NILITAKA KUWAFANYIA SIMBA USAJILI ILA HAWAKUNIAMINI | KUIZAMINI SIMBA PIA WALINIKATALIA |NAONA MBAL

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 05. 2024
  • CATCH US BONGO FM 📻
    90.0 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 89.7 DODOMA 📻 | 89.9 ARUSHA 📻 | 104.9 MBEYA 📻 | 90.0 MWANZA 📻 | SHINYANGA 89.9 📻 | KIGOMA 89.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: bongo_fmtz
    TWITTER: https: BONGO FM
    FACEBOOK: BONGO FM
    #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #micheZo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumonukuu
    #kondegang #singidafountaingate #wcb #yangatv #yangasc #diamond #simbatv #live #simbasc #kingmusicofficial #simbatv #diamond #yangasc #wcb #singidafountaingate #kondegang #wcb #yangatv #diamond #simbatv #live #simbasc #kingmusicofficial #simbasc #live #simbatv #diamond #diamond #yangatv #yangasc #yangatv #wcb #singidafountaingate #kondegang #singidafountaingate #wcb #yangatv #yangasc #diamond #simbatv #live #simbasc #simbatv #diamond #yangatv #wcb #singidafountaingate #kondegang
    Transcript
  • Zábava

Komentáře • 99

  • @shausijumanne1583
    @shausijumanne1583 Před 17 dny

    Yes,hii kichwa ni full package mungu akuweke mkuu huna baya

  • @elidifridajingu3153
    @elidifridajingu3153 Před 21 dnem +1

    Mheshimiwa na mm natamani siku moja nikuone. Naomba appointment. Samahami sana kama ikikupendeza naomba unipe nafasi yakuongea na wewe! Natumaini utaupata ujumbe wangu🙏🙏

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango Před 19 dny

    Wachieni MO dewji na Mh Gulamali na matajiri wengine tuwape uhuru wawekeze kwenye Virabu! Lakini waheshimiwa sana ninyi akina mwigulu endeleni na Siasa! Taifa hili lina changamoto ninyi! Na mwenyezi Mungu awape Rehema na toba!

  • @fedinandnjeleka4102
    @fedinandnjeleka4102 Před 13 dny

    Sawa kabisa nilikuona kule tulya kata ya kisilili 2012 ulikuja kuwaona vijana na kuwasaport mipira tukasalimiana.nikweli kabisa usemacho kule doromoni kuna vipaji sana mpira wa miguu

  • @dominickiungulia1016
    @dominickiungulia1016 Před 21 dnem +1

    Mheshimiwa Mchemba nimesadiki kumbe wewe ni mashabiki mshiriki wa Mpira, bila kuingiza upenzi, hongera sana!

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango Před 19 dny

    Inchi hii SaSa imefika mahali tunadimba! Waheshimiwa Jaribuni kumheshimu mama ametulia na majukumu yake! Lini Waziri wa fedha akaingilia maswala ya wachezaji? Na ndo maana Ligi na mechi hazieleweki Tanzania! Tumwaamini mwigulu nchemba ILI iweje kwenye SsC! Pole Sana MO dewje kumbe tunakuonea sana!

  • @jacksportman5181
    @jacksportman5181 Před 21 dnem +2

    Shida watanzania tunapenda timu kuliko mpira,wengi Wana comment Kwa Sabab za kishabiki.Mwigulu ni mtu wa mpira for sure

  • @mvomeromixedfarm
    @mvomeromixedfarm Před 19 dny +1

    Kumbe mh apart from Siasa, ungeamua kuforcus n mpira ungelikua bonge La wakala

  • @allysaidlyambange4500
    @allysaidlyambange4500 Před 21 dnem

    RAHA KWELI❤❤❤ ASANTE MHESHIMIWA😮

  • @mustafamandindi6434
    @mustafamandindi6434 Před 18 dny

    Ndio maana mungu anakuona kwa kukupa kila hitaji lako kiongozi ukweli naitaji sana kukuona kiongozi wetu

  • @sadih5333
    @sadih5333 Před 21 dnem +4

    Muheshimiwa kama unayo ongea ni kweli mimi sikuchukii tena kimichezo.

  • @leusissa3855
    @leusissa3855 Před 19 dny +1

    Mbona kila ukiondolewa kwenye uwazir huwa timu zako zinakufa??

  • @thomasgabriel588
    @thomasgabriel588 Před 21 dnem +1

    Mimi ni simba nimekuelewa mzee wa trab na trat

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu Před 21 dnem

    Mheshimiwa upo sahihi kabisa kabisa we una roho nzuri kaka

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 Před 21 dnem +2

    Hii ya kagoma kumbe simba ndio walikataa…naamin sasa kahoma anaenda yanga msim huu

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 Před 21 dnem

    Jembe la wananchi

  • @user-de6yt6mc3n
    @user-de6yt6mc3n Před 19 dny

    Kwa maelezo haya Simba ina moles wengi sana. Background ya wachezaji ni muhimu sana; wasaliti wanaweza kuwa wa kutosha

  • @gilbertmaganga9370
    @gilbertmaganga9370 Před 21 dnem

    Hii ndio Tz

  • @HenricPelegric
    @HenricPelegric Před 19 dny

    kama pesa za Tanzania zinatumika tanzania mimi nipo sawa na mwigulu. piga kazi.
    you might say what you want to say. but i support local sports

  • @ningamriri6350
    @ningamriri6350 Před 19 dny +1

    Binafsi unachokiongea nakiona kinatoka moyon na si mdomon tu ,mpira wa miguu Tz utapiga hatua kukiwa na wadau weng wa aina yko,,

  • @TimothGerson
    @TimothGerson Před 21 dnem

    Na mtoto wangu mheshmiwa anaitwa Enjo Timoth Mlewa amekaa azam miaka mitatu toka Ander seventyn mpaka Ander twent sasa hiv yupo kagera suger naomba msaidie

  • @ignatiomatimba3554
    @ignatiomatimba3554 Před 18 dny

    Kuwa shabiki ni jambo la kila mwananchi lakini ukiwa kiongozi wa Taifa huhitaji kujifunua kuonyesha timu unayoishabikia. Kudhamini timu nyingi kwenye logi moja nimeiona hapa Tanzania. Haiwezekani eti mtu mmoja awe anashindanisha timu zaidi ya moja ili kutafuta mshindi hapo ni kutoa rushwa kwa timu ukiangalia timu nyingi zilizokuwa chini ya udhamini wa GSM zilikuwa zinafungwa kipindi cha pili ili timu iliyodhaminiwa ionekane imechoka kumbe ni janja yao hata baaadhi ya makocha wa timu pinzani walidiriki kukubali kuwa ni kwa ajili ya maokoto timu zao zilikubali kufungwa.

    • @valentinoswenya748
      @valentinoswenya748 Před 18 dny

      Kwahiyo ww kwa umli wako kipindi mo anaizamini Simba ,cost ,namungo ,na kadhalika inamana ww ulikuwa ujazariwa nini

  • @fitinakisamuhagakisamuhaga693

    Wengine humu niwatoto siyo ❤wakuhangaika nao sisi tuliozaliwa kabla hata tv hazijafika wala kujulikana zipo duniani tunaelewa kuhusu wanasiasa ambao walishakuwa wanasoka kabla ya siasa badala wachukue nakujifunza mazuri ya mwigulu wao wanaacha mema wanatafuta mabaya wanaleta ushabiki 🤔🤔🤔sijui wanaelekea wapi

  • @praygodmawalla7884
    @praygodmawalla7884 Před 21 dnem +1

    Huyu ni Waziri wa fedha wa Nchi.

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb Před 19 dny

    Asante mheshimiwa unasaidia vijana kuna dogo anitwa Abisoni mwenda anakipaji cha mpira hana baba wala mama yuko itona mufindi anasoma kidatu cha pili naomba umsaidiee atomize ndoto zake yaani kwenye kiwanda chai mufindi

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Před 21 dnem +1

    Mwigulu upo vzr wewe waache wanaosajili kwa majina cy vitendo. Km unapenda michezo basi wasaidie SIMBA wanafeli wapi kweli usajili au wanapiga hela tuu

  • @athumanhassani805
    @athumanhassani805 Před 21 dnem

    Kwanza fanya utajiri mzuri kwenye wizara yako yafenza tozo zisizo namsingi mfumuko wabei kwenye mahitaji muhimu hilo ndio jukum lako lakwanza😢

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 Před 21 dnem

    Kunawakati inabidi tutafutane kwa maendeleo ya watu wetu. Nivigumu lkn ikibidi tutafutane naona utafaa.

  • @andrewdaudindullu1749
    @andrewdaudindullu1749 Před 21 dnem +1

    Vipi Tchakei ataruhusiwa

  • @paulsamuel6265
    @paulsamuel6265 Před 17 dny

    huyu jamaa akawe msajili wa yanga , atuachie uwaziri

  • @nauwarykabuma3793
    @nauwarykabuma3793 Před 19 dny

    Kwa hiyo muheshimiwa unatumia ela ya nchi kununua wachezaji wa Yanga

  • @PeterMsafiri-ik3tm
    @PeterMsafiri-ik3tm Před 17 dny

    Bw. Mwigilu achakutudanganya sisi wapenzi wa simba,ongelea timu yako ya yanga.

  • @TimothGerson
    @TimothGerson Před 21 dnem

    Msaidie mwnangu yupo kagera suger amepita akadem ya Azam Anaitwa Enjo Timoth Mlewa

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 Před 21 dnem +1

    Mtu wetu wa nguvu wanchi

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub Před 19 dny

    Unauliza pesa anatoa wapi mmh waziri wa fedha huyo

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 Před 21 dnem +1

    Kwenda huko utopolo mmoja

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 Před 21 dnem

    Uishi miaka mingi na afya tele

  • @jumagubikhan8212
    @jumagubikhan8212 Před 21 dnem

    Mkuu kweli tunajua unapenda mpira lakini pia Kuna unfair kwa football yetu means , mbona husajili wachezaji kwa vilabu vingine vidogo

  • @kheirahmad4064
    @kheirahmad4064 Před 19 dny

    Tutafika tu siku moja.

  • @hendricksjohn6201
    @hendricksjohn6201 Před 21 dnem

    Nchi ngumu hii sijawahi kuona

  • @user-dq5cm1xy5t
    @user-dq5cm1xy5t Před 19 dny

    mkuu ninakijna anaenda 5 Anamika 18 anakipaji mkuu anajua nisaidie kaka hata atoke nae

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Před 21 dnem

    Huyu Jamaa anazungumza uharo, is he related to Manara. Kazi I? What do you actually do! Hawa ndiyo viongozi, nchi inaenda wapi?

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Před 17 dny

    Yaani huyu bwana kukabidhiwa bank akajikuta yeye ni mfanya biashara anataka apambane na wafanyabiashara na kusahau kama ile pesa pale bank kuu ni ya watanzania. Unataka kuwekeza kwenye mpira unaleta tamaa aisee. Huyu ni mwizi guys mchunguzeni hana kitu,oneni Singida saivi iko wapi na yeye yuko wapi!???

  • @IbraimSanga-fg4hv
    @IbraimSanga-fg4hv Před 19 dny

    Uwe na adabu unaacha kutoa maoni ya maana unatukana usenge unaujua?

  • @user-df6rp2ej9j
    @user-df6rp2ej9j Před 20 dny

    Nilicho kinasa kikubwa huyu jamaa ni yanga dam hata u ingwa wao kawasaidia yanga waupate

  • @venancebanda291
    @venancebanda291 Před 21 dnem

    Kumbe mh.wewe ni wakala lakini ume base kwa yanga na kumiliki zaidi ya timu mbili kwenye ligi moja hi si sawa mh.

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 Před 21 dnem

    Hii pesa unaitoa wapi mh mbona nyingi Sana ?

  • @YahayaNgenda
    @YahayaNgenda Před 21 dnem +1

    Wapi anapata nguvu hizo

  • @AdaniAthumani-nc2oq
    @AdaniAthumani-nc2oq Před 19 dny

    Matusi humu hayana nafasi kukibwa uelewa ty

  • @officialfestochimulimuli9426

    czcams.com/video/AirjxNk9O0A/video.html&feature=shared
    Fesal na Simba imeishaiyo Tazama ujionee

  • @jumaally8538
    @jumaally8538 Před 19 dny

    Singida unawasaidia nn acha kujiona unajua mpira

    • @zablonrobert1522
      @zablonrobert1522 Před 15 dny

      Huyu jamaa anajimbo kubwa na ana mwaga moto vbaya mno

  • @mohammedgulamali8849
    @mohammedgulamali8849 Před 21 dnem

    Tuna ku Amini. Lakini wewe ni yanga.
    .

  • @praygodmawalla7884
    @praygodmawalla7884 Před 21 dnem

    CCM na Yanga kunani?

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h Před 21 dnem

    Kwani unamjua George weah? Alikuwa mchezaji bora duniani, je hakuwa rais wa Libria? Unashangaa mpira na siasa? Nchi hii ilijihusisha sana kwenye michezo katika upatikanaji uhuru, unashangaa siasa na michezo? Wewe bure kabisa.

  • @user-hg1xw2co5o
    @user-hg1xw2co5o Před 21 dnem

    Petty theft

  • @user-ds3oi3tt8u
    @user-ds3oi3tt8u Před 21 dnem +1

    Anabalance story mwigulu na huyu ndo anaeisumbua simba toka Amekua mbunge na ndio Anaetoa hela za usajiri za yanga na ndio wanaoikwamisha simba upande transformation pamoja na huyu jamani nieleweni ila hawataki kusema ukweli watanzania

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 Před 21 dnem

      Anaisumbua vipi wkt kila timu inawazamini wakee?
      Nanyinyi mandunduka tafuteni wazamini, msimtegemee Mo peke yake.

    • @abdunnurahmedsilim7456
      @abdunnurahmedsilim7456 Před 21 dnem

      Makolokwinyo mnajisumbua wenyewe acheni visingizio

    • @user-xd4lu1xl6c
      @user-xd4lu1xl6c Před 21 dnem

      Huyu si mwizi tu anakula hela za serikali

    • @anastahiliutawala3879
      @anastahiliutawala3879 Před 21 dnem

      Huyu msenge ndo anaharibu mpira wa tanzania

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 Před 21 dnem

      @@anastahiliutawala3879 Alipokuwa Mo anaidhamini Simba kikamilifu na wakabeba ubingwa mara tatu mfululizo alikuwa haharibu mpiraaa?

  • @user-ds3oi3tt8u
    @user-ds3oi3tt8u Před 21 dnem +1

    Anaongea kitapeli tapeli tu

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu Před 21 dnem

    Kwa hiyo singida ipo kwa akili ya yanga hatuitaki

  • @CharlesAlly-jp1ms
    @CharlesAlly-jp1ms Před 21 dnem

    Jamani mpira na siasa wapi na wapi ndiyo maana soka letu haliendi mbali

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl Před 21 dnem

    Kwani mkuu ww ni msaji wa timu, sijakusoma mkuu,

  • @user-ds3oi3tt8u
    @user-ds3oi3tt8u Před 21 dnem

    Na mmeamini kua yanga ni ccm?

    • @ameirfaki9277
      @ameirfaki9277 Před 21 dnem

      Umeamin ww 2....mwenye akil mgando

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 Před 21 dnem

      Kwa hiyo viongozi wa CCM wapenzi wa Simba mfano Spika na waziri mkuu nao ni Yanga?

    • @KabungaKalla-fw4pp
      @KabungaKalla-fw4pp Před 19 dny

      Kwani simba ni chadema au ACT.?mbona hutwambii?

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp Před 21 dnem

    Misallocation of governmental funds YANGA bila ya CCM hamna kitu Sawa na (kuku + yai)

  • @theonasmkoba6121
    @theonasmkoba6121 Před 21 dnem +1

    Pesa ya Serikali hiyo

  • @SurprisedCherryPie-xp3fi

    Acha upumbavu unamtukana Mwigulu kwa sababu yy ni yanga? Hata kabla hajawa waziri wa fedha alikua anaimiliki singida. Acha wivu wa kijinga msenge ww.

  • @user-wu7vm2vc8z
    @user-wu7vm2vc8z Před 20 dny

    Yanga ilianza kabra ya wewe mpumbavu mkubwa we yaani unavyo jitanua kama iyo yanga ni mali Yako kwenda

  • @anastahiliutawala3879
    @anastahiliutawala3879 Před 21 dnem +4

    Huyu msenge anatumia hela ya nchi kuharivu mpira wa tanzania

    • @b.warron4631
      @b.warron4631 Před 21 dnem +1

      Kwanini unamtukana mtu ambaye ajakukosea..

    • @alphajohn3761
      @alphajohn3761 Před 21 dnem +1

      Tuache matusi kwenye viongozi wetu WA nchi,kama huridhiki nae nyamaza Tu.
      Heshima muhimu

    • @hamisisalimu6908
      @hamisisalimu6908 Před 21 dnem +1

      Uwe na heshima na Adabu kwa watu, sio kutukana watu. Angekua babako ungemtukana?

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 Před 21 dnem

      Kaharibu nini hapo?? Acha wivu

    • @detlantamarooned1809
      @detlantamarooned1809 Před 19 dny

      Kuwa makini kijana,acha kutukana tukana Baba zako hovyo.

  • @MakariousIdarous
    @MakariousIdarous Před 21 dnem +1

    Simba haikuhitaji wewe ni kati ya wanaoharibu soka la bongo badala ya kushindana kwa haki wewe unanunua mechi ( marefa na wachezaji)!

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza Před 21 dnem

    Jamani muwage na aibu sometimes