Kujiunga na Jeshi la Marekani (Sehemu ya 3)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 09. 2024

Komentáře • 16

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 Před rokem

    Upo sawa

  • @kidigajames
    @kidigajames Před 3 lety +2

    Naendelea kujifunza zaidi kuhusu jeshini.

  • @audreychitama1615
    @audreychitama1615 Před 3 lety +1

    Nitashare na mdogo wangu aliye kansas

  • @MelkioryDigha-ry8nu
    @MelkioryDigha-ry8nu Před 10 měsíci

    Nlivyoelewa wanachukua kuanzia form 6 sio?

  • @tareeqhaji7922
    @tareeqhaji7922 Před rokem

    Sasa mkuu tuseme unaingia jeshini hali yakua hujaspecialized chchte huna degree wala lolote je unaweza pata nafasi pia??

  • @edmundisaack6902
    @edmundisaack6902 Před 2 lety

    Kaka naomba nikufanyie interview naona kuna vitu tunahitaji kuvijua zaidi

  • @nickypaul6483
    @nickypaul6483 Před 3 lety +1

    Apo nimekuelewa kaka

  • @fikirinijr6807
    @fikirinijr6807 Před 2 lety

    Ushauri tu mkuu Hoji watu wenye Exposure Hawa wengine wajibu kwa video za kawaida unazo andaa kila siku

  • @ignatiussiama6666
    @ignatiussiama6666 Před 2 lety

    na huwezi nunua shamba ujenge tu

  • @hildapaul5422
    @hildapaul5422 Před 2 lety

    Prosesi zake zipoje unanzia wapi?

  • @JayyUS
    @JayyUS Před 3 lety +1

    So that's means, hawapokei maombi chini ya degree or??

    • @JayyUS
      @JayyUS Před 3 lety

      Kama form4

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  Před 3 lety +3

      Kujiunga na jeshi minimum ni high school education. Form 4 ya nchi gani? Kwa Kenya form 4 ni high school education, kwa Tanzania na Uganda form 4 sio high school

    • @mrshazychannel3359
      @mrshazychannel3359 Před 2 lety +1

      Ukiwa na diploma ya tanzania napo inakuaje??

    • @mmasipeter4157
      @mmasipeter4157 Před rokem

      Je ukiwa vocational education na work experience ya miaka miwili je unarusiwa kujiunga na jeshi mkuu