SIMBA IMEINGIZA MCHEZAJI MMOJA TU: KIKOSI BORA LIGI KUU TZ BARA YANGA HAINA MPINZANI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 05. 2024

Komentáře • 61

  • @lama6310
    @lama6310 Před 17 dny +8

    Aucho ni top 10best holding midfielder in Africa, alf unasema yahya zeyd..Heshima kidogo ndugu yngu

  • @IdrissaJuma-sp4rp
    @IdrissaJuma-sp4rp Před 17 dny +9

    Aucho is the best for me

  • @GodimariahTv
    @GodimariahTv Před 17 dny +3

    Kikosi bila AUCHO KHALID ni kukamilisha ratiba tuuuu mzeee wangu

  • @mwanangusana
    @mwanangusana Před 17 dny +4

    1. Djugue diarra
    2.Yao Kwasi
    3.Pascal Msindo
    4. Fentosy Mandoza
    5 . Ibrahim Bacca
    6. Khaleed Aucho
    7. Kipre Junior
    8. Mudathir yahaya
    9.Aziz ki
    10.Feisal Saloum
    11.Paccome Zouzoua

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 Před 17 dny

      Fentonsy ni bora kwa Job? Hata mara 2 haingia.

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Před 17 dny

      @@pastorgodwinchengula7848 performance yake mpk sasa kiupande wangu amefanya vzr sio kwamba job ni mbaya hapana ila nimeona kama fentonsy amefanya vzr

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 Před 17 dny +3

    Ki Stephan Aziz mwamba wa wagadugu de magician
    Mr MVP🎉

  • @paulclementmakune3661
    @paulclementmakune3661 Před 17 dny +3

    Kikos bila Aucho hilo ni kundi la wapiga ngoma

  • @calvintinega6834
    @calvintinega6834 Před 17 dny +4

    Ushafeli bro, kikosi ulichotoa ni hafifu sana...chukua tu Yanya ilivvyo...acha unafiki wa kupindisha maneno...unamuachaje Dickson Job, Aucho, zengeli,...unaumwa wewe...kapime

  • @Breezy9757
    @Breezy9757 Před 15 dny

    Yahya Zaidi hap umefeli
    Aucho alistahili

  • @leonardsasita4634
    @leonardsasita4634 Před 17 dny +5

    TOA bin zayd weka Aucho

  • @eliusgration4150
    @eliusgration4150 Před 17 dny +4

    Kwa Yahaya mmetaka kubalance tu ila hawezi muweka Aucho benchi

  • @danielmrimi1213
    @danielmrimi1213 Před 15 dny

    YANGA KAMA VIP , PIGACHINI GIFT FRED WEKA LAMECK LAWI.

  • @immaabukuku7180
    @immaabukuku7180 Před 17 dny +1

    Bila kumuweka mudathir ni bora ata pakome angekosekana kuliko kukosekana kwa mudathir

  • @juliusmagoti5650
    @juliusmagoti5650 Před 17 dny +11

    Kwamba Yahya zaidi ni bora kuliko Aucho, ambaye ni Captain wa timu ya Taifa ya Uganda, wakati Yahya Zaid hayuko hata timu ya Taifa!!! Labda ka tunatanguliza uzalendo.

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 Před 17 dny +2

      Wamekuwa Wana mdis Sana Khalid Aucho Kila mwaka ktk kikosi Bora Cha msimu. Nafikiri the man is underated so much.

    • @fadhilinyengo8262
      @fadhilinyengo8262 Před 17 dny

      Na nyinyi wekeni kikosi chenu hamjakatazwa

    • @Rastaztz
      @Rastaztz Před 13 dny

      Amecheza mechi ngap

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 Před 17 dny +2

    Where is Dr Aucho

  • @HopeMmbando-wb8ci
    @HopeMmbando-wb8ci Před 14 dny

    Where is aucho wew nyambafu

  • @user-mu1nu7ef6j
    @user-mu1nu7ef6j Před 17 dny +1

    Kikosi cha msimu huu hakihitaji kuwana no 9 coz striker wote hawakufanya vzr pale aweke false 9

  • @JohnHassan-cz5nb
    @JohnHassan-cz5nb Před 17 dny +1

    We jamaa una ushabiki sanaa😂

  • @DamasRobert
    @DamasRobert Před 17 dny +1

    Hapa hamna wachambuzi aucho is the best asee unamkosea heshima

  • @babukundya8450
    @babukundya8450 Před 17 dny +2

    Huyu nae chizi Yani Yahaya Zaid unamuweka uku unamuacha Khalid Aucho kweli? Mwehu huyu

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 Před 17 dny +1

    Where is Dr Khalid aucho?
    You can't compare aucho with yahya😅😅😅
    Mchambuzi wa mchongo kabisa hahaha

  • @ziadamuhunzi6210
    @ziadamuhunzi6210 Před 17 dny +1

    kuna hii nichambuzi mingine sio ndo ubinafsi wao kama clouse unamkosaje aucho kwenye top ten mweu ww

  • @xavioutfit3611
    @xavioutfit3611 Před 17 dny +1

    Muweke na mamaako

  • @PeterMende-dz6ue
    @PeterMende-dz6ue Před 17 dny +6

    Wengne wajifunze kupitia YANGA kama TP MANZEMBE walivyofany

    • @user-eh5wd2ed3k
      @user-eh5wd2ed3k Před 16 dny

      Watu wanapotembelea yatima na wasiojiweza pia huenda kujifunza wanaishije katika hali ile hivyo Mazembe kutembelea Yanga ni kawaida kwani binaadamu wote ni sawa sio kwa sababu eti wanajua. Tuache ulimbukeni.

  • @hamiduomar1316
    @hamiduomar1316 Před 17 dny +1

    Yani hyo time viungo bora kumbe hata mudathiri hayupo huyu pandikizi

  • @bakarially253
    @bakarially253 Před 17 dny

    Tunasubilia Wasafi wapange nao

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 Před 17 dny +2

    Unatania wewe..

  • @FucianeBulemo-nd4wc
    @FucianeBulemo-nd4wc Před 17 dny +1

    Shida wewe hauko kwenye familia ya michezo alafu ni mchambuzi wa mpira

  • @remidusmwanandenje-yy5gs

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yanga bingwa kuna watu wanaumia ujue😂😂😂😂😂😂😂😛😛😛😛😛😛😛 ata mkinuna yanga bingwa😁😁

  • @user-dw6dh2wn8g
    @user-dw6dh2wn8g Před 17 dny +1

    Millard ayo nawaheshimu ila kw mpira nyie bado sana

  • @SebaProcess
    @SebaProcess Před 17 dny +2

    Afu wanakuwa wabishi kujifunza 😅😅

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Před 17 dny +1

    Aucho kiboko wewe acheni manchncha

  • @khamisrashid9645
    @khamisrashid9645 Před 17 dny +2

    Kumbe maon yako unamwacha aucho we hujui bol

    • @zaidihussein4311
      @zaidihussein4311 Před 17 dny +1

      Yaani uyu jamaa ajuwi mpira kabisaaaaa aucho akae bench

  • @ramadhaniraphael6955
    @ramadhaniraphael6955 Před 17 dny

    Hujui mpira ww pimbi aucho, max wakowapi?

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 Před 17 dny +1

    Aucho kuwa captain Uganda siyo sababu ya kumfanya kuwa bora kuliko yahaya Zayd. Kuna mwanafunzi anashika nafasi ya 1 shuleni kwake, alafu anazidiwa na mwanafunzi anaeshika nafasi ya 10 kutoka shule nyingine, so kuwa captain Uganda sio deal

  • @hamiduomar1316
    @hamiduomar1316 Před 17 dny

    Me nilijua hyo takwimu ya Tff kumbe ya clouse
    Or ndio munapigia promo na mapema 😅😅

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 Před 17 dny

      Ndio hao ligi haijaisha wanasema Feisal awe mfungaji bora ata kama atazidiwa goli 1 au 2.
      Hapa ndipo nilipoamini Tanzania hapana wachambuzi, isipokuwa wapo wachafuzi.

  • @Liamtribalchief
    @Liamtribalchief Před 17 dny

    chambuzi lenyewe halina meno 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Před 17 dny

    Nakukubaliana nawe ispokuwa Bacca namweka na Inonga ,pia yahya Zaid anatoka anasimama Auch.

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu Před 17 dny

    Tutajifunzaje kwenye timu inayobebwa mara penati ya katkati ya uwanja mara kadi nyekundu za uongo yanga inashinda kwà kubebwa tuu na sio uwezo😢😢😢

    • @bakarirajabu3783
      @bakarirajabu3783 Před 17 dny

      Hata Simba slipigwa kwakuonewa ba sio kuzidiwa nwaka tutachezesha mechi zote bila marefa ili kila mtu afe mwenyewe

    • @juliusmagoti5650
      @juliusmagoti5650 Před 17 dny +1

      Unamaanisha hata penalty 2 za Yanga dhidi ya Simba ni za uongo! Na yale magoli 7 kuna ambalo ni la kununua?

    • @alexdjmoviestv3712
      @alexdjmoviestv3712 Před 17 dny +1

      Uyu mwehu?? Au malaria imepanda kichwani

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Před 17 dny +2

      😂😂😂 kiazi mviringo peleka huko mataputapu yako kwa akina ngungu mjadilia kumleta manzoki 😂😂

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 Před 17 dny +1

      Haina shida kubebwa mbebwe nyie kwa misimu yote 4 sio shida akibebwa njano na kijani una hahaa au bado huridhiki na inavyobebwa timu yako kushika nafasi ya 2.?

  • @calvintinega6834
    @calvintinega6834 Před 17 dny +1

    Ushafeli bro, kikosi ulichotoa ni hafifu sana...chukua tu Yanya ilivvyo...acha unafiki wa kupindisha maneno...unamuachaje Dickson Job, Aucho, zengeli,...unaumwa wewe...kapime

  • @calvintinega6834
    @calvintinega6834 Před 17 dny

    Ushafeli bro, kikosi ulichotoa ni hafifu sana...chukua tu Yanya ilivvyo...acha unafiki wa kupindisha maneno...unamuachaje Dickson Job, Aucho, zengeli,...unaumwa wewe...kapime