"RAYVANNY AKIMUOA FAHYMA NIFUKUZWE KAZI WASAFI, BADO ANAMPENDA PAULA" - JUMALOKOLE ALA KIAPO
Vložit
- čas přidán 13. 09. 2024
- "RAYVANNY AKIMUOA FAHYMA NIFUKUZWE KAZI WASAFI, BADO ANAMPENDA PAULA" - JUMALOKOLE ALA KIAPO
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Mi.imi ki mimi ni shapiki wa ravany Chui🐯🐯
Exactly,anamtumia tu juu y Kiki,hkuna story na kuoa
Hivo ndo ulisema kuhusu nandy, yakakutokea puani achana na maisha ya watu juma
😂😂😂😂hivi hivi
😂😂😂
Mimi juma simupendagi ila kwaili nikweli rayvan anamukomoa mutu siyo mapenzi nikweli 💯💯💯 atamimi imesha wayi kunitokeya muzazi mwenzangu kajifanya amenirudiya mapenzi Moto Moto kumbe katimukiwa upande wapili.
Huyu kaka ni mzandiki
Hasidi namba moja
Ray anafanya kumkomoa mtu cause anatumia nguvu kweli
Juma kichaa ww kuna kipind ulisema Paula ataolewa na rayvanny mbona kaachaa😂😂
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Raivyan ana mpenda sanaaaaaaaa Faivyan
Wasikudanganyi jumma wetu
Mimi Juma damu damu akisema kasema kweli😂❤
Ramadhani imekwisha icyo kiapo kiyisheapo
nampenda juma lokole mie😂😂😂
Nom zan chuii
Ukisikia uchawi wa roho ndio huu sasa wamchukia fayma alikufanyia nn mtoto wa kiume wewe kumbuka pia wewe ni mzazi na uko na ndugu pia kuwa makini na maneno yako maasalama
Uyu juma Ako na girlfriend kweli mbn mbeya ivi😂😂😂
😆😆
Yeye nae si wale wa ulaya
Atàkuwa anataka kuolewa YEYE kwa sababu mwanaume rijàli huwezi ongea pumba
Ana Ex Mke na Mtoto ila saiv yeye ni mke wa mtu
Tzd....mna mambo🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪...fahima na rayvany...hamna ndoa hao...huyo ni video vixen wa kawaida🤗🤗🤗🤗🤗
fayvany na rayvany hawajawai kuachana
Rayvanny for real owa fahyma unyamaxishe hii utoto
Mnamsikikiza huyo mwanamke mwanaume kwa nand alisema ivyo ivyo
Alishaongeaga hivihivi kwa Nandy na Bilinass..
Kweli
Kusema ukweli Rayvanny anatumia nguvu nyinyi sana kumkomoa Paula maanake bado anampenda Paula
@@agwalubifaridah7079 maoni yako hayo pekeyako
Wewe juma kwani mchawi umewaroga wasioane mbora umeshupaa hivyoo......... 😅😅
Jamani wanawake wa kiislamu wacheni zinaa fahyma muislamu na ray ni mkristo
Ni kawaida sana 😂😂😂😂😂 fahy anatumiwa kwa Kiki tu,kama kweli rayvanny anamupenda fahy amuowe tuone😂😂😂😂
Paula ndiye alikuwa anatumiwa, mbona rayvanny yuko na paula na anavalishwa na fayma😂😂😂😂
Yamkera kumbe 😂😂 nisemeje vile
Uyu wajina ana matizo sana
Aaaaaaah wapi aacha kazi anaongea tu hyooo🤗🤗
Fayma atakuja kumshukuru juma lokole sababu hata kajala Na hamo alimpa kadi ya gari kajala juu ya muhemko😆😆😆 asishangai Ray anamuoa kwa muhemko😄😄
Ataoa ili amkomoe juma 😂
Jumaaaaa kaaaahhh 😳😳
Ibilisi
Acha ushenzi juma w ewe ni mungu juma n akwanini mnajadili m ambo ya watu nyinyi hapo mna yenu kibao yanawashinda nyie m nafuatilia ya wenzenu kwanini yatawashinda sana acheni umbea m mezidi
Yani waacha kazi kwa Sababu ya Maisha yawatu kweli🤔 huyu Juma kweli sio Riskii" nimeamini😂😂😂😂😂
Huyu ni mwehu tu hata msimsikize...nakumbuka juzi tu alisema Paula kafunga ndoa Leo ati marioo
Juma nakupend bure❤️❤️❤️❤️
Nyie mi nimecheka, umbea rahaa
Juma asiseme sana amuulize duka makabila
😂😂😂 eti Hakimi mkubwa wew
Oooh kumbe mruguru lokole hehe tuko nduguzo
😂😂😂😂juma team paula ka mie
Team Juma damu tujuwane mwamba kashasema 😂😂😂😂😂
Didaaa kanichekeshaa eti nisimamishwe hata wiki mbili😂🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwa kweli wewe Juma una laana Kwani huyo rayvanny asimuoe fahima kisa nini ama pia huyo rayvanny ulikua unamtaka na mbona alivyokua na Paula ulikua ukifurahia Sai ameachwa ndio unatoa maneno ya shombo hebu acha hizo wewe sio mungu na ndoa anaepanga Ni mungu na sio wewe
Dida😂🙌🙌
Juma juma ku umbea nakupenda bure❤❤😂😂
Huyu Juma alisema Billnass hatamuoa Nandy,akimuoa atakunya.Mbona Nandy ameolewa na Billnass.Mbona hajanya hayo mavi kweli
🤣🤣🤣 love you juma
Ila juma unajua unaaibika wewe kuna mda unaongea mpka unajisahau akisha unapenda kufatilia maisha yake akisha sjui kwa nn?humpendi fahyma ss km akimuowa kweli uso wako utaeka wapi? Ww au wasaf washakuchoka maana esma alikuchamba unashadidia mtoto wa mwezio kubadlisha wanaume kila mara
Huyu juma kwani anataka kuolewa yeye???kwanini serikali haimpimi huyu jamaa?anaonekana shoga Sana yani,
Acha wivuu ww shogaa kaz kukashfu wa2
Dida ananifurahisha
Dida umenichekesha sana et kufukuzewa kaz mtihan😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wewe naona utamtafutia huyo Paula mume akome usichana wote huo awezi kupata mume wake mpaka mume wa fayma namhurumia sana😂😂😂😂😂 huyo paula
😂😂😂sasa ivi Harmo katiliwa mukabati ivi ni Rayvanny kafikiliw 😂😂😂😂😂
Jmn jumaaaaaaa🤣
Ivi Juma ana mpenz kweli
Kweli kbc ray anamtumia dada wa watu maan anavofany km anamkomoa mtu yn anaumia bdo hajamove on
Akuna kitu apo rayvanny anatumia fayma kuumiza paula
Mbona hakumuchora Paula anampenda fayima bhana
😂😂😂
Juma juma juma!!! Acha umbea jamani
Juma juma😂
Nimefurahi mno 😂😂😂😂😂
Juma unaroho ya korosho!!
nimemshinda tabia uyu kaka,, basi ata paula anatumiwa
Nyie dida kiapo baby kiapo 😂😂😂😂🙌 nyie kazi 😜😂😂😂
Mwanaume uko mbeya ivi heee
Juma muongo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 juma juma juma
Wallah huyu jamaa akiwa kenya mimi binafsi na mfiraaaaaaa
Haaaa
Wewe si ni mwisilm kweli unawaza mtu kumfanya mwanamme mwezio kweli jamani mmmm nyie ndio mabaasha
Huyu kole anachekesha bc nawe tafuta wakuoa tuone
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤
Duh huyo juma nom 😂😂😂
Subuhaanah lahu
Dida asimamishwe kwa wiki 2😅😅😅
Juma muache fahyma ulisema hawezi rudiwa mara ni mfupi mwisho karudiwa na huyo paula na ufundi wake kaachwa achana na tanga girl Tanga kawashinda babu zako we uweze kuibeba mcheeew
Huyu sijui anajini wivu.Ww umekuwa dalali wakila jambo.Umeshampeka Paula kwa marioo,kwahyo inacheza namaisha yawatu.
Dida kwanini munamupa sanaaa time yakumusikiriza uyo juma ???
😂😂😂😂😂😂 hahahahaha! Juma! Juma! hahaha!!
Choko mwajuma
Nawapenda mnanip burudani
Juma juma 😂😂😂😂
Bas we ndo Mchawi wake ushindwi na ulegehe kwa Jina la yesu pepo mkubwa wewe
Mmmmmm juma kwani wewe wewe ndoo Paula hata unasema mpaka povu
Aky juma ukifka mbingun ufukuzwe wnifurahisha kw kweli🤣🤣🤣🤣😊😊
Demu wa Diamond platnam punguza makasiriko mbwa wewe
Haaaaaahaaaaa
😁😁😁😁😁😉😉😉😉
Kumekucha 😂😂😂
Mmeshiba nyiye
Juma Hana akili hata kwa Nandi ulisema haolewi
Huyu nae anamtumia vp na mzazi mwenzie
Unaapa kwa kutumia iPhone? 😂we juma
Maisha ya rayvanny inakuwashia nini juma lokole , huna lolote wewe wivu tu , fayma ataolewa na rayvanny utake usitake, , ,
🤣🤣🤣🤣
Sasa juma kazi yake kwenye wasafi nikutangaza umbea au nini maana sijui kazi ya juma mm😂😂
Umbea tu mwanaum mzima wewe
Mnafirahisha
Juma acha wivu, ulisema billinas hawez muoa Nand
Juma hahaha eti tutachukuwa pesa yako ya mshahara myezi mingapi? 😂😂😂
😂😂😂😂umeniuwa chezea kazi wewe
Huyu choko bwana utasema yeye ndio roho ya rayvany😏😏 me nakuita mbwa tuu ww
@Dida unacfa ww🤣🤣🤣🤣🤣ety anaongea kiingereza
😂😂😂😂😂😂
😂😅😅😅😅😅
Alaf kuolewa saiv sio jambo la kustua km zaman
mimi juma naanza kumchukia
Tanga nyie. Chezea fayma..anaolewa na juma uodoke wasafi