The Story Book : Kweli Kula Nguruwe Ni Haramu Au Uzushi Tu !?
Vložit
- čas přidán 27. 04. 2023
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Zábava
kwa wale tunaomuamini Mwenyezi Mungu,Mtume wake na Siku ya mwisho basi hatuna budi kujitahidi kuacha yale tuliyokatazwa na Mwenyezi Mungu.
No one comes close to this guy in this field. You are a professor bro. You are doing a great job; a lot of investigation and research goes into this! Kongole from Kenya!
Professa Jamaal una toaga mafunzo mengi sana katika stori zako hakika Mungu awe na ww kwa kila jambo ulifanyalo uwe na afya njema akila kukuchapo ili uendelee kutufundisha Life ya vitu mbali mbali ambavyo tulikuwa hatuvijui
Hii inanifunza vitu vingi huwa najitidi sana kufatilia jamal April unajua sana
@@enosscolonely7629 sio ww peko yako kiti kizuri lazima watu wajifunze wengi kuna kubadilishana mawazo ya hapo na pale life ina zidi kwenda
Waislamu wengine tu wasiowahi kula nguruwe kabisa ,ila wanakifafa
Ni uongo tu
Nimekupa big up vile ambavyo umebalance story nilidhani utaegemea upande wa imani yko lkn umenyoosha namna ambayo mtu mwenyewe anachagua upande wa kufata!!!
Kazi iendelee
Story nzuri sana naenjoy nikiwa Kisumu Kenya.
Tafadhali utuletee uhondo kamili kuhusu huu mchezo wa Wrestling sababu hatuelewi ni kweli ama uwongo. Big up Man,🙏🙏🙏
Wrestling imeandikwa na mshindi hujulikana hata kabla ya mchezo
Wrestling ni scripted kila kitu wanaigiza
Siku ukijua wrestling ni acting kama tu movie zingine utaacha kupoteza muda kuangalia wrestling
Wrestling ni kama video za ngono tu
Kitu alichokikataza mungu lazima kiwe na madhara
Mwamba wew ungekuwa mwalimu wangu .....nisingekuwa hapa nilipo yaan nakuelewa sana
Usiache kufanya hiki kitu ni vzr sana na upo vizuri sana kiukweli 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Ubarikiwe hapa umeokoa wengi Mungu akupe maisha marefu zaidi.
Wanao sikiliza hii story nzuri uku tunakula ngulue tujuane apa
Tamu sana
Tena rost ndo usisemee
Kavu bhanaa na kachmbariii uwii
🤣🤣🤣
Mtakuja kupata magonjwa kwa uroho wenu
5. AL - MAIDA
3. Mmeharimishiwa nyamafu, na
damu, na nyama ya nguruwe
na mnyama aliye chinjwa si kwa
ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye
kufa kwa kunyongeka koo, na
aliye kufa kwa kupigwa, na aliye
kufa kwa kuanguka, na aliye
kufa kwa kupigwa pembe, aliye
liwa na mnyama, ila mkimdiriki
kumchinja. Na pia ni haramu kula
nyama aliye chinjiwa masanamu
Na ni haramu kupiga ramli. Hayo
yote ni upotovu. Leo walio kufuru
wamekata tamaa na Dini yenu; basi
msiwaogope, bali niogopeni Mimi
Leo nimekukamiliishieni Dini yenu
na nimekutimizieni neema yangu
na nimekupendeleeni UISLAMU uwe
ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa
na njaa, bila ya kupendelea dhambi,
basi hakika Mwenyezi Mungu ni
Msamehevu na Mwenye kurehemu
Amin, but hatutoacha hii 🪑🔥.....😁😁😁
@@waynekennedy9521 nyinyi endeleeni kula ndugu zanguni hamuwakomoi waislam wala yule alieharamisha.
@@waynekennedy9521 hakuna tetizo we kula bibi zako tu
@@waynekennedy9521 kabisa👌
Makafiri hawataki kuelew
Professeur Djamali wawe bigwoi soifi
Jamal always makes my day by just listening to him, feel ranked from Kenya
Kila mtu afate imani yake sisi kwetu haramu ambao imani yao wanasema halali basi wale hamna sababu ya kugombana kila mtu afate akili yake uzur ubaya wataona wenyewe
Hakuna kitabu ambacho kimesema sio haramu, vyote vinasema ni haramu
@@amanichanga3448 una uhakika? Nioneshe hilo andiko Kwa injili
@@madetetv6576kumbu kumbu la taurat ,14:8
@@ambarnelly6071uko sahihi man , hakuna bible iliyosema nguruwe ni halali
Iyo biblia inasema haramu......
Napenda sana kipindi hiki kwakuwa kinatoa funzo na kutukumbusha ❤ don’t quit
Hongera Sana umejuwa kutuelewesha vizuri ndugu jamari
Asante kwa story nzuri umetuletea🙏wenye kuelewa wameelewa
Jamal Asante kwa story zako nzuri, Kenya 👏
How
Watu wenye fikira ndogo huwa wapinga ukweli hata wakiona dhahir, You did your part thanks lecture 👏🏾👏🏾👏🏾 watakaosikia watasikia watakao bisha wabishe haujalazimisha mtu.😎
A well researched narration.
Iam proud to be a Muslim...Allamdhulillah
Mungu haHaramishi ispokua kisicho bora kwenu sisi
Ahsante mwanangu boraa unifarijii kwa storii book nipate walau ahuenii
Siyo Nguruwe tu ndo ina mahazara. Hata ngombe,mbuzi,kuku, mahana ukila ahina ya nyama moja kila siku au kila mara lazma ugonjwe. Mzee baba tupe story book yenye mazara ya kula nyama ya ngombe mara kwa mara usi bakiliye ku nguruwe tu kwasababu hata mbuzi ukimla mara kwa mara lazma ugonjwe.
Jazzaka Allah kheir brother jamaal keep up bro
Wewe Jamaa Unatisha Sana🙏
Ukipata Muda Tuletee Bomu Lililowafanya Wajapani Kuwa Wafupi, (Au Tuliongopewa)
Kweli tuleteye tunatamani kujiwa
Weee wajapani gani hao ?? 😂😂😂🙌🏻
Aliwahi kugusia kwenye stori ya Nyuklia ipitie
🤣🤣🤣🤣🤣
Naunga mkono hoja
Incredible Jamal. MARVELOUS
Mimi ni mkristo sili kwasababu ya afya ya mwili, minyoo wake wanafika zaidi ya mita moja.
Well done! Professor, Jamal Mustafa.
Nimepata uelewa mzuri kuhusu uzuri na ubaya wa mdudu
Ukitafiti zaidi tunaweza sama.kilakitu nisumu Mana wengine ndio hawali lakin wanamagonjwa Kama hayo Mimi nakula tu alichokiumba mungu sio halam halam matendo mabaya.kufa nikufa tu ata ule sisimizi itakufa tu
"Indeed ,It's not the eyes that are blind, but the heart.''
Quran 22:46
Note the heart it is the core al-qalb sio moyo ni core...sijui core inaitwaje kwa kiswahili
Uhalali wa Kila kitu ni kwa Mungu maana yeye ndie Alie umba Kila kitu. Kula au kutokula ni juu yako.
@@paulpeter9655 kama ndo hvyo mle wale nyoka porini, mkalee na mende wa chooni, msisahau pia mijusi na kenge wa vichakani, na kuna wale nyani pia pamoja na sususungu pia kuleni, mana aliyeviumba mungu vyotee ni halali kula na pia mnaweza kula nyama ya waanadamu wenzenuu mana ni uumbaji wa mungu pia.
@@mohamediomari1614 🤣🤣aah nyani babu zao hawawez kula
@@paulpeter9655 kakataza kwenye maandiko
Wazee wa Mdudu tujuane japo kwa likes. 👍
Unachagua kumsikiliza Paolo au Mungu.?hongera sana Jamaal,napata élimu nyingi sana kwa kufuatilia makala zako.Tatizo ni Paulo na bible kupingana na magizo ya vitabu vya kale,Yesu hakuja kutengua maandiko yaliyo pita ila kukamilisha yaliyobakia.
Hakika. Hata yeye alisema sijaja kutangua tolati bari kuitimiliza
Jamal always talks about facts, the choices is ours
Vipi nyama ya ngamia siyo haramu
@@jacksonkabede7929 kwa kweli nyama ya ngamia tumeneemeshwa Nayo nasi Waumini tunasema ALHAMDULILLAH ❤❤❤❤
@@khadijazungu8627 si amesema kati ya wanyama walikatzwa ngamia pia ni mmoja wapo
Ngamia,Sungura,Kunguru na Kambale HARAMU usiikaribie wala usiiguse ni chukizo kwa Bwana.
@@khadijazungu8627 Kula nguruwe weww hata Mtume MSW alimla huyu kiumbe
GOAT Jamal you're the best
Wow my best series ever 💯
Asante Kwa elimu nzuri , Kwa mwenye akili atang'amua kweli
The very best jamal...❤
Jamal keep on my son I love your story
Your Genius Mr Professor Jamal
Story nzuri sana professor jamal.keep it up nimejifunza kitu 🙏👍
Dah! Mduduuuu
#Nipenmauayangu
Leo wa kwanza Ku comment...
Like zangu buc wazee...
#Jamalkeepin it. Up....bro
Hebu nisaidieni kunijuza mimi naendaga kwenye mauridi mara nyingi huwa wanachinja ngamia hapo vipi na kumbe ngamia pia haliwi.
Allah nibaliki na unikinge na uliyonikataza🙏🙏🙏🙏✨✨✨✨
Na ata ngamia niharamu
Wewe upo vizuri Mungu akulindi
Baada ya mnyama kufungwa bora nije kujifuta machozo na the story book 🔥🔥🔥
We upo kama mm
Tupo wengi
Hahahahaaapoleni sana
@@aminasultan7287 tushapoa asee acha tu
Wakenya wenzangu wekeni tik🙂
Nimekula Kilo leo hakika hii ni nyama tamu zaidi Duniani😋😋
Kitimoto tamu aisee kah
Hata umbile lake la nnje tu silipendi nguruwe ni kiumbe ambacho sikipendi kabisa
@@chafimabdulbacar9902 pole yako,
Nguruwe mtamu aisee na umbile lake zuri
😀😀
😂😂😂😂
Bwana weeehh!! Mi namtwanga mahsusi kabisaaaa!!😂😂
hatumuachi my wetu😂😂😂😂
Kwani umekatazwa mzee, Endelea tu kaka
😅😅😅😅😅
@@juniorbachelor8296 lengo la yeye kutuonyesha madhara tu bila faida zake ni nini?
😂😂🙌
na wapunguze bei sasa
Alhamdullilah sili hii kitu🙏🏼🥰 Ila Unazani hao watu watakuelewa juu ya my wao hawawezi ata useme inaleta corona wao watakula tu 😂😂😂
Hahahaaahah
Tuache kidg apo apo mzeee
Ww fanya yako na ya dini yako yasiyokuhusu achana nayo
Tafiti zauongo izo kwaio walio pata Kansa ya utumbo dunia wamekula Nguluwe
Aliyekataza nguruwe ndiye huyo huyo aliyekataza Ngamia, sungura, kambale nk. Ajabu ni Kwa Nini anakazaniwa sana nguruwe kuliko hao wengine?
Asante jamal aliesikia kasikia so ni chaguo lako kula ama kuacha
Nakubali kiongoz weka mawe juu y mawe
Mungu akubariki kaka
Mimi nitaendelea kula nguruwe hadi mwisho wa maisha yangu nakupenda sana kiti moto ivi unajuwa utamu wa nyama yake ?❤❤
Mungu ajalie utakapo kula tena kwa mara nyengine ayo madhara yote yalotajwa apo uyapate
@@mahadboy5124 hakuna mungu wa ivyo hahahahahahahahahahahha
@@mahadboy5124 uko kwenu yupo MUNGU wa hivyo au una bahatisha naww 😅
@@mahadboy5124 hahahha na hayawezi nipataaa
😂😂😂😂😂
hongera sana jamn kaz nzur thank U much very U
Jamal Allah akuhifadh kuwa makini na dunia
Umeanza bangi tukanyamaza .. tusifike huku bro
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Professor mwenyewe 🙌 you are always the best bro👍🥰
Asante professer Kwa simulizi tamu
“A true educator always act as a facilitator of learning” your a true educator. Mungu awe nawe man
The story book 📚 Jamal April ambao wiki Ile atujaona the book tujuane❤😊
Prof ana deni
You always spit facts salute jamal
I really like it.
Nyama tamu sana
Jamal we love you bro😭👋❤️😘🤗👍
Mmmmh kwani magonjwa yote haya yanatokana na nguruwe tu😂😂😂😂😂😂kazi ipo..walaji endeleeni..mtatupatia feedback,kama yaliyosemwa ni kweli😂😂
Well perfect research
Umetisha Sana bro
Story book nakubali kaka from Mombasa Kenya 🇰🇪
Nimeisha mula naleo nime nunuwa nyama yanguluwe naipenda sana😢🎉😅😅
Jiliye tu baba wewe fata pumzi zako zinatakaje
Gonga nyama wewe haina madhara hiyo
Kumbu kumbu la tauurat 14:8 ni haramu ata kumgusa
Amuna sitakudia kula
@@dastopadady2402 mashallah Allah Mungu akuongoze inaonekana ni mtu ambae ukiijuwa haki huifuata ,Mungu yupmoja nawe insha allah
Mtuachie My Wetu.... 😂😂❤ tumempenda wenyewe
Asante sana prof, naomba utufanyie video kama hii inayoangazia kutumia miraa au jaba
Respect 🥶🔥
Asante Kwa story nzuriiii lkn tusamehe nguruwe mtamu aloo eb muonje Alf utaifuta hii story 😂😂
Wewe kula tu
Big up Jamal kwa makala nzuri sana
Incredible Mr Jamal am from Kenya
Hongera Jamali profesa mim naitwa Jamila,,like sister and brother,,unazo akili nyingi Sana professor Jamali,Kwa makala hii najua wengi wataacha kula nguruwe,,ama kwer dini ya kislamu ndo din ya haki mana haidanganyi
kwani dini ni tiketi ya kwenda peponi au ni uaminifu na moyo watu? namaanisha who he follows Gods commandments shall inherit the heaven!!@
Mbona mm nakula huku nasikiliza???hakuna dini bora kama ukristo kima ww upo busy mitandaoni baada ya kutulia na mume ahahah ahaaa nimekumbuka mmeo yupo kwa mke mkubwa ahahahahah
@@gilmangeorge366 ni anazngua uyoo
@@christonchristian7448 ndio kumbe ujui 😂 din yakiislam ndio din yakweli ata wew unajua sema unakaza tuu👐
U Muslims u prove to be special more than other humans as if others are animals u need to understand we are equal in the eye's of God
Better to be informed not influenced~ Judge on what you understand! Keep it up~Jamal-deen🇹🇿
Santiiii Sana Jamal. Tafadhali andaa story ya kuwaokoa Waizraeli kutoka Uganda wakati wa Idi Amin
Daa..... Izi Iman izi daa.... Sijuii tuamiin kipi APA 🤲🤲🤲
I always like your findings Jamaal, you best in what you do salute..
Naanzaaje,ooh Mimi naanzaaje..kuacha nyama ya nguruwe ..mwenzako siweezi😢
😆🤣🤣
😢😢😢
All bless you so much my braza 👏
Nakuku bali broo
Wa Kwanza Leo mm 👑
Harafu utafiti inawezekana kweli umefanya ukasoooma lakini logic si kurithi magonjwa kulingana na uukuwaji wa mnyama fulani mbona binadamu akila kuku ukuwaji wake huwa haudumai na kuwa mdogoo kama kuku kuna watu wanakula nyama ya tembo je? mbona hawawi wakubwa kama tembo huuu utafiti umezingatia nini kuniaminisha kuwa nikila kitimoto basi na mie ntakuwa mmbonge kama nguruwe vinginesvyo basi watu ni sawa kula baadhi ya sehemu za nguruwe ili wanenepe?
najaribu kupata ukweli uliofichika maana kuna watu tumefuga nguruwe walaaa akuuuu hatujawahi kupata influenza hata kidogo ingawa wanasayansi hao hao wanasema mafua ya binadamu haya tunayokuwa nayo toka wadogo yanatokana na wanyama hasa ngombe hii imekaaje?
Kalagaho ndugu yangu ili mradi umeambiwa tuu
I really like it
Nakubali hadithi ina elimisha jaman❤❤❤
Kitimoto tamu sana😋😋😋
hii vita huiwezi mjomba!!! acha kabisa kitimoto ❤
Hatuli nguruwe tunakula nyama ya nguruwe hakuna alichoumba muumba ni najisi mwanzo1:31 ila kwa matakwa ya imani ya mtu imetafsiliwa hivyo.
😂😂Nimecheka
Uyu jamaa mnamuandama sana jamani# please muacheni
Nimependa hii bro Allah akuzidishie kubainisha. Mambo ya haramu
Hapo mwanzo ulipotamka katikatiyao kunawaumin walichanganyikiwa nimekuelewa sanaaa
Mimi sio muislamu ila sili kitimoto kuanzia leo Mungu anisaidie katika maamuzi haya kwa ajili ya afya yangu
Jaman
Thanks Professor
Jamal nakukubali saaaana illa natamani sikumoja nikutane nawe ili unifunze the story book Jamal Jamal Jamal huu niujumbe kwako I'm from Burundi 😊😊😊
Profesa umepiga panapo uma..... 😂 Hongera sana kaka.
Kabisa 😅😅😅😅😅
Mmmmh Kwa Nguruwe mnisamehe jaman🤣🤣🤣🤣siachi
Kazi nzuri
Kazi nzuri broo