwetu muhimu Sana kujitathmini na kutafakari muda wa uhai wako🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭

  • @erickmkwera2784
    @erickmkwera2784 Před rokem +33

    Allah akutunze Jamal Mustafa akufanyie wepesi Kwa kila jambo lililo mbele yako the story book

  • @williampable1699
    @williampable1699 Před rokem +65

    Huyu jama Djamali ni very creative kabisa, nipe likes kama unakubaliana na mimi👍

  • @meekman1805
    @meekman1805 Před rokem +61

    Allah atujaalie tuwe miongoni mwa watu wa peponi. Aaamin.

  • @imaniwihenge6331
    @imaniwihenge6331 Před rokem +78

    Respect professor Jamal

  • @rosegodson4633
    @rosegodson4633 Před rokem +26

    Ewe mola ulieniweka kwenye tumbo la mamangu, ukanichagua niwe binadam na ukanipa uhai Leo, nakusihi nipe nguvu ya kuzishinda tamaa za Dunia, na unipe moyo safi ili siku nikichora pumz yangu ya mwsho, niione Ile nchi nzur ulioniandalia,. Tamaa isinishinde mm😭

  • @jumahashim8109
    @jumahashim8109 Před rokem +10

    Namuomba mungu atujaalie tuwe miongoni mwa watu wa peponi, amiin.

  • @cendrillonnam4549
    @cendrillonnam4549 Před rokem +32

    Akhii Jamal namuomba Mungu akupe hii pepo yake Jannatul firdaous Allahumma Amiin ya Mujib 🤲🏼🤍 Shukran sana kwa kutuelimisha vyema kila story book 📖📚🙌🏽

  • @giftibrahim
    @giftibrahim Před rokem +8

    Mashallah Allah Atujaalie tuwe miongon mwa waja wa pepon❤🙏

  • @SparkxBusinessEmpire001
    @SparkxBusinessEmpire001 Před 3 měsíci +7

    Nataka kuingia peponi, ebu mnipe likes 500 nawapenda sana ndio tujitayarishe kuingia peponi pamoja❤❤❤❤

  • @jennylunsinde9770
    @jennylunsinde9770 Před rokem +13

    Mungu ni mmoja tuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 Před rokem +24

    Allah nijalie mwesho mwema, pamoja na wake zangu, Amiiina.

    • @stratonmatei7834
      @stratonmatei7834 Před 9 měsíci

      😊 😊. 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊 😅😊😊 😊😊😅 😊 😊 😊😊 😊 😊 😊😊😊. 😊 😊 😊😊. 😊 ?. 😊 😊😊 😊😊

    • @5ffGg-uy7mf
      @5ffGg-uy7mf Před 2 měsíci

      Amin

  • @shamissayd887
    @shamissayd887 Před rokem +19

    Katika the story book zooote..basi hii ni Top 1😍😍, hii ni namba 1 👌kwa uzuri, hadi inagonga nyoyo yan🫀

    • @jumannemohamedy1456
      @jumannemohamedy1456 Před rokem

      True top 🔝 one history book 📙
      Ime ni ingia panapo histaili
      Hakika Jamaal professional wewe ni kwenda pepo moja kwa moja kwa sababu hubagui dini wala kabila una pita inavyo histaili risperct for your my brother's endelea kutuletea madini yenye thamani kubwa kwetu sisi wasikilizaji wako sote tuna tegemeana maana pasipo ww hatu ezi elewa na pasipo sisi huwezi pata sport yetu 💪💪💪

    • @endtimes9850
      @endtimes9850 Před rokem

      Yohana 3:16
      Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

  • @akbarrich257
    @akbarrich257 Před rokem +18

    Yaaa ALLAH tupe mwisho mwema na Utuzawadiye Pepo yako
    Allahuma Amiin 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
    Allah atujaliye mimi nawewe tuwe miongoni mwa watu wa Peponi🤲🏻🤲🏻

  • @sahidahamad39
    @sahidahamad39 Před rokem +3

    Mwanangu unapomtaja Mtume Muhammad basi tafadhali usisahau kumswalia

  • @sahilm2740
    @sahilm2740 Před rokem +3

    Jamal, unapokuwa unamtaja mtume muhammad( s.a.w)ni vizuri zaid ukamswifu kwa kumwita mtume muhammad (s.a.w)

  • @mustafaivany2041
    @mustafaivany2041 Před rokem +15

    Nime aza kuisikiya kwasasa kaka sitaki like nataka funzo tu mim🇿🇦🇿🇦

  • @abubakarkhamis1554
    @abubakarkhamis1554 Před rokem +36

    Assalam alaekum proffers Jamal gonga nondo kaka uko vizuri sana Mungu akuzidishie kipaji hicho

    • @endtimes9850
      @endtimes9850 Před rokem

      Yohana 3:16
      Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

  • @neemamsaki1111
    @neemamsaki1111 Před rokem +20

    Ee Mwenyezi Mungu nipe Subrah,hekima yako😭🤲🏾..Ee Mola wetu Tusamehe maovu yetu PEPO yako nafsi zetu ziingie😭🤲🏾🙏🏾.

  • @maryamtwaja6346
    @maryamtwaja6346 Před rokem +17

    Allah atujaalie pepo ya firdaus🤲

  • @wakatikaisi6743
    @wakatikaisi6743 Před 10 měsíci +2

    Dah Allah atujaalie tuingie firdaus....amin

  • @japharykigoda5895
    @japharykigoda5895 Před rokem +3

    Qur an inasema katika Surat Al muuminuun... Katika Aya ya Kwanza .. (Wamefaulu waumini) maneno hayo ilitamka pepo baada ya kuumbwa yaan jinsi ilivyokuwa nzuri mbaka pepo yenyewe ilijitamani na kusema Qad afrah almuminuun yaan Wamefaulu waumin... SASA kama pepo ilisema Wamefaulu waumini kwa jinsi ilivyokuwa nzuri wewe Nani usitamani kuingia peponi... Tumuombe Mola wetu ili na sisi tuwe miongoni mwa watakaoipata pepo take tukufu Amiin

  • @issasaad3403
    @issasaad3403 Před rokem +24

    ALLAH atujaalie mwisho mwema na tuwe miongoni mwa waja zake watakaoingia peponi inshaaalahh

  • @theben6756
    @theben6756 Před rokem +92

    To God be the Glory 🙏🙏

  • @nicholasmutai2082
    @nicholasmutai2082 Před rokem +5

    Huyu Jamal nimempenda kwa sababu amefanya nikajua vitu ambabvyo sikua najua zina exist🤗pongezi sana Jamal na Mwenyezi Mungu awe nawe kwenye safari yako.

  • @innocentmfalme4395
    @innocentmfalme4395 Před rokem +14

    From kenya, jamal baba lao, kama unakubaliana nami, nipe like..

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 Před rokem +86

    Watu wa peponi watapewa mpaka wataridhika, Allaah nijaalie kua miongoni mwa watu wa Peponi na uniepushe na adhabu yako ya moto.
    Aamiin 🤲

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 Před rokem +3

    Moja kati ya Elimu muhimu hapa ni kua Yesu ni Nabii na sio Mungu kama wengine wanavyodhani 🙏🙏

  • @tory_angie
    @tory_angie Před rokem +32

    This guy is a legend. I love you Jamal keep winning and entertaining us. More love from 🇰🇪. You are a superstar ✨️ 💖 Rabana akujalie miaka mingi yenye heri duniani. Hugs 🫂

  • @notoriusmax8493
    @notoriusmax8493 Před rokem +71

    the story book usually teach us many important things God bless you jamal

    • @Glorydavid248
      @Glorydavid248 Před 10 měsíci

      Je hao wahudumu ambao wanatuhudumia tukiwa huko peponi wao hawataki kula raha

  • @Laila-nuraa
    @Laila-nuraa Před rokem +6

    Maashaala tabaraka lah Allah nimkubwa namwomba mungu atukutanishe jannatul fartowsa, shukran kwa vile Ume tafsiriya tunamshukuru Allah ametufanya muislamu,

  • @jumaallyhuodadaminamtaka5586

    Mashaallah unajuwa kueleza Allah akuweke na atujalie mwisho
    Na pepo njema

  • @JumaLugendo-rk3rp
    @JumaLugendo-rk3rp Před 11 měsíci +3

    Wallah umenifanya nisisimke na umeniongeza kitu Moyoni mwangu niiongeze Imani yangu na Toba zaidi na Ibada zaidi kiukweli Umeniathili Sana story hii

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 Před rokem +11

    Jaman nikifikiri maisha ya badae mwili wangu unaishiwa nguvu kabisa

  • @bakaryCMD
    @bakaryCMD Před rokem +91

    The great professor of all time,
    Live from west virginia, usa/

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 Před rokem +13

    Jamal ukitoa story natamani uzimalize mtavyopenda 👏🇹🇿🇬🇷⚓

  • @Bigsneh
    @Bigsneh Před rokem +40

    God bless you Professor 🙏🙏

  • @michaeljoachim8517
    @michaeljoachim8517 Před rokem +4

    Acha uwongo bro lugha zote zimeletwa na mungu acha kupotosha watu

  • @KALIMBULA
    @KALIMBULA Před 28 dny +3

    Allah nijalie pepo njema

  • @ngaosimba4221
    @ngaosimba4221 Před rokem +24

    Hongera kutoka Kenya 🇰🇪

  • @hassanismail1931
    @hassanismail1931 Před 9 měsíci +2

    Mwenyez mungu atujalie sote binadam tuache maovu

  • @hamadfaki7625
    @hamadfaki7625 Před rokem +10

    Jamal hakika nakupenda kwa ajili ya Allah ,ushauri wangu naomba tujitahid kumcha Allah kwan jamal unaelim nyingj masha Allah hivyo kufanya dhambi unayo ijua ni mtihan kwakwel

  • @robertsimba5081
    @robertsimba5081 Před rokem +6

    I can't wait to be in heaven...the most merciful GOD forgive me all my sins please

  • @sabontuu891
    @sabontuu891 Před rokem +12

    Ya Allah, make everyone, literally everyone who is here watching, guide Him, and make them among the people of paradise

  • @juniormtei8005
    @juniormtei8005 Před rokem +14

    Ubarikiwe. unazidi kunijenga ki imani na kujibu maswali yagu. Na ubarikiwe na mungu kuwafuguwa watu akili kupitia yeye

  • @leahmassawe7844
    @leahmassawe7844 Před rokem +25

    Daah! Wewe utaenda peponi kwa kutoa mafundisho mazuri kama haya kwetu❤

  • @pheobeawuor8562
    @pheobeawuor8562 Před rokem +14

    Thanks Jamal April you have give me something in my Head

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 Před rokem +2

    Yaa Allah tuondoshee tamaa za dunia na tupe imani tufate kitabu chako na mitume yako

    • @mishimlowe6689
      @mishimlowe6689 Před 9 měsíci

      Hii story imenifanya kuwa na hof ya Mungu, hakuna asiyetaman Pepo wallah, Isha Allah sote tutaiona Pepo tukirudi kwake Allah

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 Před rokem +39

    The story book 📖 Leo hap tujuane 😍

  • @davidsosthenes4479
    @davidsosthenes4479 Před rokem +7

    Mungu ni mwema siku zote kwetu na mwenye huruma sana....Tumsikilize yeye na tuyatimize Amri zake

  • @abdulbishow4034
    @abdulbishow4034 Před rokem +5

    Pls unapo mtaja mtume wa Mungu mtakie rehma naamani

  • @ricoclassic
    @ricoclassic Před rokem +10

    Mano por aqui já rend ë melhor d todos assante kaka🙏🕋 from mozambique 🇲🇿 nipen likes family🙏

  • @geraldmollel30
    @geraldmollel30 Před rokem +6

    Nakubali Prof Jamal "unajua kuelezea na kufafanua mambo ya hadithi mbalimbali" big up xana Prof ✌️✌️

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 Před rokem +8

    Dahhh….wee unajua bhnaaa mi sina comment kabisa!!!!!amaizing story @@@yaani umenifany nizidi kumuamudu Mungu…Allah azidi kukupa umri mrefu Jamal bin April@theStoryBook$

  • @creoamasy2968
    @creoamasy2968 Před rokem +6

    Umenifanya nishike Biblia bwan jamal
    Vifungu unavyotaja bc naenda n wew sambamba🥳🥳

  • @brinasally7451
    @brinasally7451 Před rokem +7

    May God have mercy on us, May God forgive us our sins, May God receive and welcome us to heaven 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @BON357
    @BON357 Před 11 měsíci +2

    Wasanii music aramu peponi kuzuri

  • @sultanmedia.666
    @sultanmedia.666 Před rokem +19

    Always you are up there !!!
    Nakukubari saana kaka na wish siku moja nipate nafasi ya kuzungumza na wewe ana kwa ana braza Jamaar.

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Před rokem +7

    Professor jamal umeua hongera tunakukubali sana kwa kutupa mambo ya msingi katika maisha yetu

  • @user-sk1pf7rb7i
    @user-sk1pf7rb7i Před rokem

    Watakao ingia Mbinguni nwatakatifu pekeyake kwa kua Mungu wetu ni mtakatifu ukijua anaelimu ya kuruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja jua sehemu yako ni jehanamu usidanganywe na mapokeo ya wanadamu chukua hatua mapema umuulize Mungu nifanyeje ili niurithi uzima wa milele yye ni mwaminifu atakuelekeza njia ya kufata nafasi badoiko mda karibuni unaisha usitegemee sala ya wafu ukaona itakupeleka mbinguni...chaukwali usipo mkir Yesu na kuishi maisha ya utakatifu jipenge kua kuni ya jehanamu

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 Před rokem +1

    Waebrania 9:28
    kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu.
    Yohana 14:6
    Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

  • @kingkiya6640
    @kingkiya6640 Před rokem +7

    Maa Shaa Allah,,,Ukiskiliza kw makini utakuta sehemu kubwa ya story hii imesheheni maneno Qur'an tukufu kw sababu ndo imefafanua zaid habar za peponi na motoni kuliko vitabu vingine,,, Alhamdulillah tunaomba mwisho mwema yaa Allah

  • @ahmedmiraji877
    @ahmedmiraji877 Před rokem +6

    Wallahi nimelia kusikia hi leo, jamal april Mwenyezi Mungu hakutangulie leo katika zte nimepata message vizuri Mwenyezi Mungu hatujalie tuwe watu wako Ameen.

  • @uzungupoint
    @uzungupoint Před rokem +26

    Sema ukifatilia sana DINI unaweza kuchanganyikiwa🙌

  • @annerose3310
    @annerose3310 Před rokem +10

    Only God knows God is for all of us

  • @rehemafredrick7794
    @rehemafredrick7794 Před rokem +17

    God bless you Jamal 🙏 ❤

  • @michaelwafula1576
    @michaelwafula1576 Před rokem +73

    Praise the most high God.....

  • @Swahili_Nation_Studios
    @Swahili_Nation_Studios Před rokem +32

    🙌🔥🔥 Professor Jamal

  • @japhetvukaly4716
    @japhetvukaly4716 Před rokem +7

    Mimi sijawahi kuchoka kusikiliza story zako kaka jamal,hakika wewe ni proffesa.Mungu akupe umri mrefu utufundishe mengi ya kumpendeza allah wetu

  • @miraajswai744
    @miraajswai744 Před rokem +46

    Congratulations brother, may God give you strength every day, you have been giving interpretations of many things and unparalleled teachings, very good work brother

  • @loganpoul
    @loganpoul Před rokem +7

    Wewe kijana tunakukubali Sana kutoka Congo DRC

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 Před rokem +2

    Ee MWENYEZI MUNGU nakuomba unipe maisha marefu na mwisho mwema ktk hii dunia

  • @Creativetime00
    @Creativetime00 Před rokem +10

    Thanks for you great video atleast it’s make to be focus in my life for another day nimefurahi kuwa nawez fika pepone unatufunza san na God aendelee kukubless Jamal

  • @atlastz2263
    @atlastz2263 Před rokem +8

    Salute sana kaka Jamar nakubar sana simulizi zako unajitahidi kufanya utafiti kabla ya kusimulia

  • @yahayaallytv2852
    @yahayaallytv2852 Před rokem +7

    Pepo ya waislamu nimeipenda buree Mungu wa kweli na haki anijaalie pepo aliyo fundisha ibni abdillah

    • @revocatuspaulo6716
      @revocatuspaulo6716 Před rokem

      Kwa hy ya wngine ni ya kufala. Na dini lenu la kisengesenge

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 Před rokem +1

      Pepo ya waislam vituko kwel had pombe zpo

    • @yahayaallytv2852
      @yahayaallytv2852 Před rokem

      @@revocatuspaulo6716 nyie nendeni mkaimbe mapambio mbinguni lakin msisahau MZIKI N AJIRA

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 Před rokem

      @@revocatuspaulo6716 ni lazima utukane? Ndo dini yako inavyo kufunza???
      Pole

    • @amoury1481
      @amoury1481 Před rokem +1

      @@revocatuspaulo6716 Hivi Wenzetu Upande Wa Pili Wakina Petrol,peter Huwa Mnafundishwa Matusi?Maana Kila Kitu Ni dhihaka

  • @abufatimamohammad3344
    @abufatimamohammad3344 Před 5 měsíci +1

    Kama sisi wa jamii wa oman 🇴🇲 Tumemkubali jamal the book story keep going 🫡

  • @ummukulthum1268
    @ummukulthum1268 Před 2 měsíci

    Mwenyezi Mungu akujaalie ww unaesoma comments uwe mmoja kati ya watakaokua peponi na tutakutana huko... kwa kuacha maasi na kutembea katika njia ya muumba
    Tuseme amiiin

  • @Chris-in1vc
    @Chris-in1vc Před rokem +7

    For us Sabbath means rest ( kupumzika na uhitaji wote wa mwili ( fleashly desires) . Ukisoma kiundani biblia ndo utaelewa maana ya sabato, ambayo Mungu aliwaonyesha wanadamu kama ishara na waifanye huko mwanzo ( kupumzika siku Moja ya wiki bila kazi yoyote) na atakayopewa wanadamu baada ya kufa ( Peponi). Ndio maana Yesu aliwaambia wayahudi, kuwa sabato ipo kwa ajili ya mwanadamu, na sio mwanadamu kwa ajili ya sabato ( yaani kuitumikia). Mambo mengi ya agano la mwanzo ( la kale) ni ishara mambo yatakayokuja, ingawa yalifunuliwa kama ya mwilini, ila ni kivuli ya mambo mema ya baadae, na ndio maana Yesu alishindana na wayahudi kwakua hawakumwelewa. Mungu alivyosema alipoumba ulimwengu Siku ya Saba akapumzika, maana yake KAZI yake yote ya uumbaji ilikamilika na hakuhitaji kuumba tena, na akatupa kazi sisi tuzae na kuongezeka na kuijaza dunia. Kwetu sabato ya wanadamu tuliyoahidiwa, ni ukamilifu, na kuwa huru au kuwa mbali na madhaifu yote ya mwanadamu ( mfano dhambi, chakula, magonjwa, kiu, nyege, kuzaa, uchovu, chuki n. K). Na ndio maana Yesu alisema " Njooni kwangu ninyi nyote mtesekao na mizigo nami nitawapumzisha." Ndio maana ukimpata Yesu utakapokufa utakua unaishi, maana utaingia peponi na kuwa huru na mahitaji na tamaa zote za mwanadamu. Utakua kama malaika kama alivyosema Yesu ktk Mathayo 22:30. Njooni kwa Yesu mpate pumziko, msihangaishwe na uongo wa mwanadamu wa jangwani Mwarabu aliyezaliwa miaka zaidi ya 600 baada ya Yesu kuondoka duniani.

    • @endtimes9850
      @endtimes9850 Před rokem +1

      Waambie wote wasioamini na kumjua YESU, Kwamba
      1 Yohana 4;
      2, Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.
      3, Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Před rokem

      Chris acha ushenzi, usitusi wasio kutusi, nawe watakutusi, bwege we.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Před rokem

      kwa akili yako unavyofikiri Yesu na Muhammad wanatofautiana au wanapingana? kwa taarifa yako hawa wote ni damu moja wote uzao wa Abraham yani wametoka mgongoni mwa ibrahimu, ni wajukuu wake wa damu. kasome maandiko mpumbavu we.

    • @Chris-in1vc
      @Chris-in1vc Před rokem

      @@rayisadesigns2646 ukileta ushahidi hata mmoja Muhammad ni uzao wa Ibrahim kupitia Ishmael, nitasilimu na kusema shahada kama allah alivyosema shahada. Ila ukifelli kunipa ushahidi wa maandiko au Aya ya Quran, basi utakua umehitimu chetu Cha Ujinga.

    • @allysuleimanhamis1963
      @allysuleimanhamis1963 Před rokem

      @@Chris-in1vc ushahidi upo Mkuu,ila mambo ya dini ni mambo sensitive sana maana unazaliwa na unaritbishwa dini kutoka kwa waliokuzaa au waliokulea..mfano leo hii mtu akikuita jina lisilo lako hauta feel kama ni wew maana ubongo wako na faham zako hazija sarenda kwa huo wito ila ukiitwa jina lako utajukuta unaitika na unaamini ni wew ndo mlengwa wa wito huo..masuala ya dini ni elimu Pana kuliko elimu tunazosoma darasani..mtu ukitaka kujua ukweli kuhusu masuala ya dini unahitaji kuwa tayari kuupata ukweli na kwa watu sahihi..tatizo kubwa watu hupata elimu ya dini kwa watu sio sahihi regardless kwa waislam au wakristo..watu hupenyeza agenda zao binafsi katika mambo ya dini..siku hizi dini ndo imekua kivuli cha chuki,ugomvi,majigambo,ukatili,uchonganishi maana mtu akijua kusoma na kuchambua bible au Quran kidogo tayari yupo kutengeneza followers utasema yeye ni Muhammad au Yesu(Issa ibn Maryam)
      Ukitaka ukweli juu ya Muhammad ni nan? Amekuja kwa watu gani? Majukumu yake ni yapi? Na kwanini aliletwa kama mjumbe wa mwisho? Uhusiano wake yeye na Yesu (Issa ibn Maryam? Uhusiano wake Muhammad na Nabii Ibrahim,Ismael na Is-haqah(Isaac)? ..ukweli huo ukiutaka tafuta watu na uwaulize maswali hayo ukiwa tayari kujifunza na sio kwa ubishani! Mungu akubariki upate akupe elimu na uweze kufurahia ukweli na njia ya haqqi..

  • @kassimkandulu2573
    @kassimkandulu2573 Před rokem +7

    Duuh kweli Duniani, HAKUNA MWENYEJI tuishi kwa kumuongopa MUNGU.

  • @RamadhanGalgalo-td5ky
    @RamadhanGalgalo-td5ky Před měsícem +1

    Tunamuomba Allah atujaalie pepo inshallah

  • @ashadiramo
    @ashadiramo Před rokem +2

    👍 Naipenda xna story book,mashallah Mungu akuzidishie 🤲

  • @FatmaFatmA-qk3zl
    @FatmaFatmA-qk3zl Před rokem +3

    Mashallah mashallah mashallah mashallah

  • @maniscamullah6282
    @maniscamullah6282 Před rokem +5

    Da Allah Ninyoshee Mkono wako safi nami Niwe Msafi Niyatende yaliyomema Ili Niione Pepo Yako

  • @moutinhomerlin6498
    @moutinhomerlin6498 Před rokem +2

    Allah akuongozee kaka professor Jamaal @professorjamaal

  • @user-hw7ce8gf6v
    @user-hw7ce8gf6v Před 9 měsíci

    Hongera sana kwa kazi yako nzuri
    Yesu alitoka mbinguni na karudi mbinguni lakini akuambia watu mbinguni tutaongea lugha gani
    YOHANA 3
    13 Wala hakuna mtu aliyepaa mbinguni,ila yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, yaani Mwana wa adamu.
    Mbinguni hakuna kuowa wala kuolewa
    LUKA 20
    34 Yesu akawaambia, wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa
    35 Lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi.
    ifahamu Kweli nayo Kweli itakuweka huru Kweli Kweli

  • @GitoshDan
    @GitoshDan Před rokem +21

    Kindly Christians and Muslims let's love each other. We won't go separate ways after we die due to having different beliefs. We're all humans and we have the same destiny. I stand to be corrected though.

    • @josephignas3988
      @josephignas3988 Před rokem +5

      The problem is with christians ,they refuse the prophecy of Muhammad(s.a.w) by saying he was not sent by God and that Jesus is the only sent , incarnated and behave as both the only begotten son of God and as one self among the three selves of God that work together as God, the point which is blasphemy and not correct(because God is almighty and able who doesn't need and will never need any assistance or help). The correct point is that Jesus is Not God incarnated but is among the prophets to whom God sent them to the targeted group and every group was given a prophecy for warning them about the mercy and blessing to believers and punishment to those who go astray!. But in Islam Muhammad was the one whom Jesus was predicting his coming after him and that he(muhammad) is the last prophet of God and (as in book of isaiah) will come to reveal the warning and punishment to non beleivers and reward to those who believe and unify God only as their creator, provider, forgiver and the only one who deserves being worshiped in righteousness and no one else in accompany with! So if it's just matter of love we love each other because we can't judge ourselves but in front of God there is no balance instead there must be two people, a righteous one who deserves paradise and another one who deserves hell only, no balance no intermediate person in front of judgement day. So it is either you search for a correct way or you refuse it by comforting yourself with a lie.

    • @sturbbornvideoz8547
      @sturbbornvideoz8547 Před rokem

      @@josephignas3988 Thank you brother for this clarification

    • @charlesjohn5792
      @charlesjohn5792 Před rokem +4

      ​@@josephignas3988 can a prophet raise mankind on last day? Can a prophet Judge mankind on last day? Can a prophet be the Alpha and Omega? Simply Christianity and Islam is in total contradictory. What Jesus taught and Muhammad taught is totally different. Allah is Tawheed and Jehovah is Tri Un(Trinity), Allah is not a Father for he has no son, Jehovah has Sons and daughters.
      Alot to say about this. But simply is God of Islam and God Christianity is different completely, so is Islam and Christianity

  • @LuckyBoy-pp2md
    @LuckyBoy-pp2md Před rokem +5

    Mungu akubaliki sana

  • @JoashKorir-fb3bg
    @JoashKorir-fb3bg Před rokem +3

    This is man is actually the best.. I love him 🙏🙏

  • @abdullasali4773
    @abdullasali4773 Před rokem +2

    #Jamal April, akitajwa mtume au unapomtaja usiache kufatanisha na kumswalia.Mwenyewe amesema asiemswalia yy ni Bakhili.
    So ukisema Mtume Muhammad unafatisha na maneno yasemayo (SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM).

  • @willisonelius4981
    @willisonelius4981 Před rokem +7

    Safii broo,,,asante kwa kutukumbusha tuliojisahau kama mimi,,God bless you