MAPYA SAKATA LA SUKARI UMOJA WA WAZALISHAJI NCHINI WATOA TAMKO "TUMEHUKUMIWA BILA SISI KUSIKILIZWA"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 1. 07. 2024

Komentáře • 75

  • @davidlaiser8174
    @davidlaiser8174 Před 23 dny +13

    Mimi ningekua serikali ningewalinda hawa wazalishaji.Inaonekana wakati wa Magufuli walisikilizwa wakazidi kuwekeza kumeet uhitaji wa nchi na baadae kuuza nje.Economically by 2025 sukari ingekiwa inatosheleza na automatically bei ingeshuka chini na ingekua stable.
    Ushauri wangu kwa serikali isiwe inabadilisha badilisha sera kwa sababu ya ubinafsi.Laiti kama Magufuli(R.I.P) angekua hai hadi 2025 swala la sukari lingekua historia. Sasa kwa sababu ukiagiza nje kunapesa nyingi ndo maana kunatamaa imeingiwa.Tujenge nchi jamani tusijijenge wenyewe.
    Eti kununua nje ndo bei ishuke.Huu ni ushetani.

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 Před 23 dny +10

    Mpina akiongea wanampiga biti

  • @norbartmbowe3829
    @norbartmbowe3829 Před 22 dny +1

    Mzee anajiamin kwel kweli, kaongea ukweli mtu kwa uelewa wangu mdoogo. UPUMZIKE KWA AMANI RASI MAGUFULI.

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 Před 7 dny +1

    Wamiliki wa viwanda vya Sukari Zalisheni Sukari ya kutosha...tafuteni mbinu za kutosha kuzalisha Sukari...hiyo ndiyo Heshima yenu...KUPIGIA UPATU KUAGIZA SUKARI NJE NDIYO AIBU YENU...

  • @kibundapesamadimba6352
    @kibundapesamadimba6352 Před 23 dny +1

    Mpina hongera sana,umeshinda

  • @rkcomercialenterprises3209

    Ayoo tv,mbona uzito kidogo hivyo kwenye issue yenye uzito mkubwa sana kwa watz

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 Před 23 dny +5

    Niliwahi kusema
    Mkanitukana kisa Millard Ayo Anau ccm sana umaarufu wake umekufaa kabisa hajui Anachokifanya Anapotosha sana 🙏 😢 😅

    • @abdulikilala5902
      @abdulikilala5902 Před 23 dny

      Anauwaje ccm wakati ccm viongozi wa ccm ndo wanaiua ccm ndo maana ulitukanwa

    • @abdulikilala5902
      @abdulikilala5902 Před 23 dny

      Milady ayo yeye mwandishi tu na pia mwandishi sio lazima upost umbeya na kusifia tu hats kukosoa pia hujitambui ndo maana ulitukannwa hivi bado unaimani na viongozi wa ccm ww? Asilimia 85 ya viongozi wa ccm ni majizi makubwa na yanateteana na sisi wenyewe ccm lakin tumechoka na viongozi waongo kudanganya tu wananchi

    • @joshuasamson9618
      @joshuasamson9618 Před 23 dny

      @@abdulikilala5902 ccm imekufa siku nyingi miguu juu iko chaliii uko wapi

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Před 23 dny +1

    mwiguru must go

  • @OswinPius
    @OswinPius Před 22 dny +1

    Bodi ya sukari, waziri wa kilimo, uwejezaji, viwanda na biashara bado wapo kazini?

  • @petromgaya1746
    @petromgaya1746 Před 23 dny +3

    Bashe kwanini anawakatili hawa jamaa mbona wapo straight sanaaa kwann MUNGU anakuona we msomali

  • @bakarimsonga9362
    @bakarimsonga9362 Před 22 dny +1

    Swali ni kujua wakati production inaongezeka vip population ya 2015 bado Iko vilevile? We need smart and realistic information na sio one side information. Sensa ya mwaka 2002 population ilikuwa 45mil miaka 10 baadae tumekuwa 61mil hii ni ishara kwamba wakati mnatafuta sulumu ya matatizo lazima twende sanjari na mahitaji.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Před 23 dny +1

    Kutakuwa na uhararamia mahali,

  • @julianmsele3880
    @julianmsele3880 Před 23 dny +1

    MAMA KAJIFANYA CHURA KIZIWI SO HATA HAYA HAYASIKIII HII NCHI NI KAMA HAINA RAISI YANI INAKERA😢

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 Před 7 dny

      Kama unaona kuwa nchi hii haina rais subiri karibuni hivi utathibitisha au utakanusha ulichokiandika

  • @jumbeojaso5767
    @jumbeojaso5767 Před 23 dny +3

    Kuna kashfa kubwa katika sakata hili la sukari ,
    Ikiundwa tume huru kuna viongozi watapukutika na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi.
    Yote aliyoongea mpina yanajidhihiri kwa tamko hilo la wenye viwanda.
    Inasikitisha kwamba walinyimwa hata kukutana na kamati ya kilimo ya Bunge, why?
    Ni nani huyo aliyekataa ni spika????😮😮

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 Před 23 dny

      Anajulikana lakin sababu kuna maslah upande huo hawato mtaja

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Před 23 dny

      Kwa nini ilikuwa sukari haipo na bei juu sana. Tunachotaka sisi ni unafuu wa bei inawezekana je mtajuwa nyinyi.

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl Před 23 dny +1

    Vonja bodi ya sokari,na wizara ivunjwè pia

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Před 23 dny +2

    Chanel ya CCM hii kwa huyu usitegemee anything tangible zaidi ya udaku na uchawa tu.

  • @butotanto
    @butotanto Před 23 dny +1

    Hii nchi inajitosheleza kisukari?🤔🤔🤔

  • @pilehkumpaul3034
    @pilehkumpaul3034 Před 20 dny

    Bashe kwake kuna kazi

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 Před 23 dny +1

    Ayo huyu ni mamruki kwenye swara rinarohusu serikali humuoni atapita kinafki kama hivi

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 Před 23 dny

    😮😮😮

  • @ismailmkandara1813
    @ismailmkandara1813 Před 23 dny

    Hii clip mbona iko nusu

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 Před 23 dny

    Kwenye siasa hua nchi za Africa hazikiwezi. Wanaenda kutokana na mkakati Wa nchi wafadhiri wanataka nini. Ndo Maana kila mwaka tunasema kua tunahitaji viwanda wakati sisi wenyewe ndo tunaviua.

  • @staffordsilwimba7989
    @staffordsilwimba7989 Před 18 dny

    Spika mpina ni muongo?

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 Před 23 dny

    Ni Kwa nini tusiwe na asilimia 75% na wawekezaji wawe na asilimia kidogo tu ,badiliaheni Sheria bwana

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 Před 23 dny +2

    Huy mzee hata kusem hawez au amelewa 😂😂

    • @rkcomercialenterprises3209
      @rkcomercialenterprises3209 Před 23 dny +2

      Wewe,ndio huelewi anachoongea.He is a very learned carrier diplomatic sijui wewe una cheo gani mmmmhhh

    • @jumbeojaso5767
      @jumbeojaso5767 Před 23 dny

      Akili ndogo husikia bila kuelewa, kama hukumwelewa your ZERO BRAIN.
      Mpungwe ni mwana diplomasia wa daraja juu kabisa nchini ,msomi anayeheshimika kote alipofanya kazi.

    • @MujuniKamugisha
      @MujuniKamugisha Před 23 dny +1

      Wewe akili ni ndogo sana kwaiyo huwezi kumuelewa

    • @abdulikilala5902
      @abdulikilala5902 Před 23 dny

      Mnakosoa watu matajiri hivi ww unayemokoa huyu mzeee kwamba Ase uongo hata pikipiki tu huna unamwambia Mzee muongo

    • @beatricekatunzi3721
      @beatricekatunzi3721 Před 23 dny

      Ana uelewa mkubwa sana​@@rkcomercialenterprises3209

  • @eng.davidnestory3632
    @eng.davidnestory3632 Před 23 dny

    Kama mtaalam wa tathmini na ufuatiliaji kuna tatizo hili kwa sasa instrument ya MH. Rais, Mama yetu inahitajika kuingilia kati hata MH. Spika anajua kuwa kuna sehemu tunapigwa!!

  • @IsaacPhilemon-mt7bk
    @IsaacPhilemon-mt7bk Před 23 dny

    Ayo TV,hilo suala litafutie kichwa cha habari kingine kizito kidogo,ni la mhimu sana.
    Umelichukulia poa sana au unaogopa serikali.
    Kinachofanywa na akina Bashe ni ufisadi wa hali ya juu,pia nikuua viwanda na kuwapoteza wakulima wa miwa.

    • @abdulikilala5902
      @abdulikilala5902 Před 23 dny

      Kaaandika vile kutokana na walivyomueleza kabla hajapost kaambiwa hivyo na waziri wa kilimo alisema wameshindwa kuzalisha hata tani moja akiwa mbungeni Sasa kama waziri anasema hivyo na hao wazalishaji wanadai hawakushindwa nani mkweli? Acha kudakia mada fatilia waziri wa kilimo kasema nini?

    • @IsaacPhilemon-mt7bk
      @IsaacPhilemon-mt7bk Před 23 dny

      @@abdulikilala5902 Waziri wa kilimo ni jipu

  • @user-bj1so5lq8v
    @user-bj1so5lq8v Před 23 dny

    Kk

  • @joshuamtinangi6958
    @joshuamtinangi6958 Před 23 dny

    Serikali imetunga Sheria ya kununua Sukari ya ziada toka viwanda cya Sukari kabla ya kununua nje.
    SASA hofu yenu ni nini kama siyo kutaka Sukari iwe bei ya shs 4000 Kwa kilo.

  • @sashawambura
    @sashawambura Před 23 dny

    Hatutaki blah blah..hakikisheni Sukari inapatikana na inauzwa kwa bei nafuu..Period

  • @SamwelSedekia-yl3xc
    @SamwelSedekia-yl3xc Před 23 dny

    Mbona hukuonekana wakat wa sukar kukosa

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 Před 23 dny +1

    Kuna baaadhi ya watu wanakosoa hutu mzee ni upungufu wa akili yeye ndie mzalishaji alafu unamuona hana maana

    • @MaulidiMsingwa
      @MaulidiMsingwa Před 22 dny

      alafu pia nashangaa wanapo mshambulia milard ayo,sa kosa lake liko wapi,hawa jamaa hawajitambui,mzee yupo sawa,na milard ayo yupo sawa pia.

  • @SamwelSedekia-yl3xc
    @SamwelSedekia-yl3xc Před 23 dny

    Hajalewa ila watu Saba na yy yumo

  • @ShamteMohmed-ed2kk
    @ShamteMohmed-ed2kk Před 23 dny

    Punguzeni bei atutaki ngonjera, mlizoea kubebwa mbele ya Bashe mbereko haipo Tena.

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl Před 23 dny

    Inawezekanaje serikali ikawa na is a ndogo namnazo hiyo ,campuni 75% wananchi 25% kweli madudu yatakosekana kweli.

  • @user-wl9ry9tk7p
    @user-wl9ry9tk7p Před 23 dny

    Kwani lazima tutumie SUKARI? Tufuate ushauri wa prof.Janabi. wangeshusha tu bei maana si kitu cha lazima kwa binadamu ni magonjwa tu maana hata ukila ugali mwisho wa siku utapata "glucose" yaani sukari tunafeli wapi wabongo?

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 Před 23 dny

    Amaongea nini ana hoja ya msingi

  • @mossesmarko658
    @mossesmarko658 Před 23 dny

    Kumekucha

  • @eliaisack156
    @eliaisack156 Před 23 dny

    Pombo au

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 Před 23 dny

    😂😂😂😂😂

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Před 23 dny

    nyie wanye viwanda vya sukari acheni kuitisha serekali,kwani ni lazima sukari yenu muuze kwa watanzania,uzeni hata brazili!msiwaumize walaji wanyonge kwa tamaa ya kupata faida kubwa!!

  • @babaabro8847
    @babaabro8847 Před 23 dny

    Kaa pemben😮

  • @bethkonga7944
    @bethkonga7944 Před 23 dny

    Sasa Hawa wazalishaji mbona kipindi imeadimika mbona hawakujitokeza ila baada ya selikali kuondoa wao wawe waagizaji ndio wamejitokeza

    • @abdulikilala5902
      @abdulikilala5902 Před 23 dny

      Sasa kama walinyimwa vibali ww ulitaka sukari wakuletee mchanga?

  • @allymango1947
    @allymango1947 Před 23 dny

    Hao ndio wazamini wa mpins

    • @sitamgeta7565
      @sitamgeta7565 Před 18 dny

      Hao ndiyo wanao nunua mazao yetu sisi wakulima wa miwa nchini. Hao ndiyo wanaotupa ajira sisi vijana. Tulinde viwanda vya ndani tulinde ajira za wakulima nchini.

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 Před 23 dny

    bashe anajamba boga huko aliko

  • @yonamallo6277
    @yonamallo6277 Před 23 dny

    Punguzeni bei ya sukari kama mmeshindwa achieni watu wengine

    • @abdulikilala5902
      @abdulikilala5902 Před 23 dny

      Watapunguza vip wakati serikali unaingiza sukari ya njee bado ni bei kubwa?

  • @festokitule9727
    @festokitule9727 Před 23 dny

    Huyu mzee anaichukulia poa serikali kwa kauli zake binafsi naona hayupo serious maana tunapotafta majibu lazima turuhusu ushindani bora ili kuhudumia 60milion ya watazania kuweka protective policy kwa viwanda visivyoshindana havina mitaji hiyo ni kuongeza shida ya sukari waziri fanya kitu ruhusu ushindani

    • @richardc270
      @richardc270 Před 23 dny

      wewe yale yale tu, makapi ya taifa. hujaelewa nini hapo

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m Před 23 dny

    Kuna kundi linatuumiza na tuliyo wapa mamlaka wanaisi nchi ni yao wenyewe

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 Před 23 dny

    Kwa Bashe mtanyooka ..Ngoja mpigwe spana akili zichangamke ..Mnatumia nguvu kubwa Bashe atumbuliwe lakini mmekwama na huyo Mpina aliyeharibu uchumi wa wavuvi

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 Před 23 dny

      Unajua unachosema?

    • @beatricekatunzi3721
      @beatricekatunzi3721 Před 23 dny

      ​hujuhi

    • @Jumacharlesmadale2958
      @Jumacharlesmadale2958 Před 23 dny

      Hujui unaletewa dump sugar unakufa kwa magonjwa ya figo ,sukar na moyo Bashe amekurupuka japo huenda akawa na Nia njema au Kuna ufisadi hivyo nashauri uchunguzi ufanyike kubaini UKWELI.