DK MWINYI AMALIZA TATIZO LA MAKAAZI KWA WAFANYAKAZI WA HOSPITAL YA ABDULLA MZEE PEMBA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 30. 06. 2024
  • #ikuluzanzibar #global #jifunze #wasafitv #juu #automobile #ayo #ktnnews

Komentáře • 11

  • @himaryamhaidar5612
    @himaryamhaidar5612 Před 16 dny

    Hongera Dr Mwinyi yajayo yametima

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 Před 13 dny

    Mwinyi oyeee

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Před 11 dny

    Hapo lazima wajuwe namna ya kutumia hizo machines kuwe na ma professional wa kazi hizo siyo kila nurse anaweza kutumia.

  • @suleimanmsalum
    @suleimanmsalum Před 20 dny

    Safi sana ,,Ila tunaombwa na sisi ofisi za tawla za mikoa tuboreshewe

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Před 11 dny

    Bora mmevaa rangi nyengine. 😂😂😂😂 nafkiri Mazroui havai hata siku moja shati la CCM.

  • @atifsaid2608
    @atifsaid2608 Před 23 dny

    Hongera Sana Dr Mwinyi

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman Před 25 dny

    Zikawe nyumba za Madaktar wala zisiwe za kila taasisi ya kiserikali kwa sababu anakaa mbali kupewa nyumba za madaktar na taasisi nyengine wajengewe zao kwa upande wao. Kusiwe na muingiliano wa taasisi.

  • @user-rk9qj9ob1p
    @user-rk9qj9ob1p Před 25 dny +1

    Mmmmmmmmm njaaa nayo umesema nae vipi kwanza watu wanatakiwa wale milo mitatu na sio milo t bali milo iliyokamlika sasa hizo nyumba hazitokuwa na thamani km njaa itaongezeka pemba pemba pemba tunakufa kwa njaa hali zetu sio rafiki hili sisi pia ndio janga kubwa linalotutesa

    • @saidmuhd611
      @saidmuhd611 Před 24 dny +2

      Si kazi ya Rais kugawa sahani za wali Kwa watu, muhimu watu wajitume, Kuna ardhi watu walime, Kuna bahari Kila Kona watu wavue serikali iboreshe mazingira ya maendeleo na ustawi wa watu kama haya.

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 Před 25 dny

    Mweheshimiwa Rais na nyumba za walimu hususan katika skuli zenye daghalia hazitoshelezi tunaomba kwa heshima zote umeanza na madaktari Sasa tuje kwenye nyumba za walimu