MHE MAKAMBA amjibu MARIA SARUNGI kwanini RAIS SAMIA hakupokelewa na viongozi wa UFARANSA, Paris

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 13. 05. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • Zábava

Komentáře • 195

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js Před měsícem +25

    Ivi unavyo endaga uko njee amjifunzi maendelewa ata ya ukoo asee juu ya wezetu wanapo jali raiya waoo yani kazi kusifia tu kila kituu iyo ufaras wanyonyaji tu bado mnajipendekeza kuomba ombaa wakat mchi yetu ina utajiri mwingi tuu

    • @shivobs4485
      @shivobs4485 Před měsícem

      Utajiri gani mwingi tunao

    • @aidankakulu398
      @aidankakulu398 Před měsícem

      ​@@shivobs4485Hujielewi

    • @user-st3ws1ns5g
      @user-st3ws1ns5g Před 28 dny

      Kweli kabisa!!!😂😂Hizii ng'ombe za nchii😢😢bahna daah! Yanajikombakomba kwa wazungu sana wacha wazarauliwe tu

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi Před měsícem +30

    Safali nyingi kuliko maendelea

  • @bensonphilip9673
    @bensonphilip9673 Před měsícem +22

    Mbona wenzetu wanamkataa ufaransa sis tunamkimbilia duu

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 Před měsícem

      Kwahiyo tugeze chuki? Mama hataki drama anaishi kitz kupenda watu na kubaki neutral, hafungamani na upande wowote

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 Před měsícem

      Sisi waoga na washamba wa watu weupe​@@atutweve4160

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 Před měsícem +9

    Rest in peace JPM, hapa ziro

  • @stev644
    @stev644 Před měsícem +6

    My country

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js Před měsícem +20

    Tatizo safar zimezidi sanaaa aseee yanii ata sielewiii

    • @Masterplan696
      @Masterplan696 Před měsícem +3

      mpaka wamewachoka duuuuh

    • @fatmamdihiri4164
      @fatmamdihiri4164 Před měsícem +3

      Ndio akome kazidi makamo wa raisi kazi yake nn kila siku safari chefu 😂

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Před měsícem

      Hebu wa Bongo wacheni chuki na ubaguzi Nchi yenu haiendelei kwa ujinga wenu. Rais anatakiwa hivyo asafiki afanye urafiki na Nchi za njee aijuwilishe Nchi yake 🇹🇿 Magufuli alikuwa anapata mialiko mingi tuu lakini alikuwa hendi akiogopa na Elimu yake ilikuwa ni ndogo kwa Lugha za Kingereza.Ahhh very sad .

    • @simonmartin5358
      @simonmartin5358 Před měsícem

      Hujierewi so kaleta nchi ktk faida IP kwanza uchumi wetu umekufa kbsa na hakuna anacho jar Yani yamkini WWE nae ndio mnao piga hii nchi​@@awatifalghanim1106

    • @show...002
      @show...002 Před měsícem +1

      @@awatifalghanim1106 ongelea yaliyopo kwa kipindi hichi sio kumkandamiza /kuponda awamu iliyopita just be honest

  • @jacksonhafashimana3603
    @jacksonhafashimana3603 Před měsícem +13

    Magufuli 😭
    Ainsi va la vie

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Před měsícem +5

    RIP Baba yetu Magufuli 😭😭😭😭

  • @abdulajuma3486
    @abdulajuma3486 Před měsícem +19

    Wacheni ujinga Watanzania viongozi wetu awajielewi kabisa akuna viongozi Tanzania kuna uchwala tu kufanya Watanzania wajinga

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 Před měsícem +6

    Apunguze safari this is too much

  • @boxdad
    @boxdad Před měsícem +3

    Kujipendekeza Kwa nchi za watu wakati hukubaliki

  • @user-sr8tc8ke6q
    @user-sr8tc8ke6q Před měsícem +24

    Magufuri asingeenda kabisa😢😢😢

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Před měsícem +2

      Asinge kwenda kweli 😂😂😂😂angekwenda angekisema nini??? Labda kuskiliza.

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Před měsícem +3

      @@awatifalghanim1106 vyuo vikuu alivosoma ulimwandikia wewe??!!

    • @SuleAmber-lw2tx
      @SuleAmber-lw2tx Před měsícem +4

      ​@@awatifalghanim1106Aliwahi kuwauliza wakati anaish Canada miaka 2 alkuwa anaongea kizaramo!? 😁😅

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn Před měsícem +3

      ​@@awatifalghanim1106 Kumbuka pamoja alikuwa ajui kuongea iko unachokimaanisha Lakini alikuwa Raisi aya wewe mjuaji una nini bando tu unaangaika kuipata 😏😏😏

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn Před měsícem +2

      ​@@SuleAmber-lw2tx Sasa kuna ubaya gani imekuuma kumbe basi andamana

  • @Zillionking627
    @Zillionking627 Před měsícem +7

    Mpaka tusemeee😂😂😂😂😂

  • @CrissJunior-oe6go
    @CrissJunior-oe6go Před měsícem +3

    Even red carpet??

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 Před měsícem +3

    DO THINK OF ME GOD 🙏🙏

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv Před měsícem +4

    Ana fukuzwa Burkina mali nigea ana kalibishwa tz

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Před měsícem +9

    Kila siku safar tu 🤣🤣🤣🤣 magu mbona alikuwa anatulia na kazi zinaenda 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de Před měsícem +1

      Ndo tujifunze 2025 tusifanye makosa 😂😂

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Před 28 dny

      Magufuli alikuwa hana Elimu ya safari wala hajuwi lugha ya kimataifa ndio sababu kubwa alikuwa hafanyi mahusiano na Nchi za njee. Mahusiano yake makubwa hapo Kenya. Sasa unataka Rais akae Ikulu tuu. Unataka Rais Awe kama wewe kutwa yuko mitaani .

  • @mustafakimalio9129
    @mustafakimalio9129 Před měsícem +4

    Wanakimbizwa west wanapokelewa east hii ni fursa au ?

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue Před měsícem +5

    Wamemchoka sasa mama kazidi safari za njee

  • @RamaHRIzmaelov
    @RamaHRIzmaelov Před měsícem +4

    Akina Traore wanawatimua wanyonyaji,,nyie ndo kwanza mnafurahia na kujibebisha kwao...Mr.But never the less

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 Před měsícem +27

    Wamemzalau sana tukubali

    • @simonmartin5358
      @simonmartin5358 Před měsícem +3

      Kweli.

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 Před měsícem

      Hamjui kila nchi na taratibu zake mbna mmekua washamba hivyo mara ngapi Marais wanakuja Tzd na yy Rais haendi wapokea. Acheni kujiropokea tu. Halafu yy haendi ziara kikazi ktk nchi hiyo. Makenge hamjui kitu mnajisemea tu aisee aibu tupu comments zenu kwakweli

    • @abuuramadhan8093
      @abuuramadhan8093 Před měsícem

      Kwan asipopokelewa shida I wap

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 Před měsícem

      @@abuuramadhan8093 kwani kenda officials ziara ya nchi hiyo???? Mbna mnafikra mbovu hata hamjijui. Soma comments zingine ujifunze na wee

    • @chikusangalala7759
      @chikusangalala7759 Před měsícem +1

      @@abuuramadhan8093 wewe ukenda ugenini harafu humkuti mwenye nyumba

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx Před měsícem +4

    Kiranga komaaa😂 ndio likomee kuzurula hovyo badala udeal na taifa lako unakuwa mshamba wa safari zisizokuwa na tija kwa taifa letu.

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony Před měsícem +1

    raisi wa Congo oyeeee

  • @user-st3ws1ns5g
    @user-st3ws1ns5g Před 28 dny +1

    Mtaendelea kujikombakomba kwa watu wasio wataka mpaka lini??? Ndio maana mnazaraulia huko ulaya mpaka milele.

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 Před měsícem

    My country 😢

  • @OdenBidili-lj5qi
    @OdenBidili-lj5qi Před 27 dny +1

    Hapo bado kidogo tuongezewe tozo😂

  • @LeiyoLaizer
    @LeiyoLaizer Před měsícem +2

    unajua sisi ambao hatujasoma tunaonaga mbali sana 😮😮

  • @kyangwesignermohamed7867
    @kyangwesignermohamed7867 Před měsícem +19

    Wenzetu wanawafukuza WFaranza yeye anaenda kuwapigia magoti wamfundishe upishi😂😂😂

    • @carmp3
      @carmp3 Před měsícem +3

      Wallah mwenyewe najiuliza hii ni hatali kwa nchi mfaransa kila sehemu anafukuzwa yeye kafata nin?

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de Před měsícem

      Watz cc niwaoga uyo rais anawashaur

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke Před měsícem

      Hapa ndio ninapo amini kua sisi wa tz wajinga sasa kama mtu anafukuzwa ndio usishee nae jambo la maendeleo au, yy uko alipo fukuzwa unajua amefukuzwa kwa ajili gani

    • @carmp3
      @carmp3 Před měsícem

      @@MohamedAhmada-ie7ke hata cjui unatetea nn?? Angalia bokina faso hali waliyo kua nayo na walukua chini yake mfaransa hufatilii wew?? mpaka watoto wadogo walikua wanachimbishwa dhahabu mfaransa anachukua!! Tazama kongo namna wanavo pata tabu mfaransa pia anahusuka au huoni wanayo fanyiwa wakongo?? Maendeleo yapi mfaransa atakayo yaleta tanzani?? kama wengine wameshindwa Tanzania ndio wataweza,,fatilia habali na uache ushabiki kabla hujasema watanzania wajinga jichunguze wew kwanza

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Před měsícem

      Mpumbavu wewe kama huelewi kaa kimyaa.
      Unaelewa maana ya huo mkutano?
      Ni sehemu tu iliyoteuliwa kufanyika kwa hicho kikao na sio ziara eti ya France. Mna uwelewa finyu sana watz tatizo elimu ya kibongo ni sawa na ngozi ya matako.
      Viongozi wakuu wa nchi ngapi hapo wamehudhuria? Mbona hawajapokewa na Macron? Pia hata kama kuna mataifa ya kiafrica yanayomkataa mfaransa sio sababu eti mataifa mengine kutokuwa na urafiki
      Mataifa yenyewe viongozi wake wamechukua nchi kwa mtutu wa bunduki, hazina mpango wowote.
      CHAGA DEMA mmetokota mpaka huyo kiongozi wa milele makengeza afe tu.

  • @user-zh3cf5wk1k
    @user-zh3cf5wk1k Před měsícem +2

    Yupo sahihi samia kizurura tu..

  • @michaelmlugu5654
    @michaelmlugu5654 Před měsícem +2

    Aina gani ya mapokezi aliokewa?

  • @fredrickshantiwa9710
    @fredrickshantiwa9710 Před měsícem +3

    Tunajifunza nn huko ufaransa??? Tunafuata nn huko ufaransa?? Kitu gani tunakitaka kutoka ufaransa.mbona tuna vingi vya kufanya hapa kwetu wenyewe? Mbona wao hawaji huku??? Kulitokea nn Cha dharula Sana mpaka rais wa nchi aende huko??? Kwani barozi wa nchi hayupo.alafu ww January unefuata nn kazn kwako ni hapa tz.? Mm madhani t
    Wajipange vzr wamjibu maria sarungi..

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Před měsícem +1

    Too many travels, nchi zingine wanachoka, watampomea mara ngapi? Ameisha ends Songea, no, but ufaransa mara ya 2 au tatu. Too much! Waste of our money. All countries in the World are struggling economically

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m Před měsícem +1

    Ni kweli mama wanapokeana wenyewe tu

  • @DaudiHamisi-un2uu
    @DaudiHamisi-un2uu Před měsícem +2

    UpishiSafi Africa Mkutano Ulaya Ukisikia Ukoloni mambaoleo ndio huu

  • @user-rx7te2px5d
    @user-rx7te2px5d Před měsícem +2

    Maelezo kibao lakn end of the day hela ya mlala hoi hairudi,tunalijua hilo.

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k Před 26 dny

    Mmmmmh makamba bhana,unawafanya watu mazuzu.

  • @johnbensonbutoto3556
    @johnbensonbutoto3556 Před měsícem +3

    Bra bra bra bra

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 Před měsícem +1

    😂😂😂 hii ni sawa nimetoka njombe naenda dar badala nipokelewe na mwenyeji wangu napokelewa na mwenzangu nilie toka nae njombe

  • @user-cd2np5by6g
    @user-cd2np5by6g Před měsícem +4

    Tatizo shobo zimekuwa nyingi

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv Před měsícem +4

    Makamba anakudanganya ahahaha bwana kweli rais wa marekani aje bongo halafu asipokelewe na mkuu wa nchi😂😂😂

  • @emmanueldaniel1781
    @emmanueldaniel1781 Před 24 dny

    We miss JPM

  • @Zenny89
    @Zenny89 Před měsícem +2

    Huyu Makamba kapiga porojo la mwanasiasa ili hasijitu swali😆

  • @user-sr8tc8ke6q
    @user-sr8tc8ke6q Před měsícem +6

    Samia kapokewa na mjumbe wa nyumba kumi😂😂😂😂

  • @WABAPRO
    @WABAPRO Před měsícem +4

    Wamemkata Mama 🫠🫠🫠

  • @PlatnamMogo
    @PlatnamMogo Před měsícem +2

    Hawata rudia tena kujipiga picha wenyewe uwanja wa ndege wakiwa nje ya nchi !

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 Před 29 dny +1

    Maria sarung she's right ✅️..

  • @JohnCage-we6tp
    @JohnCage-we6tp Před měsícem +5

    Yan raisi huyu anatetewa kwa kil kitu

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Před měsícem

      Hata Mungu pia atamtetea

    • @JohnCage-we6tp
      @JohnCage-we6tp Před měsícem +1

      @@awatifalghanim1106 ndio ila ukifany kaz mzur hautetewi kaz zako zinakutetea ila km huja fany kitu ndio shid inaanzia hap kutetewa na waomba ugali

  • @DM_15
    @DM_15 Před měsícem +1

    Mama hana likizo ya safari, kusafiri kwingi hio inaonyesha nimoja kati ya ndoto zake hivyo yukobize kusafiri k8timiza ndoto zake, safari zingine siolazima aendeyeyey angetuma makamu au waziri, lakini shuhuli za nje niyeyetuu. Sijui maraya mwisho washirika wake walisafiri lini. Nisemetuu kusafir safari kwingi nako nimoja ya anasa.

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 Před měsícem +2

    Mimi sikuona sababu ya kwenda huko, Gas tunayo wataalam tunao shida nini nyie watu weusi mbna hamjitambui.

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 Před 25 dny

    Mnasemaaa mama msikivuuu ndo anatuuza kwa mfaransa

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Před měsícem +1

    Duh hii too much

  • @mbuyaelyaoni6266
    @mbuyaelyaoni6266 Před měsícem +1

    Siasa nyingi mno

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Před 26 dny +1

    Huyu ni rais wa katiba na si chaguo la wananchi, Rip JPM

  • @ezekiakiwovele7794
    @ezekiakiwovele7794 Před měsícem +1

    😂😂😂😂😂 ngoja nikae kimya

  • @bundalaizina652
    @bundalaizina652 Před 27 dny

    Kila sekta makambo dili tu

  • @HansChuma
    @HansChuma Před měsícem +1

    😂😂😂😂Wezi wana teteana 😂😂😂😂 halafu kunalijitu linatetea 😂😂😂😂 africa sisi sema mm naona niwatanzania tu ndio tumelala😂😂😂😂

  • @adolfmatta7792
    @adolfmatta7792 Před měsícem +2

    hahahaha

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Před 25 dny

    Makamba hatusemei mapokezi izo gharama za safari analipiwa nauli au ndi vile

  • @navioma4882
    @navioma4882 Před měsícem +1

    Huyu mama kazid wala hasimamii maendeleoo

  • @user-lr5wc6kk7m
    @user-lr5wc6kk7m Před měsícem +1

    Maelezo meng,,,makamba wana2ona watot,,,wamedhalilik hah dairy safr

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Před měsícem +3

    Bora raisi wetu Angeacha kwenda kwa wahuni

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi Před měsícem +1

      Laisi wame mkataaa

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Před měsícem

      Wa Tanzania mmekosa nini kwa Mungu nyiye???? Usitukane wa njee ikiwa nyinyi wenyewe hamjijuwi. Wewe kama nani unampagia Rais asende kwa wahuni??? Hebu wacha comments za wajinga.Eti wahuni Mhhnnnn Nchi za kijinga…….. always haziendelei.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Před měsícem

      ⁠​⁠@@RomanMwinyiKwanza jifundishe Lugha ya Kiswahili. Kuandika hujuwi Laisi 😂😂😂 Kama wamemkataa Rais nenda wewe wanakukubali 🤣🤣🤣🤣

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi Před měsícem

      @@awatifalghanim1106 kwani apo nime enda mm ndo wamenikaataa au kama nime enda mm nitaenda

    • @show...002
      @show...002 Před měsícem +1

      @@awatifalghanim1106 ufaranca ni wahuni kubali kataa ni wezi wanatunyonya,pambania ugari wako ila ukwel ndo huo ata sisi tumesoma kama ww na tunajitambua vzr na tunafatilia bola ukae kmy tyu

  • @naujila-rb2mg
    @naujila-rb2mg Před měsícem +2

    wamezidi

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION Před 27 dny

    Kama ni clean cooking in Africa why AU wasingeitosha pale Ethiopia,,,,cooking in Africa afu mkutano PARIS

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Před 25 dny

    Watanzania tujifunze malli na bukinaa

  • @Ankobiotics
    @Ankobiotics Před měsícem +5

    Ulaya waliwapandisha viongozi wa Afrika kwenye bodaboda bila helmet ili wakauage mwili wa malkia Elizabeth. Wanadharau sana watu weusi!

    • @simonmartin5358
      @simonmartin5358 Před měsícem +2

      Ttz Wana penda kushangaa maendereo ya wazungu kuliko kukaana wananchi wao

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo Před 28 dny

    Upishi safi ni agenda yetu kweli kwa sasa? Tunacho cha kupika

  • @user-is2pj2vq3r
    @user-is2pj2vq3r Před měsícem +2

    We ukienda kuzulula mpaka mapokezi kwani

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 Před měsícem +1

    Acheni kutetea ujinga sometimes inchi yetu ipo nyuma kutokana na hawa tunaojipendekeza nao .... Wabongo mmejengewa madaraja mawili na tren mbili kelele nyingi eti mama anaupiga mwingi kenge nyie ... Tunakila sababu ya kuishi vizuri na miundombinu mizuri coz inchi yetu ina lasilimali nyingi sana ila hao mnao washabikia wanaiba na kupeleka kwa hao wanaokwenda kuwasalimia huko alafu wapumbavu na watu wasiotembea wakaona wenzetu wanaishije ndio kutwa kupiga kelele mtanadaon eti anaupiga mwingi 😏😏

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Před měsícem +1

    Makamba acha kutetea. Wazungu sio watu wazuri hawatutaki sema tunajipendekeza sana mpaka tunavuka mipaka mshauri Raisi wetu aache kuenda huko atadhalilishwa.

  • @user-hb8er6dq2q
    @user-hb8er6dq2q Před 24 dny

    Kuzurula tu tutawanyoosha kweny uchaguziiiii

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 Před měsícem +1

    alaf namuonaga huyu rais uwaga hajiongezi mwanamke Ni mwanamke 2 tukubali hili

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Před měsícem +1

    Safari kibao

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Před 25 dny

    Ivi wanalipiwaga nauli au

  • @lswai6777
    @lswai6777 Před měsícem +4

    Wafaransa wana madharau sana.

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Před 25 dny

    Wa misele

  • @MohamedLanga-dg4tf
    @MohamedLanga-dg4tf Před měsícem

    Huyu bint anawashwa hajapata mume arukwe ukuta

  • @user-xl3si2qr7m
    @user-xl3si2qr7m Před 22 dny

    Mh inauma kwakwel

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 Před měsícem

    Kumbe anatete alafu hajui mashariti jibu konki sna😂😂😂😂❤❤

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 Před měsícem +1

    Kusema kweli nam nilipo ona video zake na mapicha hilo nililiwaza 😊 nikajuiliza wame mzarau ama! Kumbe ndio hivyo!

  • @salahaljahury2907
    @salahaljahury2907 Před měsícem +1

    Clean cook Africa inazungumzwa Ufaransa kwa nn sio Africa nonsense Waafrica amkeni kidogo kila kitu lazima msimamiwe?

  • @RaphaelJickson
    @RaphaelJickson Před měsícem

    😂😂😂😂😂😂

  • @kiatu
    @kiatu Před měsícem

    Sawa bhana lakini Yunus yuko wapi? Nimefurahi pia kwa kutomwita rais Dr. kwa sababu wenye degree za heshima udoctor wao ni chuo kilichowapa hiyo degree na mpewaji sijui kama watu wanalijua hilo. Hata katika machapisho ni lazima kuonyesha kuwa huo udocta ni wa heshima
    and not earned.

  • @PaskalFweda
    @PaskalFweda Před 28 dny

    yan kuna nchi zinalalamika kuhusu nchi ya ufarasa lakini Tanzania ninamtama badae tukianza kunyanyasika tutamkumbuka nchi zililomkata

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg Před měsícem

    😂

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Před měsícem

    Bado hamjasema🤣🤣

  • @ShamteMohmed-ed2kk
    @ShamteMohmed-ed2kk Před 28 dny

    Mama piga kazi achana na chuki za maria , Mama upon juu kimataifa ni mwenyekiti mwenza achana na Malaya wasio na dira kazi kuzarau viongozi.

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Před 25 dny

    Mbona hawamuiti mu7 huko

  • @deoprosper556
    @deoprosper556 Před měsícem +1

    Kachokwa

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Před 26 dny

    Uupuuzi mtupu

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Před měsícem +1

    Makamu wa Rais w marekan alivyokuja Tanzania mwaka jana pia hakupokelewa na samia uwanja wa ngege

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp Před měsícem

    Ziara za urus na china mama anatuma uwakilishi lakn Kwa Hawa manyang'au wanaoinyonya Africa mama anatimba mwenyew xo cjui wananchi tumueleweje au n furaha yake kuona rasilimal zetu wananufaika America na ulaya sisi nkulipa Kodi na tozo

  • @user-lr1sd3wq4d
    @user-lr1sd3wq4d Před měsícem

    Mangi kimambi ndio atatuambia wengine bado hawajatupa majibu

  • @user-kh7bc4js1m
    @user-kh7bc4js1m Před měsícem

    Watu hawana akili hasa watanzania wengi wao yote n siwasomi maskini

  • @HamisiMakasara-hb3nt
    @HamisiMakasara-hb3nt Před měsícem

    Hao mheshimiwa wasikupe taabu ukapoteza muda wako kutaka kuwaelimisha, hao waalimu wao ni vipofu, na "Elimu ya mjinga ni majungu" wacha tu tuende nao hivyohivyo pengine baadaye watakuja kujitambua!

  • @twigatv
    @twigatv Před 27 dny

    ​​LISSU NA NDUGAI WAUNGANA WACHAFUA HALI YA HEWA!!!!
    czcams.com/video/gqsYK_z0Ppg/video.html

  • @SimbaM2kufu
    @SimbaM2kufu Před 29 dny +1

    Hajajibu lolote hapo. Ujinga mtupu.

  • @user-fl1xz3ln3c
    @user-fl1xz3ln3c Před měsícem +1

    Wajinga hua wanasafiri sana ila wajanja hawana huo muda

  • @jamesndora3263
    @jamesndora3263 Před měsícem

    😂😂😂😂😂 wewe unaye toa ufafanuzi acha tu kujiabisha kufafanua hili, Hivi ingekuwa na Waziri kutoka ufaransa amekuja huku tungesema haya what a shame

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 Před 27 dny

    Napita pembeni

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Před měsícem +1

    Mhe January Makamba tunakushukuru kwa maelezo mazuri mno, changamoto sio kila mwenye Mb atakuwa na uwelewa wa hizo protocol ila Viongozi wetu mtuvumilie tu mana Viongozi wote duniani wanapitia wakati mgumu saana na hizi social media hata viongozi wa Nchi zilizoendelea wanayopitia ni mazito ndo maana USA iko kwenye mchakato wa kupiga marufuku Tiktok, Mungu awabarik ktk ziara yenu hadi mtakapo rudi