URAFIKI wa AALIYAH na ZUCHU umekufa sababu ya PENZI la DIAMOND? Kwanini alipotea? Afunguka yote

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 31. 01. 2024
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.com/store/apps/de...
  • Zábava

Komentáře • 536

  • @dushudofficialnurudin9753
    @dushudofficialnurudin9753 Před 4 měsíci +58

    Nikweli Kuna Muda Tunapitia Magum Kias Hata Watu Wetu Wakaribu Hawajui Kip Tunapitia Binafsi Naelewa
    Kikubwa Amerud Maashallah Mrembo Kinoma Like Hapa

  • @augustuss4503
    @augustuss4503 Před 4 měsíci +100

    This woman is so intelligent and diplomatic, but also so loyal, and loyalty is everything in this life.

  • @carolmwangi6223
    @carolmwangi6223 Před 4 měsíci +19

    I like the Way SNS munafanya interview zenyu. Very Very decent & humbled. na muko poa saa. Hambishani na mgeni mlio tuletea. Ninampa mda anajiongea bila kukata kata n maneno. Love from here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sadikihamad9770
    @sadikihamad9770 Před 4 měsíci +26

    Nawapongeza sana sns kwa interview nzuri sanaa japo majibu hayakua kwenye point. Big respect kwa Sky kutolazimisha majibu sisi watazamaji tumeelewa 🎉

  • @sadayosiame8798
    @sadayosiame8798 Před 4 měsíci +20

    I love you Aaliyah nakupenda sana my sister ❤❤

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 Před 4 měsíci +20

    I Like The Mindset Of This Lady …. Damn 😍🥰, Imagine Beautiful + Loyal + Akili Na Busara ….🙌, Damn She Is My Crush Now🥹

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg Před 4 měsíci +13

    Sasa huyu Ndo alikuwa mwanamke wa kuoa bwana BIG…very smart

  • @jcrackcrack1669
    @jcrackcrack1669 Před 4 měsíci +25

    She is beautiful,na yeye n Zaid Kwa tv

  • @nancyangelnsekela6957
    @nancyangelnsekela6957 Před 4 měsíci +18

    Heartless Zuchu .. We proud of you Alliyah... keep calm and carry on .

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc Před 4 měsíci

      Heartless wapi? Nonsense! Zuchu alimfanyia nink

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 Před 4 měsíci +1

      ​@@BarbaraPatience-qt9ccapo ana vikwa lawama zenye hazi muhusuuu
      A cheat mwenyew wa achaneee wenyew wamvishe zuuu
      Wampumzisheee zuu wetu

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 Před 4 měsíci +10

    Mashaa Allah Mungu kambariki uzuri mpaka akili namuona mbali sana

  • @serianjamal8254
    @serianjamal8254 Před 4 měsíci +18

    You can tell the pain she has been suffering , ukimtajia zuchu na diamond unahisi anasawijika poor girl, God is Great you are in the process of healing Aliyah. Keep it up babe.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Před 4 měsíci +6

      What I don’t understand with all those girls dating Mondi, what are they thinking? All baby mama he dated are beautiful wewe ni nani, na una nini tofauti na hao wengine

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 Před 4 měsíci

      😂😂😂😂as asualy

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 Před 4 měsíci

      Ila ni yy ali cheat na Director Kenny ni vile tu simba ameshaga vikwa ubaya😂😂😂

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Před 4 měsíci +2

    MashaAllah 🎉🎉🎉beautiful lady&very well spoken
    God bless

  • @franciskajessy7401
    @franciskajessy7401 Před 4 měsíci +4

    Nakupenda sana Aliyah unajielewa baby ❤

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Před 4 měsíci +21

    Alivyoanza kumuongelea Zuchu sura imechange kidogo kaongea kwahisia Pole sana Aaliya usimuamini mtu katika dunia hii simama naMungu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Před 4 měsíci +3

      Kweli NI fundisho Kwa wengine usimuamini hasa hawa marafiki haswa Kwa wasichana

    • @Onlyfacts0224
      @Onlyfacts0224 Před 4 měsíci

      Yes she changed her face.

    • @PreciousWilbroad
      @PreciousWilbroad Před 4 měsíci +3

      Dah!nimekaonea huruma san ila uchawi upo jamen

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 Před 4 měsíci +1

      Zuchu kamuumiza sana huyu dada

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Před 4 měsíci

      @@vickydan2869 Kwa vile walikuwa mashoga. Shoga kushogoana 😂

  • @samiahsamihah8047
    @samiahsamihah8047 Před 4 měsíci +6

    You can't ride on another woman tear's. Tanasha umebarikiwa na Neema za Allah na NJ .

  • @catherineshayocwbp.2093
    @catherineshayocwbp.2093 Před 4 měsíci +6

    Ume heal...! What you have been through taught you a lot... Nakuelewa mama😊

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 Před 4 měsíci +30

    Mmmmh😢 hata kina sky wanamuna kbs anavyo kwepa swali lenye ukweli 😂😂 wanamchora tu😂😂😂😂

  • @umutonijowelia8794
    @umutonijowelia8794 Před 3 měsíci +1

    Aaliyah is the true meaning of beauty with brain she had depression now let her heal in peace but she lied kwa kweli hakusema ukweli hata kidogo but it's life may Allah bless her with more blessings🤲🏽❤️

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 Před 4 měsíci +7

    Me 2 sijakubali Aliyah anatuukataaa lkn namuelewa Sana I love her ❤❤ back now u miss u so much
    AKA BACHUCHU Mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @annangonyo1202
    @annangonyo1202 Před 4 měsíci +2

    I give her 👍👍❤️❤️ very smart, intelligent woman❤

  • @user-kt6jv1de4s
    @user-kt6jv1de4s Před 4 měsíci +5

    Nakupenda kipenz Allah akujalie kipenz

  • @leonardanney7580
    @leonardanney7580 Před 4 měsíci +10

    Wow kama kuna mdada mzuri na mrembo basi ni huyu dada. Bonge la mrembo. Wow

    • @wozanawewoz979
      @wozanawewoz979 Před 4 měsíci

      Mzuri ndio lakini kupiga foleni kwa simba ,na hao wote waliopitiwa kwa kwelii

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Před 4 měsíci +1

    Ni kweli,kuona watu wanapendana kweli,yaani wana mapenzi ya kweli ni raha sana kuwaangalia.
    Hata mimi napenda watu wakipendana ,it just feels really good,and gives you hope in love😂😂😂lol

  • @ZainabuIsmail-fm2ey
    @ZainabuIsmail-fm2ey Před 4 měsíci +1

    Mm ni nembo ya wasafi amna wa kupinga mapenzi yamevunja urafiki yamepoteza kazi hongera kama una mtoto nachibu uyo mtoto tayari maarufu kama baba yake usimpe jina ucmpe jina ww muachie baba yake awe nyota kama yeye mwenyewe wala ucjilaum kuzas nae ucje kumtia nuks umezaa na zmtu maarufu duniani ndoa anapanga mungu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ZainabuIsmail-fm2ey
    @ZainabuIsmail-fm2ey Před 4 měsíci +4

    Nakupenda aliyaah rudi nyumbani wasafi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 Před 4 měsíci +3

    Kiukweli huyu dada anamsha sana kwenye show zake 🙌🇶🇦

  • @sadayosiame8798
    @sadayosiame8798 Před 4 měsíci +12

    dar me binafsi me napenda sana kumsikiriza uyu dada

  • @josephjaleen127
    @josephjaleen127 Před 4 měsíci +1

    Big fan from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪kipindi kile sky ukiwa RFA.I LOVE YOUR INTERVIEWING SIMPLICITY keep it up!

  • @gsmartcreation5655
    @gsmartcreation5655 Před 4 měsíci +9

    Interview safi. Sauti Kali. Watangazaji hodari.
    Ila Editors na Producecers naomba tushirikiane video zisiwe over exposed. It’s more than once, and I feel like it’s time to change it. Let’s talk ‎

  • @aysheraden7718
    @aysheraden7718 Před 4 měsíci +20

    Masha Allah ni mzuri sana asikubali kurudishwa nyuma na wajinga ❤

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 Před 4 měsíci +4

    Nice interview 👍🏼👌but 80 % majibu hayakuwa kweli japo ni maamuzi yake its okay tunaheshimu hilo ❤

  • @agnessanga2940
    @agnessanga2940 Před 4 měsíci +1

    Oooh My Goodness , ...What Kind Of This Lady Very Class, Elegant, Intelligent, Attentive..Naseeb Kwann Usiongemuoa Huyu Binti Dooh❤️🥰🥰

  • @user-iy9hp1iv4x
    @user-iy9hp1iv4x Před 4 měsíci +5

    Furaha nikitu muhimu sana sio mpaka ulipwe ndo uweze kupata furaha furaha is automatically you guys 👦 mmependeza sana kuwa pamoja namtangazaji nwezenu peace ✌️ to all of you 🙏

  • @aisharamdan8358
    @aisharamdan8358 Před 4 měsíci +8

    Mashaallah Aliya mzuri mweupe halisi ❤❤❤

  • @user-gu3er2ym1g
    @user-gu3er2ym1g Před 4 měsíci +3

    Toutes mes félicitations alta de pour pouvoir retourner au travail

  • @pamlolo2070
    @pamlolo2070 Před 4 měsíci +2

    WOW beautiful lady but emotionally damaged.. Bless her!

  • @scanzakendimajau3020
    @scanzakendimajau3020 Před 4 měsíci +2

    I love this gal Aaliyah😍😍😍much luv from kenya

  • @anethonesmo6390
    @anethonesmo6390 Před 4 měsíci +45

    Aaliya ameamua kuuficha ukwel kwasababu walimuumiza sana na kingne amekubal ndo maana anaukataa ukwel, na hata kuamua kuchukua break na bado anasema yuko wasaf unaweza kuelewa, boss ndo sababu ya yote na ndo maana yupo huru kurud muda wowote

    • @user-qo8eu1br6f
      @user-qo8eu1br6f Před 4 měsíci +4

      Pia anajua kuna kesho anaweza kupata kibarua wasafi lkn ukweli naonekana tuu Ali ondoka kwasababu Zuchu alimchujuwa mondi iko hivyo tuu

    • @soniaingabire3134
      @soniaingabire3134 Před 4 měsíci +4

      Alifanya vizuli kufica kwa sababu kutembeya na boss yaionekani vizuli. Angepoteza vingi.

  • @ZainabuMatewa
    @ZainabuMatewa Před 4 měsíci +8

    Yani so kidogo ni sanaa we mzur bhna

  • @emmajuma896
    @emmajuma896 Před 4 měsíci +2

    She sliced Tanasha. Wembe ni ule ule. Zuchu i love you and your relationship with Mondi. 🇰🇪

  • @philipotieno9996
    @philipotieno9996 Před 4 měsíci +2

    I really ❤ looove heeer

  • @ladooladoo1285
    @ladooladoo1285 Před 3 měsíci

    Aliya hongera sana you are very smart women, na kwa kweli ulifanya maamuzi
    Mazuri kuwa mbali na mitandao

  • @husseinsaid8353
    @husseinsaid8353 Před 4 měsíci +2

    Aliyeeeeee i love u d

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 Před 4 měsíci +7

    A queen In herself

  • @officialmkusa
    @officialmkusa Před 4 měsíci +8

    Nimeipenda sanaa hii interview naweza sema ndo the best ever happened waybac

  • @anicyaedward6257
    @anicyaedward6257 Před 4 měsíci +18

    Sauti ya brother sky tu inatosha kusikiliza kila video zako lwa sns. Congratulations brother..aalyaa we love you na sauti yako plus Creez guys your the best and best hamshoshi kuwasiliza kwa kipind aiseeeeee .

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Před 4 měsíci +5

    Kazuri sana

  • @thuraiyathuraiya401
    @thuraiyathuraiya401 Před 4 měsíci

    Mashaallah allya mzuri jamani ❤wanaume mnashindwa wapi? Mtoto kama huyu mzuri sana ❤❤❤❤❤❤

  • @user-jn6ec7qv5p
    @user-jn6ec7qv5p Před 4 měsíci +6

    She so cute alliyah ❤

  • @fatumadiriye6162
    @fatumadiriye6162 Před 4 měsíci +2

    Welcome back ❤❤

  • @kahindorose9983
    @kahindorose9983 Před 3 měsíci

    Well come back am your funny❤❤❤ never give up in life🎉🎉🎉

  • @OmariabdalahalunaHaluna
    @OmariabdalahalunaHaluna Před 4 měsíci +14

    Sns mungu awazidishie mtafika mbali sana

  • @FatmaAlamry01
    @FatmaAlamry01 Před 4 měsíci

    I mis you alya beautiful Mashallah ❤🇰🇪

  • @rehemathoya8754
    @rehemathoya8754 Před 4 měsíci +1

    Very elegant girl ,

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 Před 4 měsíci +8

    Aliyah!Kama umekuja kusoma comments na hata umemsikiliza Sky utajua jinsi gani unapendwa na una nguvu. Yaani kwa kifupi wewe ni product inayojitosheleza,pengine Mungu alikupa nafasi Wasafi uonekane. Sasa tumia nguvu yako kufanya yako, Dunia inasogea na sasa Online CZcams chanels /Podcasts ndio habari. Itaweza kuwa ngumu mwanzoni ila ukijituma trust me utafika mbali. Fanya talk shows ,tena ifanye kibabe toka mpaka nje ya Tz Nairobi,Uganda,Nigeria na utakuwa talk of Africa na utatengeneza pesa nyingi.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Před 4 měsíci

      Yaani Kama akisoma hii message yako atafika mbali sana, anajua sana na vile kiingereza kinapanda anaweza kutoboa hata nje ya nchi

  • @user-sf8lh4bz1g
    @user-sf8lh4bz1g Před 4 měsíci +5

    A lady of class , intelligent, smarter how I wish diamond could date her... She's so cute my favorite since way back

  • @afsanibitanga291
    @afsanibitanga291 Před 4 měsíci +4

    Woooow anajuwa kuruka ma swali nikwasababu angali anaona sanisaa anaweza kurudiyana diamond!!!?anamuaca zuchu aropoke iko smart

    • @Mina.15
      @Mina.15 Před 4 měsíci

      😂😂😂😂😂

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n Před 4 měsíci +3

    Mmejua kutuchosha walah masaa Zaid ya mawil khaaa😢😢😢😢😢😢umbea na nautaka lkn chamoto nmekionaaa 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢TOO MUCH TIMEEEEE JUST REDUCE THIS TIME.. MAMBO NI MENGI DUNIA A HII AU VILE MNAONGEA MA MREMBO ALIYAH 😮😮😮MNAFURAHI KUMUONA TU. TZ KHAA😢😢

  • @ekaelmichael4522
    @ekaelmichael4522 Před 3 měsíci +1

    Love you Aliyah🥰🥰you are the best❤

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 Před 4 měsíci +4

    True love never dies. If Diamond has true love for you, he will come back, but if not, accept his choice and move on.

  • @elphinejoshua1914
    @elphinejoshua1914 Před 4 měsíci +10

    Sauti kama bby sky wetu❤❤❤

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 Před 4 měsíci

    Kusema kweli Aliyah mm nakupenda sana kingine kama una mtoto kweli na ni wa nassib kama inavyosemekana nakuomba mfiche hivyo hivyo sidhani kama ni vyema awe kwenye mitandao ila kama zuchu amekutenda wewe wallah kuna kitu kinaitwa karma na haikosei ni swala la muda tu..........we love you mama❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Před 4 měsíci +6

    Napenda tabasam lako unavojiachiya aliyah uko frii kujieleza na kujibu

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 Před 4 měsíci +4

    ❤❤nampenda huyu dada asee she is very wise

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz Před 4 měsíci

    Nimependa ulivyojibu safi sana aliya

  • @hopechidera
    @hopechidera Před 4 měsíci +6

    Aaliyah mrembo jaman😚😍🥰kurudi kwake tu hapo kuna mtu takosa raha na amani mjini🤣

  • @swahilisongswithZita
    @swahilisongswithZita Před 4 měsíci +2

    52:04 kasema ukweli, akiwa na mtoto, who she is dating etc etc ni personal and anaviweka private. So hatuwezi kujua ukweli hadi tmz ya TZ yani MK app ituambie 😂. Kwenye hii interview, she stuck to her principles hasemi 😂 time will tell. I like her brains ❤

  • @Dusenge-TV
    @Dusenge-TV Před 4 měsíci +4

    I can see the pain through her eyes even if she denies everything.
    Pole sana Aaliyah wanadamu hawana shukrani.na siku zote hizo ni changamoto ukikutana nazo unakuwa stronger than ever .
    Don’t let people put you down no matter what ,u are a very talented girl and I know u will be very successful in your career ❤

    • @emilymula645
      @emilymula645 Před 4 měsíci +1

      But " hurting" for Mondi is a waste of one's precious time n energy.
      Just look at the line of women he's been involved with - and expect him to treat u ( Aaliya ) differently 🤔

    • @Dusenge-TV
      @Dusenge-TV Před 2 měsíci

      @@emilymula645 I don’t blame her most of woman always thought when it comes to their turn will be with him forever and it depends what strategies Mondi is using to take advantages to these poor woman🤦🏽‍♀️

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Před 4 měsíci +3

    Sky to the sky

  • @echasafuraha3423
    @echasafuraha3423 Před 4 měsíci +2

    Nice ❤❤❤

  • @dadaleyla
    @dadaleyla Před 4 měsíci +1

    Inaonekana alipata depression. Vizuri amerudi tena kwenye game. Mungu aendelee kumsimamia. Bado yuko wasafi mbona kwenye bio yake haipo? Na hamfollow mtu yeyote wasafi zaidi ya Lokole, kuna kitu anaficha. Ila hakuko sawa.

  • @fatmasaid3536
    @fatmasaid3536 Před 4 měsíci +2

    How come I feel macho yanasema tofauti na kauli zake.

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 Před 4 měsíci +3

    Amenenepa❤❤

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Před 4 měsíci

      Anadai kula kulala 😂😂

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky Před 4 měsíci +9

    Her body language said everything 😢and she's still in pain and still dating her Boss( Dainamoo) that's why bado ana ficha😮

  • @vero57
    @vero57 Před 4 měsíci

    Welcome back baby girl 🌺🤣🥳🥳🥳

  • @carolsayo6409
    @carolsayo6409 Před 4 měsíci +4

    It was a nice one, however she lied about her friendship with zuhura, u can't cut off your BFF just like that their must be a reason, anyhu

  • @TheBossOdhis
    @TheBossOdhis Před 4 měsíci +33

    We all need to take a break. This is very important!

    • @just.elhadji__7148
      @just.elhadji__7148 Před 3 měsíci +1

      Totally agreed with you.....somtyms taking breaks can lead you to better breakthroughs and realizing new other avenues/inner potentials within you!!❤❤

  • @user-nq4md3sj6d
    @user-nq4md3sj6d Před 4 měsíci +6

    Alliyah yupo verry emotion dizaini kama anataka kulia hivi

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 Před 4 měsíci +1

    Aliya beautiful more zuchu❤❤❤❤

  • @marykalisa830
    @marykalisa830 Před 4 měsíci

    Beautiful lady

  • @cyrilpascal9277
    @cyrilpascal9277 Před 3 měsíci

    You can crush on someone just by listening to her the way she talks. Being loyal, honest and the way she reasons stuffs is so perfect for a real man. We all have some weaknesses to some point, no one is perfect hundred percent but with her character I think her man must be very lucky.

  • @lnspirational2
    @lnspirational2 Před 4 měsíci +1

    Nice interview Bro Sky…. Tusubiri Mange ata-confirm haya yote, which will be bitter truth to her… she’s so pretty though

  • @jumaseseme1654
    @jumaseseme1654 Před 4 měsíci +2

    Uyu dada kichwa sana

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 Před 4 měsíci +1

    swali zuru kweli amupigiye tuone aliya anaushungu sana hatakama anakanusha

  • @user-ht2dc8mm9h
    @user-ht2dc8mm9h Před 4 měsíci

    Alyah kanenepa mashallah

  • @myriamjay
    @myriamjay Před 4 měsíci +1

    I like her, she is very smart even kwa kujibu ma swali.woow🥰

  • @samg7256
    @samg7256 Před 4 měsíci

    Wooow🎉

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 Před 4 měsíci +4

    Hyu Aaliya ana ki2 na kw kwl mtakuja kunikumbuka. Npo pale nawasubiri. Cz nnaimani alipigwa na ki2 kizito mno.

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 Před 4 měsíci

    ❤❤❤❤ huku ndio chugaa

  • @Living7Stone
    @Living7Stone Před 4 měsíci +4

    She didn’t convince anybody here! Alihepa kwa hiyo hiyo sababu. Mange K is coming with more; just wait

  • @anisawahyi2940
    @anisawahyi2940 Před 4 měsíci

    Khadija Kopa shughulikia njemba hiyo isiipe pressure mwanetu

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 Před 4 měsíci +2

    Jmn Sky mmeshindwa kujua km kweli ana mtoto na Dai

  • @MTOTOWAvitoto
    @MTOTOWAvitoto Před 3 měsíci

    Nakukubali Sana mdada Aaliyah

  • @pascojm6816
    @pascojm6816 Před 4 měsíci +8

    Kazuri 🌹

  • @barnabasmalima4823
    @barnabasmalima4823 Před 4 měsíci +4

    AALIYAH anajitaidi kuficha ukweli kumbukemi bado yuko wasafi hakuna kampuni inaweza kukupa likizo nya mwaka mzimz labda tu uwe mgonjwa ila kwasababu chanzo ni CEO wao ndo maana alipewa likizo ya mwaka wala hauitaji elimu ya chuo kikuu kuelewa ilo

    • @vivianmahoo8611
      @vivianmahoo8611 Před 4 měsíci +1

      Kunalikizo bila Malipo, anawazazi , kunakipindi unafikia unaona ubaki huna kitu lakini unataka uwe na Amani, hela sio kila kitu.

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 Před 4 měsíci

    All those women running behind Diamond you make yourself to shine like moon ,but Diamond has found peace in a natural woman with good heart and hard working .He has not look at shining but at someone who has is his peace of mind.Lady look somewhere else.

  • @officialnadoboytz1005
    @officialnadoboytz1005 Před 4 měsíci +4

    Mondi angeowa huyu Ni dem mzuri ni inteligent sana huyu💔😁

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Před 4 měsíci +8

    Si aseme tu ukweli amejufungua

  • @kimah9855
    @kimah9855 Před 4 měsíci +7

    Thanks for the interview guys you try and Inspire❤But Aaliyah is very smart girl and very good liar 😂😂😂😂We see and hear lakini ametudaganya vibaya sana😂😂😂😂But that’s her choice😂😂😂Acheni tu😂The truth is she looks happy Hongera kwake👌

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  Před 4 měsíci +3

      Thank you, we tried 😂

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 Před 4 měsíci +2

      muda ukifika yote yatakuwa wazi let wait

    • @everrineanyango7410
      @everrineanyango7410 Před 4 měsíci +5

      ​@@SimuliziNaSautiyou really tried I like that man Chris he looks like he doesn't likes jokes straight question waiting for valid answers but he didn't manage to get 😂😂

  • @wamboischmidt1951
    @wamboischmidt1951 Před 4 měsíci

    Aaliyah ist die beste Kipping shining❤