Maasha Allah Maalim Othman Allah akupe umri mrefu hakika mawaidha yako hayana mfanowe kwani waongea kwa upole na wapangilia mada kiasi hata asiejua basi atajua..Jazakallah Kheir Maalim wetu
Jazzakallahu kheiran jazillan mwalimu wetu.unatuelimisha sana na ALLAH akuzidishie imani na umri mrefu iliuendelee kunufaisha umma huu na janatul firdaus iwe makao wako.nna penda kusikiza mawaidha yako na ALLAH(S.w)aniruzuku nazo mite na iwe mwenye kuifuata Manson YA ALLAH Karim.AMIN
Yaaarab....lini utanijaalia kumuona sheikh wangu Othman maalim..wallai napenda sana mawaidha na khutbaa yake wallai tunakuombea Allah akupe umran twawilan.ameen
Asalamu aleykum warahmatullahi wabarakatuh, kimimi sheikh nilielewa kua aliesahau kumsabih Allah ni nabii yusuf kila nikisoma naelewa kwa hivyo,ama uelewaji wangu ndio kosa?
Kwajina naitwa jafari mkazi wa mkuranga pwani naomba nitumie hiki kisa kwa whatsapp tafadhari nashindwa kumuonesha mtu mwingine sababu network mpaka nipande juu ya kichuguu nitumie tafadhari 0759013926 nitafurahi nikiipata
Wallah cheih wetu othman sijui nikuombeye dua gani jinsi unavo tuelimishaga Allah akulipe kila lakher nakupenda sn kwa ajili ya Allah
Amyn 🙏
Mashaallah Sheikh Uthman maalim Allah akuongoze utupe elimu zaidi inshaallah
M.a JazakhAllah {Taalim wotaalum} Mungu akuhifadhi
Allahu akbar biyyadiq llykheir Allah wewe ndo kila kitu kwetu hakika sisi ni viumbe dhaifu sanaa
mashaallah, mwenyez mungu akujaalie pepo shekhe
wallah namuomba mungu anipe kipato niende nikakae kwa shekhe othuman ili nisome hakika hana mfano
Nipo pamoja ndugu Ni kiongozi mzuri
Ll
Kweli
Mungu akujaalie afya njema
nayapenda sana mawaidha ya othoman maalim
Masha Allah
Mashallah shekhe wetu
No words can describe Sheik Otham Maalim.Mungu akueke na akujalia Pepo sote Inshallah Amen.🙏🏽❤️💯
🙏🙏🙏🙏
MashaALLAH
mashallah
Mwenyezimungu akujalie Janna tuli fildousi shekh wangu
Wallahi Allah akupe maisha marefu na akupe mwisho mwema akupe subira uzidi kuyavumilia yote unayozuliwa
What s up
T
Allah akujaalie mwisho mwem inshaallah na akulipe kwa rehma zake inshaallah kwan ni kaz kubwa mno unayoifanya
jazzakallahu kheir yaa sheikh Othuman maalim
Shukran sheikh from Somalia 🇸🇴 😍 ❤
manshallah...mungu atujalia peponi zote ....aameeeen
Maasha Allah Maalim Othman Allah akupe umri mrefu hakika mawaidha yako hayana mfanowe kwani waongea kwa upole na wapangilia mada kiasi hata asiejua basi atajua..Jazakallah Kheir Maalim wetu
Mashaallah mashaallah
Mashaa allah
Mashaa allah
allah akulinde kwa kila jambo
Allah barik sheikh..Allah zaidi❤❤❤❤
Very knowledgeable mwenyezi mungu akuweke uzidi kutuelimisha AMIN
Mungu akujalie mwisho mwema yaarabii
H
Napenda mawaidha yako sn unatuelimisha mungu akulipe heri
Namm pia
MashaAllah
Mashaarahu
Mashalla Mungu ambariki sheikh ni mie Ali Musa Makame.
ustadhi asant sn kwa mawaidha mazuri km haya
Nakupend sana sheikh allah akuhifadh
ameen
Rab zidin lielimu warudhukina fahamu
Rabbi zidnii ilman warzuqnii fahma
Amiin
mungu hakujaalie kheri shehe wetu inshaallah
Allah akibar
Mashallah
Mashaallah
Mungu atujalie mwish mwema
Allah,,akuwe umbri wamema sheik wetu osthman maalim ...Allah,,atujalie waumin wema na vzazi vyetu..Amin Amin ya rabbi Allah Amin
Allah wabari mashekh wetu
MashaaAllah lOthman maalim Mungu akupe unri
Shukraaan maalim allah akupe maisha ya kher
Napenda sana mawaidha yako,,,,wallahi nikiskiliza napata faraja ya moyo ALLAH akuzidishie umri, ni saidaa
napenda mawaidha yko
Good ahekh asante San mung akulinde
Jazzakallahu kheiran jazillan mwalimu wetu.unatuelimisha sana na ALLAH akuzidishie imani na umri mrefu iliuendelee kunufaisha umma huu na janatul firdaus iwe makao wako.nna penda kusikiza mawaidha yako na ALLAH(S.w)aniruzuku nazo mite na iwe mwenye kuifuata Manson YA ALLAH Karim.AMIN
JAZAK ALLAHU KHAIRAAN KATHIRAAN
MashaAllah jazzak la kheri💓🤲🤲
kla la khri mungu akubarik
amna mung akuzdixhie wa2fungua vichw vyetu na kutuelmixh
Allah akbar
Nakupenda. Kwa ajili ya ALLAH shekhe
Tunakupenda sana sheikh wetu kwa ajili ya allah na allah akusimamie kwa kila ufanyalo lakher allahuma aamiyn
Mashaaalla mung azidi kukupa afya na na uzima uzid kutupa dawaa
mashaallah
rahma sellemani hz
rahma sellemani mambo
Mashallah
❤masha Allah sheikh Othman maalim
I love Qur'an and Allah
Mawaida matamu tu, masha Allah sheikh.
MashaAllah ❤
habiba
Good been
Nakubal
insha Allah mungu atuongoze
Kuna mijitu ime dislike vo hehehe ata sijui wanapenda nini😂😂 Allah atuongoe ameen
Atuongoze mistake hehehe
Nakupendasana babayang kipenzi ira niko mbari rwanda sijuwintakuona aje
Aliwahi kuja Rwanda Sheikh Othman, that time I was in Masjidi. Nilikuwa nafata mafundisho yake. Alikuja Kamembe.
napenda mawaidha yako
Wamecmulia wengi kixa hiki ila anapocmulia xheikh othman Maalimu xchoki kuckiliza wallah
MASHAALLAH
MashaAllah Allah akujaki umri mrefu
M'anchaallah mungu akuzidishie umri
mungu akuhifadhi
Yaaarab....lini utanijaalia kumuona sheikh wangu Othman maalim..wallai napenda sana mawaidha na khutbaa yake wallai tunakuombea Allah akupe umran twawilan.ameen
Maashaallah jazakallahu
Mawaida mazuri Mashallah
Mashllah mungu mpe neema shekh wetu
MashaaAllah jazzak la kheri
Naa'm
kudra halfan mashaallah
Mashallah kisa kizuri
Maashaalla
mashallah....what a wonderful explanation, may allah grant you, the rest of the umma and i jannatul firdaus. inshallah
Insha allah
Mashaallah
mawaidh yako yanafundish mno
Mungu akubariki insha'Allah
Pat one plz😊😢😢
mashawaa mungu akuzidishie
Jazakallah khayra
🙏
Mnyaazimungu akufanyie wepesi kwa kila darasa zako zote na mawaidha yako yote ,kwa kila mwenye kumuelimisha na akaelewa kwa kupitia darasa yako
yani mawaidha yako yanafundisha sana
Asalamu aleikum shkh maalim
Vtx. We
Shukurani
Asalamu aleykum warahmatullahi wabarakatuh, kimimi sheikh nilielewa kua aliesahau kumsabih Allah ni nabii yusuf kila nikisoma naelewa kwa hivyo,ama uelewaji wangu ndio kosa?
Idrrisa
mwendelezo
Naam sheikh krb tn ktk inchin kwt burundi hatakam aWakutak kutokan namazeheb yako.sis tunakutak kbs nimegunduwa kitu انت خير منهم
Kwajina naitwa jafari mkazi wa mkuranga pwani naomba nitumie hiki kisa kwa whatsapp tafadhari nashindwa kumuonesha mtu mwingine sababu network mpaka nipande juu ya kichuguu nitumie tafadhari 0759013926 nitafurahi nikiipata
ABILAH Jumanne download application inaitwa Videoder inaweza kudownload video yoyote
Download tube mate kwenye gogle chrome utaipata bdy instore bdy unadownload unachotaka pole ndugu
Napen da mhadhara wa sheikh huu Mashaallah
Mashaallah
Maashallah mungu akupe kila lenye heri na ww shekhe othmani maalim na akupe hatma njema
maashaallah
Masha Allah
Mashallah
Mashaallah
Allah akupe mwisho mwema
Napenda mawaidha yako sn unatuelimisha mungu akulipe heri
Allah akuzidishie elimu yenye barka inshallah
Naam sheikh krb tn ktk inchin kwt burundi hatakam aWakutak kutokan namazeheb yako.sis tunakutak kbs nimegunduwa kitu انت خير منهم
Mungu akuongoze ktk mafundisho yako ,mana wengine twapata elimu kwa kupitia ww mwalimu wetu
Mash'Allah
Masha Allah