UNYAMA: ARDHI YA MAAJABU/ INAOGOFYA/ ASIMULIA KWA UCHUNGU/ WALIKATWA MAPANGA!/ KUPIGWA RISASI/MAISHA
Vložit
- čas přidán 14. 07. 2023
- --
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#manyara #dodoma #safari
Muendelezo wa kipindi hiki utaruka siku ya jumatano tarehe 19/07/2023, saa nne kamili asubuhi,kipindi hiki kinaruka kila siku ya jumamosi na jumatano saa nne kamili asubuhi, kama una simulizi/mkasa wasiliana nasi kupitia namba #0653127761
Nakubali sana harakat zako dar 24
Dar 24 tupo pamoja saana.
Wa Mombasani tujuane tafadhali
Leo umetuliaaa au unaogopa😂
Daaah😂😂😂😂we huogopi?
Namini Unakwenda kuchechemua kwenye safari hiyo ya manyara 🙏👍🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷
Duuuuhh mbona ilikuwa hatar sana
Aisee mbona mpaka naogopa but huyu kaka namjua
Sio huko tu wamasai wana kiburi sana na ujuaji mwingi na serikali huwatetea sana sijui kwa nini
AYO NDO MAMBO,,SIO MNAKOMAA NA MTU EPSODE 10 NA,,,KINACHOONGELEWA HAKIELEWEKI.
Naikumbuka ilikuwa hatar sio kwa varangat lile
Nishafikaga huko kibaya kiteto
Aiiiiiseeee mpaka naogopa
Sauti haitoi vzr
Nakumbu ilikuwa mwaka 2013 aisee usiombe hii kitu kutokea
Hii kitu ilikua nihatar sanaaa
Kutoka sunya nalipoti
Leo dupa umetuliaaaaaa
Tunataka story za mamtoni dupa,nataka kwenda unyamwezini