Na mimi nimepona, nimeamua kuwa Muebrania kuanzia leo katika Jina la Yesu, sihitaji tena kupewa elimu Zaidi ya kujitambua. Barikiwa sana Mchungaji Kimaro kwa kiwango cha juu. Dada Minja tunakushukuru, Mungu atakuinua kiwango hadi kiwango, wengi wanaficha mafanikio yao na mbinu wanazotumia kubarikiwa, lkn wewe umekuwa muwazi. Mungu awabariki
Inawezekana mke wangu ana kitu kinachofanana na huyu dada.Usafi uko ndani ya moyo wake.akifika mahali popote kitakachokera sana ni mazingira kukaa vibaya au kuwa machafu.
Nabarikiwa sana na mahubiri mungu and Kampala mchungaji Maisha marefu
Aameen🙏🙏🙏
Amen and Amen nimebarikiwa na nimesoma kitu Mungu akubariki mtumishi kwa hayo afunzo
Chamecha msur ..ubarikiwe jirani yangu
mungu azidi kukubariki umetufundisha kitu katika maisha yetu dada minja mwenye sikio amesikia kazi kwetu
asante kwa kunita Moyo nami nimeacha kazi bila kujiandaa niombee Mchungaji
Nimeielewa sana yani umenigusa sana Dada barikiwa Dada na mtumishi
Mungu azidi kukuinua mchungaji
Na mimi nimepona, nimeamua kuwa Muebrania kuanzia leo katika Jina la Yesu, sihitaji tena kupewa elimu Zaidi ya kujitambua. Barikiwa sana Mchungaji Kimaro kwa kiwango cha juu. Dada Minja tunakushukuru, Mungu atakuinua kiwango hadi kiwango, wengi wanaficha mafanikio yao na mbinu wanazotumia kubarikiwa, lkn wewe umekuwa muwazi. Mungu awabariki
Ubarikiwe sana ninatiwa nguvu ya kuinuka tena hakika kwa Mungu kuna ufahamu wa Kila namna.
nimepata kitu dada Frida ubarikiwe. Mchungaji Kimaro Mungu azidi kukuinua. Amen
dada frida ubarikiwe kwa ushuhuda wako🙌🏼🙌🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Amen naomba project yeyeto nisiogope nimshirikishe Mungu si mwanadam
Ongera sana dada
Dada mungu amefanya juu
Mungu amenipa kitu ambacho kipo kwenye mikono yangu
Mungu nakushukuru kwakua kupitia mwanao huyu namimi nimeinuka kuanzia dakika hiii
Mungu na akubariki sana! Sana mama umenipa kitu
Nimebarikiwa sana
Hallo pastor... that's agreat teaching....
🙏🙏🙏🙏🙏
Umejua kunifurahisha dada frida Mungu akubariki sana
Mungu alitenda, ANATENDA, ATATENDA!!!!
Mungu Asante Kwa Case Study hii Jaman Naanza Kupiga Hatua Zaidi Mungu Asante Sana
Hongera kwa kujitambua dada aminaaa kubwa kwako
Oooh! Hakika Mungu wetu anaishi nimehamaska sana
Amen Dada Frida, nimepona kwa kweli
Mchagga changa motooooo no hasaraaaaaaaa😜😜😜barikiwaaaaaa 🙏🏾
Aiseee mungu anitie nguvu ila nimejifunza kitu kikubwa sana mchungaji mungu azidi kukubaliki
Ushuhuda huu ni mzur Sana
Ameen sana
Ubarikiwe dada Farida nimejifuza kitu Mimi ninaitaji Kaz ya usafi, nipo vizur
Inawezekana mke wangu ana kitu kinachofanana na huyu dada.Usafi uko ndani ya moyo wake.akifika mahali popote kitakachokera sana ni mazingira kukaa vibaya au kuwa machafu.
Wow wow wow njoo Mimi huu kubwa I can do everything in Jesus 🙏🤣🤣🤗
Wow wow wow
Aise MUNGU akubariki Dada Frida, you so inspired to me!! Iruwa akutarame Mae!!!
Namimi kwaneno LAKO tu nimejitambua sio mmisri mimi ni muebrania,Mungu azidi kukupa maono babamchungaji leo nimepoma
Nimejifunza kuwa na maamuzi sahihi ili ufike malengo yako, ubarikiwe dada
Ameni
Nimependa ushuhuda wa dada huyu amenipa moyo nakunipa uthubutu
Mungu amenipa kitu.
Wewe ukija huku utakuwa milionea kabisa
Amen
Amina sana
KWAKWELI HILI NI FUNZO ZURI SANA MUNGU AKUTANGULIE MCH KIMARO OTANA MBE
utukufu kwa Mungu
Work hard
Work smart
Add Ur value 🌹
Nimekupenda na natamani hayo ulionauo
Amen amen amen, God bless u mum
My lovely hakika umenitoa mahali Mungu akubariki
🙏
too much inspiration
ZEROS TO HEROO👏🏿🙏🏿
Aisha Nelly 🔥🔥🔥🔥
Mungu acha aitwe MUNGU
Ameeeen
Tunaomba mawasiliano yake tafadhali.
Amen Amen
amina
Umenitoa mahali Dada Frida Mungu azidi kukuinua
Mercy Naiman
Ameen
Umenivusha Dada Frida Mungu azidi kukuinua
Ameeeen
This is a very useful case study. Good bless you sister.
Haleluya haleluya