Tanzania nakupenda kwa Moyo wote

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 30. 12. 2019
  • Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania
  • Zábava

Komentáře • 126

  • @neil_sawn
    @neil_sawn Před 7 měsíci +4

    I love this Tanzanian patriotic song. R.I.P JPM, long live mama Samia Suluhu.
    Much much love from Kenya 🇰🇪

  • @salmajahadhmy7888
    @salmajahadhmy7888 Před 3 lety +46

    Kama utaangalia hii nyimbo baada ya kifo Cha Muheshimiwa Magufuli Like na Tumia dakika moja ya Ukimya kwa kumuombea.

    • @khamismohamedjr5666
      @khamismohamedjr5666 Před 3 lety +2

      Daaah ndugu umenigusa mule mule 😭😭😭 nlikua naangaliaga mwanzo cz naipenda but leo nimerudia cz ya huu msiba nimejikuta nimepanda uzalendo ghafla daaaah tz is nchi yangu

    • @aminakunja277
      @aminakunja277 Před rokem +3

      Nakupenda nchi yangu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Pumzika kwa amani magufuli 😪😪

    • @gmaillameckmnyika
      @gmaillameckmnyika Před 5 měsíci

      Dah pumzika KWA AMANI Magufuli😢😢😢😢😢😢

  • @dorothyxavery6178
    @dorothyxavery6178 Před 4 lety +20

    Exactly... Sitaweza kusahau kamwe mambo mema ya Tanzania yetu ya Amani...nchi zingine ni vita kila siku y me Tanzania...Asanteee Mungu

  • @svenheilborn1537
    @svenheilborn1537 Před 4 měsíci +3

    Congratulations for your national holiday on 26th April Tanzania a from your friends in Germany

  • @kanisiusnyakaselula5285
    @kanisiusnyakaselula5285 Před 4 lety +19

    Hakika wimbo umeonesha asili ya Tanzania, mbuga wanyama ardhi yenye rutuba n.k sauti pia zimekaa sawa. Asanteni JMC kwa kazi nzuri

  • @user-kw3yb2sh3s
    @user-kw3yb2sh3s Před 6 měsíci +2

    Tanzania nchi yangu, naahidi kukupenda mpaka mwisho wa maisha yangu ❤🇹🇿❤🇹🇿
    I feel proud kuwa Mtanzania 💪✊

  • @Pilot_Enock
    @Pilot_Enock Před rokem +4

    Ooh my God, This is extremely amazing, I love my country Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😇

  • @elizabethmbuya6213
    @elizabethmbuya6213 Před rokem +3

    Anayefundisha huu wimbo kwa kuwasikilizishia wanafunzi kama mimi abarikiwe sana na Mungu.

  • @norahnorah5342
    @norahnorah5342 Před 3 lety +7

    Tanzania my home though wakuja tu .... peaceful place to be God bless Tanzania rest in peace pombe magufuli my president

  • @annewanjiru818
    @annewanjiru818 Před rokem +3

    OMG this is a beautiful song I learned from my mum who lived and worked in Tz years back, a real TBT. Quite nostalgic 😢🇰🇪

  • @gaudencemwakwenda625
    @gaudencemwakwenda625 Před 3 lety +15

    🤩🤩😍 wimbo bora Sanaa.... Wazee wa 2021 gonga like hapoo

  • @sphamandlamashalaba2733
    @sphamandlamashalaba2733 Před 3 lety +14

    God Bless Tanzania! All the way from South Africa.

    • @tonybrown7665
      @tonybrown7665 Před 2 lety

      Illuminati secret brotherhood . Are you a student, businessmen and
      women, footballer, pastor, singer,entertainer, presenter, governors,
      president, lecture and you want to be known all over the world and to
      become rich, famous and powerful or you want to have power to protect
      your family and your wealth kindly join the great Illuminati family () to achieve all your heart wishes add us on
      whatsapp on +1(509)6317129 and achieve millions of dollars every month... What'sapp immediately +1(509)6317129

    • @secondmastertz6551
      @secondmastertz6551 Před 2 lety

      Welcome Tanzania

    • @sethmartin6555
      @sethmartin6555 Před rokem

      Hello Mashalaba welcome to Tanzania. So many of your country people lived here in Tanzania in those dark days of fighting apartheid. You will feel home here, but try to learn Swahili to feel happier.

    • @GeradinaJohn
      @GeradinaJohn Před 4 měsíci

      Welcome❤❤❤🇹🇿🇹🇿

  • @dotoeliudi7197
    @dotoeliudi7197 Před 3 lety +18

    Ukiwa mbali na Tanzania ni kama upo mbali na mama, mawazo ya kwenda nyumbani hayaishi, Nchi yangu pendwa imebarikiwa sana. Hakuna raha kama ukitua salama na ndege nyumban, huwa naibusu nchi yangu.

    • @raiyanyusuf4479
      @raiyanyusuf4479 Před rokem

      Yani umesema kweli kwabisa nimemis but I no one day yes insha'Allah

    • @violatechagula8112
      @violatechagula8112 Před 8 měsíci

      Nilidhania ni Mimi tu hua namiss my country like crazy nkitua salama I wish to embrace and kiss my country

  • @zainul-hassanhussein
    @zainul-hassanhussein Před 6 měsíci +4

    Tanzania, Tanzania
    Nakupenda kwa moyo wote
    Nchi yangu Tanzania
    Jina lako ni tamu sana
    Nilalapo nakuota wewe
    Niamkapo ni heri mama wee
    Tanzania, Tanzania
    Nakupenda kwa moyo wote.
    Tanzania, Tanzania
    Ninapokwenda safarini
    Kutazama maajabu, biashara nayo makazi
    Sitaweza kusahau mimi mambo mema ya kwetu kabisa
    Tanzania, Tanzania
    Nakupenda kwa moyo wote.
    Tanzania, Tanzania
    Watu wako ni wema sana
    Nchi nyingi zakuota nuru yako hakuna tena
    Na wageni wa kukimbilia ngome yako imara kweli wee
    Tanzania, Tanzania
    Heri yako kwa mataifa.
    Tanzania, Tanzania
    Karibu wasio na kwao
    Wenye shida na taabu
    Kukimbizwa na walowezi
    Tanzania yawakaribisha
    Tuungane kiume chema wee
    Tanzania, Tanzania
    Mola awe na we daima.

  • @faduminabeauty3337
    @faduminabeauty3337 Před 3 lety +5

    Love you Tanzania 🇹🇿 my country miss you soo much

  • @christsflowe.r
    @christsflowe.r Před 11 dny

    Nilijifunza primary enzi hizo, i love this song

  • @lucy111st
    @lucy111st Před 3 lety +4

    Is the Best. mpangilio wa sauti, picha zilizohusishwa ni uhalisia. hongera St. Paul Mbeya

  • @renatusludovick8376
    @renatusludovick8376 Před 3 lety +3

    Tanzania is good More than all countries I love Tanzania I love it is song

  • @athumanimussapiko8591
    @athumanimussapiko8591 Před 3 lety +11

    Love to my country Tanzania 🇹🇿

  • @mwahulimajuniour2691
    @mwahulimajuniour2691 Před 2 lety +2

    Daaaah huu wimbo hd leo bado unanishinda kuimba kwa jinsi ulivokuwa mgumu

  • @dorothyxavery6178
    @dorothyxavery6178 Před 4 lety +5

    Hata wageni wanakukimbilia Tanzania na ngome yako iko imara..Mora awe nawe daima Tanzania🙏💕💗💖

  • @raylaurent4389
    @raylaurent4389 Před 4 lety +4

    Waaoh... Nakupenda Tanzania Nchi yangu... Kwa moyo woteee

  • @yohanamasibayikija397
    @yohanamasibayikija397 Před 2 lety +2

    Niko tayari kufa kwa ajili ya nchi yangu I love you TANZANIA

  • @favourkimaro5490
    @favourkimaro5490 Před rokem +1

    Maneno mazuri sana ni kumbukumbu nzuri ya kumuenzi mtunzi wa huu wimbo mchungaji Silas Msangi. RIP

  • @pendoclare7589
    @pendoclare7589 Před 10 měsíci +3

    Kama bado unachungulia hii song gonga like hapa

  • @Emmanelmollel
    @Emmanelmollel Před 8 měsíci +3

    Love to my contry Tanzania

  • @abdararashid8627
    @abdararashid8627 Před 3 lety +5

    Tuendelee kumuomba ALLAH atujaalie na kutulindia amani yetu!Amein,inshaallah.

  • @mariacalvob
    @mariacalvob Před 3 lety +9

    Beautiful Tanzania

  • @BarakaAyubu-qw5ic
    @BarakaAyubu-qw5ic Před 4 měsíci +1

    Love so much my country❤❤❤❤❤

  • @rizickluxford5331
    @rizickluxford5331 Před 3 lety +5

    Big tune 💚💛💜💓💔 Tanzania

  • @pedrotzmunis4132
    @pedrotzmunis4132 Před 2 lety +2

    ..namshukuru Mungu kuwa Hai leo..Huu wimbo tulikuwa tukiuimba kila siku asubuhi kabla ya kuanza madarasa.. na mara nyingi somo la kwanza Jumatatu lilikuwa hesabu..

  • @Kidson_-Manda45
    @Kidson_-Manda45 Před 2 lety +3

    God bless my country tanzania

  • @charleslyuki9447
    @charleslyuki9447 Před 4 lety +4

    Ahsante sana, nchi yangu Tanzania najivunia kuzaliwa Tanzania

  • @nilastephen8265
    @nilastephen8265 Před 2 lety +4

    I'm proud to be Tanzanian

  • @janemwangi6065
    @janemwangi6065 Před 3 lety +5

    Sauti tamu congratulations from Kenya. God bless you allways.

  • @janethjohnmrsjoseph2171
    @janethjohnmrsjoseph2171 Před 2 lety +2

    Tanzania Tanzania nchi yangu watu wako ni wema sana❤️❤️❤️❤️

  • @mariodonboscomoshi2341
    @mariodonboscomoshi2341 Před 2 lety +2

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Ee Mungu dumisha amani na uhuru wa nchi yetu pendwa Tanzania 🇹🇿 Rest In Peace ✌️ all the leaders who passed away(Mwl Jk Nyerere Benjamin Mkapa John Magufuli Edward Sokoine Rashid Kawawa)mlituacha kipindi tulichowahitaji😪😪😪😪😢😢😢😭ila hakuna shida Mungu yupo pamoja na Watanzania wote

  • @AffectionateCrab-xn3tm
    @AffectionateCrab-xn3tm Před 2 měsíci +2

    Tanzania ni inchi teule na mungu

  • @juliusmwita8696
    @juliusmwita8696 Před 3 lety +4

    naposikiaga hizi nyimbo za nchi yangu nahisi mwili kunisisimuka mungu ailinde nchi yangu

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 Před 3 lety

      Kabisa mkuu,kuna muda huwa nahisi hakuna nchi nzuri km TZ.

  • @josephkobelo5579
    @josephkobelo5579 Před 4 lety +4

    Mungu awabariki sana wana John Paul ii, Mungu ambariki pia dada angu kipenzi Hazina Maduhu

  • @lorenzotrevisani4421
    @lorenzotrevisani4421 Před 4 lety +4

    My best & wormfull compliments for the video & choir, excelent. Sorry for writing in english, my swahili is poor. HONGRA watu wote.

  • @dorothyxavery6178
    @dorothyxavery6178 Před 4 lety +2

    Hakika tunawakaribisha watu wetu wote mliotawanyika duniani kote karibuni Tanzania, 💗💞💖💖🙏

  • @abdullahpongwa1537
    @abdullahpongwa1537 Před měsícem

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿 💚💚💚 Peace and Love

  • @haibreus2005
    @haibreus2005 Před rokem +2

    Tanzania 🇹🇿. Hii wimbo iimbwe na watoto na wananchi wote in a country every morning kuongeza uzalendo.

  • @user-wj2ss1qk8k
    @user-wj2ss1qk8k Před 3 lety +2

    I love you tanzanian

  • @yasintamakongoro5957
    @yasintamakongoro5957 Před 2 lety +4

    Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote

  • @muhammadhussein334
    @muhammadhussein334 Před 2 lety +4

    Yaa Allah bless Tanzania and their people

  • @anitauwamahoro-qi5su
    @anitauwamahoro-qi5su Před měsícem

    Tanzania no nchii nzuri sana

  • @salhaheko3412
    @salhaheko3412 Před 3 lety +2

    Nakupenda Tanzânia yangu MUNGU ibariki Tanzânia

  • @phinawatwego7260
    @phinawatwego7260 Před 2 lety +3

    Tanzania yetu oyeeeeeeeeee.

  • @samwelmbuya9276
    @samwelmbuya9276 Před 8 měsíci +1

    I love the song of tanzania omg

  • @yunaisamir2099
    @yunaisamir2099 Před 3 lety +2

    Pale unavo sikiliza hv alfu uko nchi ya mbali nahis kulia ninapo kumbuka harufu upepo aman na upendo wa nchi yangu 💔💔💔😢😢

    • @stellaj6733
      @stellaj6733 Před 3 lety

      Wah is true dear pia mm nafeling ivo aky

  • @stancreezzy5500
    @stancreezzy5500 Před 3 lety +3

    Alieona kinvuli cha droony ikiwa juu agonge like

    • @GeradinaJohn
      @GeradinaJohn Před 4 měsíci

      Mmmm watu hampitwi Mimi nipo tu nasoma zangu comments

  • @kanyeewastee2976
    @kanyeewastee2976 Před 3 lety +3

    nakupenda Tanzania wangu

  • @gwasaally5311
    @gwasaally5311 Před 3 lety +3

    😭😭😭 r.i.p magufuri

  • @laurentlugema593
    @laurentlugema593 Před 2 lety +3

    If we want peace, we must strive for justice

  • @allyabdi6165
    @allyabdi6165 Před 3 lety +1

    Huu wimbo unachanganya sana kila miaka kadhaa wanabadili beti zake

  • @mossessimon2355
    @mossessimon2355 Před rokem

    Hongereni sana

  • @helakridiwella6120
    @helakridiwella6120 Před 6 měsíci +1

    🎉🎉🎉2023

  • @aishamatangamatangamatanga1344

    Tanzania 🇹🇿 nakupenda kwa moyo wotee ❤️❤️

  • @woltabenad8311
    @woltabenad8311 Před 3 lety +2

    Naipenda sana njiiyangu Tanzania

  • @fayamina2560
    @fayamina2560 Před 3 lety +2

    Safi sana

  • @mujahidsyed751
    @mujahidsyed751 Před 9 měsíci +1

    Shuleni baada tuki maaliza national anthem tukiimbaga hiyo nyimbo pia

  • @madpusher2036
    @madpusher2036 Před 3 lety +2

    Saut ya tatu hongera kwa kutembea na key

  • @niwemugenimediatrice5640

    Nchi yangu tu hata kama siishi huko na Sina uraia lakin Nina tumaini kwenye ulimwengu mpya nitakaa upande huo

  • @Mamiseti7
    @Mamiseti7 Před 2 lety +2

    💗😍

  • @mujahidsyed751
    @mujahidsyed751 Před 9 měsíci +1

    🇹🇿

  • @sunrose9196
    @sunrose9196 Před 4 lety +2

    Good wimbo

  • @williamatati5961
    @williamatati5961 Před 2 lety +1

    Who is the artist

  • @emanuelpesambili
    @emanuelpesambili Před rokem +1

    Tanzania. Nakupenda. Kwa. Moyo. Wote

  • @oscarmuhumenya1345
    @oscarmuhumenya1345 Před 4 lety +3

    Tisha sana

  • @asmaajuma3328
    @asmaajuma3328 Před 3 lety +1

    Nakupenda kwa moyo wote 🇹🇿❤️

  • @maganyarobert7008
    @maganyarobert7008 Před 2 lety +1

    Mungu atubariki sote

  • @samwelicleophacemutabuzi5762

    Nimelia sana

  • @meshackpallangyo900
    @meshackpallangyo900 Před 2 lety +1

    Mwamba ni yesu

  • @cecylianamatigi7207
    @cecylianamatigi7207 Před 3 měsíci +1

    ❤😊🎉😊🎉🎉🎉❤❤❤😢

  • @mzamilshop7103
    @mzamilshop7103 Před 3 lety +2

    Heshima ya tanzania

  • @manyanzabusiga5986
    @manyanzabusiga5986 Před 3 lety +2

    Siku hizi wanafunzi mashuleni hawahimizwi kuimba nyimbi hizi ndo maana nwanafunzi anafika mpaka darasa ka tano hajui yuko nchi gani daah

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 Před 4 lety +3

    m'mpendeza sn

  • @steventambi6353
    @steventambi6353 Před 3 lety +3

    Wonderfully Song

  • @eliasmyamba4767
    @eliasmyamba4767 Před 4 lety +4

    Nakupenda kwamoyowote TANZANIA

  • @zefaniawasha801
    @zefaniawasha801 Před 3 lety +3

    Audio

  • @willey_brandtrue9966
    @willey_brandtrue9966 Před 2 lety +1

    Tanzania Yetu Iwe nchi ya amani

  • @RithaPasco
    @RithaPasco Před měsícem

    Nchi yenye amani

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Před 3 lety +2

    Huu wimbo naukumbuka siku za Jumatatu Head Master anakuwa Assemble anasubiri nyimbo iishe aanze kukaguwa wanafunzi wachafu, mm nilikuwa na rumba kichwani kwahiyo nakausha tu sihudhurii mstarini kwahiyo nakuwa nimejificha chimbo haswa nasikia hii nyimbo kwambali sana 😂😂😂

    • @GeradinaJohn
      @GeradinaJohn Před 4 měsíci

      Dah everyone with his story. Wow vizur mwaya😂😂😂😂😂

  • @adamfidelisi28
    @adamfidelisi28 Před 4 lety +3

    Wimbo mzuri sana,niombe kama Nikita kudownload naipata wapi nyimbo hii na nyingine zenu

    • @ambroserukonda59
      @ambroserukonda59 Před 4 lety

      Kama una tubemate au snaptube unaweza kuzidownload zote kupitia jina hilihili

    • @adamfidelisi28
      @adamfidelisi28 Před 4 lety

      Kama sina napataje

    • @ambroserukonda59
      @ambroserukonda59 Před 4 lety

      Ingia Google uandike tubemate afu download then install

    • @adamfidelisi28
      @adamfidelisi28 Před 4 lety

      Nimefanikiwa nikuombe na nyimbo ya unisikie naipata hapa hapa

    • @faustapaul8660
      @faustapaul8660 Před 4 lety

      Wimbo mzur kweli hongeren kwa kuliombea nchi yetu, hakika Tanzania nakupenda ❤️❤️mola awe nawe daima🙏🙏

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Před 3 lety +2

    Wakati huo watanzania walikuwa na uzalendo wa nchi yao, leo kila mtu matusi tu kwa nchi yake na anasahau nchi ilivyomsomesha bure na kufikia alipofikia. Kweli shukrani ya punda ni mateke.

  • @svenheilborn1537
    @svenheilborn1537 Před 4 měsíci +1

    Congratulations for your national holiday on 26th April Tanzania a from your friends in Germany

  • @kamanziisrael7996
    @kamanziisrael7996 Před 3 lety +2

    Inchi imetulea tunaipenda Sana ........

  • @gracefeldinandi838
    @gracefeldinandi838 Před rokem +1

    Safi sana