Shekhe. Kumladhi! Maana NIMEANDIKA na kutafsiri jina lako TOFAUTI! Naam, Shekhe Othman. Niombee Mema katika safari yangu ya hapa Duniani. Nami nakuombea katika kazi hiyo NZURI na muhimu saaana katika kutukumbusha wajibu wetu kwa Muumba wetu🙏🙏🙏
Mashallha shekhe Othman mungu akupe aweni lnshallha uzidi kutupa mawaiza yenye raza ya sauti mzuri maana uwe nikisiliza mawaiza yako najiona napata na furaha ya moyo kwaza uchoshi mashallha kusiliza
Allhamdulillh Allah awape umri.mrefu mashekhe wetu wote mnaolingania daw othuman Allah akulipe unatoa daw Kwa hekma bila ya ukali mpak mamuma anakuwa na mwang kweny moyo walahi
Mashaalla anajua dini kweli mimi kutoka yamen naishi madina munwara kwa hiyo mungu haiwezekani. Kwa NA mtoto NA yesu sio mungu wala sio mtoto wa mungu maana maria ni binadamu kama sisi ltakuaje mtoto wa marriya awe mtoto wa mungu NA mungu hana haja kwa NA mtoto yeye mungu anaumba watu wala hazai kabisa
MashaaAllah....Wallahi nimejifunza mengi Sana kupitia kwako Ustadhi.Mwenyezi Mungu Akuzidishie
Shekhe. Kumladhi! Maana NIMEANDIKA na kutafsiri jina lako TOFAUTI!
Naam, Shekhe Othman. Niombee Mema katika safari yangu ya hapa Duniani. Nami nakuombea katika kazi hiyo NZURI na muhimu saaana katika kutukumbusha wajibu wetu kwa Muumba wetu🙏🙏🙏
E / M niweke bhal na Ibils laana kum na ikitokea nikipotea bhx naomba nikukumbuke inshallah
Jazzakallah kheyran sheikh Othman
Sheikh Othman, tunakupenda na tunakuhishimu kwa kusikiliza Mawaidha yako. Mungu akuhifadhi akupe siha na afya. Tufate mawaidha ya Kiislamu. AMIN
AMIIN
M nahtaj unioe nipate kufundishwa mambo ya din jamn
ameen
Huo namuelewa sana Ustadhi twashukuru kwa dawaaa zinatubadilisha na kua wacha mungu
Mashaallh mungu akujaalie kila l kher inshaallah kw kutup elim mungu akubarki inshaallah
Inshallah Mwenyezi Mungu akupe mwisho mwema na mimi pia tuwe peponi pamoja na mtume Mohammad(s.a.w).Aminiiii
Issa Ngullo amin
Ameen
Ameen yarab
m
Na mm mwenye kuskiliza tuweote peponi insha allah
mashaAllah one of my favorite sheikh
Alhamdulillahi leo nimejua vp hizo sijida 2 zilivo wekwa ALLAH akupe umri uzidi kutuelimisha🤲🤲
Jazaka Allah khaira shekh othman maalimu
Mashallah Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin
Jazaka Allah khaira shekh othman maalimu Allah AKUJAALIE umri Mrefu
Manshaallah cheikh, shukran shukran
Marshallah mwenyezi mungu akulipe kwa kazi nzuri inshallah
shekhe maalimu othuman Allah akupe kheri nyingi
Mashaallah aleyk Sheikh Othman maalim Allah kakupa sauti na umejua kuitumia mahala sahihi Allah atupe ilham sote muslim
Maashallah akujaalie kila la khery sheikh
Shukran wajazzak Allah kheir Allah akuhifadhi akupe umri na afya njema
Maa shaa Allah tabarakallah baraka llahu fik sheikh othman
Mashallha shekhe Othman mungu akupe aweni lnshallha uzidi kutupa mawaiza yenye raza ya sauti mzuri maana uwe nikisiliza mawaiza yako najiona napata na furaha ya moyo kwaza uchoshi mashallha kusiliza
Ma Sha Allah,nakupenda kwa ajili ya Allah!
assalaam, Allah amjaalie ulamaa huyu elimu yenye manufaa kwa jamii Duniani na Akhera ,Allahumma Aamin
Waalley kum sallam,Allahuma ameen.
Jazzakallah fikum
Mungu akubatiye Rehma Yake
Tujuane wano angalia 2020 Allahmduhli 🙏
Tupo 🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Tupo Alhamdulillah
Qeen maya
Nipo
Queen Maya ili iweje,na itasaidia nn?!
Mashaa Allah, Allah amjalie Sheikh hafia Bora nasisi pia Aamin
Thank u I have liked this.
Sheikh Othman Ndugu yangu Allah kakujaalia Zumari la dhahabu unavyosoma Quraan 7:14 MashaAllah
TabaarakALLAH min Kulli ni3am
Masha Allah shekhe Allah akulipe na atujaalie wasikilizaji tuwaizike
mashaallah shekh othman Maalim Mungu akulinde na kila kabaya
Allhamdulillh Allah awape umri.mrefu mashekhe wetu wote mnaolingania daw othuman Allah akulipe unatoa daw Kwa hekma bila ya ukali mpak mamuma anakuwa na mwang kweny moyo walahi
Allah akuzidishie ilmu nayapenda mawaidha ysko sana
Mashaallah mungu akupe mwisho mwema
Mashallah
Mungu akuongoze shekh Othman maalim
Allahuaqbaru🙏🏽
MashaAllah nimesoma kitu kikubwa ajabu leo
Mwenyezi Mungu akupe maisha malefu
Mashaallah Jazakallahu kheyri, Mungu Azidi kukuweka shekhe Othman Maalim
Masha Allah mungu akujalie afya njema amiin
Shukran wajazaka llahu Heri inshallah amiin yarabi
Shukurani sheikhe othumani mwenyezi Mungu akujalie Janna tukufu siku ya khisabu inn'shaalla
Daah uyu shehge mungu amoinde
My all time favorite Allah ya Izaq❤️💯🙏🏽
Maashaallah shukraaan saan shekh nakupenda saaan
Mashallha
Allah akupe Afya njema ili uendelee kutulingania InshaAllah @Sheikh Othman Maalim
Abubakary AEL sheh othmani mungu kukupa!!
Mashaalaa mungu akupe afya njema
Masha Allah shekhe Allah akuzidishie kila kheri akuepushe na kila la Shari AMEEN Akupe umri mrefu AMEEEEEEEN
I like all the best
Shekhe othuman Allah akuhifadh
Amina
Shekhe Asuman. Ukarikiwe zaidi kwa Umahiri wa usomaji na Tafsiri ya NENO la Mwenyezi MUNGU. Emmanuel
Qqq
Aĺlah atukinge na amali ya kivri na wenye kibri Allah awaonolee
Amiyn
Hakika makumbusho yako ni Bora kwetu sisi ...Mola akujaalie kila lenye kheri la akhera na dunia
Alhamdulilah mashallah mawaidha yakusisimua Mungu akupe mashaisha marefu amin
MashaAllah Allah atujaalie tuwe ni wenye kuwaidhika
Wallah hua sijutii bando langu sheikh, niangaliapo mawaidha yako najihisi nipo kabisa karibu na masahab
m.a
@@ahmedhusseinhussein8145 maalum mm taka uniekewazi nilimsikia shehe anasema mtuikwahaelewani nanduguzake hana Ramadhani je hii inaukweli
ALLAH akujaalie kheir inshaaLLAH
Inshaallah
Jazakallah khair
Maa Shaa Allaah
Jazakallahu kheyri ya maalim othman
Shukrani shekhe othman
mashaa allah
Jazzakallahu khery shekhe othman Maalim,ALLAH akupe umri mrefu na akupe mwisho mwema Inshallah.
Saumu Hassan jazzakallahu khery shekhe othman
Mashaallah
Mambo.vipi
mashallah mola akubarik
Mashallsh
MASHAALLAH ALLAH AKUZIDISHIE KAKAETU UTHUMAN MAALIM NA AKUJAALIE MWISHO MWEMA AMIIN
Maaaashaallah Allah akulipe badala
Amin
Jazakallahu khaira
mashallah shukrani 🙏
mashallah
H
Mungu akupe mema
Jazaka Allahu kheira
ما شاء الله لا قوة إلا بالله❤❤❤❤
jazak Allah khair nimependa sheikh
Mashaa Allah
Allah s.w atupe mwisho mwema lnshaAllah
mashallah sheikh nkukubali %%%%%%%%%%%%% mungu akubariki
Maasha Allah akuiy kaaariiiimm
Masha Allah
mungu akubariki sana shee OTHMANI MAALIM
MASHAALAH
Mashallah shekh mm napenda sana mawaidha yako Inshallah kila khery namungu akuongezee umri mrefu wenye faida Akhera na duniani Inshallah 👏
Jazakallah khair!!!
sheikh Allah akupe umri mrefu wenye manufaa
Shukran shekh, kiukweli si mda mrefu mimi mwenye nilijiuliza, kwani hizi jijida mbili zilikujakujaje ktk kusali
Mash Allah
My favorite sheikh
mashallah napenda Sana mawaidha yake Sana nimekuwa shabiki tangu redio rahma ianzishwe msa ndipo nilianza kuupata mawaidha yake
Naam mipya
Mashaalla anajua dini kweli mimi kutoka yamen naishi madina munwara kwa hiyo mungu haiwezekani. Kwa NA mtoto NA yesu sio mungu wala sio mtoto wa mungu maana maria ni binadamu kama sisi ltakuaje mtoto wa marriya awe mtoto wa mungu NA mungu hana haja kwa NA mtoto yeye mungu anaumba watu wala hazai kabisa
Shekhe wetu ,Mola akuzidishie uwezo wa dawa na umri mrefu insha Allah
Mashallah ❤️❤️
Nzuri mashaalah
Shukran wajazaka Allahu heri
Mashallah Allah akulipe mema inshallah
mashalah
Cheikh Othmane malim una soma kur'ani kwa utarTibu , mungu akupe umri mlefu , n'a mwisho mwema.
Mashallah tabarakallah jazzakallahu khaira
Mashallah mashallah mashallah 🤲😟
Allahuma nijalie pepo yako niwe bwanamtume na shekhe osumani maalim
Mashaallah mungu akupe umri mrefu
mungu akupe mwisho mwema
MASHAALLAH 💕💕 MWENYEZI MUNGU ATUJAALIE MWISHO MWEMA.
Aamin
God Bless you. Mashaallah
Mashallah
mashaalah.
Nakupenda Kwa ajili ya Allah
masha Allah
Baaraqallahu fiyq yaa sheikh
Mungu akupe maisha marefu
SubhannaAllah
Allah akbr
Yaarabi Allah
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 ya Allah bless us with your deen
JazaakAllah shiekh.
Alhamndulilah ALLAH akuzidishie kheri duniani na Akhera pia
MashaAllah, Jazakallahu kheyri Sheikh
Mansha allah
Alla akupe kila lahere ishaall shehe wetu amini
jazakalahu kheyri ustadh
mashaallah
JazaakAllah kharian.