NI UMASKINI AU UJINGA? KIPI CHETU HASA?

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 1. 07. 2024
  • Raslimali zetu na umaskini wetu vinaendana?
  • Hudba

Komentáře • 34

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Před 23 dny +8

    Magufuli alisema Tanganyika sio masikini ujinga wa viongozi wetu tu

  • @eunho9529
    @eunho9529 Před 23 dny +4

    Katika maisha yangu sijawahi kuamini, siamini na sitokuja kuamini kuwa Tanzania ni nchi masikini wala Africa. tatizo ni kuwa na viongozi WAJINGA waliokalia wizi na kujibinafisisha mali za umma.

  • @Time-ev3dw
    @Time-ev3dw Před 23 dny +3

    Umasikini wa mawazo chini ya ccm miaka 60 inatosha kazi yao ni ngoma t na pombe baasi

  • @Samalentv1
    @Samalentv1 Před 23 dny +2

    good work

  • @davidmwamgunda7870
    @davidmwamgunda7870 Před 23 dny +2

    Daaah CCM nimashetani

  • @StephenZacharia-tr4oy
    @StephenZacharia-tr4oy Před 23 dny +1

    Hakika ni ujinga uliopitiliza

  • @malinzirutta3391
    @malinzirutta3391 Před 23 dny +1

    Kuna logic kubwa

  • @FranksonMkumbwa-mb3pp
    @FranksonMkumbwa-mb3pp Před 23 dny +1

    Jinga jinga TZ😢😢😢

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Před 23 dny +1

    Sisi ni majinga kupitilizaaa

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l Před 23 dny

    Kweli nabukitizama nchi za ulaya wanategemea vyakula nchi za nje km ulaya hawalimi km afrika rabda wanalima mbatata

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 Před 22 dny

    Tatizo si ujinga tu uliopitiliza bali pia nakisi kupita maelezo ya uzalendo kwa viongozi!

  • @isaacndashuka5959
    @isaacndashuka5959 Před 22 dny

    Nakubaliana na Lema kuwa tunaongozwa na mazuzu[ wajinga wa daraja la juu]

  • @TarimoMangi
    @TarimoMangi Před 20 dny

    Ccm kweli hawana akili

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 Před 23 dny +1

    Sisi niwajinga sio maskini

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 Před 23 dny +2

      Kenyatta alisema sisi tu wafu tumekufa na kuoza hatuwezi kuamka kudai chetu. Angalia Loliondo tangu enzi hizo sasa ndo wanamalizia kabisa na kuhamisha Masai ktk ardhi yake ya asili! Hivi mtoe Mzaramo Maneromango mpeleke Bukoba huko Kanyigo uone kama ataweza kuishi maisha ya huko na kusimika utawala wake na mila zake, haitawezekana!

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni Před 23 dny

      😂😂😂😂😂😂😂​@@festokemibala5832

  • @deodatusdeogratias4743
    @deodatusdeogratias4743 Před 23 dny +3

    Magufuli alishaga sema Ayo yote nyie mkamkataa na kumtukana kuwa ni dictator

  • @ErnestKamwera
    @ErnestKamwera Před 22 dny

    Ieo nimekuwelewa

  • @user-jx5ze9wz8e
    @user-jx5ze9wz8e Před 23 dny

    Daaa jamaa anakili san

  • @user-uq7kk4dw2o
    @user-uq7kk4dw2o Před 23 dny

    🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 Před 6 dny

    Uhai wa makufuli uote watu wajinga ungekua ushahama nchi

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 Před 22 dny

    Mheshimiwa God bless Lema uko sahihi kabisa sisi ni wajinga tunao ngozwa na watu wajinga, Msingwa amejiunga nayo kwa sababu anajiita mchungaji atawafundisha kuwa tumwachia Mungu kwani Mungu aliumba WaTanzania wajinga?? La sha viongozi ndiyo wajinga !!

  • @SuzanaSamson-vc3wu
    @SuzanaSamson-vc3wu Před 20 dny

    Mh

  • @Flaviosafari
    @Flaviosafari Před 23 dny +1

    Ujinga

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 Před 23 dny

    Lema yuko sahihi ----- Mungu aliweka kila kitu anachokihitaji mwanadu kwenye ardhi,na hiyo ardhi akamkabidhi nwanadu,AITAWALE,AILIME NA. KUITUNZA --- Mwanzo 1:26 -- 28 na Mwz 2::4 --- 5,15 .Mwanadamu pia,aliumbwa kwa mfano na Sura ya Mungu,kwa maana ya kwamba "alipewa akili kama ambavyo Mungu ana akili,mwanadamu pia anayo sehemu ya Mungu ( akili ) Tatizo tunazitumiaje hizo akili " Hapo ndipo tuliponasa "

  • @odoyo2553
    @odoyo2553 Před 23 dny

    Yaan wewe upo nje huko kwa wanaotuita masikini, alikuwepo magufuli ukasema mbaya saiv samia unasema mbaya, cjui unafikiri nn wewe

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 Před 23 dny +1

    Lakini suala la watoto kuuza kahawa kashata na machungwa na wengine kuuza miiili yao wakati mwingine ni malezi. Kuna sehemu walisahau malezi

    • @Worldunite
      @Worldunite Před 22 dny

      Sio wote, wengine MAISHA

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Před 22 dny +1

      Sio kweli, wengi wao ni hali ngumu ya maisha na umaskini. Mbona huoni watoto wa viongozi kufanya hayo?.tumia busara kidogo kutafakari