mifugouvuvi Online Tv
mifugouvuvi Online Tv
  • 785
  • 240 158
Mnyeti ageuka "Mbogo" kwa wafugaji wasiobadilika!
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amesema kuwa Serikali itaendelea kutounga mkono wafugaji wanaofuga kimila badala ya ufugaji wa kisasa unaoweza kuboresha uchumi wao na Taifa kwa ujumla.
zhlédnutí: 150

Video

Wavuvi Wadogo wampa maua yake Rais Samia! Ulega ampa "Uchampioni" wa Uvuvu Mdogo Afrika!
zhlédnutí 30Před 21 dnem
Wavuvi wadogo hapa nchini wamejinasibu kutembea kifua mbele kwa sababu ya mipango mizuri ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoiweka juu ya kuwasaidia wavuvi kuinuka na kuboresha shughuli zao.
Historia yaandikwa Tanzania! Mkutano wa Wavuvi wadogo Afrika 2024 wafana!
zhlédnutí 65Před 28 dny
Tanzania imeandika historia ya kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuandaa Mkutano wa Wavuvi wadogo barani humo ambapo Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Doto Biteko alikuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Mkutano huo ulioanza Leo Juni 05, 2024 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar Es Salaam.
Wakaguzi wa Mifugo na Mazao yake Vituoni wapigwa Msasa!
zhlédnutí 94Před měsícem
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi leo Mei 22, 2024 imeanza kutoa mafunzo ya siku 3 kwa Wakaguzi wa mifugo na mazao yake waliopo kwenye vituo mbalimbali vya ukaguzi ikiwa ni pamoja na vile vilivyopo kwenye mipaka yote nchini zoezi litakalofanyika mkoani Morogoro.
Pazeni sauti tumuokoe Punda-Mnyeti
zhlédnutí 59Před měsícem
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amewataka wadau wote wanaosimamia ustawi na haki za wanyama kukemea vikali vitendo vitakavyosababisha kutoweka kwa Punda ili wanyama hao waendelee kuwasaidia wananchi katika shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi.
BIL. 3.1 KUTUMIKA KWENYE UKUZAJI VIUMBE MAJI RUVUMA, LINDI
zhlédnutí 134Před měsícem
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi chini ya uratibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu imeanza utekelezaji wa mradi wa kuendeleza Lishe na Ufugaji endelevu wa Viumbe maji kwa wakulima wadogo thamani ya shilingi Bil. 3.1 uliozinduliwa mkoani Ruvuma Aprili 4, 2024.
MAFANIKIO YA MIFUGO NA UVUVI MIAKA 60 YA TANZANIA
zhlédnutí 218Před 2 měsíci
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (Mb), akielezea mafanikio ya miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika sekta za mifugo na uvuvi.
Jinsi mahindi yanavyoweza kuwa malisho bora ya Mifugo!
zhlédnutí 471Před 2 měsíci
Mfugaji wa mfano kutoka Jijiji Tanga Bi. Mariam Shekue anaendelea kutoa somo la ufugaji bora na safari hii anatuelezea namna alivyoweza kufanya zao la mahindi kuwa sehemu ya malisho bora ya Mifugo yake..Tazam hapo.
Hatua kwa hatua namna ya kupanda malisho ya Juncao!
zhlédnutí 685Před 2 měsíci
Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa upande wa sekta ya Mifugo imetoa elimu ya namna ya hatua kwa hatua namna ya kupanda malisho ya mifugo aina ya juncao wakati wa tukio la kumuwezesha mfugaji wa mfano jijini Tanga Bi Mariam Shekue kilo 250 za malisho hayo lililofanyika Aprili 7, 2024 mkoani Tanga... Mtazame hapo Mkurugenzi wa Maeneo ya Malisho na Rasilimali za Vyakula vya Mifugo Dkt. Asimwe Rwiguza a...
Tazama NARCO Kongwa walivyofanikiwa kwenye malisho ya Juncao!
zhlédnutí 2,7KPřed 2 měsíci
Mkurugenzi wa Maeneo ya Malisho na Rasilimali za vyakula vya Mifugo Dkt. Asimwe Rwiguza ametembelea ranchi ya Mifugo ya Kongwa iliyopo chini ya Kampuni za Ranchi za Taifa (NARCO) ili kuona namna walivyofanikiwa kwenye kilimo cha malisho ya mifugo aina ya Juncao.. Tazama hapo mazungumzo yake na wao yalivyokuwa..
Maafisa Ugani 1058 wafikiwa na Mafunzo Rejea 2024!
zhlédnutí 42Před 3 měsíci
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imehitimisha zoezi la Mafunzo Rejea kwa Maafisa Ugani 1058 waliokuwa katika kanda mbalimbali ikiwa ni juu lengo la awali la kuwafikia Maafisa Ugani 1000.
WAZIRI ULEGA NA KURASA 365 ZA DKT. SAMIA
zhlédnutí 94Před 3 měsíci
WAZIRI ULEGA NA KURASA 365 ZA DKT. SAMIA
MIAKA MITATU YA DKT. SAMIA (MIFUGO NA UVUVI)
zhlédnutí 166Před 3 měsíci
MIAKA MITATU YA DKT. SAMIA (MIFUGO NA UVUVI)
VIKUNDI SABA VYA WANUFAIKA WA MKOPO USIO NA RIBA WA VIZIMBA WILAYA YA NYAMAGANA WAFIKIWA.
zhlédnutí 72Před 3 měsíci
VIKUNDI SABA VYA WANUFAIKA WA MKOPO USIO NA RIBA WA VIZIMBA WILAYA YA NYAMAGANA WAFIKIWA.
WANUFAIKA WA MKOPO WA VIZIMBA WILAYA YA NYAMAGANA WAMSHUKURU MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
zhlédnutí 50Před 3 měsíci
WANUFAIKA WA MKOPO WA VIZIMBA WILAYA YA NYAMAGANA WAMSHUKURU MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
Serikali yakabidhi mradi wa Ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Mifugo Songwe!
zhlédnutí 68Před 3 měsíci
Serikali yakabidhi mradi wa Ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Mifugo Songwe!
Nyanda za Juu Kusini ni eneo letu la kimkakati - Prof. Mushi
zhlédnutí 93Před 3 měsíci
Nyanda za Juu Kusini ni eneo letu la kimkakati - Prof. Mushi
WANAWAKE SEKTA YA UVUVI AFRIKA, WATOA MCHANGO MKUBWA
zhlédnutí 23Před 3 měsíci
WANAWAKE SEKTA YA UVUVI AFRIKA, WATOA MCHANGO MKUBWA
AWFISHNET WORKSHOP ON LEADERSHIP 2024 (Miss Jovice Mkuchu)
zhlédnutí 11Před 3 měsíci
AWFISHNET WORKSHOP ON LEADERSHIP 2024 (Miss Jovice Mkuchu)
AWFISHNET WORKSHOP ON LEADERSHIP 2024 (Miss Editrudith Lukanga)
zhlédnutí 9Před 3 měsíci
AWFISHNET WORKSHOP ON LEADERSHIP 2024 (Miss Editrudith Lukanga)
AWFISHNET WORKSHOP ON LEADERSHIP 2024
zhlédnutí 22Před 3 měsíci
AWFISHNET WORKSHOP ON LEADERSHIP 2024
Maafisa Ugani kanda ya Kusini wanolewa!
zhlédnutí 53Před 3 měsíci
Maafisa Ugani kanda ya Kusini wanolewa!
Maafisa Ugani Pwani na Mashariki waahidi kwenda kuchapa kazi!
zhlédnutí 61Před 3 měsíci
Maafisa Ugani Pwani na Mashariki waahidi kwenda kuchapa kazi!
"Livestock Guest house" inahamasisha ufugaji wa kisasa" - Ulega
zhlédnutí 124Před 3 měsíci
"Livestock Guest house" inahamasisha ufugaji wa kisasa" - Ulega
Maafisa Ugani wasisitizwa kuhusu malisho ya mifugo!
zhlédnutí 831Před 3 měsíci
Maafisa Ugani wasisitizwa kuhusu malisho ya mifugo!
Sekta ya Uvuvi yapokea Magari, Pikipiki za mradi wa AFDP!
zhlédnutí 50Před 3 měsíci
Sekta ya Uvuvi yapokea Magari, Pikipiki za mradi wa AFDP!
Ulega apeleka neema Msomera!
zhlédnutí 722Před 3 měsíci
Ulega apeleka neema Msomera!
TALIRI West Kilimanjaro kuwa Kitivo cha Ubora uzalishaji wa Mbuzi na Kondoo!
zhlédnutí 738Před 3 měsíci
TALIRI West Kilimanjaro kuwa Kitivo cha Ubora uzalishaji wa Mbuzi na Kondoo!

Komentáře

  • @cyprianmgogo7625
    @cyprianmgogo7625 Před 7 dny

    Nimekupata toka Zambia mkuu,nitaanza ufugaji wa ngo'mbe baada ya kuona video hii,umehamasisha sana .unapatikana upande upi na mbali gani toka mbeya mjini?

  • @lusajomwakalinga5813

    Tunashindwa kudownload

  • @mapambanotv19
    @mapambanotv19 Před 8 dny

    Njooni Tuwauzie vifaranga kama kilo 10000 tutawapatia kwa idadi mnayohitaji

  • @ekyochisikitaya5354
    @ekyochisikitaya5354 Před 11 dny

    Na mbegu tutaipata wapi?

  • @ekyochisikitaya5354
    @ekyochisikitaya5354 Před 11 dny

    Jani hilo linaitwa aje?

  • @JonasMtugulu
    @JonasMtugulu Před 12 dny

    Naomba namba zenu za simu

  • @JonasMtugulu
    @JonasMtugulu Před 12 dny

    Namba za simu

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 Před 15 dny

    Aina gani ya samaki?kambale?

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 Před 15 dny

    Yaani huyu mkuu wa mkoa alikuwa yuko vizuri sana, sijui hiyo kashifa ilitoka wapi, na hawa ndiyo viongozi wanaotakiwa

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 Před 17 dny

    Ufugaji n mzur lkn achen kumnad samia kusko na maana kwan hapo ana uckaje ?alikupa hao ng'ombe bule au kapen zimeanza

  • @maikoyona-cm5xu
    @maikoyona-cm5xu Před 23 dny

    Good news ✅

  • @maikoyona-cm5xu
    @maikoyona-cm5xu Před 23 dny

    Good news ✅

  • @JeremiahMashini-hs2xz

    Ninaomba namba simu jinsi kuwapata

  • @AgnesKalage
    @AgnesKalage Před měsícem

    Naomba jinsi ya kunenepesha ngombe

  • @hildakamugisha1135
    @hildakamugisha1135 Před měsícem

    Dar tunapata wapi

  • @IsayaMwalukasa-ur2zt
    @IsayaMwalukasa-ur2zt Před měsícem

    Hii ni nzuri saana kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla

  • @jacob.surassa725
    @jacob.surassa725 Před měsícem

    Hongereni. Dodoma mbegu tunapata wapi

  • @dausonkahitira5597
    @dausonkahitira5597 Před 2 měsíci

    Kaz njema na madini mengi napatq

  • @PESASungula
    @PESASungula Před 2 měsíci

    Mimi mfugaji wa sungura

  • @SHABANIMAKUSI
    @SHABANIMAKUSI Před 2 měsíci

    Shukrani sana, kwa elimu hii ya upandaji wa majani

  • @gigiman5465
    @gigiman5465 Před 2 měsíci

    Kilimo cha simu kizuri no stress

  • @gigiman5465
    @gigiman5465 Před 2 měsíci

    Kilimo cha simu kizuri no stress

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb Před 2 měsíci

    Hongera mama,upo wapi tuje tukutembeleee

  • @mengikibona1405
    @mengikibona1405 Před 2 měsíci

    Hawatoshi watam boda san

  • @mifugouvuvionlinetv9032
    @mifugouvuvionlinetv9032 Před 2 měsíci

    Mbegu za malisho ya Juncao zinapatikana kwenye mashamba ya Serikali ya mbegu za malisho likiwemo shamba la Vikuge (Pwani) na Langwira (Mbeya), Kwa mawasiliano piga simu namba 0714060849 (Reuben, Meneja wa shamba la Vikuge)

  • @mifugouvuvionlinetv9032
    @mifugouvuvionlinetv9032 Před 2 měsíci

    Mbegu za malisho ya Juncao zinapatikana kwenye mashamba ya Serikali ya mbegu za malisho likiwemo shamba la Vikuge (Pwani) na Langwira (Mbeya), Kwa mawasiliano piga simu namba 0714060849 (Reuben, Meneja wa shamba la Vikuge)

  • @innocentandrea6482
    @innocentandrea6482 Před 2 měsíci

    Kwa Moshi mbegu mnauza wap

  • @MATHIASLUGIKO
    @MATHIASLUGIKO Před 2 měsíci

    Ni kiasi gani Cha mbegu Kwa hekta

  • @user-li5ub9sb7v
    @user-li5ub9sb7v Před 2 měsíci

    Utaratibu wa kupata mbegu ya hayo ukome kwa hapa dodoma

  • @JastineMafushi-hl6lp
    @JastineMafushi-hl6lp Před 2 měsíci

    Nahitaji vifaranga vya sato

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb Před 2 měsíci

    Hongereni sana

  • @user-os8qc7pl1g
    @user-os8qc7pl1g Před 2 měsíci

    Nimeipenda sana hiyo fursa naomba mawasiliano yako

  • @user-iw4ho4wb5p
    @user-iw4ho4wb5p Před 2 měsíci

    Kwa Kagera ulizia mbegu kwa Bwana Jossam wa Kahama Fresh, Alhaji Shakiru Dangote na Katongo kwenye bustani ya mbunge Mwijage. Shambani kwa mbunge mbegu ni bure

    • @felixchristopher7018
      @felixchristopher7018 Před měsícem

      Mawasiliano mkuu. Hongereni sana kwa jitihada za kufikisha majani haya nyumbani. Omukama abebembele muno mwaakora!!!

  • @user-iw4ho4wb5p
    @user-iw4ho4wb5p Před 2 měsíci

    Tayari Muleba tuna mbegu nyingi

  • @davidkelvin1692
    @davidkelvin1692 Před 2 měsíci

    Wizara ingejitahidi kusambaza mbegu kwa kila kanda ili wafugaji wazipate kwa urahisi nakuanza kufuga kisasa

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 Před 3 měsíci

    Hapa ndio tuonaona ubaguzi wa wazi wazi wa serkali kwa wananchi wake. Maziwa yapo mengi tu nchini, lakini naona mengne hayafai kwa miradi kama hiyo ispokua Victoria tu. Huko kwingine serkali inaweza kufunga ziwa, hata watu wakipata madhara yoyote, ni sawa tu, maana binaadam ni hawa walioizunguka Victoria.

  • @UDFdaycareRuvuma
    @UDFdaycareRuvuma Před 3 měsíci

    Safi

  • @MagenLucas
    @MagenLucas Před 3 měsíci

    Naitaji naomba ya sm yenu

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb Před 3 měsíci

    Tunafikaje huko ofisini kwenu,west Kilimanjaro,tupeni msaada wa taarifa.

  • @user-cy4cy6uh1w
    @user-cy4cy6uh1w Před 3 měsíci

    Tupo pamoja

  • @user-cy4cy6uh1w
    @user-cy4cy6uh1w Před 3 měsíci

    Wataalamu waongezwe

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 Před 3 měsíci

    Safi sana

  • @mbashaphabian7668
    @mbashaphabian7668 Před 3 měsíci

    Naomba mawasiliano yenu

  • @josephsasa7497
    @josephsasa7497 Před 3 měsíci

    Naomba kuuliza Mradi WA Mkuu WA Mkoa upo sehemu Gani Bariadi?

  • @malifedhaluponya5995
    @malifedhaluponya5995 Před 3 měsíci

    Hiyo mbegu inapatikanaje kwa mtu binafsi

  • @malifedhaluponya5995
    @malifedhaluponya5995 Před 3 měsíci

    Nakubali sana hii kazi ya unenepeshaji wa ng'ombe, lakini ufanisi huo ndo sina

  • @marymlewa8682
    @marymlewa8682 Před 4 měsíci

    Namba zenu za simu

  • @amanisteven8711
    @amanisteven8711 Před 4 měsíci

    Mr William Mushi my greatest tutor from lita tengeru

  • @emilianazumbe5521
    @emilianazumbe5521 Před 4 měsíci

    Kaka habari naomba nije nijifunze kwako kaka

  • @user-hu4js5ih5p
    @user-hu4js5ih5p Před 4 měsíci

    Du majani mazuri sana vipi tanga yatatufikia