"NCHI YANGU ILIPITA KWENYE DHORUBA BILA MISAADA KUTOKA NJE, ILA TANZANIA ILITUSAIDIA" - RAIS NYUSI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 08. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Komentáře • 18

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 Před měsícem +1

    Tanzania ni Nzuri Sana...Tanzania ni Walezi.wa Afrika..Viva Tanzania Viva Mozambique.

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 Před měsícem

    Well said 🎉🎉

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 Před měsícem

    Kiswahili kimenyooka❤❤❤❤Viva Filipe❤❤❤

  • @User255tv
    @User255tv Před měsícem

    Safi sana Mhe. Rais Filipe Nyusi.

  • @hassanamend8035
    @hassanamend8035 Před měsícem

    Mozambique 🔥💪🇲🇿🇲🇿🇹🇿🇹🇿✌️💯

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 Před měsícem

    Obrigado nosso pai Filipe Nyusi

  • @MgishaBoaz
    @MgishaBoaz Před měsícem +1

    Nime penda kiswahili sana

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed Před měsícem

    Safi Sana

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Před měsícem +2

    Jama anaongea kiswahili vizuri kuliko waswahili wenyewe wa Bongo.

    • @AlexKing-yg2cc
      @AlexKing-yg2cc Před měsícem +1

      Kakulia na kusomea shule ya msingi Tanzania

    • @belitomanuel6240
      @belitomanuel6240 Před měsícem

      Nchezi huyo muhungo

    • @jamesmapoya7329
      @jamesmapoya7329 Před měsícem

      Amesoma Ndanda secondary ​@@AlexKing-yg2cc

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale Před měsícem

      Wabongo au wa Mikoani? Maana Bongo ni Dar es Salaam. Huko kwingine si Bongo ni mikoani.

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Před měsícem

      @@TamuzaKale
      Ubishi mwengine ni wa kitoto sana wa tz tuna a.k.a kwamba ukisema mbongo maana yake ni mtzn sasa wewe ulikuwa hujuwi hilo?

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 Před měsícem

    Inchi yenu au Yako.
    Duniani hakuna inchi ya mtu zaidi ya nyumbani kwake. Think big or deep