The Story Book: WAMASAI na Mila za Ajabu za Makabila Ya Waafrika.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 09. 2022
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 673

  • @khadijabakari3718
    @khadijabakari3718 Před rokem +142

    Jamal tutafutie historia ya wamakonde na mila zao😊😊 please kama unakubaliana na mm gonga like 👍

  • @emmanuelsamwel2865
    @emmanuelsamwel2865 Před rokem +58

    Wa kwanza naombeni like jmn 10 tu

  • @esoryc8759
    @esoryc8759 Před rokem +12

    Proffesor umeonyesha ujasiri ambao repoters wengi wanashindwa kua nao big up bro na karibu tena Manyara

  • @maesryclassic456
    @maesryclassic456 Před rokem +16

    Jamal anafanya reality sanaa kuliko wengine aseeh''' Pongezii sana kwake na anaipenda kazi yake kwakweli.

  • @directorsong
    @directorsong Před rokem +11

    Kijana jaml upo vizuri sana wakujengee sanam kama unakubaliana namim gonga like twende wote

  • @judychepkirui5313
    @judychepkirui5313 Před rokem +14

    Jamal my favorite 💖 nakupenda Sana.. Sasa umekuja Hadi kwa wamaasai, karibu na kikwetu kabisa🙈 Kenya tuna wamaasai na kusema ukweli huu Ni ukweli kabisa

  • @amigotunda4525
    @amigotunda4525 Před rokem +20

    Add English subtitle some viewers don't know kiswahili but love the session

  • @emmanuelmatiku2181
    @emmanuelmatiku2181 Před rokem +11

    Hii nzuri zaidi kuliko zote ambazo nilishawahi kuziona the story book👍👍👍🔥🔥🔥

  • @rinirietransfomaorenge4309

    Ahsante Prof. Nmecheka yangu yote vile ulikunywa damu na woga Karibu Kenya upande wa Kilgoris kwa Maasai naomba niwe nimetoka Ughaibuni nikutembeze Huku

  • @jeanluclesage18
    @jeanluclesage18 Před rokem +49

    Jamal mustafa (April) you are so brave and professional. Your stories deserve more views than what you got. ❤️>🇧🇮

  • @kebbymwalimu
    @kebbymwalimu Před 28 dny +1

    Hongera sana Olemenea stonik/ Jamal Mustapha,nimefurahi kujua story ya Wamasai. Ila nimeogopa ulipokuwa damu mbichi daaah.Hongera sana

  • @saidiyasini8401
    @saidiyasini8401 Před rokem +10

    Umetisha mwamba niliisubiria sana kwa hamu hii siku nimekipata nilicho kuwa nakihita respect professor

  • @asiaahmedy8944
    @asiaahmedy8944 Před rokem +6

    Aiseee hii n story nzuri ambayo umeisimulia Yan daah wamasai n kabila nzur sanaaaa nataman hata ningekuwa nimezaliwa ktk kabila Hilo japo nafanana nao Ila m cmmasai .hongera Sana professa kwa ujasiri wa kula na kunywa damu kiukweli kwakunitazama na hasa kipande kile kila ninachokiweka mdomon hasa nyama najikuta kichefuchefu kinanipanda but umetuelimisha na kutuburudisha sanaaa

  • @hassandormkeyo4867
    @hassandormkeyo4867 Před rokem +2

    dahhh Jamal nakukubali San, unajuwa kukipa thamani kile unachokifanya Mungu akufanyiye makubwa zaidi kuliko unayotegemea

  • @celifpower4993
    @celifpower4993 Před rokem +26

    Ila tuseme kweli Jamali ilo vazi la wamasai limekupendeza

  • @rinirietransfomaorenge4309

    Kazi nzuri sana kuangazia Wamaasai Wakati mwingine angazia wakisii nchini Kenya Prof. Maeneo ya Marekani Kasikazini nawapata mbashara mpaka maeneo ya Kisii Kenya

  • @kelvinmahanga461
    @kelvinmahanga461 Před rokem +7

    Kazi nzuri sana Jamal.
    One day tunaomba history ya wakurya na Mila zao na uje ufanye safari kuwatembelea wajibu wenyewe maana Kuna mambo wanasingiziwa sana.......

  • @user-el8gu5bs3u
    @user-el8gu5bs3u Před 3 měsíci +4

    Ni mimi pekeyangu ninaemuangalia Jamal April na kutabasamu pekeyangu🥰🥰🥰Nimekuja tena kuangalia leo 17.March.2024❤🎉🎉🎉

  • @amosedwardshuaka9941
    @amosedwardshuaka9941 Před rokem +4

    Tamaduni bora iliyo baki Africa Thanks you so much kaka kwa story yako bora yenye mafunzo na kutowa watu propaganda be blessed 🙏🙏

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 Před 2 měsíci +1

    Wewe jamal story zako Ualisia na kufika sehemu Usika bravo jamal 👏☝️🤲🇹🇿🇬🇷

  • @roseswai5778
    @roseswai5778 Před rokem +14

    Jamali hii ni documentary inabidi uwauzie Tanapa au watu wa wizara ya utalii waiingize kwenye TV zinazoonyesha utalii

  • @happylema4062
    @happylema4062 Před rokem +5

    Daaah kweli una uthubutu🙌🏽damu mbichi hongera sana

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 Před rokem +6

    Hii ni zaidi ya movie aseeee, kazi nzuri sana jamal mustapha 🔥🔥

  • @rinirietransfomaorenge4309

    Nmengoja The story book wiki mzima lakini sasa ndo huu wakati Mungu akulinde sana maeneo ya Marekani Kasikazini nawapata mbashara mpaka maeneo ya Kisii Kenya ninapokosa story book kila siku narudia zile za samani nikingoja utengeneze ngine so proud of you karibu Kisii Kenya

  • @williamlycaxsh4922
    @williamlycaxsh4922 Před rokem +15

    💖 Love From kenya my maasai culture the best the Name your given that means Lomunyak blessings Azin your blessed 🙌 ......The love of my culture Am seeing my kids missing this Culture ❤

  • @calebkiptoo2207
    @calebkiptoo2207 Před rokem +3

    Hii ni one among the best clips have ever watched from jamal...East Africa is proud of you bro... definitely i heve to visit masai community here in kenya and onjoy a bit of it💪😂😂🇰🇪🇰🇪

  • @lameckjonas583
    @lameckjonas583 Před rokem +23

    Congratulation professor Jamal your the best story teller in the world, keep it up my brother.

  • @mussazacharia5211
    @mussazacharia5211 Před rokem +4

    Ama kweli ukiipenda Kaz utajitoa Hata uhai hauna thaman

  • @FelisterUledi
    @FelisterUledi Před 6 dny

    Nakupenda Bure Jamal upo seriously katka kazi, hongera sana

  • @user-sd9gs7zk5e
    @user-sd9gs7zk5e Před 28 dny +1

    😂😂😂😂 inafrahisha sana na me nnetaman kwenda kutembelea wamasai ntaenda one day yes inshaallaah

  • @kadolekilugala9289
    @kadolekilugala9289 Před rokem +19

    Hongera sana Professor Jamal, this is amazing 👏 👏 👏 next time tuletee ya wahadzabe

  • @NyangiPascal
    @NyangiPascal Před 2 měsíci +1

    Tunashukuru sana teach Jamal April kwa kutu simuliya abari mbalimbali za uso wa dunia tunafahamu kupitaya wewe nasisi tume jifunza kitu Asante sana mungu azidi kukupa pumuzi❤🎉

  • @johnyohana7471
    @johnyohana7471 Před rokem +7

    One of the best story teller of anytime,,full research and reality bravo jamal keep it up bro u deserve I appreciate 🇹🇿🇺🇲

  • @topfan9951
    @topfan9951 Před rokem +6

    Number one fan from Kenya 🇰🇪 salute to you @jamaal April

  • @bintrobert9079
    @bintrobert9079 Před rokem +2

    Masha Allah kaka Jamal dah hiki nikipaji umevaa uhusika ipasavyo na tume yafaham yale tusio yajua na ya uzushi tume yajua.

  • @doreenhenry7984
    @doreenhenry7984 Před rokem +8

    Jamal you are one of a kind. Congratulations Brother

  • @claudekabonga6150
    @claudekabonga6150 Před rokem +5

    Nime kukubali sana mshuwa wangu ww ni dume kweli kweli m’masai uliye potea

  • @PeterObiri-wj1iz
    @PeterObiri-wj1iz Před 2 měsíci +1

    Maajabu but I thank God naelewa kimasaai Cha Kenya na wanaongea the same. Anyway thanks Kwa kazi poa

  • @asiadangote9536
    @asiadangote9536 Před rokem +8

    kwenye maisha uongo huwa unapand lift na kuwahi kufika na ukwel huwa unakuja kwa ngazi,hivy unachelew kufika,leo umetuletea ukwel na umefika, no research no right to speak!. ✍️✍️

  • @rehemafredrick7794
    @rehemafredrick7794 Před rokem +3

    Jamal unawezaa bro 👏 thanks 4 the story buk

  • @casmiredgar9740
    @casmiredgar9740 Před rokem +1

    Wee jamaa ni creative sana ungeshiriki kwenye Royal tour na Mama

  • @scottedward3555
    @scottedward3555 Před rokem +11

    I love to watch jamals story book is so nice

  • @uzungupoint
    @uzungupoint Před rokem +6

    Daaaah ubunifu wa hali ya juu sana Jamal, wamasai watu wakarimu sana asee.

  • @unleloo7616
    @unleloo7616 Před rokem +2

    Nimejifunza meng sana JAMAN NA WASAFI endeleen kukupa hizi elimu mm n mwanachuo wa Tanzania nikuwa sijui lakn mmenifungua sana nimeelewa sas tunasubiri nyingine bro

  • @awilali5998
    @awilali5998 Před rokem +15

    This guy is amazing better than storyteller

  • @KhalidNa-bn4gp
    @KhalidNa-bn4gp Před měsícem

    Nmeipenda story masha allah lakn mie binafsi nashukur nlipo naninapo ish uko dah kugum wallah kwangu

  • @samwelthomas239
    @samwelthomas239 Před rokem +6

    Hii inanikumbusha nyumbn kbs,kwa mzee wangu letinga lyama matagi diwani wa kata ya mwakijembe ,Tanga nalipenda sana kabila la kimasai 🥰🥰🥰

  • @atykdedillyspartazz7221
    @atykdedillyspartazz7221 Před rokem +21

    This is totally amazing story 🇰🇪

  • @yohananyabu5556
    @yohananyabu5556 Před rokem +13

    The story book hii ya leo nimeipenda sana 😍

  • @giftibrahim
    @giftibrahim Před rokem +2

    Izo Mila zingekua tz 😆😆😆tusinge olewa kabisa khaa ila umetisha sana jamal ✊👊 congrats kwa Kaz yako.......

  • @francisshimbala1629
    @francisshimbala1629 Před rokem +2

    Br you deserve the best, I never get tired watching your stories. This is the best thing you do

  • @hadijaabuu2109
    @hadijaabuu2109 Před rokem +4

    Haki umenichekeshaa sanaa good job brother...

  • @RajabMabena
    @RajabMabena Před 2 měsíci +1

    Jamal 🙌🙌🙌🙌🙌 salute 🫡 your profesa

  • @divavlog2764
    @divavlog2764 Před rokem +22

    Its magical African
    !! We appreciate our ancestors for living behide this kind of culture generation to generations unforgettable...shukran jamal April.. as you travel from place to place my the lord be your protector!!! 🤲🤲👏ashe!!!

  • @isharawakafwila6076
    @isharawakafwila6076 Před rokem +3

    Nimekupenda sana jamal. Nakuaidi nitampa mwanangu jina lako. Inshallah 🥰🥰🥰

  • @ngaosimba4221
    @ngaosimba4221 Před rokem +9

    Big up from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @rozymerywanjiku3502
    @rozymerywanjiku3502 Před rokem +1

    Okay asante sana jamal mustafa kwa mafundisho yako mazuri hapa kwetu kenya kuna kabila la samburu ni ndugu moja na hawa masai tafathali siku moja profesa tembeya huko kwetu kenya tuzungumziye hiyo kabila na mila zao

  • @danieltuke96
    @danieltuke96 Před rokem +2

    Kazi safi na lenye mvuto ..natamani nijipate siku moja nikiwa mhariri❤️🙏

  • @emanuelmboyo6404
    @emanuelmboyo6404 Před rokem +2

    Hongera sana Jamal,utaporudi Tena simanjiro,waulize majina vile misri.cairo , Israel,Sudan,khatoum, Nile,Ina ma'ana Gani! Ili upate story kamili sababu majina mengi ya misri ni ya kimasai

  • @SukuCeleb
    @SukuCeleb Před rokem +12

    Amazing story,watching from kenya

  • @hxhs5700
    @hxhs5700 Před rokem +4

    Thanks brother Jamal in from Kenya

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 Před rokem +4

    Jamal jamal allah akusimamie upo vzr

  • @davidbesimamisa1103
    @davidbesimamisa1103 Před rokem +1

    Professor kwa hapa umeua kabsaa.....
    Story inatolewa na wenyewe kwa ushirikiano na kila kitu kinavutia.....
    The story book inazidi kupata uhai zaidi

  • @dicksonbaya5263
    @dicksonbaya5263 Před rokem +4

    Big up sana from Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @barikilalashe2911
    @barikilalashe2911 Před rokem +2

    Just waoh ma culture beautiful 🥰🥰,,,Mungu akuweke broo✊

  • @JosephSylvester-tt4nk
    @JosephSylvester-tt4nk Před 2 měsíci

    Dah kwetu uku usukumani ni changamoto sana kunywa damu mbichi ya mbuzi,au ng'ombe na kula nyama duuuuuh hakika duniani kunavitu vingi sana.....dah mh. Jamali msitapha kwa masai unaitwa oreminyaki stonic 😂😂😂😂😂😂 jamali msitapha unatufunza vingi sana watanzania tunashukuru sana atuna budi,,mwenyezi mungu awe nawe daima ktk maisha yako

  • @kelvinfungo119
    @kelvinfungo119 Před rokem +4

    Nakubali na kuheshiku kazi yako respectful

  • @fatuma4657
    @fatuma4657 Před rokem +13

    I really like the Story Book, It's really teaching me a lot of Historical and Reality things, thanks so much.

  • @neemamgezi4282
    @neemamgezi4282 Před rokem +7

    This is beautiful Jamal, hongera sana aisee

  • @zhanga1717
    @zhanga1717 Před rokem +12

    This is a masterpiece

  • @johnwayne1842
    @johnwayne1842 Před rokem +5

    Kazi nzuri .... unaelezea vizuri, maswali mazuri iko proper sana interview

  • @Zziggy_ke
    @Zziggy_ke Před rokem +14

    Jamal u such a genius 👏. U the best story teller from East Africa. Umenifikisha home 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Listening from 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦

    • @jonnahtarakwa581
      @jonnahtarakwa581 Před rokem

      Mwanangu umependezea na hilo vazi duu kama Masai kabisa yaani.....

    • @jonnahtarakwa581
      @jonnahtarakwa581 Před rokem

      Etanyanyikie duo ninye katukul armasinda....

  • @bernardgachieakamr.gurshie5781

    I love what you're doing Bro...Kazi nzuri sana..

  • @user-bh6re4zt4c
    @user-bh6re4zt4c Před 10 měsíci +1

    Tunakushukur sana brother kwa kufuatiria historia yetu thank you so much

  • @salmaabdiaziz2062
    @salmaabdiaziz2062 Před rokem +13

    This is smart ,amazing super history work..Kazi Safi bro.We appreciate this kind of content ..

  • @jacksonmakau4947
    @jacksonmakau4947 Před rokem +8

    Kama kawaida Jamal.Kenya imewakilishwa.Prof baba yao.Kenya Oyeee!🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ezaikaserekambkus2692
    @ezaikaserekambkus2692 Před 2 měsíci

    Professor Jamal nime furaiya story hii, hakika wee ni mutu wa utafiti, na mungu aendelee kuku Bariki zaidi!🙏🏽🇨🇩

  • @littletv3177
    @littletv3177 Před rokem +5

    Your really professor 👏👏 Mungu akupe afya Kila siku uendelee kutuletea mambo Mapya machoni na masikioni kwetu 🙏

  • @AlimaArmando
    @AlimaArmando Před 2 měsíci

    ❤sua a ventura é crível. Você é corajoso parabéns!❤

  • @kishungi
    @kishungi Před rokem +3

    Olumnyaki hakika maasai tribe they're so kindly and once your there Torono ashenale

    • @samwelmaitei1728
      @samwelmaitei1728 Před rokem

      Maasai tribe it's amazing tribe in the world that's why people's what to know more about this amazing tribe so kindly the world much love about us ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @amosmutethia9111
      @amosmutethia9111 Před rokem

      Burdan TV olumnyaki....mwenye bahati.yaani munya(enye bahati)maasai and tigania of meru.are related

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 Před rokem +1

    Ongera xna kkngu Kwa Kaz nzuri aki uko sawA brother ✌️✌️🔥🔥🔥

  • @kapisho100
    @kapisho100 Před rokem +4

    Maswali yalo enda shule kipindi kizuri hiki balaa🔥🔥

  • @financiialcontroler6663
    @financiialcontroler6663 Před rokem +1

    Congratulation OLEMENAC SETOONEC

  • @ussamahabbas2001
    @ussamahabbas2001 Před rokem +9

    It's magic 😍🇹🇿

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 Před rokem +4

    Jamal kitu nakupendeyag unatafuta ukwre kabs ndomana sitakupingaga🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @kenrop7047
    @kenrop7047 Před rokem +3

    From Kenya congratulations Jamal April mustafa

  • @yusrahakizimana2447
    @yusrahakizimana2447 Před rokem +10

    Mimi naitwa djumu naishi South Africa napenda the story book yako sana mimi niwamoja wanao kufatiya sana naomba nambayako Ya sm

  • @nurulight177
    @nurulight177 Před rokem +2

    Your amazing
    I just love what your doing bro
    Tanzania is very proud of you 🥰🥰🥰

  • @amenahmmm2835
    @amenahmmm2835 Před 2 měsíci

    Uko sawa 😊😊😊👍 from Uganda 🇺🇬

  • @josemitimingi8048
    @josemitimingi8048 Před rokem +1

    Hapo msitapha nimekukubali. Kutoka umasaini. Kutuletea kitu kilicho Cha kweli. Safi sana kaka.🥂

  • @dyanamotz
    @dyanamotz Před rokem +5

    Sema sidhani kama Wasafi wanakulipa ipasavyo maana Hii docomentary niyaela ndefu sana

    • @user-vm7bk3xr1z
      @user-vm7bk3xr1z Před 3 měsíci

      wcb amna mtu asiyelipwa vzr,,,sasa kma yule bodyguard analipwa m3 unazani jamal atalipwa shngp

  • @jamesmilner8396
    @jamesmilner8396 Před rokem +3

    Tumepata elimu kubwa sanaa..keep it up bro🙏💪

  • @SyliviahMosomi-er2oh
    @SyliviahMosomi-er2oh Před 3 měsíci

    Professor Jamal wewe ni mtu mzuri kwa ujasiri na kuhesimika.God bless ur work

  • @user-ic1fs9bf1v
    @user-ic1fs9bf1v Před 9 měsíci +2

    Mm naeapenda sana wamasai kama huwaelewi utawachukia ila ni watu amazing

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Před rokem +4

    Umeuwe Sana waige na hii funika prof.

  • @tukuyufm
    @tukuyufm Před měsícem

    Deep analysis. Congratulations Mr. jamal

  • @westminister4614
    @westminister4614 Před rokem +4

    nimekumbuka blossoms of the savannah baada ya hili simulizi

  • @JosephMumuza
    @JosephMumuza Před 15 hodinami

    Jamal nimkarimu sana❤❤❤

  • @dariuskasitu5594
    @dariuskasitu5594 Před rokem +1

    Nimeipenda hii hiki kipindi kizuri sana

  • @bonemwaminifu3935
    @bonemwaminifu3935 Před rokem +4

    Diamond akuongezee mshahara aisee