Napenda sana ufugaji wa samaki
The D.O.P Filmed this short documentary is really deal , . Great cinematography, really professional video, good depth field, great shots , good cutaways . Well done 👍
SofiproFXmedia Mak CEO we are so hapo to her from you, we real appreciate.
Ongea tu kiswahili dada. Melezo yako mazuri ila ukilazimisha kingereza unaharibu uhondo.
Ufugaji wa samaki unalipa na naupenda sana
Great job
Hongera sana kwa kazi nzuri
Mmefanya kazi nzuri Sana. Endeleeni msiache.
kazi nzuri sana dada
Hongera sana dada! Nami naanza safari hii msaada wako wahitajika
Ungeuliza mtajai sh ngap
Binti wa kichaga uko vizuri sana,hongera sana
Asante kwa ushauri
Nashukuru kwa ushauri
Good..
Na mimi nipo morogoro naomba no ya huyo dada
inapendeza na hongera sana,naomba namba za simu za huyo mfugaji au wataalam
Kianzio cha chini ni kiasi Gan
Hii ni fursa nzuri sana itakayo tuwezesha , kuwa chanzo kizuri cha kipato.
Natamani sana kufuga samaki, tatizo sina eneo
vipi kuhusu mashine za kuchuja maji?
Naomba kupata mawasiliano nae
Safi nimeipenda
Naomba namba ya simu ya digital filarms tafadhali kupitia 0625386121. Ahsante!.
Kazi nzuri sana unatupatia. Napenda kupata number ya Justine uliyemwoji. Ambaye katengeneza sehemu ya kuangulia vifaranga vya kambale. Asante sana
Saf
Vichekesho
Tatizo lugha mseto.
inapendeza,naomba namba za wataalam
Frank Jackson Asante sana, tutakupatia wasiliana nasi kwa 0752 255 685
Frank Jackson Asante sana, tutakupatia wasiliana nasi kwa 0752 255 685
Naomba msaada wa namna ya kuzifanyia usafi wa kubadirisha maji pale maji yanapokuwa yamechafuka au kukaa kwa muda mrefu. Naomba majibu kwa namba ya 0625386121 Mungu awabariki
Kuna taarifa nyingi haziko kamili...ameanza na mtaji kiasi gani..hicho Chakula anachanganya nini na nini na gharama zake...je soko likoje na wastani anauza kwa bei gani size gani na faida au hasara..so hii story ilikuwa vipandevipande tu.
Kwa maelezo zaidi unaweza wasiliana na Dada Elisalia Swai kwa namba +255 719 404 267.
)
Hongera ndugu yangu kwa kazi nzuri