Nafikiri mngefikiria kujenga kwanza miundo mbinu Ya maji taka ili iwe rahisi na kunusuru kila mwanchi kuchimba mashimo kila nyumba inapotokea mafuriko kipindupindu Kina kuwa hatari
@@saidkhatib9146 nitembee tu bro maana kiukweli sijaona ila nishashuhudia sehemu kuna round about the kuna kuja ujenzi wa Flyover ikimaliza na roundabout huwa haipo tena
Ahsante Raisi wetu Mungu akusimamie utuletee maendeleo usiwasikilize vipofu hawaoni usiwalaumu
Bora hao vipofu kuliko walorogwa aakili zao maenddleo fly over hiyo mwisho wake wapi
Mji hautoleta haiba kamwe kama hamtoamua kubomoa vibanda vibanda kando ya barabara kuu mnazozijenga
Kabisa
Ati flying over zanzibar jamenii
Safi
Nahutaona
Pemba hamna ata ground over panya nye
Pemba kuna uhaba wa watu huwezi kujenga km hiyo
io ground over pemba hakuna Sawa ila mama ako a anayo inatosha 2ta2mia io io
Raisi mwinyi oyeee na pemba utujengee
Labda matako..angelijenga hizo barabara kwanza
Nafikiri mngefikiria kujenga kwanza miundo mbinu Ya maji taka ili iwe rahisi na kunusuru kila mwanchi kuchimba mashimo kila nyumba inapotokea mafuriko kipindupindu Kina kuwa hatari
Unasemaje weye
Hukusikia au huyataki?
Ondoeni Round about hiyo sijawahi ona Flyover chini kukiwa na Roundabout msituletee mapyoro bhana
Tembea ndug mm spo upande wwt hule ila tembea utaona mingi
@@allymazrui9744 Yaani flyover chini kuna round about?wacha nitembee tu ndugu yangu
Tembea uone zipo nyng sana
@@saidkhatib9146 nitembee tu bro maana kiukweli sijaona ila nishashuhudia sehemu kuna round about the kuna kuja ujenzi wa Flyover ikimaliza na roundabout huwa haipo tena
Nahutaona