RC MAKONDA ATANGAZA SIKU 6 ZA MOTO TUTAKAGUA MIRADI VIONGOZI MJIPANGE

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 05. 2024

Komentáře • 55

  • @christianlutego1288
    @christianlutego1288 Před 13 dny +15

    Mbn watumishi wazembe safari hii mmeletewa Chumba Cha Pua, mtanyooka, safi Sana Mh Makonda, Nguvu ya MUNGU na iwe juu Yako daima

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 Před 13 dny +7

    Uko vizuri sana kama tungejua na wakuu kama wewe nchi hiyo tungefiks mbali sana hivi tunapokupongeza sana hii mijizi mizembe haijifunzi lolote pambana Mungu atakulinda sana

  • @TitoSangeti-ft4pi
    @TitoSangeti-ft4pi Před 13 dny +4

    Jembe makonda mungu akulinde sasa nakuomba sisi wananchi wa mkoa wa rusha husuzan ngateu tuje kwako sio kwa malalamiko wala kukusukuru namba miyoyo yetu inatutuma tuje kwako kushukuru naomba sasa

  • @user-gx4vx5ru2u
    @user-gx4vx5ru2u Před 12 dny +2

    Makonda hoyeee Mungu akulinde mtetezi wa wanyonge❤❤

  • @mercyzakariah
    @mercyzakariah Před 13 dny +7

    Mkuu nakubali sana sasaivi mimi tbc siiangali wala ITV sasaivi macho yangu ni arusha tu mimi napenda kiongozi mchapakazi, anae jali wanyonge. Anae pinga rushwa hazalani,,

  • @PauloDamianHaule
    @PauloDamianHaule Před 12 dny

    Ashukuliwe mungu kwa neema ya pekee

  • @abdallahathuman9493
    @abdallahathuman9493 Před 12 dny +3

    Makonda mungu awe nawewe kaka

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Před 13 dny +4

    Wallah tena wale wazembe wala rushwa mtaomba maji ya kunywa Bila kiu 😅😅😅 haki ya Mungu nimecheka km mazuri , watendaji mkizidiwa huduma ipo mtatibiwa 😆😆📌🔥🔥🤸🤸🤸🤸🤸🤸 mwamba piga kazi haki ipatikane 💪💪💪💪💪💪

  • @SanareLaizer-en5it
    @SanareLaizer-en5it Před 13 dny +9

    Yani siku hizi Mimi napenda kuangalia makonda maneno yake matamu: huyu ata kuja kuw rais wetu siku moja mungu yupo

    • @emanuelmichael4630
      @emanuelmichael4630 Před 13 dny +1

      Na Iwe hivyo na kura yangu Atapata na nitamwombea na kumlinda kwa gharama yoyote

  • @Israel-wu9ol
    @Israel-wu9ol Před 12 dny +1

    Naomba sana uwe rais au waziri mkuu

  • @user-sg6ez3cf1f
    @user-sg6ez3cf1f Před 12 dny +2

    Asante mweshimiwa Paul

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Před 13 dny +6

    Bando langu sikuhizi ni makonda tu kungine napitia tu

  • @banguha
    @banguha Před 12 dny +4

    Nina was was na vifo vya ghafla ktk ziara hii au watu kulazwa ghafla kabla ya siku yenyewe hakuna uchaw juu ya Yakobo wala uganga juu yake Mungu yupo juu yako Makonda usiogope atakulinda atakutetea atakushika kwa mkono wake wa kuume wa haki yake na wooote waliyoona hasira juu yako watatahayalika

  • @nassirali4388
    @nassirali4388 Před 13 dny +3

    Good ❤

  • @hosianamosha389
    @hosianamosha389 Před 13 dny +3

    Uje na kule kisongo kwetu barabara ni mbovu utafikiri hakuna watendaji WA Serikali , please please 🙏

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 Před 13 dny +5

    Una akili nyingi sana make kwenye vijiji na kata ndoo kuna Madudu tena c Madudu tena mafinye make maji ni shida vituo vya afya shida miradi ya shule taabu migogoro ya ardhi balaa ndugu pig kazi kwa ajili ya Mungu Mungu atakupa tu

  • @allykhalid8249
    @allykhalid8249 Před 13 dny +2

    SEMA Nao kaka tumechelewa sana

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no Před 12 dny

    Sasa hapa najiuliza aliekuwa mkuu wa mkoa kabla ya MAKONDA kafanya kitu gani???

  • @FunnyHikingWaterfall-wv7dc

    Mbeya sabaya

  • @franknnko4744
    @franknnko4744 Před 13 dny +3

    😂😂😂😂 pamoja mkuu wetu

  • @user-jf1sq7lk4g
    @user-jf1sq7lk4g Před 12 dny +1

    Tuko pamoja mkuu ubarikiwe sana

  • @Israel-wu9ol
    @Israel-wu9ol Před 12 dny +1

    Kweli wewe ni genius.
    Unatisha

  • @niolaussdavid
    @niolaussdavid Před 12 dny

    hata viwanja vya michezo

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 Před 13 dny +3

    Makonda amekuwa panctual kadri siku ziendapo

  • @anyosisyedaniel1790
    @anyosisyedaniel1790 Před 12 dny +1

    Baba tutakuombea kwa Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, ukuweke miaka mingi mpaka kusudi lake. Tulibugi kwa mwenda zake aliposema muniombee, tukafanya masihara leo tunamukumbuka. Ila wewe tutaomba kweli kweli kila wanapo panga mabaya juu yako wakapate kuwa vipofu kama yule mchawi bayesu katika jina la YESU KRISTO

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz Před 12 dny +1

    Mama mrudishe sabaya mpe jiji la mwanza sabaya anafaa pia na pole pole ungempa mbeya

  • @robertnkyalu3241
    @robertnkyalu3241 Před 13 dny +1

    Wewe ni kiongozi ghafla Arusha imepaa juu kuliko dar na Arusha sbb ni comredi makonda

  • @sarunikisiaya686
    @sarunikisiaya686 Před 12 dny

    Ngorongoro haipo Arusha?

  • @nyangiboboazi3188
    @nyangiboboazi3188 Před 12 dny

    Mheshimiwa Makonda ni Mtu wa maana sana Tanzania inataka watu kama hawa.

  • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
    @JeremiahMwalukosya-eh5nf Před 13 dny +6

    Huyu jamaa namwelewa hakuna mtu namfuatlia kama huyu mpaka saizi sielewi kama Kuna rais au waziri mkuu namsikia makonda tu

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Před 13 dny +1

    Tanzania tungukuwa na wamakonda kila mkoa saivi serikali ingegawa gari kwa kila mtanzania

  • @MagrethEvaresth-dd1lb
    @MagrethEvaresth-dd1lb Před 12 dny

    Raic wa 2030

  • @DannyAbraham-vj4fc
    @DannyAbraham-vj4fc Před 11 dny

    Je ngorongoro mesahau jamani mkuku wa mkoa gani huyu

  • @realswahilicultural8140

    Makonda ndiye atakaye kuja kuikomboa ccm kwasababu ndiye peke yake atakuwa amebaki watu Wana Imani naye

  • @charlesolomi9514
    @charlesolomi9514 Před 12 dny

    Kama wakuu wote wa mikoa wangekua kama Makonda nchi ingeenda kwa kasi sana..upuuzi mwingi ungepungua

  • @chachajulius4481
    @chachajulius4481 Před 13 dny +4

    Arusha wameyakanyaga chezea makonda wewe

  • @WinfridaFabian
    @WinfridaFabian Před 13 dny +1

    Ngorongoro vp au sio Arusha kawasikilize Mori inazid

  • @paulolmabu7161
    @paulolmabu7161 Před 12 dny +1

    Kama wakuu wa mikoa wote wangefika hata robo ya huyu jamaa basi RAIS angelikuwa anapita kwa wananchi kwa ajili ya kuwasalimia tu

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 Před 13 dny +1

    Pete ya yule mubaba vp ilee

  • @user-rk9gr9yf3i
    @user-rk9gr9yf3i Před 12 dny

    Daraja lako haswa sio mkuu wa mkoa utendaji huu uwe waziri mkuu au makamo wa Tanzanian mkoa wa Arusha mnajidai sana mmepata mtendaji mtuzeni huni huyo ni Lulu

  • @francismadirisha3511
    @francismadirisha3511 Před 12 dny

    Makonda hakika wewe ni mtendaji makini hao watumishi wazembe wala lushwa mkoa wa Arusha munatamani kuhama

  • @jacoblaiser7634
    @jacoblaiser7634 Před 12 dny

    Mbona watu wameingiwa HOFU?? Inaonekana yapo madudu mengi.
    Njoo kwetu KIONGOZI shupavu, Karibu waponye wanaoumizwa, okoa fedha za umma zinazoteketea!

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Před 13 dny

    Nashangaa mama amepewa taarifa watu wametengeneza control feki kukusanya kodi feki lakini hatujasikia amewafanyaje

    • @user-pr7wj1nm1g
      @user-pr7wj1nm1g Před 12 dny

      Mkuu wa mkoja ni Rais Kwenye mkoa wake,mambo yalikuwepo mengi anao uwezo wa kuyatolea maamuzi,ukiachana kesi ambazo zpo mahakaman

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx Před 12 dny

      @@user-pr7wj1nm1g Rais wa nchi anasema kaangalieni kweli watu wataogopa kufanya ujinga kweli?

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 Před 12 dny +1

    Wewe ndo rais wa mkoa huo kka Ile Epuka kusafir na elkopta tumia pikipik

    • @denisyohana8104
      @denisyohana8104 Před 12 dny +1

      Wasije wakamfanyia walichomfanyia ,mzee wa Iran

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz Před 12 dny

    Mama mrudishe sabaya mpe jiji la mwanza sabaya anafaa pia na pole pole ungempa mbeya

  • @kibwanasimba6431
    @kibwanasimba6431 Před 12 dny

    We sio wale wakuu wamkoa walio pewa ukuuwamkoa kama zawadi wanapongeza adi kofia Yani kwakweli uongozi ni tunu