Wabunifu wa Injini ya ndege (Jet Engine)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 17. 03. 2020
  • Vijana wa kitanzania kutoka Tabata Dampo,Dar Es Salaam walio tengeneza injini ya ndege ambao wana dhamira ya kufungua kiwanda cha ndege Tanzania.

Komentáře • 24

  • @nsajimwasege68
    @nsajimwasege68 Před 6 měsíci

    Africa inainuka,waafricka wanaamka,hongera kwa wabunifu,hongera COSTECH kwa kuwatia moyo na kuwatambua wabunifu!

  • @user-ds2qr6fx6c
    @user-ds2qr6fx6c Před 2 měsíci

    Ongela sana

  • @nicaskikula1528
    @nicaskikula1528 Před měsícem

    Nipo pale sijui

  • @AfricanizationProgramme-hq4gt

    Shida n kwamba hawachelewi kuchukuliwa na wazungu na hatuwez kuwa na kibali cha kutengeneza ndege

  • @user-km4kb3xj3y
    @user-km4kb3xj3y Před 2 měsíci

    Sikuzote serikari ijitaidi kuwaongezea zaidi uwezoili badae natanzania iwezekuwanawataramu apandani

  • @user-ms2cc4fd8e
    @user-ms2cc4fd8e Před 4 dny

    Mimi Rashid kilindi
    Naishi Dar es salaam nauliza engine ya ndege Ina piston?😅

  • @mustapharama4063
    @mustapharama4063 Před 3 lety +1

    mnaweza mablo

  • @yuvencepatrice792
    @yuvencepatrice792 Před rokem

    Kwanni msiweke na shule

  • @mbonileslie5673
    @mbonileslie5673 Před 2 lety

    Hongera baba umeweza nimependa hiyo

  • @deusmorris1030
    @deusmorris1030 Před 2 lety

    hata wazungu walianza hivi hivi gadi kufika hapo walipo na waafrica tunaakili sana

  • @millardayoTZA
    @millardayoTZA Před 3 lety +1

    Naomba msaada namba yao

    • @isamocredit4486
      @isamocredit4486 Před 2 lety

      Millard mawasiliano yako naomba

    • @selemanipawa1379
      @selemanipawa1379 Před rokem

      Mara nyingi wataalam tunaishia kuwaona hivi tu.. ukihitaji contact zao huzipati.. why.!?

  • @rashidsleman5545
    @rashidsleman5545 Před 3 lety

    Buni ubunifu wa injini ya pikipiki mnataka kutembea kukaa hamuwezi

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 Před 3 lety +2

    Serekali ikiwawezesha mtaweza na serekali itafaidika na ujuuzi wenu na nyie mtafaidika kupitia serikali

    • @edenjordy8619
      @edenjordy8619 Před 2 lety

      you all prolly dont care but does any of you know of a trick to log back into an Instagram account??
      I stupidly lost my account password. I love any help you can give me

    • @romanzechariah5895
      @romanzechariah5895 Před 2 lety

      @Eden Jordy instablaster ;)

    • @edenjordy8619
      @edenjordy8619 Před 2 lety

      @Roman Zechariah thanks so much for your reply. I got to the site on google and Im in the hacking process now.
      Seems to take quite some time so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.

    • @edenjordy8619
      @edenjordy8619 Před 2 lety

      @Roman Zechariah it worked and I now got access to my account again. Im so happy!
      Thank you so much, you really help me out :D

    • @romanzechariah5895
      @romanzechariah5895 Před 2 lety

      @Eden Jordy no problem :D

  • @frankmgunjimgunji9261
    @frankmgunjimgunji9261 Před 3 lety

    Aaaaaaah hawa watu ni madin

  • @fundilusato_255tz6
    @fundilusato_255tz6 Před 2 lety

    Hongera

  • @hallin9561
    @hallin9561 Před 3 lety +2

    Vyema lakin ni vyema mngeanza na mapikpik, pump za maji na mambo mengine ya mwanzo.. Ivi vikubwa ni kama bongo movie lakin msikate tamaa. Nobody knows what's tomorrow brings