Fahamu maisha binafsi ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Vložit
- čas přidán 9. 08. 2021
- 'Maisha yangu binafsi kwasasa ni kama asilimia 15 , nyingine yote inabebwa na serikali’
Katika sehemu ya mwisho ya mahojiano maalum na BBC Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameeleza upande wake wa Maisha binafsi na kiasi gani Maisha hayo yamebadilika tangu ashike madaraka.
Video na Munira Hussein
#bbcswahili #tanzania #raissamiasuluhuhassan #maisha
Well done madam president. Keep it up
Salim Kikeke.. What a fantastic anchor, journalist, commentator, and social man. I can't see anyone taking BBC Swahili higher and cooler after your retirement. Fantastic guy👏👏👏👏
Wenzako TZ tumeweka BIAS. Tunataka maswali yale ya kipinzani. Si maswali hayo soft. Tumetokwa na povu la hatari. Ajabu kabisa!
Hongera Journalist! Kazi nzuri, weledi mkubwa ! 👋👋👋
Mimi ni Mkenya lakini nampa heshima sana Rais Samia. Jamani Tanzania imepata Rais ambae anajitahidi kwa kazi kuliko siasa. Yaani yeye kwake ni kazi tu kama marhemu Magufuli. Hongereni sana Tanzania 🇹🇿
Alafu pia she wants to invest more heavily on building infrastructure that will allow easy and fast growth of industrialisation hence boosting up the economy....Mdogo wangu ameowa TZ na anaishi huko. Yeye husifia kuona kila kukicha ujenzi !ujenzi !ujenzi ! wa infrastructure. May God bless you and your family Mama Samia. So much love from Kenya to Tanzania. Pamoja
Mungu akubariki Sana muheshimiwa Raisi kwa kulihudumia taifa letu kwa upendo usio na kifani 🤝🤝🙏
Great interview, nabaki Africa, nabaki Tanzania
Candid interview, she spoke eloquently and in depth of challenges of balancing public and private life! Hongera Rais wetu!
Huna la kupongeza
@@dorahy1579 Nampenda Raisi wangu sanaaaa!
@@PrincePaulIowa pole zako. Mimi ninapenda Mungu peke yake, mimi mwenyewe na my family members. Wapiga porojo looo!!! Wasaliti loooo!!!!! Wanafiki!!!! Halafu kuna wengine wanapeana sumu ati kwa wengine loooo!!!! Nampenda Mungu wangu sana m
Mama Samia we kazii isndlee 2ko pamoja kwa pamoja 2nalijenga Taifa letu ewe mwenyezi mungu utusaidie
Genious... i love ur Hustle My PrezDar
Napendezewa Sana Mheshimiwa Rais akijizungumzia ako so humble na Hana makuu kabisaa safii mama tusonge mbele na Kazi iendelee
kka unapoteya sana hakuna chocho
Nikwambie kitu rais wangu ili ufanye kazi vizuri lazima lazima ufanye mazoezi pia na massage mara kwa mara uiweke kwenye ratiba yako tafadhali nakuomba tunakuhitaji tunakupenda
Nakupenda sana RAIS wangu 🇹🇿
Mama nchi inapotea hii tozo zinatuumiza sana
Nchi haipotezwi kwa tozo!
@@TamuzaKale Asante sana Muddy
@@TamuzaKale NCHI INAZAMA DIMBWINI KWA KUTOKUSIMAMIA KATIBA NA KUKANDAMIZA WANAOHOJI JUU YA MABADILIKO YA KATIBA HAPO TU HUTOPATA USINGIZI , MCHANA KAZINI NA USIKU UTAWANGA TU.
Makato yatolewe
Pole sana mama kwa kukosa muda Mungu akubariki kwa kujituma
Nakupenda sana raisi wangu.UNA BUSARA SANA
Mama tunateseka kodi Ziko juu Sana punguza ukali WA maisha
Huyo aliyataka iwe hivyo
God is with U...... Endelea kuchapa kazi
Mungu akutunze raisi wangu bonge la interview
Allah akupe afya Rais wetu mpenzi wetu
Hahaha mnachekesha
Aamin
Jisemee nafsi yako km unampenda mwenyewe
du! Sentensi kali na nzur! Ngoja nimnukuu"JINSI UNAVYOPANDA YANAZID KUKUTOKA" hakika ni kweli mama.
Natamani wanawake wote wangeongea kama ww rais wetu pendwa mungu akupe umri mrefu 🙏🇹🇿
Tunakupenda sana Yaan Rais Wetu
Umelala magufuliiii jembeeee
RIP magu😿😿
I LOVE U MAMAAAAAAA❤❤❤❤❤MWAAAA NAKUPENDA SAANA UMEBARIKIWA KULIKO WANAWAKE WOTE YOR ARE THE BEST
Wajua, Huyu mama, ana kitu HEKIMA NA BUSARA ZA PWANI.
Upo sawa ndugu huyu mama maashaall amejaliwa hekima heshima busara yani kila kitu mungu ampe maish marefu na afya njema inshalaah
Rais wetu, Mama wa Taifa, nakupenda hadi basi... Mungu akubariki 🤲🏾💕🌹🇹🇿
@@j.c.maxima816 da niljua peke yangu kumbe tuko wengi nampenda Sana huyu mama kwa mitazamo yake
God is with U endelea na kazi
Saalim naamini uko na card ya uanachama ccm ukishastaafu job huko njoo uombe ridhaa ya chama uliongoze taifa kwa nafasi ya urais Tafadhali
Rais nitaasisi kubwa sana tumuombee
Magu sikuona interview yoyote na BBC kweli yule alikuwa Simba akiunguruma huwezi kumsogelea
Kila nikiona coment za watanzania, kiukweli natoka na machozi. Nawaonea huruma kweli, baba jpm ulisha tutelekeza baba hakika mungu atailipa sadaka yako. Lala baba ukuu wa mungu ni mkubwa
Mwanangu hadi leo ananiulza et raisi bado ni john pombe nikmwambia alishafaliki anashangaaa xna
Musa; mwambie mwanao kwamba hata wewe kuna siku UTAKUFA
@@minskbelarus7255 na wewe utakufa vile vile
Naskiliza na kusoma koments TU Sina la ziada kwangu yote kwa yote nimeyapenda mahojiano haya.
Kunaswali natamani kuuliza bt naipenda familia yangu
Sasa uliandika hapa ili iweje kama ukutaka kusema!
Wewe ni mama wa nguvu tz mungu akupe maisha malefu tunakutegemea 25
Utapumzika saa ngapi Mama, kila kukicha ww ni safari nje za nchi. Tanzania utaitembelea lini? Kujua matatizo ya raia?!
Kwakweli
Hujaelewa.
Safari za inje huleta biashara kubwa.Si mahindi yenda Kenya.
Kutembea kila mahali Tz ni vizuri lakini silazima.Kuna Waziri Mkuu.Kuna Mawaziri.
Muhimu Uchumi unaboreka,kuna amani,Serikali yatoa huduma?
Huko unakoishi hakuna AFISA MTENDAJI ??? .Akianza kuitembelea TANZANIA yote; haimalizi na hamalizi matatizo YOTE hata kwa miaka 20
Mungu ibarik Tz ya Aman nataman ciku moja tufikie mafanio makubw kazi endeleee tupige Kaz tutafk 2
Kikeke Kama mwanahabari maswali gani unauliza ina maana wewe hujui changamoto za nchi yetu huna habari na yanayoendelea nchi mwetu Dah kweli mswahili ni shida
Tafuta fulli. Aliuliza maswali unayoyataka!
Malipo ni hapa hapa Tanzania 2 ipo ck
Kama jpm angekuwepo Marsha yangekuwaje Mazuri Sana Sasa Jovi kla kitu juu
Watanzania tuombe Mungu hatuna Rais Mungu aisimamie nchi yetu tuvuke salama
Hauna rais ni wewe. Watanzania wanaye rais!
Weee Godfrey pumbu nini huyu ndo taidi wetu
Si umfate TUNDU LISSU ??????
Rais wa nchi anazungumza na BBC
Angalia interview ya mwisho ya Gadaff
Kuzungumza na BBC ni shida? Jiandae, next time, atazungumza na CNN etc... Hivi karibuni mtamuona Mama kwenye majukwaa ya UN na EU... Mtateseka sana na ujinga wenu:-)
Wewe mbona jina lako " ELVIS" ni la mfagizi wa CHOO cha BBC
@@minskbelarus7255 na ilo la misnk Ni la mdeki choo Cha soko mwananyamala
NAPIGA KWA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KWA JINA LA YESU AMEN.
Samia muenz jpm kwa vitendo
Uyu siyo raisi watanzania kazi munao Zambia
Ibada muhimu
Safari za nje nyingi
Nyie wote mashabiki wa corona sasa barakowazenu zikowapi? Nyie mnaaminiana ila sisi tuogopane au sio?
Don't worry, my friend! Wamezingatia umbali (social distance) !
@@j.c.maxima816 distance inatoka wapi kama virus vimetoka China?
🤣🤣🤣🤣🤣
What do you actually do apart from overseas tours?
😎
BBC unawasikiliza tozo husikilizi wananchi
HADITHI ZA PANGU PAKAVU NTILI MCHUZI USHETANI HAUWONGOZI NCHI UNAMKERA ALLAH SUBHANAWATAA ALLAH KUNFAYAKUN MWANAMKE HAONGOZI NCHI KIISILAMU NI MWANAMKE 👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿👿😇🇹🇿👿😇🇹🇿👿😇🌎🌎💪💪💪🕌🕌🕌🕌🕌🕌🕌🕌🕌🕌🕌🕌🌎❤️👀
Muweke interview moja ambayo iko full
SReomkad
Muwmum
IkEREGECHACHA
Muda wa kumuhoji J.P.M atakujibu anakwenda kutembelea watz wanyonge wanaosumbuliwa na watumishi wa umma.utajihoji wewe mtangazaji na kumsemea utendaji wake kwa mtizamo wako.
Siku hizi kumekuwa kidg mama yupo kwenye mualiko fulan ya jinsia fulan lkn jinsia nyingine ameitenga sijui inakuaje kama viongozi walio pita nao wangefanya hvy just balance gender
Jama kama tuta kwenda hivi hivi basi kuna hasara kubwa baada ya miaka 3 ijayo
munguanakuona ww mama
Yn nikimuangalia huyu mama natoka machozi kwa kwel mn
TOZO Nyumba
Mama ones miradi yakiuchumi ndani ya nchi
Sasa kutwa kudhurura watakuonaje hao wajukuu au watoto ??
Acha ushamba rais lazima atoke nje ya nchi.
Wewe kama.hukupata nafasi hata ya kutoka hapo ulipo unahasara kubwa na utakua na akili mgando
🤣🤣🤣🤣🤣 mbona mdhululo
Mama unasapotiwa Sana kuliko kutembelea miradi
Kula nchi mama
Mama utakufa lin mama plz kufa tu watanzaniaa hatukupend
🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁
Hyo siyohabalikwasasa kwasasa wwnimzaziwataifalote NAC wanyumbani
Msariti mkubwa,
hatukupendi kabisa watanzania tulilasimishwa na katiba
Ndio maana huwezi kusema zi unasema si kwaroho mbaya. Huyu ndio rais mpaka 2030 ujipange
@@ameedamilja7992 Afadhali UMUELIMISHE. Na hasemi UKWELI kwamba Mkewe hampendi na KAMKIMBIA
Samora pamoja sn katiba imemuweka hapo sio sisi
Jitaindi kutemberea wananchi kuriko safari zanje watanzania tuna shinda nyingi sana
Hivi wewe ulitembelewa na HAYATI MAGUFULI ????
@@minskbelarus7255 magufur aliipenda hii nchi na ndo maana ziara nyingi alifanya hapahapa alitutembelea kujua changamoto zetu
@@gracejonh4022 unakumbukumbu nzuri ???? Uliwahi KUMUONA MAGUFULI mkoani MTWARA ???? Jaribu kuwa MKWELI
@@minskbelarus7255 angefka tu kwan alikuwa amemaliza mda wake na alikuwa ni mtu mwenye mipango mizur nchi nzima
@@gracejonh4022 kwa Taarifa yako wala kwenye KAMPENI hakufika.
Mwana nchi jenga nchi kula nchi acha nchi.
ET WAMEKUBALI TOZO!! Tuamini hivyo au..?!
Hahaha
Ndiyo lakini mumelalamikia kiwango!
Maisha ya uongozi magumu sana, ila Mungu akuongoze Mama Afrika
She is not Mama Africa. Ni mama yenu nyie huko mliko.
Mama hongera sana kwa utawala wako
Kakufaoddha vipi? Wewe angalia maisha yako hawa n wakoraji ba wakora
Et kila leo lenyewe ni kuongelea Matoto yake2 ss hayatuhusu
mmh acha jazba
😆😆😆😆😆😆 we anakujua hadi akuongelee?
Unaonyesha USUKUMA wako
@@minskbelarus7255 achana na wasukuma pita hivi kwan kaongea uongo rais wa nchi sisi familia yake aituhusu mfyuuuuu
Hovyoooooo
Nenda kenya
Fikiri kabla ya kuandika...
Mg.hapumuziki ajihidhulu akapumuzike na wajukuu tupate nafuuu ya bakuli
hakuna kama magufuri
Hakuna kama Samia!
Ni kweli hakuna kama.magufuli.
Muulizeni Sabaya atawaeleza vizuri
😂😂😂😃
kwako wewe siyo wote
Nakwangu hakuna kama magufuri
Nmm
Twahitaji mahojiano marefu
Tozo zipunguzwe
Zitolewe kwan mzee yeye alifanyaje maendeleo tuliyaona na makato ayakuwepo na nchi yet ni tajili
Upumzike huku umependa kutusaidia??
Mama safar zinakuchosha
Hakn. Mafanikio bila ya kutoka njee
haya mambo tunayata sio mambo magumu kama nchi nzima ni Ma engineer
Aaaaaaah aaaaaaah
Ukakasi tu ..🤯🙄
😁😁😁😁
Vizani
Hii huo .ni
Mimi ninachokuombea ,ufuate nyayo za Magufuli
Nilichokupenda kuendeleza milad aliyoacha magu, kama lile daraj na lilr tren la umeme ila tu uyo kikwete anakuharibia mwiz huuyooooooooooolllll
Magufuli RIP
Nani anae kumic
Salim wewe pumba maana umeenda kupata bahasha,mwandishi unaenda kupiga stori
Mh mmemuanza nahuyu mmemchimba baba wawatu mpaka kaondoka loo nanyie wazungu weusi mnamambo ilajibu umepata naona utapoa kidogo
umeruusu njanjo ili tufe
Amekuwa wa kwanza kuonyesha mfano wa kuchanjwa mbele ya Umma! Yy kama Mama wa watoto, Mke wa mtu, Bibi wa wajukuu, Rais wa Nchi na Amiri Jeshi wa majeshi yote ya Tanzania, unafikiri yy hayapendi maisha yake?
je baba anakuwa wapi.mazoezi ya baba na mama
hahahah hii filamu inaitwaje jmn
😆😆😆
Wewe mwanamke nimwenda zimu hatukupendi wajipendekeza tu
Hakika Mungu akuhurumie ww mwanamke Stella
roho mbaya haijengi mwenzio kapewa urais na mungu kufa kwa chuki
Hata wewe hatukupendi, na si ajabu wewe MGUMBA
Aliyataka yeye atajibeba
.
Achia madaraka upumzike maana ata ckuelew unafanya nn kuteua kla siku na msmbo ys chanjo amna kpya mpishe majaliwa n bora kuliko ww
Magufuli hakuwa na muda wa kuongea Ujinga huu
Mimi ninamtoto wangu ananuku maneno ya makufuli anasema Mimi menzenu chanjo hizifai mwanangu huyo
hujalazimishwa hutaki unaacha
CHANJO hutaki, ila Mambo fulani .....umo eeeeh
Chanjo za nini corona tz aipo
This woman is extract i know why he picked her.
Hebu jikumbushe jambo moja czcams.com/video/9Y3b_0SmfYc/video.html
InChi yetu inaChuKi za uDini uLio mkuBwA saNA.
Ni kweLi inaBaini kwA kuzionA hiZi comments. WaiSlaMu waNachuKiWa mNo huKo TZ.
ATA mtaNgaZaJi akiWa tu muisLaMu basi HiYo interview WataiPonDA .
ChuKi .ChuKi
ChuKi
ChuKi za dini .
Mimi Ni MluTheLi nipo poA
wacha wafe na chuki zao masenge
Amos..... Bob Marley aliwahi kuimba hivi " Who the cap fit, let them wear it"