Ng'wana Kang'wa - Mwalimu (Official Video) 4k
Vložit
- čas přidán 7. 09. 2024
- Mwalimu Official Video
Directed by @MigeraStudio
Produced By Mostone
Follow Me On
Facebook
/ ntemiomabala
Instagram
/ ngwanakangwa_
DOWNLOAD AND STREAM #MWALIMU ON ALL DIGITAL PLATFORMS
BTM AFRICA 4LIFE
#mwalimu #ngwanakangwa #btm4life
Najua ni ngumu kujiamini kwasababu bado hajaona kipaji changu (ISAWIMA)
Ngwa'na yulita nakupata nipo kigoma mpakan na bulundi kata ya mabamba niliambiwa kua we nimwalimu Leo nimekutana wimbo wako Tena unasema siyo mwalimu kaxa kaka Dunia siyo nzuri nyimbo zako nzuri zinafaliji kwel kaka mungu akupe hekima njema na uimbaji mzur
Mzee wa Mabamba unapajua Kigogo?!!
@@robertngwala1323ivi nikweli ama maneno ya watu tuu
Haya Mambo Ni 🔥🔥🔥
Apewe Maua Yake Brother Ng'wana Kan'gwa Like Sasa Kama Wewe Sio Muongo
Kiukweli kaka hata mimi nilikua naambiwa et wewe nimwalim ila hizi radio za nywele nimbaya sasa kaka ntemi 🎉🎉
Mimi Eliza mzukila nipo dar nakupenda sana pia napenda nyimbo zako
Mwenye nakubar msukuma mwenzang 2ko juu
Mimi yona niko mwime ya nyakato maarufu senta ya fatherjames jilani na mwana kishimba hongera sana ngwana kangwa wewe ni mwalimu wa nyimbo
Mi Niko msikiti WA zuwena jirani yako😂
Mwalimu waoooo
Huyu ndio msanii bora wa muda wote wa nyimbo za asili✍️✍️✍️
Safi saana ngw'ana kang'wa kazi Moja nzuli nzito ✊✊✊
NI HATARI SANA!! MOROGORO TUMEIPATA NA KUIPOKEA!!! Salamiti wamekumiss sana toka 2020 hawajakuona
Kaka Ntemi naona u mzuri katika SoMo la History naona hapo AFRICA AND EXTENAL WORLD semaa uhakikaàaaa mungu aendelee kukusaidiiaaa ntemiii omabala uendelee kufurshisha wasukumaa
Sema t ww ni kichwa asiependa nyimbo zako huyo mchawi sisi wanakahama tunaenjoy sana!
kweli kaka nisha kubali nyimbo nzuri sana
Ntimi omabala napenda sana uimbajiwako mnguakuzidishie namimi naimba kwako nikama dalasa vizuli hutaki bifu
Uko vzr brooo
Achana nao fantastic kaz yako kaka ukjona vivyo just umewazidi kitu
Uko vizuri unafundisha ongeza bidii zaidi
Kaka kama kama hapo sawa sasaa tumekuelewaaa
Pamoja sana kaka
Chapa kazi kaka yangu
Nimeitafuta muno nyimbo ya bhakango. niambie jina la wimbo my brother
Brother angu ! Wewe na kisima na Bhudagala Mnatuwakilisha vzuri sana kabila letu la Kisukuma
Ng'walimu wa Ndingo🙌, Safi saana Nyanda DODO, NTEMI omabala 🌏, kazi yako nzuri mnoo💪 mungu akuweke uishi sana furaha ya wa Bhasukuma😇❤, NTEMI ni mmojatu💯 nakupata sana nikiwa 🇬🇧🌹
Asante sana Latifa
Uko sawa mwalimu
Watu wabaya Sana kaka ,Ila huo ndio ukubwa,
Wooooh what a wonderful video🎉🎉, I was so much waiting thank you. Keep it up good work 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hope you enjoyed it!
Hata Mimi pia niliambiwa ila sikuamini Leo ndo Nimepata Jibu Pamoja sana from kagongwa
Mziki mzuri kutoka BTM AFRICA hakika ni za kwetu Mungu awabariki sana ahsanteni
Pamoja tuna sikiliza mziki mzuri ni 🔥🔥🔥
Uko sawa jamaa ang
Nakukubali kk saruuut
Ki ukweli hata mimi nakukubali sana, piga kazi
Yan wewe ndo najivunia wewe wewe ndo msaniiii wangu kabisa jamaaa yangu nakukubali sana ❤❤❤❤❤❤
Ntemiiiiiiii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
hao ndiyo wanadam
Kaka na kukubali kinoma kaka angu ❤❤
Sana Kiongozi bigup mmetisha bila kusahau producer hongereni sana.
Hongera NTEMI O MABALA
Umeuwa kaka 🎉🎉🎉
Nyimbo iko moto,congratulation ilumbuye omukaya 🥁🎺🎼🎼
@@FloraChuja wabheja sana
Uko vzr sans
Nakkubal san mwanakamwa from katoro geita
KWAHYO jina la Ntemi umeachana nalo tena
Ukubatandula kikuba gete,, ulu wapanga bakalili lyembo wafunya lyingi?❤❤❤
Bigup sana kamanda wetu
Fundi sana.....kukaya ni kukaya duhu ng'wana obhasukuma!
Nyimbo zako hazichoshi kusikiliza.... Nataman tena itokee show uwanja wa Magufuli tufurikeee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ebwana uko vizuri huku kwetu mwanyagula ulituburudisha sana karibu sana
Asante sana ndugu
Our all time G.O.A.T from sukumaland.
Congratulations bro you nailed it💪
I appreciate you 🙏 thanks brother ✍️
Aaaah teacher wandingo
nyipo ni 🎉🎉🎉❤ safi sana
Safi sana ndugu❤❤ sanamkuu
Tuma pamoja kaka
My brother 🔥 🔥
Keep it up brother, good song
Hongera sn kaka hii nyimbo nakumbuka uliizindua Usagari Leo umetoka video ni nzr sn hongera na karbu Tena Usagari
Unaimbi vizuri sana kwanza unasauti nzuri unaimba vitu vya kufundisha vyenye maadali kwa jamii yenu❤❤
upo vzur nyombo zako
No doubt your the best traditional singer
Thanks bro
Africa and the external world ❤
Kaka nakukibali sana from nguruka Uvinza Kigoma
Unapafahamu kwa kizanga
Hongera sana ww una sauti nzuriii mno naitwa mama Credo Mwaipopo mchezaji wa yanga zamani sasa anaishi sweden
Nimepita
Kazi nzuri sana ndugu yangu
Piga kazi kaka achana nao kibali unacho na tunakukubali kinoma sanaaaaaa❤❤❤❤❤
Kazi nzur sana pia Director Migera ❤❤
Chapa kazi mwana kamwa
Kaka hao ndo wanadamu
Wengi wanajuwa hivo ndugu
🔥🔥🎶 imebamba kinomanoma
Chapa kazi bro naipenda sana kazi yako
Good ❤❤
Hongera sana brooh
Nakuamin broo
Boom🔥🔥🔥
Weweeeeee✍🏾🎉🎉🎉🎉🥰
Niko dar lkn nyimbo za kisukuma muda wote mpaka wazalamo cku hizi wanacheza💯💯💯💯💯
😂😂😂 umeshawaibahao safisana❤❤
Kazi nzuri ntemi sema umekanyima mngyao
Nakubali bwana kaka
Kazi nzuri.
@@Mackimilly Asante sana
Wimbo mzuri🎉🎉🎉 sana
Bomu Kali 🔥🔥🔥🔥
Nakubal sana aisee
Brother mm ni msanii ander graund nilikuwa naomba sapoti yako ninaweza kuimba nyimbo za kisukuma mfumo wa bongo fleva {isawima}
Nyimbo zako ni nzuri sana masumbwe tuna Enjoy nyimbo zako Brother🎉🎉🎉
Much of love to you 🎉
Ni atari, halafu mabiti unayakamata kisomi na voice so clear
nikiwa nchini Zambia nazifatilia san kk nyimbo zako
dahh nakupata vizur kutoka dar es salaam Tanzania❤
Na kweli kaka wewe ni mwalimu/bila D mbili huwezi kunielewa
Kazi Kaz kaka.
Kaka natamani cnakuwa na nyimbo zako paka nije kahama
vip
Ila mungu alikupa melodi yakipekeee tu Safi sana najivunia wewe uimbaji wako unanikosha sana popote unasikiliza tu
Uhakik brother 🙏
Lolangulu 🎉❤❤
Hongera sana
Kazi nzuri kaka
Dare es salaam Lin kaka
Nyimbo inaujumbe sana
Ningelikuwa bara ningeichukua hata kwenye liblary tafadhali nisaidie niipate hiyo nyimbo nipo mbali sana pemba
Uko vzr kaka
Poa😊