PART2:HATIMAE PROPHET IPM AKUTANA NA SHEHE DR SULLE,AJIBU KWANINI ALITOKA KWENYE UISLAM!KIKAO KIZITO

Sdílet
Vložit

Komentáře • 325

  • @harunaabu3083
    @harunaabu3083 Před 2 měsíci +19

    Shekhe wangu nakupenda sana kwa ajili ya Allah sulle Doctor sulle Allah akupe umlimlefu sana Shekhe

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 Před 2 měsíci +14

    Dr sule mungu akuweke waislam nanavimba sana na wewe

  • @ayubumasudi8380
    @ayubumasudi8380 Před měsícem +6

    Maashallah❤ sheikh wetu tumejifunza mengivnakufaidika alieskia kaskia ALLAHakulipe kila lakheiri pia akuhifadhi na sote tunae kufata amiin yarraby

  • @ebenezernnko8251
    @ebenezernnko8251 Před měsícem +20

    Safi sana mm mkiristu lkn nimekuelewa sana

    • @yunusabeid74
      @yunusabeid74 Před měsícem

      Hongera sana ndugu

    • @danielmatemu9698
      @danielmatemu9698 Před měsícem

      Umeelewa nn?
      YESU ALISEMA hivi ÷÷ ASIYE NA DHAMBI NA AWE WA KWANZA KUTUPA JIWE÷÷
      Unadhani Yesu alimaanisha nini???

  • @AllyDunia-lo8gq
    @AllyDunia-lo8gq Před měsícem +2

    Allah akulinde kwa kila kitu. Akupe umli mrefu uzid kutupa Iman wallah your professional wa kiislam❤

  • @muzzoonlinetv7446
    @muzzoonlinetv7446 Před měsícem +4

    ALLAH AKUPE UMRI MREFU SHEKH

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 Před měsícem +2

    Shukran sana shekhe wetu Allah akuzidishie yalo mema ishaallah ❤❤❤❤❤

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 Před měsícem +6

    Maashaa Allah..
    Dr. Sule tumejifunza mengi kwako ..

  • @user-rr8cw8yl5o
    @user-rr8cw8yl5o Před měsícem +12

    Amesema anayetaka kuweka mjadala nae amfuate sasa longolongo za nn mara tapeli mara miongo weka makala nae uone kama hujakimbia mwenyewe tusomen tuacheni ubishi

    • @Yasssin-zp6im
      @Yasssin-zp6im Před měsícem +2

      Ndg yang huyo ipm ukristo kaingia jana tu sisi tushaanxa kuhubir neno la mungu ndacha kazaliwa kwenye ukristo na kasoma lkn kwa dk sulle kagonga mwamba atakua huyo ipm

  • @user-sx9wd3rh9q
    @user-sx9wd3rh9q Před měsícem +9

    Ivi usinge kuwepo dr sule ii elimu tungeipata kwa nani hakika unafundisha haswa asiye elewa huyo ni mshabiki ktk dini naludia huyo ni mshabiki wa dini hataki kujua ukweli yeye anashabikia tu,

  • @AllyIbrahim-ql6ms
    @AllyIbrahim-ql6ms Před měsícem +3

    Yan nipo na note ayo maandiko maana kuna group zang za uislam na ukristo so napelek moto😂😂

  • @MaryamHAMISI-ei9fq
    @MaryamHAMISI-ei9fq Před měsícem +2

    ❤❤ mashallah mashallah ❤alhamdull lah mafunzomazuli Allah akulinde insha'Allah

  • @user-kc6hc6re7t
    @user-kc6hc6re7t Před měsícem +2

    MUNGU AWAUONGOZE MANDUGU WAKRISTO WAJUWE DINI YA HAKI NA UKWELI INSHALLAH

    • @faza4023
      @faza4023 Před měsícem

      Haki kuua?😅 fungua macho

  • @angle3600
    @angle3600 Před měsícem +4

    Mimi ni muislam ila Alhamdhulilah nishamuona Yesu kwa ndoto,na nilipomuona kwa haki ya Mwenyezi Mungu niliona baraka ambazo sikuzitarajia nilikua napitia kipindi kigumu sana ila aliponitokea kwa njozi Alhamdhulilah❤❤❤

    • @abubakarmwasumilwe7070
      @abubakarmwasumilwe7070 Před měsícem

      Wewe ukitoka nje Ya UISLAM Umekula khasala

    • @ShamimHassan-qm1et
      @ShamimHassan-qm1et Před měsícem

      Kwel kbsa maan na yey ni nabii na kumuota nabii bas una daraj laki mbel ya mungu mitume na manabii hawaj kwa watu wa hovyohovyo​@@abubakarmwasumilwe7070

    • @ShamimHassan-qm1et
      @ShamimHassan-qm1et Před měsícem +1

      Mshukur mungu kumuota mtume wa mungu au nabii sio rahis mungu anakupenda na usione kumuota yes ndio uend kweny ukristo itakuwa ufinyu wa akili kwa yesu ni nabii wa mungu tu ni sawa na mtu aseme amemuota mtume ni daraj kubwa sana

    • @angle3600
      @angle3600 Před měsícem

      @@ShamimHassan-qm1et siezi rudi ukristo kwa sababu yeye nimtume na ametajwa kwa dini zote ila Alhamdhulilah,kumuona kwake kuliniletea baraka,japo kuna mama mmoja muislamu nilipomuaditia nimemuona yesu alinijibu sio yesu nishetani,but chakushangaza mbona niliona neema kubwa ambayo sikuitarajia,na nilikua napitia magumu kiasi cha kuchanganyikiwa,ila mimi ninaamini kweli Isa ni mtume wa Mungu

    • @maulidmakame3997
      @maulidmakame3997 Před měsícem

      😂

  • @user-bz5gl7nb4m
    @user-bz5gl7nb4m Před měsícem +5

    Asante kwa kutuelimisha

  • @HerriThabiti-qd5rr
    @HerriThabiti-qd5rr Před měsícem +6

    Kweli uongo wawakristo sasa umefika mwisho

  • @KhajiRashid-lk6fi
    @KhajiRashid-lk6fi Před měsícem +2

    Mashaallah mungu azid kkuweka sanaaa

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 Před 2 měsíci +7

    Alie andika jitieni Nila yangu ni yohana yohana kasema YESU alisurubiwa kipofu akimuongoza mwingine watapotea haya Muhammad hajui atakalofanywa walawafuasi wake

    • @Naw89
      @Naw89 Před 2 měsíci +4

      Ushindani tu Someni kitabu chenu vizur mtaangamia kwa ujinga
      Mtu katahiriwa na bado awe mwana wa Mungu au awe Mungu hata akili ya kuzaliwa pia hamtumii

    • @user-lu5vg9kc7y
      @user-lu5vg9kc7y Před 2 měsíci +1

      Mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah
      mashaa 🎉🎉🎉🎉🎉
      Shekh sule uko vizur

    • @huseniyahya9121
      @huseniyahya9121 Před měsícem

      Tatizo mna somewa kutoa sadaka 2 bible niyenu lkn hamyasomi na hamuulizi maswali wachungaji wenu ndo maana hamuelewi 4:23

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 Před měsícem

      @@huseniyahya9121 wewe biblia huijui unasubiri wakina sule wakusomee ndio ukatafute palipo andikwa Jiyieni Nila yangu jifunzeni kwangu haya tupe mafundisho ya YESU kwenye uislam tupe mafundisho nje ya Muhammad kwenye uislam

    • @SalehSaleh-uf2og
      @SalehSaleh-uf2og Před měsícem

      YOHANA kasema ktk aya gan?,tujulishe tuelimike.

  • @samrysamry9812
    @samrysamry9812 Před měsícem +5

    Ukweli unaumaa jmn tatizo wakristo hawasomi bibilia wangesoma bibilia wange ujua ukweli tatizo hawasomi kasomeni acheni ushabiki

    • @denisharris2889
      @denisharris2889 Před měsícem

      Mnateseka mkiamini mungu wa Quran ni Mungu wa Bibilia. Mungu wa wakristo hatamtambui Mohammad wala nabii Isa wala allah.
      Msifosi tufanane...

    • @SaudaA.QassimSauda.A.Qassim
      @SaudaA.QassimSauda.A.Qassim Před měsícem

      ​@@denisharris2889someni biblia nyie biblia sio kitabu cha mungu ni mkusanyiko wa vitabu walio kusanya Paulo na wenzie yesu alikuwa ni Israel ndio mnatakiwa kwenda Israel mtafute vitabu alivyoacha yesu kama nyinyi wasema kweli

    • @SaudaA.QassimSauda.A.Qassim
      @SaudaA.QassimSauda.A.Qassim Před měsícem

      ​@@denisharris2889karibu katika uislam uislam raha

    • @user-ow3lc6lk9p
      @user-ow3lc6lk9p Před měsícem

      ​@@denisharris2889hatuna haja Wala hatuitaji tufanane na makafiri mliopotea elimu hamna kazi yenu kusomewa t bibilia someni bibilia nyie matahira

  • @Leo-xc1nh
    @Leo-xc1nh Před měsícem +2

    Mashallah sure ni mwarimu kbx

  • @lifezest6274
    @lifezest6274 Před měsícem +1

    DR SULLE inabidi akutanishwe na OMARY MNYESHANI. Ndio level yake kwa elimu za dini hizi mbili.

  • @swalehsalim5576
    @swalehsalim5576 Před měsícem +1

    Kwenda zako Sule mchawi una Pete za majini uislamu wenyewe uchawi tu ‼️😃😃😃

  • @ApostleesdrasMukambi
    @ApostleesdrasMukambi Před měsícem +1

    Naomba hufungue fumbo lililopo sio kusoma nakuelezea in revelation hapo Pana Siri Nyingine

  • @Havijawajaha
    @Havijawajaha Před měsícem

    Allah akulipe she he wetu tunajifunza mengi ishaallah

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 Před 2 měsíci +4

    Ajikwezae hushushwa

  • @AssumaniKibiriti
    @AssumaniKibiriti Před měsícem +3

    Nyie wa kristo acheni ubishi semeni myaka 29 yesu alikuwa wapi ao alikuwa anafanya nini toweni majibu

    • @denisharris2889
      @denisharris2889 Před měsícem

      Nawe ujiulize kwanza maisha ya Yesu yako wapi ndanj ya quran? Ila Bibilia imesema. Na mbona ukubwa Kurani ni Robo ya Bibilia nzima? Kipi mmeandika kuhusu maisha ya mitume waliopita?. Toa boriti ndipo utoe kibanzi..
      Ukweli ni huu..Kwa taarifa yako, Mungu wa quran sio Mungu wa Bibilia. Vivohivyo isa wa quran sio Yesu wa bibilia.
      Kwa habari ya miaka 29 ya Yesu.. Bibilia inasema...
      Yohana 20:30-31
      Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, zisizoandikwa katika kitabu hiki.
      Lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini ya kwamba Yesu ndiye Kristo, Mwana wa Mungu; na kwa kuamini mwe na uzima kwa jina lake.
      John 21:25
      Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.

    • @jafarinauma6798
      @jafarinauma6798 Před měsícem

      Watoe majibu😅

    • @denisharris2889
      @denisharris2889 Před měsícem +1

      Quran imekuja miaka 700 AD. Imekubaliana na Bibilia na mikutano ya kanisa ilioandikwa miaka 300s AD. Kwamba ni kitabu cha Mungu kwa wakristo. Yeye porojo zake anatolea wapi? Kitu pekee qurani inasisitiza kukataa ni kua Utatu mtakatifu wenye kumjumuisha Baba, Yesu na Bikira Maria. Na ndio aina ya utatu ambao wakristo wa konstatino hawaufahamu hadi hii leo. Bibilia inataja utatu wa Baba, Mwana na Roho mtakatifu, Unataka majibu gani tena, kama sio common sense?Tafakari.

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 Před měsícem +2

    Mbonaa mmeyakatisha mahojiano sehemu muhimu ya paulo tatizo nn sasa

  • @sundaymushi9640
    @sundaymushi9640 Před měsícem

    This Dude is outrageous 🔥🔥

  • @user-kc6hc6re7t
    @user-kc6hc6re7t Před měsícem

    DR SULE U'R IN A MILLION MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU UWAPE ULEMI YA HAKI NA UKWELI

  • @iddisalimu5028
    @iddisalimu5028 Před měsícem +2

    Ukiristo so dini ni kikundi Cha wahuni

  • @samwelimwanja4105
    @samwelimwanja4105 Před 2 měsíci +3

    Ni kama freemason kuingia ni bure ila kutoka ni kifo ila Mungu wa Biblia Anataka umwabudu kwa hiari, kama hutamwabudu maana yake wewe ni wa shetani na malipo yako ni Jehanamu ya Moto, na tameambiwa tusihukumu tusije tukahukumiwa. Maana wewe unaemuua mtu we mwenyewe umejaa dhambi kibao. Na kwenye Amri kumi tumeambiwa Tusiue.

    • @Naw89
      @Naw89 Před 2 měsíci

      Soma sheria ya mussa
      Utaelewa tu unapinga kitu usichokijua
      Someni maandiko muelewe

    • @Naw89
      @Naw89 Před 2 měsíci

      Usichanganye frimason na uislam
      Hii ni dini ya Mwenyezi Mungu na yeyote atakae kaa kwenye dini isiokuwa ya kiislam haitakubaliwa

    • @samwelimwanja4105
      @samwelimwanja4105 Před 2 měsíci +1

      @@Naw89 ni kweli kabisa kwenye Agano la kale katika sheria ya musa ilikuwepo hiyo ila Baada ya Kristo kuja alivunja huo utaratibu na ndio maana sheria zote za kiislamu ni zile za Agano la kale kwenye Biblia, wala hakuna aliezileta mpya ila Kwenye ukristo, utamwabudu Mungu katika Roho na kweli, ndio maana Biblia ikasema Vita vyetu sisi si juu ya Damu na Nyama ila ni juu vya Ulimwengu wa Roho. Yaani usioonekana so Ukiwa mkristo ndio utaelewa mengi zaidi , ila uislamu ni vita vya kimwili ndio maana mnaeneza Dini kwa nguvu za mwili (force)ila kwetu sio hivo.

    • @martedimohamed6327
      @martedimohamed6327 Před měsícem

      Umetahiriwa kwanza 😂😂 yesu baada ya siku 8 kuzaliwa alitiwa sunna ndo maana waislam tunafanya ivyo lkn nyinyi hasa watu wa mbeya aaahhhhh 😂😂 I’m proud to be Muslim

  • @engisack9610
    @engisack9610 Před měsícem

    Yaaani hata kama unaongozwa na dola ya kiisilamu ndio uchinjwe?
    Mungu gani anaruhusu mtu kumuua mtu mwingine kisa karitadi?
    Ni wakristo wangapi wameuwa na waisilamu huko uarabuni na kwingineko kote kwa sababu wao ni wakristo?
    Dini gani inaadhabu za kidikteta?
    Bibilia inasema Mungu ndio huua na kuweka hai kwanini umuue mwenzako kwasababu ya dini?
    Kwahiyo dola zao watu wakiritadi wanakatwa shingo" je hao waisilamu hawatembei katika dola za wakristo na huko hawana msikitini yao huko waonakatwa vichwa na nani kwa sababu ya kueneza uislamu wao?

  • @shaniisack1153
    @shaniisack1153 Před měsícem

    Mashallah Dk wape ukweli ao wabishi

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 Před měsícem +4

    Soma Maadiko 📖 yote kama wewe ni Mkweli
    Yohana 3:36
    Asiye Mwamini Mwana wa MUNGU hana Uzima wa Milele.....
    Yohana 3:16
    Kwa maana jinsi hii Mungu Aliupenda Ulimwengu hata Akamtoa Mwanawe wa pekee (Yesu kristo) ili kila Amwaminiye Asipote bali awe na Uzima wa Milele.

    • @pilotclassic4468
      @pilotclassic4468 Před měsícem

      Sisi waislam tunamuamini, Alhamdulillah hatutapotea. Lkn wao wanaomzidishia sifa za uungu ndio waliopotea

    • @patrickmaina5459
      @patrickmaina5459 Před měsícem

      @@pilotclassic4468 wafilipi 2:5-8 📖

    • @user-rr8cw8yl5o
      @user-rr8cw8yl5o Před měsícem

      Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hafanani na kitu chochote uctupatishe madhambi hapa

    • @patrickmaina5459
      @patrickmaina5459 Před měsícem

      @@user-rr8cw8yl5o Baki hapo tu ukisena Mungu hazai Kwa maana Unafananisha Mungu na Mwanadamu, Mungu Anaza Kwa NENO 📖 Ukimwamini Mwana wa MUNGU (YESU) Tu Umezaliwa Upya.

    • @salumobed5980
      @salumobed5980 Před měsícem

      Bora wewe umekiribkuwa Yesi ni mwana wa mungu

  • @AshaAshim-gy6jm
    @AshaAshim-gy6jm Před měsícem

    Mollah wetu akupe umri mlefu xhekh wetu, sulle,,

  • @user-pv2qn8qh9w
    @user-pv2qn8qh9w Před měsícem

    Mashaallah

  • @sadammaker4540
    @sadammaker4540 Před 2 měsíci +2

    Leo davista kaingia mtumbwi..

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Před měsícem

    Sasaivi dini zote biashara mungu ndio anajuwa nani mkwe nani muongo kwanza sisi waislmu ndio tatizo

  • @omarkombo3474
    @omarkombo3474 Před 2 měsíci +1

    huyu ndo daktari sule sasa na asogge pastor yyt anapotea hapo.

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 Před 2 měsíci +1

      Yeye amesoma kile tu kilichoandikwa na kukariri lakini maana yake ajui chochote Biblia sio kama gazeti itawachanganya saana kama ujafunuliwa kuyafahamu unapotea sio hadithi

  • @andreakarata5469
    @andreakarata5469 Před měsícem

    Dr Sule namkubali sana,anaelimisha sana

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 Před 2 měsíci +4

    baba yangu wapi waislam mnasema YESU ni mwana wa MUNGU haya kwahiyo biblia ni kweli

    • @SaudaA.QassimSauda.A.Qassim
      @SaudaA.QassimSauda.A.Qassim Před měsícem

      Biblia sio ya kwel sababu haijijui😂😂😂

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 Před měsícem

      @@SaudaA.QassimSauda.A.Qassim Wewe unaitwa nani??

    • @SaudaA.QassimSauda.A.Qassim
      @SaudaA.QassimSauda.A.Qassim Před měsícem

      @@jesusislord9190 jina langu si hilo

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 Před měsícem

      Wachamungu wote ni Wana wa MUNGU. Yesu alimwita MUNGU baba kwakua alikua mchamungu. Kwan WAKIRISTO wote si mnasema baba yetu ulie mbingun

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 Před měsícem

      @@sultansallah8772 leta andiko la Quran khadith ufafanuzi likisema wacha Mungu ni wana wa MUNGU ? Allah anaweza kuwa na mwana?? Umefeli sana

  • @SifaelMpagike-gt1gz
    @SifaelMpagike-gt1gz Před měsícem

    Umemsahau Musa...na muhammad hayumo mbinguni

  • @engisack9610
    @engisack9610 Před měsícem

    Hata sisi hatujawa Wakristo by chance but tumekua Wakristo by Choice

  • @GiliardKashimba
    @GiliardKashimba Před 2 měsíci +1

    Wana wa mwamad mnayo mzigo mzito nampo kwenye fumbo zito siri zenu zikiwekwa wazi munapinga wakati ukweli tunaujua ila asante sana wewe shehe mpaka sasa unamzungumzia yesu yaani ilo tu nijambo jema natumaini uyo unaye mzungumzia utakutana nae siku moja utamjua ana kwaana sio kwakumsoma

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 Před měsícem

      Mungu wetu cc wa Islam ni 1 na wa yesu ni 1 sasa nyie hao wa 3 mnawatoa wap😂😂😂

    • @martedimohamed6327
      @martedimohamed6327 Před měsícem

      @@hanifa9153achana nae hy muulize kwanza katiwa sunna 😂😂😂maana yesu baada ya kuzaliwa alitiwa ndan ya siku 8 kwaivo alipotk 40 alikuwa tyr kapona sasa haoo jamaaa mpk miaka 30 wanatahiriwa kwa panga 😂😂😂😂

  • @goldenshadrackmsungu3664
    @goldenshadrackmsungu3664 Před 2 měsíci +2

    Waislam wamejikaanga 😂😂😂

    • @arafatali2796
      @arafatali2796 Před měsícem

      pole san nyiny hata ashuke mwenyew asem yeye sio mungu hamuamn mnajulikan sana ila hamlamishwi mnaelewshwa mkikataa bas mtajua wenyewe muhim mmeambiwa bas

  • @yusuphjamesndila5187
    @yusuphjamesndila5187 Před měsícem

    Kipo kitu Dr Suleman tunaomba kukipata kutoka kwako
    Tunaomba tuipate historia ya Yesu kutoka kwako tofauti na Yesu tunaemsoma kwenye Biblia

  • @flexstevin2385
    @flexstevin2385 Před měsícem

    Acheni tantalila mwenye uwezo na anae jiamini anajua dini ,kidume icho hapo aweke mjadala tujifunze.

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 Před měsícem

    Tupe number 3

  • @fenellalilian4590
    @fenellalilian4590 Před 2 měsíci +2

    Let me summerise this YESU ni MUNGU na dini hampeleki mtu mbinguni sisi wakristo tunaamini YESU n nyinyi bakini ya dini yenu

    • @danielmatemu9698
      @danielmatemu9698 Před 2 měsíci +1

      Tuwaombee sana ili Yesu aliye mwokozi waweze kumjua muda ungali upo

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 Před měsícem

      Umeyatoa wapi hyo

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 Před měsícem +1

      Huo ni ubishi tu huna hoja yoyoyte

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o Před měsícem

      Kumbuka hata yesu aliumbwa na hata alipo kuja duniani alikuta mittume ambao walisha pita swali je nani alikuwa kabla yetu

    • @fenellalilian4590
      @fenellalilian4590 Před měsícem +1

      @@user-sv6zy3hc8o aliumbwa na nani Yesu ni Mungu upende usipende

  • @hotexmedia2021
    @hotexmedia2021 Před 2 měsíci

    Tuwekee mwendelezo tusikie story ya paulo

  • @user-rt5vq5vc3k
    @user-rt5vq5vc3k Před měsícem

    Hakika Uislamu ndio din ya hakii

  • @zulekhasaud483
    @zulekhasaud483 Před měsícem

    Waomba msamaha harafu warusha moja hakuna faida angalia mwenyewe😂

  • @ahmadamigeyo3929
    @ahmadamigeyo3929 Před měsícem

    Uyu jamaa alitumwa lakn katumwa pasipo tumika 😅🤣😂😅😂 yan unauliza Dr ni ya nn kwel huon madin yanayoshushwa

    • @denisharris2889
      @denisharris2889 Před měsícem

      Hana madini yoyote. Kwanza quran inawataka msikosoe kitabu cha bibilia. Kwakua ni cha mwenyezi Mungu. Nyie mwajitia kukosoa. Mnataka kumfanya allah wenu aliyekisadiki kisha akawapa. Wakristo kua yuu Mwongo? . Tafakari chukua hatua...

  • @innocentpeterassey4106
    @innocentpeterassey4106 Před měsícem

    yesu alikufa au hajafa kwasababu umetaja kifungu cha yesu akiomba juu ya mauti ya msalaba

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 Před měsícem

    Ni Waebrania 5:7 sio 3:1

  • @user-md7ug5dd9r
    @user-md7ug5dd9r Před měsícem

    Sule wewe ni nmuongo sana yaani unasema hekalu lijengwa na majini? Kasme vizuri Biblia utaelewa vizuri

  • @ApostleesdrasMukambi
    @ApostleesdrasMukambi Před měsícem

    Hata huislamu ni dogma cz dini ni dogma nyingi zilizowekwa pamoja so Kila inayoitwa dini Iko katika dogma Dr sulle kasome triparti colonial utaelewa hapo Pana nini

  • @richmsakatonge71
    @richmsakatonge71 Před měsícem

    Ikiwa tabia zetu na hulka zetu hazilingani naimani hata Dini haziwezi fanana . Dini ilikuwa biashara ila weka imani yako kwa unachokiani lkini usipotoshe na wala usitazame kibanzi kilichopo kwenye jicho la mwenzio

    • @sharifuburuhani1969
      @sharifuburuhani1969 Před měsícem

      ikiwa waona anapotosha mtafute mueke mjadala mimi ntagharamia mhadhara.😂😂😂😂

  • @siagtvprophetelijahmtishibi
    @siagtvprophetelijahmtishibi Před 2 měsíci +1

    Hakuna point hpo

    • @arafatali2796
      @arafatali2796 Před měsícem

      soma kijana kwanza laazivyo kaatu kimwa

    • @ShamimHassan-qm1et
      @ShamimHassan-qm1et Před měsícem

      Kwa amabra Hana akili Kam wew ndio Haoni point went akil tu ndio wameelewa

  • @Werema3760
    @Werema3760 Před měsícem +1

    ■Huyu mzee ni kipofu asiyejijua ni kipofu na wakristo wa kweli waliojaa Roho na wana wa Mungu hawawez kukujibu kutokana na Tito 3:9. Labda katafute wasabato maan wao ni JUDAISM sio wakristo. BIBLIA HAISOMWI KAMA GAZETI KAMA KITABU CHAKO. sharti na maongoz ya Roho mtakatifu. Paul alionya. Tena maandiko yanaua bali Roho anahuisha.🙏

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Před měsícem

      Sasa huyo Tito 3.9 unayotoa hizo ni barua za Paulo we unatuletea barua za Paulo hapa ?

    • @Werema3760
      @Werema3760 Před měsícem

      @@Hussein-gx4qu Sikushangai maana huoni. Nirudie biblia sio sio kitabu chenu. Haisomwi kama hadhi. Lazima ufe kiroho imeandikwa kabisa mpaka uwe na Roho Mtakatifu my friend. Ndo maana wengivhukengeuka na kuongea kwa mihemko. Wew waona ni barua kwa upofu wako bali kasome 1kor7 mstari wa 40. Anaandika si yeye bali ni Roho wa Mungu amuongozae kuandika.chochote kilicho ktk biblia yaani NENO Kinaishi. NENO LI HAI NA LINANGUVU. utakuja kuelewa na kuliacsana ikiwa utapata Neema ya wokovu ila ikiwa umekusudiwa jehanam na dini yako hiyo utajuta ukiwa ndani yake bila tumsinj tena maan ushakufa.

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 Před 2 měsíci +1

    Utafute pasta Ndacha

  • @tututz100
    @tututz100 Před 2 měsíci

    J.B.B.1999

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 Před 2 měsíci +1

    Mimi nikuulize Sule ikiwa mitume wote walikua waislam kwa nini MAJINI hawakusikia Qur'an zao wakasilim?
    Kwa nini walisikia Qur'an ya Muhammad ndo wakasilim?🤔

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 Před měsícem +1

      Wew ni jinga kabisa tosheka ivi mungu wa yesu ni 1 na mungu wa cc waislam ni 1 pia nyinyi huo utatu mliutoa wapi!???

    • @arafatali2796
      @arafatali2796 Před měsícem

      ndoujue kuwa gur an inanguvu kuslm sio jintu hata shetan anatakiw kuslim kwan vibaya jin kuslm mbina sio kitu cha kushangaza ndo tujue yakuwa gur an inanguvu sana had jina kaslimu

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 Před měsícem +2

    Hata km ni Mkristo ukimkataa Doctor Sule bac utakw na lako jngn maana amechambua kila upande tena kwa maandiko.

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube Před měsícem

    Mzee bible unaijua bana😂😂😂😂

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 Před 2 měsíci

    Kwenye uwilamu kuna ndota au shehe

  • @jimmymatheka2697
    @jimmymatheka2697 Před měsícem

    Dr sullen hapo haiwezi elimu ya bibilia ata kidogo

  • @godwinmsuya6080
    @godwinmsuya6080 Před 2 měsíci +1

    Matapeli nyie waabudu shetani, mada ulioonyesha ni "PROPHET IPM" lakini mjadala umehamia kwa bwana YESU, enyi waana wa ibilisi nanyi niwa-ovu kama baba yenu ibilisi, kama huamini jaribu kufanya makubaliano/mkataba na muislamu lazima mwishoni atakugeuka.

    • @abdallahally842
      @abdallahally842 Před měsícem

      Jibu hoja ubishi na kujisemea ni ushetani kanisa ni kwenye kiti Cha enzi Cha shetani. Na ndio maana babayenu papa kawaruhusu mfirane na mbarikiwe kiti chake Cha enzi Cha shetani

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 Před 2 měsíci

    Waliojenga ni wa Israeli wayaudi sio majini.

  • @igurusitv6553
    @igurusitv6553 Před 2 měsíci +1

    Ila huyu ni mwongo sana, anasema wasabato hawaamini katika Utatu Mtakatifu, wakati juzi tu katoka kubishana na Ndacha ambae ni msabato. Na anatetea utatu Mtakatifu

    • @salisali3738
      @salisali3738 Před 2 měsíci

      😅

    • @saudamketo
      @saudamketo Před měsícem

      Ndacha amekiri mwenyewe haamini kwenye utatu

    • @user-su8tg7xy2b
      @user-su8tg7xy2b Před měsícem

      Ndacha ameasi saizi, nae ameanza kupinga. Shetani yupo kazini

  • @shaniisack1153
    @shaniisack1153 Před měsícem

    Anayemhoji kabanwa na haja kubwa

  • @nduwimanafatma9948
    @nduwimanafatma9948 Před měsícem

    Nyie mnaosema muongo bas muiteni sule ukapamban

  • @saidbakari3124
    @saidbakari3124 Před měsícem

    2:53 anaehoji alisikia joto akafungua zipu

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 Před 2 měsíci

    Kuna jini na pepo na viumbe vya kichawi.

  • @kingonlinetv4226
    @kingonlinetv4226 Před měsícem

    Mbona ndacha ulimshindwa na alikufuata tz, na mlikua weng 2

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Před měsícem +1

      we ile dibet ya ndacha na sulehujaiona nini au unajizima data ? huyo ndacha wako alishindwa vibaya

    • @ramadhanyusuf2401
      @ramadhanyusuf2401 Před měsícem

      Ule sio mwana dibeti yule mtafta kiki kwa wazungu ndacha hajui lolote kelele zake kibao

    • @martedimohamed6327
      @martedimohamed6327 Před měsícem

      😂😂😂😂😂 ndacha yy mwenyew anaswali kimya kimya

  • @pascalvitalis
    @pascalvitalis Před měsícem

    Nipo na bible hapa ila mengi anayoyasema nikichek nakuta tofaut😂😂😂 matango poli😢

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 Před 2 měsíci

    Kwani dini ya kwanza kuwako duniani ni dini gani

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 Před 2 měsíci +2

    Je uisilamu ulianza miaka mingapi Baada ya Yesu kufariki

    • @Naw89
      @Naw89 Před 2 měsíci

      Uislamu ulikuwepo tokea zamani manabii wote walikua Waislamu
      Hata Yesu ni muislamu

    • @danielmatemu9698
      @danielmatemu9698 Před 2 měsíci +1

      Miaka 600

    • @ismailmazina4178
      @ismailmazina4178 Před 2 měsíci +1

      Uislamu ulianza toka mtu wakwanza kuumbwa

    • @danielmatemu9698
      @danielmatemu9698 Před 2 měsíci

      @@Naw89 Yesu alibatizwa, waislam walibatizwa wapi?

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 Před měsícem +1

      Uisilamu umeanza tokea alipotumwa Adam, mpaka kaja kuhitisha Mtume Muhammad swalla llahu alyhi wassllam.
      Kitabu chetu Qur'an kishatuambia, hatuendeshwi kwa pumba km wakiristo

  • @EMMANUELMWABONJE
    @EMMANUELMWABONJE Před 2 měsíci

    Yesu alimwita mungu baba,kwahivyo shule anakunakubali yesu ni mwana wa mungu?

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 Před měsícem

      Yeyote aliemtiifu kwa Mungu huitwa MWANA WA MUNGU

    • @SaaS-Guide
      @SaaS-Guide Před měsícem

      ​@@swafiirbulbul819Lakini Yesu pia ni Mungu maana alikubali kuabudiwa na kuitwa Mungu.

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 Před měsícem

      @@SaaS-Guide Wapi katika Biblia Yesu amefundisha Wanafunzi wamuabudu..!???

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 Před měsícem

      @@SaaS-Guide Pia, wapi Yesu katika Biblia amesema Yeye ni Mungu..!??

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 Před měsícem

      @@SaaS-Guide Lakini ukisema; "Pia Yesu ni Mungu.." .. Unamaanisha Mungu ni Wawili..??!! Au..? 🤔

  • @mchjohnmasegese8193
    @mchjohnmasegese8193 Před 2 měsíci

    Hujui sulle chochote.

  • @magdalenakiyogoma7070
    @magdalenakiyogoma7070 Před měsícem

    Hamuoni kama nyie mamkosea mungu kuchukua maamuzi ya kumkata kichwa nyie mnahukumu nyie ni mungu

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 Před měsícem

    Shebby kwasababu wenda ujasoma bibilia lkn kama unajua jinsi anavyojikanya ungekuwa unambananisha sema kwakua ujui tumpe ushindi

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 Před měsícem

      Ila Dr Sule ameomba kwa yeyote ambae anataka kukutana nae wakati wowote, ni vema kwa kuwa wewe unaijua Biblia ukakutana nae.

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 Před měsícem

      @@saidsuleiman1753 Itakuwa hivo na sio bibilia hata quran naijua tunamsubili akirudi South Africa

  • @euniquemalekela2045
    @euniquemalekela2045 Před měsícem

    Dr gani wewe sure hivi kweli majini yalijenga hekalu la suleiman,.huna akili nzuri wewe mfuga majini tu mtume huwezi kumfananisha na yesu.afu muhamad kafanya nini ambacho cha maana.

  • @elishamhina8140
    @elishamhina8140 Před měsícem

    Mbona yesu alibatizwa lakini waislam hawabatizwi kila dini inataratibu zake nijibu hilo

    • @martedimohamed6327
      @martedimohamed6327 Před měsícem

      Mbna yesu alitahiriwa baada ya siku 8 kuzaliwa waislam tunafanya ivyo ndn ya wiki 1 baada ya mtoto kuzaliwa jee? Nyie wakristo mnafanya ivyo???? Wengi wenu magovi 😂😂😂😂😂😂

  • @janejoseph561
    @janejoseph561 Před měsícem

    Muhamadi yuko kaburini usitudanganye wewe

  • @SaaS-Guide
    @SaaS-Guide Před měsícem

    Mimi nasema hakuna mahali majini walijenga hekalu la Suleiman. Na hakuna mchawi mkristu, uchawi umekataliwa na Biblia. Huyo aliye mtaja, hakuwa anafanya uchawi kama mkristu, bali kama mtu wa mataifa, kule mitume walikua wanahubiri injili.

  • @barackbrysonramsey
    @barackbrysonramsey Před 2 měsíci

    Ipm simuoni

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 Před měsícem

    Yuko wapi huyo ipm

  • @thomasnizigiyimana5122
    @thomasnizigiyimana5122 Před 2 měsíci

    Ndasha atakunyosha

    • @impeccablerito7922
      @impeccablerito7922 Před měsícem

      Acha kua shabiki wa dini soma bible nafanya research ya upande wa pili utakua umeinusuru nafsi yako kama kwelii unataka kujua ukweli na mungu wakweli

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Před měsícem

      ndacha alishindwa vibaya kaangalie vizuri Ile dibeti Tena

  • @user-co6ln1ty9s
    @user-co6ln1ty9s Před měsícem

    Hakika Dr sule umeupiga mwingi...hususani hapo uliposema "Yanga kaifunga Simba 7-2 msimu wa 2024...UKIPINGA NI KAFIRI.

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 Před 2 měsíci

    Hata ukimsafisha nguruwe 🐖 atakua tu mchafu

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 Před 2 měsíci +1

    Kwa nini kiharabu kwa wa Tz waswahili na makabila sio warabu

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 Před měsícem

      Ile lugha ma pasta wanayo isemeya.kanisani eti lugha ya mbinguni mbone unaikubali na haina mana tena sio lugha ya kiuko kiarabu ukitafuta mana unaipata

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 Před měsícem

      Ile lugha ma pasta wanayo isemeya.kanisani eti lugha ya mbinguni mbone unaikubali na haina mana tena sio lugha ya kiuko kiarabu ukitafuta mana unaipata

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 Před měsícem

      Kisha mungu alisema atatucagulia lugha moja tutakae itumia kwenye ibada wewe mfano ukenda India utarudi bila kufanya Ibadan wanatumia lugha yawo ila kwa wa Islam kitabu kimoja lugha moja

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 Před měsícem

      Kisha mungu alisema atatucagulia lugha moja tutakae itumia kwenye ibada wewe mfano ukenda India utarudi bila kufanya Ibadan wanatumia lugha yawo ila kwa wa Islam kitabu kimoja lugha moja hata ukedunia nzima utafanya Ibada ila nyinyi mna kikombo chain urusi nakwengineko wanayo tumia lugha ya taifa lambda wasomi wakienda wingereza ufaransa ndo watafanikiwa ila Islam kote tanafanya ibada

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 Před měsícem

      Kisha mungu alisema atatucagulia lugha moja tutakae itumia kwenye ibada wewe mfano ukenda India utarudi bila kufanya Ibadan wanatumia lugha yawo ila kwa wa Islam kitabu kimoja lugha moja hata ukedunia nzima utafanya Ibada ila nyinyi mna kikombo chain urusi nakwengineko wanayo tumia lugha ya taifa lambda wasomi wakienda wingereza ufaransa ndo watafanikiwa ila Islam kote tanafanya ibada

  • @ackimackim1880
    @ackimackim1880 Před měsícem +2

    Aaa! SULEEE! MUONGOO, UNA ELIMU YA UONGO MSHUA,ALAFU UKO SILIASI ILEILE YAN

    • @jumakutengeza1080
      @jumakutengeza1080 Před měsícem

      Ayo maandiko aliotoa kwa Biblia hayapo?

    • @ackimackim1880
      @ackimackim1880 Před měsícem +1

      @@jumakutengeza1080 wachache tunaelewa wengi hawaelewi.we mpaka ukasome theologia. ILA SULE ANA UONGO WA AKILI. IBIRISI NDO BABA WA UONGO.ANAMIFUMO SIO RAHISI KILA MTU KUGUNDUA.

    • @impeccablerito7922
      @impeccablerito7922 Před měsícem +1

      Nina uhakika 100% we sio mzima mtu anatumia iyo iyo bible kukosoa ujinga uliokuwepo ata kwa akili ya darasa la 3 c unajua kabisa hapa hakuna dini ya kweli na ww bado unasema muongo je angekua anatoa aya izo kwenye quran ungesema je.? Nakuone huruma ukifa kafiri ukiendelea kumwamini Mungu wako Yesu aliyetailiwa sawa sawa na ww mwenyewe

    • @ackimackim1880
      @ackimackim1880 Před měsícem +1

      @@impeccablerito7922 Sio kosa lako kusema hivo ndugu AKILI na UFAHAMU wako umeishia kwa SULE. wenzako tunaelewa zaidi ya SULE.

    • @pilotclassic4468
      @pilotclassic4468 Před měsícem

      Kakuonesha kupitia biblia bado unasema muongo duuh?? Hajatumia Qur'an katumia biblia, uongo uko wapi rafiki?

  • @Nalubaba
    @Nalubaba Před měsícem

    😂

  • @paulmwangi3438
    @paulmwangi3438 Před měsícem

    Sema tu ni wapi bibilia inafundisha uchawi wacha kukurupuka sijui Esther sijui Nehemiah. قُلْ أُوحِيَ إِلَيَّ أَنَّهُ اسْتَمَعَ نَفَرٌ مِّنَ الْجِنِّ فَقَالُوا إِنَّا سَمِعْنَا قُرْآنًا عَجَبًا waisilamu wanashirikiana na majini kulingana na sura 72.

    • @arafatali2796
      @arafatali2796 Před měsícem

      kwan dhambi alaf hii sura mnatafsir mnavyotaka nyie sio ilivyokusudiw naitawachanganya sana

    • @deflinthassan5645
      @deflinthassan5645 Před měsícem

      Unamjua mfalume suleiman.. kamsome vzr

  • @johnngige5794
    @johnngige5794 Před měsícem +1

    Biblia haisomwi kimsikitisikiti baba. Huwezi tumia Biblia kutetea uislamu. Ndio uwe muislamu lazima useme shahada, kama yesu muislamu, alisema shahada? Yesu alibatizwa, waislamu wanabatizwa? Yesu alimuambia Petero, "kwenye mwamba huu nitalijenga kanisa, mbona hakusema kujenga msikiti? Acha uongo Sule.

    • @impeccablerito7922
      @impeccablerito7922 Před měsícem

      Nipe uo mstari yesu anasema atajenga kanisa kutoka kwenye bible. Naacha Uislam leo leo

    • @Onlyforfun1992tube
      @Onlyforfun1992tube Před měsícem

      Sasa wewe ivi mungu anatahiriwa wewe

    • @Dugo-mkgl
      @Dugo-mkgl Před měsícem

      ​@@impeccablerito7922mathayo 16:18

    • @johnngige5794
      @johnngige5794 Před 26 dny

      @@impeccablerito7922 Hope uko serious kuhama kwa dini mbovu ya uislamuna kuja kwa Yesu nikitoa verse. Hiis hapa. Jesus continues, “You are Peter, and on this rock I will build my church, and the gates of hell shall not prevail against it” (Matt. 16:18).

    • @johnngige5794
      @johnngige5794 Před 26 dny

      @@Onlyforfun1992tube Neno alifanyika mwili akawa binadamu na lazima angepitia kila stages ya binadamu. Hivi nikuulize, Yesu ako hai,alienda mbinguni na ako na baba yake, mungu.

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 Před 2 měsíci +1

    oya hana elimu hana elimu yoyote

  • @igurusitv6553
    @igurusitv6553 Před 2 měsíci +2

    Muulize kuhusu huo mpete hapo kidoleni

    • @zuberimohamedi5761
      @zuberimohamedi5761 Před 2 měsíci

      Weka hoja mezani

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 Před 2 měsíci

      Alokwambia nani kuvaa Pete shirki kasome tena rudi school

    • @impeccablerito7922
      @impeccablerito7922 Před měsícem

      Nachoona hapo shule imekosekana kama pete mbona ata wazungu wanavaa na kanisani watu wanafunga ndoa wanavalishana pete. Sema kuna watu uwezo wao wa kufikiri na upeo wao kuna mda unahisi ata kuku anaakili kulko binadamu😂

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 Před měsícem

      @@impeccablerito7922 😄😄😄

  • @ShamimHassan-qm1et
    @ShamimHassan-qm1et Před měsícem

    Mbona headline haiendan na kilichop ndan ila nyie anyway tumefaidika kwa elimu😎🥰

  • @chapchap-oz1ou
    @chapchap-oz1ou Před měsícem

    NIMESIKILIZA DAKIKA CHACHE MWANZO NIMEGUNDUA SULLE HAJIELEWI KABISA!!
    1. ETI KIPOFU AKIMUONGOZA KIPOFU MWINGINE, WATATUMBUKIA SHIMONI......KAMA ANAJUA HILO...MBONA ANAMFWATA MUHAMMAD AMBAYE ALIKIRI HAJUI AENDAKO AKIKUFA?? KORAN 46:9 ...KHERI NIMFWATE YESU AMBYE NDIYE NJIA NA KWELI NA UZIMA KUMFIKIA MWENYEZI MUNGU - YOHANA 14:6
    2. NA KAMA ANAJUA MUNGU WA MBUNGUNI NI BABA...MBONA WAISLAMU HUMKANA??
    ALISUJUDU NA KUSALI "BABA YANGU"....WAISLAMU WANAPINGA HILO!!
    NILICHOKA KUFWATILIA BAADA YA HAPO.....ANAJUA UKWELI LAKINI ANAFANYA KINYUME!!
    NYANI KWELI HAONI KUNDULE!!

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Před měsícem

      kwani huyo yesu wako alivo ulizwa kiama lini ? mbona alijibu hata yeye hajui sasa anashindwaje kujua wakati nyinyi mnasema ndio mungu wenu mkuu?

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou Před měsícem +1

      @@Hussein-gx4qu
      Yesu alisema hayo akiwa tayri ashafanyika mwili akawa Mwana!!
      Tatizo kubwa kwa waislamu ni kutumjua Yesu kabla hajafanyika mwili.
      Na Yesu Kristo sio yule feki wa muhammad issa bin maryam,
      MJUE YESU NI NANI KABLA IBRAHIM HAJAZALIWA!!

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Před měsícem

      @@chapchap-oz1ou hiyo ni hoja ya kipumbavu hata ukosoma kitanu cha methali suleimani anasema yeye alikuwepo kabla ya Dunia haijaumbwa kwa hiyo tukichukulia hiyo hoja Yako kwa hiyo na suleimani tumwite na yeye ni mungu ? ndio ujue hizo hoja zako ni za kipumbavu hazina mashiko yoyote ya kumpa uungu mtu acha ujinga kasome

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Před měsícem

      @@chapchap-oz1ou Sasa kama wewe unasema yesu ndio mungu mkuu pale msalabani alipokuwa akilalama mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha sasa nikuulize na unijibu hapo yesu alikua akilalamika mungu wake yupi tena kamuacha na wakati wewe unasema yeye ndio mungu mkuu? mungu wake yupi Tena kamuacha na wakati wewe unasema yeye yesu ndio mungu mkuu mwenyewe? au unajizima data?

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Před měsícem

      @@chapchap-oz1ou halafu kitu kiingine hayo maandiko sijui eti aliuvaa mwili hiyo sio bibilia hizo ni barua za Paulo ndio zinasema hivo na sio yesu mwenyewe we unatuletea barua za Paulo hapa mtu ambae alikuwa mbakaji na Mkata vichwa vya watu hivi we una akili kweli?