Digital farms
Digital farms
  • 10
  • 93 490

Video

KILIMO CHA HOHO, KINACHO ZINGATIA TECHNOLOJIA BORA ZA UZALISHAJI KWA MKULIMA.KILIMO CHA HOHO, KINACHO ZINGATIA TECHNOLOJIA BORA ZA UZALISHAJI KWA MKULIMA.
KILIMO CHA HOHO, KINACHO ZINGATIA TECHNOLOJIA BORA ZA UZALISHAJI KWA MKULIMA.
zhlédnutí 15KPřed 4 lety
Kutana na wakulima wa hoho, wanao zingatia technoloia bora za uzalishaji wa mazao shambani ambao, wamenufaika na mradi wa feed the future mboga na matunda Tanzania.
Kutana na vijana wasomi ambao wamechukua fursa ya kilimo cha mahindi lisheKutana na vijana wasomi ambao wamechukua fursa ya kilimo cha mahindi lishe
Kutana na vijana wasomi ambao wamechukua fursa ya kilimo cha mahindi lishe
zhlédnutí 18KPřed 6 lety
Mahindi lishe ni mahindi ambayo yana utajiri wa vitamin A kwa wingi, Pia ni kilimo ambacho uzalishaji wake ni wa kufuata kanuni bora wa kilimo bora, Uhitaji wake katika soko ni mkubwa kutokana na wazalishaji wake kuwa wachache na hio ni kati ya sababu zilizo wapelekea vijana hawa wasomi kufanya kilimo cha Mahindi lishe.
Kutana na Elisalia Swai, Mfugaji wa samaki sato, jinsi anavyo endesha, mradi wake kisasa.Kutana na Elisalia Swai, Mfugaji wa samaki sato, jinsi anavyo endesha, mradi wake kisasa.
Kutana na Elisalia Swai, Mfugaji wa samaki sato, jinsi anavyo endesha, mradi wake kisasa.
zhlédnutí 49KPřed 6 lety
Ufugaji wa samaki umekuwa ukija kwa kasi, kutokana na mahitaji ya protini katika miili yetu na kufanya uhitaji wake sokoni kuwa mkubwa,na kufanya wazalishaji wa samaki kupata faida nzuri, kupitia miradi yao.
Digital Farm na Malengo yako ya kilimo bora.Digital Farm na Malengo yako ya kilimo bora.
Digital Farm na Malengo yako ya kilimo bora.
zhlédnutí 702Před 6 lety
Tuna uhakika unapenda kufanya Kilimo chenye tija na endelevu, karibu tupo tayari kwa hilo, kuhakikisha malego yako ya ufugaji yanafikiwa.
Digitalfarm tunafika ulipo, kwa ushauri na utaalamu zaidi.Digitalfarm tunafika ulipo, kwa ushauri na utaalamu zaidi.
Digitalfarm tunafika ulipo, kwa ushauri na utaalamu zaidi.
zhlédnutí 133Před 6 lety
Karibu Digitalfarm
MBINU ZA KUHIFADHI UDONGOMBINU ZA KUHIFADHI UDONGO
MBINU ZA KUHIFADHI UDONGO
zhlédnutí 301Před 6 lety
Hapa Mkulima Utapata kujua, mbinu tofauti za kufanya au kudhibiti rutuba, Iliyopo kwenye udongo, kwa kumsikiliza Mtaalamu wa Sayansi udongo, kutoka chuo kikuu cha kilimo (SUA)
Ukuaji wa sekta ya ufugaji kukuUkuaji wa sekta ya ufugaji kuku
Ukuaji wa sekta ya ufugaji kuku
zhlédnutí 375Před 6 lety
Pata kufaham jinsi mbavyo sekta ya ufugaji kuku, inakua na jinsi ambavyo unavyo weza kuwa sehemu ya ukuaji wa sekta hii, kwa kushiriki ipasavyo katika sekta hii.
KILIMO CHA MATANGOKILIMO CHA MATANGO
KILIMO CHA MATANGO
zhlédnutí 3,9KPřed 6 lety
UZALISHAJI WA MATANGO NDANI YA GREEN HOUSE, KWA KUHUDUMIA NA KUTUNZA MIMEA KWA MAFANIKO.
KILIMO CHA CHINNES CABBAGEKILIMO CHA CHINNES CABBAGE
KILIMO CHA CHINNES CABBAGE
zhlédnutí 2,1KPřed 6 lety
Maelezo mafupi ya Kilimo cha Chinnese cabbage
JUSTIN KIJANA ALIYE TUMIA UBUNIFU WAKE KUTENGENEZA KIFAA CHA KUTOTOLESHEA SAMAKIJUSTIN KIJANA ALIYE TUMIA UBUNIFU WAKE KUTENGENEZA KIFAA CHA KUTOTOLESHEA SAMAKI
JUSTIN KIJANA ALIYE TUMIA UBUNIFU WAKE KUTENGENEZA KIFAA CHA KUTOTOLESHEA SAMAKI
zhlédnutí 4,3KPřed 6 lety
Kupitia Elimu aliyo nayo, Justin amaeajribu kutengeneza kifaa kidogo cha kutotoreshea vifaranga wa samaki aina ya kambare.

Komentáře

  • @user-ls2uj3fl1o
    @user-ls2uj3fl1o Před 16 dny

    Na mimi nipo morogoro naomba no ya huyo dada

  • @user-ls2uj3fl1o
    @user-ls2uj3fl1o Před 27 dny

    Kipindi kizuri naomba no ya huyo mzee au wana kikundi

  • @DidasTamba
    @DidasTamba Před měsícem

    Napenda sana ufugaji wa samaki

  • @DidasTamba
    @DidasTamba Před měsícem

    Hongera ndugu yangu kwa kazi nzuri

  • @MariamJuma-pf5ky
    @MariamJuma-pf5ky Před 9 měsíci

    Ahsante sana Kwa elimu nzuri

  • @mikomangwageorge7055
    @mikomangwageorge7055 Před 11 měsíci

    Hongera sana dada! Nami naanza safari hii msaada wako wahitajika

  • @moshezanzibar25
    @moshezanzibar25 Před rokem

    Nakaribia kunua shamba lenye takribani heka tatu hapo Tanga naombeni ushauri hua mnazalisha kwa kumwagilia au kwa mwaka bidhaa zenu?

  • @ezraeric4601
    @ezraeric4601 Před rokem

    Saf

  • @mumaheza151
    @mumaheza151 Před rokem

    Nakubali sana

  • @agneskachenga9771
    @agneskachenga9771 Před 2 lety

    )

  • @MISHIONARYSHUKURU
    @MISHIONARYSHUKURU Před 2 lety

    Naomba namba yake yasim

  • @MISHIONARYSHUKURU
    @MISHIONARYSHUKURU Před 2 lety

    Naomba namba yako

  • @mahembaelias1722
    @mahembaelias1722 Před 2 lety

    Great job

  • @jescajoshua5133
    @jescajoshua5133 Před 3 lety

    Nimewaelewa sanaaaa... Tatizo ni soko,, tunaweza saidiwaje kwa upande wa kupata soko

  • @phphacongo4715
    @phphacongo4715 Před 3 lety

    Tunawezajee pata mbegu za mahind lishe

  • @kefamarandu1107
    @kefamarandu1107 Před 3 lety

    Tatizo ni soko la hayo mahindi hakuna nimelima heka kumi hapa nilikosa pa kupeleke

  • @natoiwokizablon8467
    @natoiwokizablon8467 Před 3 lety

    Very nice wamewaza kitu kizuri

  • @gladnesskaguo374
    @gladnesskaguo374 Před 3 lety

    Binti wa kichaga uko vizuri sana,hongera sana

  • @andrew.gadimrinji1713

    Kuna taarifa nyingi haziko kamili...ameanza na mtaji kiasi gani..hicho Chakula anachanganya nini na nini na gharama zake...je soko likoje na wastani anauza kwa bei gani size gani na faida au hasara..so hii story ilikuwa vipandevipande tu.

    • @digitalfarms9053
      @digitalfarms9053 Před 3 lety

      Kwa maelezo zaidi unaweza wasiliana na Dada Elisalia Swai kwa namba +255 719 404 267.

  • @nassercrewalkindi7899

    Mbona hamkusema ni mbolea ipi mnatumia jina la mbolea pia, Mara ngapi mkulima atumie

  • @benardalex4491
    @benardalex4491 Před 3 lety

    Isia zangu nikilimo

  • @salimkabangira6632
    @salimkabangira6632 Před 3 lety

    Naomba kupata mawasiliano nae

  • @AIG7187
    @AIG7187 Před 4 lety

    Kilimo chetu sehemu yetu #Vijana tusonge

  • @AIG7187
    @AIG7187 Před 4 lety

    Kilimo ni lugha yetu #Vijana tusonge mbele

  • @jameslyatuu95
    @jameslyatuu95 Před 4 lety

    Sana

  • @sofiprofxmediamakceo6274

    The D.O.P Filmed this short documentary is really deal , . Great cinematography, really professional video, good depth field, great shots , good cutaways . Well done 👍

    • @digitalfarms9053
      @digitalfarms9053 Před 4 lety

      SofiproFXmedia Mak CEO we are so hapo to her from you, we real appreciate.

  • @emsotv16
    @emsotv16 Před 4 lety

    Naomba msaada wa namna ya kuzifanyia usafi wa kubadirisha maji pale maji yanapokuwa yamechafuka au kukaa kwa muda mrefu. Naomba majibu kwa namba ya 0625386121 Mungu awabariki

  • @alexandermtenga4213
    @alexandermtenga4213 Před 4 lety

    mimi nipo dar es saalam tupo vijana watatu na tuna sehemu ndogo kwa ajili ya kilimo cha mbogamboga ila naona bado hatujapata elimu ya kutosha kuhusu kilimo hiki je mtatusaidiaje tuweze kupata elimu hii na mwisho tuweze kufika malengo

  • @alexandermtenga4213
    @alexandermtenga4213 Před 4 lety

    nimepata muamkao wa kilimo japokuwa mwenyewe napemda sana kilimo

  • @kelvinjohn6851
    @kelvinjohn6851 Před 4 lety

    Mawasiliano ya feed the future

  • @thecklamichael8361
    @thecklamichael8361 Před 4 lety

    Natamani sana kufuga samaki, tatizo sina eneo

  • @luhembekilatu3651
    @luhembekilatu3651 Před 4 lety

    Kama na mm ninakikundi nataka hudumu kama iyo ya drop irrigation nasaidiwaje ili kuwapata?

  • @lameckmathias1188
    @lameckmathias1188 Před 4 lety

    Asante kwa ushauri

  • @lameckmathias1188
    @lameckmathias1188 Před 4 lety

    Kianzio cha chini ni kiasi Gan

  • @opqsweetbert9598
    @opqsweetbert9598 Před 4 lety

    Ungeuliza mtajai sh ngap

  • @dandaskijo2245
    @dandaskijo2245 Před 4 lety

    Good..

  • @chiefandrewkidulile3028

    Safi sana kipindi kimekuwa bora zaidi

    • @digitalfarms9053
      @digitalfarms9053 Před 4 lety

      Andrea Kidulile Asante na tutazidi kuboresha zaidi na zaidi.

  • @tijadamvp0077
    @tijadamvp0077 Před 4 lety

    Nimekipenda kipindi aisee.. 1 of the best.

    • @digitalfarms9053
      @digitalfarms9053 Před 4 lety

      tija damvp00 Shukran sana, na endelea kuwa na Digital farms

  • @praksedamelkior8581
    @praksedamelkior8581 Před 4 lety

    Hongera egno...kazi nzuri huyu mzee nampata...mpe pongezi

    • @digitalfarms9053
      @digitalfarms9053 Před 4 lety

      Prakseda Melkior Asante sana, pongezi zitamfikia mzee wetu Mzee Fransic huyo.

  • @omarizubeda977
    @omarizubeda977 Před 4 lety

    Nc idea

    • @digitalfarms9053
      @digitalfarms9053 Před 4 lety

      omari zubeda Asante sana na endelea kuwa nasi, kwa shughuli mbali mbali za kilimo

  • @mrsmartfarm1313
    @mrsmartfarm1313 Před 4 lety

    Nice work boss

    • @digitalfarms9053
      @digitalfarms9053 Před 4 lety

      herman edward Shukran sana, tupo pamoja na endelea kuwa nasi.

  • @mpelwahenry
    @mpelwahenry Před 4 lety

    #Ndio ndio

    • @digitalfarms9053
      @digitalfarms9053 Před 4 lety

      mpelwa henry tupo pamoja kujakikisha tuna onyesha mambo muhimu ya wakulima nchini.

  • @setotvtz
    @setotvtz Před 4 lety

    Ndiyo ndiyo

  • @reubenrichard5961
    @reubenrichard5961 Před 4 lety

    Kazi nzuri Mdogo wangu, #TakeAction!

  • @josephwattay4904
    @josephwattay4904 Před 4 lety

    Tunashukuru sana kwa elimu.

    • @digitalfarms9053
      @digitalfarms9053 Před 4 lety

      Tunashukuru sana kusikia kutoka kwako, na karibu sana @joseph wattay,

  • @Moon-wf2ec
    @Moon-wf2ec Před 4 lety

    Penda sana hiikz jmn

  • @mansoormtuzu9107
    @mansoormtuzu9107 Před 4 lety

    Vichekesho

  • @puregamers4215
    @puregamers4215 Před 4 lety

    Nashukuru kwa ushauri

  • @muhsinsalum2305
    @muhsinsalum2305 Před 4 lety

    Lkn hamjtuambia hekari moja inaweza kutoa gunia ngapi

    • @digitalfarms9053
      @digitalfarms9053 Před 4 lety

      Muhsin Salum kwa ekari moja ni gunia 17 hadi 24, hutegemea sana na matunzo shambani.

  • @amonzachary3918
    @amonzachary3918 Před 4 lety

    Wazee mnafanya kazi nzuri ila pia mnafel nyie kama wataalam wa kilimo mnaingia vp shamban na nguo za kwenye sherehe kwa nni msinge vaa protective gears ili muwe kwenye usalama zaid na pia kama wataalamu nyie mnavyovaa hvyo shamban mnainspire nni wakulima juu ya usalama wao,Ebu mda mwingine kuwen civilized do the right thing at the right time so kufaa michomekeo huku mko shamban