MAMAAAA!!..Taarifa ya LISSU YATIKISA NCHI, Huwezi AMINI, Aponda MUUNGANO Vibaya!!!

Sdílet
Vložit

Komentáře • 22

  • @GeorgejerasChaila
    @GeorgejerasChaila Před 21 dnem +1

    Tunakuombea tundu lisu mungu akupe maisha malefu kiongozi wetu

  • @GeorgejerasChaila
    @GeorgejerasChaila Před 21 dnem +1

    Tundu lisu mungu akubaliki sana

  • @user-sb4ky2hf8c
    @user-sb4ky2hf8c Před 22 dny

    Mungu akupe maisha marefu

  • @Mrntete
    @Mrntete Před 21 dnem

    Daah! Baba unatuchanua sna mungu akulinde

  • @zawadigodiwe8425
    @zawadigodiwe8425 Před 22 dny +1

    Uko pw sana lisu endelea kutuelimisha timiza kaziyako Mungu mweza wa yote atakulipa

  • @sabinamachange6040
    @sabinamachange6040 Před 22 dny +2

    Tundu Lisu wewe ni mwalimu hasa wa historia tusioijua sisi wananchi

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 Před 23 dny +2

    Lisu ni zaidi ya Wahadhiri, unawafungua wengi na kuonyesha vichwa vyamaccm jilivyotota ujinga.

  • @IsaiahSaroni
    @IsaiahSaroni Před 22 dny

    Mungu akusadie wewe lisso sababu naona leo utashinda

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Před 22 dny

    Inna Lillah Waina Lillah Rajiun

  • @user-dz2lv6en3z
    @user-dz2lv6en3z Před 23 dny +1

    Ccm ni manyumbu ndio wametufikisha hapa tulipo sasa nchi maskini zaidi

  • @IsaiahSaroni
    @IsaiahSaroni Před 22 dny

    Tundu lissu mungu akusadie ukayee miaka mingi sana uwasadia kutetea watanzania mm niko mbali lakini hiyo wakati ikifika nitakuja kwa kura nitakupea uwee rais yetu uko na maoni nzuri sana mtu akikusikilisa utatoboa maisha

  • @fanuelkitembe7404
    @fanuelkitembe7404 Před 22 dny

    6y1

  • @EliaoleshengEa-pv8fu
    @EliaoleshengEa-pv8fu Před 23 dny

    Hi

  • @EliaoleshengEa-pv8fu
    @EliaoleshengEa-pv8fu Před 23 dny

    H

  • @zawadimbwambo1091
    @zawadimbwambo1091 Před 23 dny +1

    Lissu ni mtume wa mu gu kwa taifa la tanganyika. Hajawahi kuwa muongo. Sio mnafiki. Na hana choyo na taaluma yake anaitoa buuure kabisa kwa raia. Namkulali sana . Anapngwa na wapumbavu wa ccm. Tanganyika.

    • @LuciaAgustino-pt5mg
      @LuciaAgustino-pt5mg Před 23 dny

      Mwenyenzi mungu nimwema atufungue watangajyika huu ndio wakati wakuidai Tanganyika natumehuru nakatiba mpya nasisi tuchague rais WA Tanganyika hii ndio

    • @fatmaahmed8637
      @fatmaahmed8637 Před 22 dny

      Sio hivyo,Ni mtu mkweli na wa Historia..Mtume Sali aleik Wasalim ni HUYU TU WATUNA ZAIDI

  • @paulrwechungura4284
    @paulrwechungura4284 Před 23 dny

    Huna jipya tundulisu,

    • @fatmaahmed8637
      @fatmaahmed8637 Před 22 dny

      Mbona mengi tu.ulikuwa ukiyajua hayoo ! Pata Hisyoria hapo

    • @gangan4618
      @gangan4618 Před 20 dny

      Akili zako ni matakoni kwako tu, huwezi kujifunza.

  • @user-sb4ky2hf8c
    @user-sb4ky2hf8c Před 22 dny

    Mungu akupe maisha marefu